MCH.NDACHA AMLIPUA SHEHE SHAFII KUMPINGA DR SULLE KUWATUMIA MAJIN VITABU VINASEMA UKWELI UNAPINGA JE

  Рет қаралды 20,457

Maks Media

Maks Media

Күн бұрын

Пікірлер: 275
@AntonyManeno
@AntonyManeno 6 ай бұрын
Mtumish Mshike Sule Akupe Siri Ilio Jificha Usilam Kuhusu Majini Na Dini Yao Yote. Ukijua Utangazie Ulimwengu Bila Uoga Watu Wakombolewe Ju Watu Wana Potezwa Bila Ya Kujua Siri Hii Ya Majini. MUNGU Ako Pomoja Nawe Hakuna Silaha Itakayo Kuduru Wala Majini Hawata Pata Nafasi Ya Kukukaribia Kwa Dam Ya YESU❤Amen❤❤❤
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
❤️🤣🤣🤣💪💪💪💪💪àfijue siri
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
nilitaka pastor aseme kitabu kinaeleza waislamu waabudu majini sioni akisema kitabu kinaeleza majini mtume wao ni muhamad kitabu chao ni quran kitabu kinaeleza wapo majini waislamu na wapo makafiri hyo nio sawa coz ni viumbe wa mungu wako waadilifu wako wazinzi kama tulivyo si binadamu kitabu kiigeeleza muislamu anaabudu majini hata sahii ningetoka uislamu
@juliusdominic-uk4bu
@juliusdominic-uk4bu 6 ай бұрын
majini ni mashetani ww achu kulala amka hakuna jini mzuri majini ndio yanao tusababishia matatizo wachawi,waganga wanayatumia kutuzuru
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@juliusdominic-uk4bu tunasumbuliwa sana na hayo majini wanayosema ni mazuri
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
Waislamu wanaoenda kuhiji wanasema wenyewe majini yapo msikitini
@faridashabanifaridashabani5950
@faridashabanifaridashabani5950 6 ай бұрын
Hiyo salamu nikweli kabisa kidogo sikumoja niitikie hiyo salamu 😂😂 najivunia huyu YESU 🙏❤
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Ubarikiwe sana dada Farida
@countercheck887
@countercheck887 6 ай бұрын
Mlw Ndacha barikiwa sana kwa kuelimisha makafiri wanaoishi kwa uongo
@petermochengo8647
@petermochengo8647 6 ай бұрын
Huyu mutumishi ni hatari sana vitabu hivi ningependa kuvipata God bless you brother
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
Hana uhatari wowote
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
@@thekingdragon8358 yaani anapatiza mashehe ama anabatiza yesu ni bwana
@Mutua-h9r
@Mutua-h9r 3 ай бұрын
Hatari zaidiiiiii🎉
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 6 ай бұрын
Hakuna kwenye uislamu kushirikiana na majini, madhehebu sahihi ni moja tu, madhehebu ya ibadhi ilio epukana na makorokoro yote yalio chomekwa katika dini kama hayo majini,mambo ya mahdi na mengine mengi. Karibu katika uislamu sahihi madhehebu iliyo salimika,❤
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
@@PasserbyMan-ju8ky wewe siyo mwislam, waislam wa kweli wanashirikiana majini
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
@@FridayMwassa Yani unazungumza bila ya aibu,mwanadamu huwalipa wanadamu wengine wamlinde nakisheria inaruhusiwa au akiamua mwenyewe kukulinda yote inaruhusiwa,lakini walipo tafuta ulinzi wanadamu kwa majini Allah amesema hawakuwazidishia ila mauvu,surat jinni Aya ya 6, Uislamu ni dini ya mungu Allah nasio ya watu kwa matamanio yao.kama wewe unao taka majini,
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
​@@PasserbyMan-ju8kyMbona vita vya dini vinasema majini hawana kitabu isipokuwa koran na pia hawana mtume isipokuwa Muhammad iweje wewe unakataa haya
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
@@FridayMwassa majini ni jamii nyingine ya viumbe hivyo hivyo hawaruhusiwi kushirikiana na wanadamu kama vile kuoana,kusaidiana mali chakula ,lakini wameruhusiwa kufuata muongozo wa mitume na vitabu vyao.hata mitume hupata muongozo kutoka kwa malaika wa mungu waliotumwa kwao,lakini mwanadamu haruhusiwi kumuomba malaika amsaidie au ampe chakula au amlinde.labda mungu atake mwenyewe kumpa mtu malaika wa mlinde lakini kuwaomba haruhusiwi,Wala kuwekanae makubaliano kwasababu wao ni jamii nyengine ya viumbe.
@GwamakaMwampulule
@GwamakaMwampulule 6 ай бұрын
Waislam mwachen kumshambulia Dr Sulley yupo sahihi Kwa mujibu WA uislam
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
sule nimkweli muisilam pure lazima uwe na jini
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
@@BonfaceWawire-k6p tatizo muko kiushabiki hata jini akiwa ndugu yetu haina shida ila hatumuabudu jini tunamuabudu mungu alie mmoja na wa kweli nyie mna miungu watatu hamlioni hilo
@shabbymakapane
@shabbymakapane 6 ай бұрын
@@BonfaceWawire-k6pKama hivi , WALAWI 17:7 Majini Mnadanga nayo 😂😂😂🤣🤣🤣 Mbona Ndacha Hasemi ???
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
Mimi ni muislamu lkn Sina huyo jini ndugu inasema uongo unasemaje kwa vile una mdomo
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Kw Hy ndacha pia Muislam au
@daudimichael7338
@daudimichael7338 6 ай бұрын
Majini na Waislam ni mandugu katika Imani, Sule ako sawa, amesema ukweli. Wanaompinga wana agenda ya siri ya kuficha ukweli
@josephmbirize3134
@josephmbirize3134 6 ай бұрын
Mze ndacha MUNGU akubariki saaaanaaa Akujaliye piya ujuzi zaidi Ata nasisi ututembeleye uku American ulete dawa kwa wa CHRISTO wezetu 🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸🇺🇸
@godfrey-lo8kc
@godfrey-lo8kc 6 ай бұрын
nimepata kitu hapo , God bless you many years!!
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
Nimeamini dini ya uislamu ni dini ya shetwani
@DafudaDotto
@DafudaDotto 6 ай бұрын
Hata ww ni mwislamu kimbia mzee😅😅😅
@castorchipalo84
@castorchipalo84 6 ай бұрын
kawIda tu
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 6 ай бұрын
Tatizo huna elimu ndugu
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Pole Sana Ndugu Ramadhan,Ilaa Kw Hakika ukmmuamn Allah Na Ukmfata Mtumeee Muhammad na Maamrsho ya Allah ,bc hutajuta Kua Ww N Muislam na Hutasema kua Din ya kslam n Shetwan,Na kuhucia Soma Quran nzma Halfu Ukkuta Allah Anasema Nmekuteremshien Din hii ya Kislam n dni ya Shetwan bc Amin hlo,ila Ucfate Maneno wanotasema Watu Mitandaon ,fta Ktabu chako Kna taka nn
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
@@Nily-kz3db nimeona sababu nyingi ndmn mesema hivyo
@giftially5874
@giftially5874 6 ай бұрын
We mwalimu unajua sana kama mwakasege vire
@franciscomtambakuluca2830
@franciscomtambakuluca2830 6 ай бұрын
Ndacha nakubali sana
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
oooh ndugu zetu Hawa wamepotea njooni kwa yesu
@saba-gv3mj
@saba-gv3mj 6 ай бұрын
Ww mkubavu kwa yesu yesu muisilamu na ni mtume wa mungu
@JRN2612
@JRN2612 6 ай бұрын
Ivi wewe unadhani ukristo ungekuwa dini ya haki nani angekuwabali kuwa muislamu? Ukristo ni kula bata tu hapa duniani, hakuna kusacrifice kitu chochote. Wakati sisi waislamu tunaacha vitu telee kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah, nyinyi kila kitu mumeruhusiwa kufanya. Yaani dini haina changamoto hata moja hiyo😅
@JRN2612
@JRN2612 6 ай бұрын
Ivi wewe unadhani ukristo ungekuwa dini ya haki nani angekuwabali kuwa muislamu? Ukristo ni kula bata tu hapa duniani, hakuna kusacrifice kitu chochote. Wakati sisi waislamu tunaacha vitu telee kwa ajili ya kutafuta radhi za Allah, nyinyi kila kitu mumeruhusiwa kufanya. Yaani dini haina changamoto hata moja hiyo😅
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
​@@saba-gv3mjHapana Isa ndiyo mwislam siyo yesu
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
​@@JRN2612mmeacha kipi maana tunawaona nyie ndiyo wafadhili wa mipira na miziki
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Kuna Ayaa , in nasema Ndchaa hii Aya ishkulie uifaham,Waamaa ghalakatu jinni wal insii illah liaabud,,,Hakumbwa Majjn na Binaadam icpokua kuja kumuabud Allah 🙏
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
@@Nily-kz3db Tangu lini shetani akajipinga
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Wee Ndachaa ,cc hatumfat mt2 aloandka ktab ,cc tuna Mfuata Allah Alchoagza kuptia Kfua cha Mtume wet2 Muhammad SAW,na wala cio mt2 Mwengne
@Mohammed-mn2xg
@Mohammed-mn2xg 6 ай бұрын
Majini yalisilimu(yalimukubali Mungu Mmoja ktoka ibaada asiyekuwa na mshirika) baada yakuisikia Qur'an ikisomwa na si mtume aliyasilimisha wala mtume hakua amejua kua kuna majini waliosikia Qur'an ikisomwa Bali anaambiwa na Mungu. wee Ndacha uislamu unajengeka kupitia Qur'an na Hadith I za Mtume na hadith ni lazima iwe na sanadi Yake yaani imehakikishwa mapokezi yake ni SAHIHI wala c uchafu unaookota sokoni eti ulimwengu WA majini hicho ni ktabu chako Bali c cha uislam
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
hee huku yanasubiri moto!kumbe majini yataunguzwa
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 ай бұрын
Waambie ukwer waslam wengi vichwani mwao akuna kitu wao kazi yao kukalikisha tu ni mamuma
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Ndacha ,acha tukwambie,hta Bnadam wapo wabaya na wazur ,tunawajuajee,?,jbu kwmba unaweza ukawa una rafk lkn ukamn mzur kumbe nafsin mwke n Adui kwko,ilaa Ww Huwez mjua Mpka Adhhrshe ubaya wke ,lkn nafsin mwet2 M/mungu ndie Mwenye kujua Nafsi za Waja
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
'Kile ambacho nasema ni kwamba Uislam na Majini ni kama vile Ukristo na roho mtakatifu.
@jaggerjack30
@jaggerjack30 6 ай бұрын
Kweli kabisa
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
umenifunza kitu eti roho mtakatifu huongoza wakristo na majini huongozq waisilamu habari tumeipata
@Rooney1184
@Rooney1184 5 ай бұрын
Duh kosa la mtu mmoja linaharibu imani za watu wote
@Mohammed-mn2xg
@Mohammed-mn2xg 6 ай бұрын
Wee Ndacha kunaviumbe ambavyo vnamwamini Mungu na hufanya ibaada kwa Mungu kando na majini na wala cc hatuvijui lkn kiimani kwa sababu tunaimani moja kwa Mungu cc n mandugu kiimani licha yakua hatuishi mazingira moja,hatuonani,hatufanani
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Ndiyo maana hata majina mengi ya kiislamu yanafanana na majina ya majini kama makata,sudian, nk
@trophywilson7211
@trophywilson7211 6 ай бұрын
ndiyooo
@Mohammed-mn2xg
@Mohammed-mn2xg 6 ай бұрын
Dr.Sulle ni mwanadamu ana mapungufu Yake lkn maneno ya Mungu hayana upungufu huezi miliki ktu ambacho huezi kukidhibiti na huezi dhibiti usichokiona wala kushika wala kupimia kwa njia yoyote basi anaohuo uwezo ni Mungu na kwa wanadamu wanamilikiwa na majini isipokua wanaojikinga kwa Mungu na kama nkujifananisha na Nabii Suleiman alikuwa Nabii alipewa uwezo na Mungu xx Ndacha usitumie hyo kuw daraja yakupeana poropoganda zako
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Kama hayaonekani Muhammad aliwasiliana nao kivipi
@MgeniNyela
@MgeniNyela 6 ай бұрын
Shida wanakaririshwa tangia wakiwa wadogo wengi hawana elimu ya dini yao Mungu awasaidie kwa kweli
@apollorutamucero6971
@apollorutamucero6971 6 ай бұрын
Hi tuna wa itaji na Bujumbura karibuni
@DAVIDMAGHANGA
@DAVIDMAGHANGA 6 ай бұрын
Endelea kusema ukweli,nakuunga mkono vitabu ni vyao wenyewe vinatupa kujua Siri Yao thanks
@hassansingano1150
@hassansingano1150 6 ай бұрын
Ndacha umejitahidi, ila bado kidogo, ungetupa kwanza historia ya majini.
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
iko Kwa Quran wewe vipi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
Uislamu na uchawi ni kitu 1
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
ajanaa na hiyo na ushetani nayo je niwamoja hawaaiani
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Ndachaa Achna na Uislam wet2 , Hujui din ya Kislam,Allah Ndio Alosema km Kuna Majin wabaya na Wazur wee ndacha huna Hta Aibu,cc tumejua km kuna Wabaya na wazur kuptia Kusoma quran ,Lkn Anae jua Zaid ubaya wao na Uzur wao n Allah tu
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
yuasoma kitabu anakitafsiri kivyake anavyopataka yeye sijaona mahali kitabu kinaeleza muislamu haabudu majini isipokuwa kitabu kinasema wap[o majini waislamu na wanaofata quran hyo ipo clear kitabu akijasema muislamu aabudu majini ila kimeeleza majini wanamuabudu mungu wapo wabaya wapo walioslim hao nikama sisi tu ila hatuwaoni.. jini yoyote anaeingia ndani ya mwili wa binadamu huyo sie jini mwema ..
@LawrenceIkiaara
@LawrenceIkiaara 6 ай бұрын
God bless you
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 6 ай бұрын
Ukiwa msabato raha sana Hongera mchungaji wetu
@tlotwe.01.
@tlotwe.01. 6 ай бұрын
Nasahihisha kidogo ......ukiwa na Yesu Kristo Aliye Hai......Hapo ndio kuna Raha ya Milele!
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
huna ufahamu ukiwa wa yesu sisi hakuna Cha usabato au thehebu like au uili ila tuko wa yesu sawa
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 6 ай бұрын
@@BonfaceWawire-k6p Hata wanaosali kwa walimu wa uwongo na manabii wa uwongo wanaamini wanae Yesu ndio maana Kila CK wanapiga makelele kufukuza mapepo Ali hali wanae Yesu jitafakali vzr
@msemakweli243
@msemakweli243 6 ай бұрын
Hakuna uisilamu bila majini bila ubishi
@nassoroyahaya821
@nassoroyahaya821 6 ай бұрын
Wewe ni usiyetambua toa aya juu yavkauli yako hiyo,hakuna uhusiano wa moja kwa moja juu ya mahusiano ya majini na uislamu
@0badiaMwasongwe-rt1wr
@0badiaMwasongwe-rt1wr 6 ай бұрын
Yes mtume aliwasilimishaa majini na kuwa waislamu yaan viumbe vilivyolaaniwa na MUNGU yeye anawekaa urafiki nao tena sio majini tuu hata shetani alimsilimishaa na kuwa muislam 😂😂
@msemakweli243
@msemakweli243 6 ай бұрын
@@nassoroyahaya821 wewe ndugu yako katika imani ni nani?
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
nyinyi ndio mnajua sasa huko tulitoka juu ya ushirikina kitambooo sana
@msemakweli243
@msemakweli243 6 ай бұрын
@@BonfaceWawire-k6p tunajua sisi au mungu wenu ndo kasema hivo na vitabu vyenu vinasadikisha
@JoshuaBikori
@JoshuaBikori 5 ай бұрын
Ndacha nimukali sana sure
@sophiaesmarcharo9775
@sophiaesmarcharo9775 6 ай бұрын
❤❤❤🌷🌷🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@mwoso
@mwoso 6 ай бұрын
Hawawezi kuja Katika huo mjadala. Mazinge amewakataza. Wataangamiza uisilamu watu wakigundua hio siri. Tayari Dr. Sule amewasaliti.
@NathanielNathan-m4o
@NathanielNathan-m4o 6 ай бұрын
Waislam mko na kazi...huyu Ndacha ako na ukweli na maandiko.
@PasserbyMan-ju8ky
@PasserbyMan-ju8ky 5 ай бұрын
@@NathanielNathan-m4o jirani mbaya ni yule anae subiri ugombane na mwanao Kisha ajifanye anamtetea mwanao na kumtia maneno akuchukie,ila kasahau hakunaga wazazi watatu duniani.mtoto akigundua kosalake atarudi kwao Na akiwa mjinga atabaki kwajirani.😊
@AibumuadhikaasimKidocho
@AibumuadhikaasimKidocho 6 ай бұрын
Uislam ukiupiiga vita ndio unazidi kuenea mana ni dini ya kwelii.huyu anaongea kitu asichokijua
@barakalawrence742
@barakalawrence742 6 ай бұрын
Wewe ndio unahitaji kujua ukweli huu wa Dr Sulley
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Uislam bila uongo na kulazimisha watu kwa vitisho hakuna uislam,
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
​@@FridayMwassavipo vitu vinaweza kuongelewa katika maisha lkn dini ni Hadi uwwe na elimu nayo ndio uanze kuongea na sio kushabikia Fahamu kusoma ipo kwa njia nyingi hata kusililiza ni jamii ya kusoma pia huna budi unaposikiliza ni lazima uwe umefahamu Hadi maana kusudiwa ndipo hata shuleni huwezi kupewa cheti tu Hadi wajiridhishe kuwa ni kweli ulihitimu?
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Akunaa uwisla bila majin majin hi dini? Atarii sanaa aifai kabisaa
@richardmshiu5118
@richardmshiu5118 6 ай бұрын
Huyu pastor ni kiboko😂,, Yesu ni NGUVU ya wakristo.hakuna jini anaingia
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
in Jesus name majini yashindwe
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 6 ай бұрын
Ndacha umeonyesha uwezo mkubwa sana wa kuielezea kati ya wachristo na uislamu na tabia zao za majigambo na kjisifu kumbe wanachukuwa tabia za majini endelea kusali maana kumbe unapambana na majini
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
yaani shetani nimbaya sanà ameamua kujitokeza mzimamzima na kufumbua uji wawaisilamu kupitia kwa mkuu wawaisilamu Dr sule eti majini na waisilamu nikaa roho mtakatifu na wakristo
@ameali1251
@ameali1251 6 ай бұрын
Wakristo wapi andiko mlitakiwa kuwafukuza majini.
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 6 ай бұрын
Hawezi kusema yeye ni papa Wala mchungaji au mwangilikana hii ni kwasababu ukristo ni dini ya kutunga sio ya Mungu.
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 ай бұрын
Majini yanataka kwenda motoni na waslam ndomana wamewaingiza chaka nanyie mmeingia mazma
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 6 ай бұрын
Km mtume wenu wa kutungwa asiye na muhujiza hat mmoja aliye oa mtt wa miaka 6
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Kwahiyo unakubali majini ni waislam.Uislam umekuja dunia ukacopy biblia
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
Tupe tafsiri ya biblia
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
Pia tusaidie tujue biblia zipo nyingi ambazo hata wewe huziamini jee kati ya hizo ipi ilikopiwa na Quran?
@AibumuadhikaasimKidocho
@AibumuadhikaasimKidocho 6 ай бұрын
Elimu yenyewe huna ufanye mdahalo nanani kama una elim tupe historia ya majini yameanzia wapi na kwanini yapoo?
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Ndachaa Ucsahau kuwambia Wat2 humu kua YESU MWENYEWE ALKUA ANA MWANAFUNZ WAKE NAE N SHWTWAN AKMFUNZA,kwhy. Kua mkin sna na Hoja zko zcje zkakuaidbsha buree ,huna lolote ht cc tuwadogo wadgo tunafaham huna kt2 kchwan,Umejsahau ulkua ukjtangaz ktk clips za KZbin ukiwa peke ako ,lkn pakfamywa mdahalo huna ktwa kchwan ,kchwa mchungwa ww
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Ndachaa achaa kujcfuu ,ulpewa swal moja Na Said juma knyogol ,neno moja hukujbu mok dakka zkamalzka ,wee zke nmbr2 huzwez ,ultolewa Kenya kuja kuitetea din ya ukristo chaa ajabu ,ulwatia hasara na Aibuu mt2 cfaa km ww ,tunakujua Mpotoshaj ,km ucpo Slim ukakubal Allah na Mtume Muhammad wallah utakufa kafr na utakufa ukiwa dhall
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 6 ай бұрын
👍👊✌️.
@johnosoro6033
@johnosoro6033 6 ай бұрын
Sule ako sahihi Kwa maana Mohammed alisomea Majini Quran jamani,,,nawashangaa Bado mko Uislam kimbia kw Yesu mwokolewe.
@BonfaceWawire-k6p
@BonfaceWawire-k6p 6 ай бұрын
Yesu anapisha nyooni mfungulie awaongoze
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
kati ya mungu na yesu nani mwenye kuokoa
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Tutakujaje huko ,ikiwa Yesu Mwenyewe Alkua Mwanafunz wake Akmfunzaa ,Ahhh, Somen kwnza Ndpo mtoe hojaa
@GwamakaMwampulule
@GwamakaMwampulule 6 ай бұрын
Dr Sulle ana elimu kubwa ya majini ninyi mnaompinga hamjui lolote.
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Wewe unajuwa Nini Sasa unashindwa kuwa na elimu ya mangu ety mnaon ufahar kuwa na elimu ya majiniii wee ndo upumbavu wa mwisho
@AbdusatarAhmed
@AbdusatarAhmed 6 ай бұрын
SHAFII ANATAKIWA ASOME SIYO KUINGIA KWENYESWALA LAKIELIM WAKATI SHAFII HANA ELIM YOYOTE KUHUSU MAJINI MIMI NI MWISILAM JINALANGU ABDUSATTAR AHMED RAFAI NIMESOMA ELIM HIYO KWA MIAKA 36 NAUSHAHIDI ZAIDI YA SULE ILANIMEKAA NAFANYA KAZI ZANGU
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Km Kwel Una elemu ww, Unakpnga Aya ilio Sema Laa Taabud Shetwan Hakika Shetwan Adui Muibin
@nkwazigatsha
@nkwazigatsha 6 ай бұрын
Dk Sulle kwa udaktari upi au ule wa kupewa na kununua?
@FridayMwassa
@FridayMwassa 5 ай бұрын
Kuna badhii ya mafundisho ya Muhammad hata waislam wenyewe wana mashaka nayo sana
@albertvalentino130
@albertvalentino130 6 ай бұрын
Uislam na Majini no problem ---- sasa kipi cha ajabu anacho kifanya Sule mpaka akina Shafii wamkosoe --- aidha hawaujui vizuri uislam wao au anajishaua tu " lakini anajua ukweli ulivyo kuhusu majini na Uislam kuwa ni no problems "
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
ukirsto na uganga no problem
@MuemedeRachide
@MuemedeRachide 6 ай бұрын
Wakristo hacheni ujinga tafuteni kuijua Dini yahaki acheni kushabikia kama mpila, hivi kwa nin haujilizi kawmba Wakristo wanasilimu sana nasio waisilam kwenda kwenye ukristo? Fanta utafiti ndugu yangu.
@mhandoonthebeats8581
@mhandoonthebeats8581 6 ай бұрын
Pole sana wewe ndio husomi maandiko unaendeshwa tu
@hamisijuma3276
@hamisijuma3276 6 ай бұрын
Acha uongo, waislamu wanajua kweli ss, mjadala wa wazi mbagara ulikuwa hatari kwa waislamu mwaka Jana, waislamu walikwenda police kuomba kufunga mkutano siku ya pili ktk kutoa Ukweli wa Quran kzbin.info/www/bejne/nZvKppywartmb5Ysi=ojrLHX5i6_cD6HV8 kzbin.info/www/bejne/kGqWcoiIesh6fZIsi=C5PdftujwdEmhDPN
@elgringo8592
@elgringo8592 6 ай бұрын
Njia iendayo jehenamu ni pana na wengi hukumbilia huko
@henrychiriba9354
@henrychiriba9354 6 ай бұрын
Kama kuna dini ya hali basi ukristo na uislamu zote ni as haki maana zote niza Mungu naye ni mwenye haki
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 6 ай бұрын
​@@henrychiriba9354 😂😂😂😂 Uislamu ni wa Allah Ukristo ni wa YEHOVA Pambanua vzr
@OmariShuli
@OmariShuli 6 ай бұрын
Ndacha. hakuna mtu wala jumuia inayo ruhusu au kupitisha kitabu cha mtu yoyote. kila mtu aandika,achapisha atakavyo.
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 6 ай бұрын
Andiko chako useme majini sio waislamu
@saadallah6287
@saadallah6287 6 ай бұрын
Wewe hata aliekuumba unamkana utayajuwa mengine? Ichokitabu unachosoma unatakiwa ufundishwe si kila kitabu unasoma mwenyewe pasina kufundishwa basi watu wote wangekuwa mapadiri au masheikh wacha uchochezi unaongea pumba
@RamaJuma-i8j
@RamaJuma-i8j 6 ай бұрын
Nikweli uo ni ushilikina.kwa mtu atakae tumia majini kwa kuvuta wateja au kwabiashala yoyote.uislamu unasema mtegemea mungu tu mengine nishiliki au ushilikina
@paulojohn5504
@paulojohn5504 6 ай бұрын
Ndacha kiboko ya wasilamu
@ShimaKilairo
@ShimaKilairo 5 ай бұрын
Dini ya majini
@Kuminamoja1995
@Kuminamoja1995 6 ай бұрын
Shikamoo Dr sule
@hamisikeneth2332
@hamisikeneth2332 6 ай бұрын
Huyo mwandishi aliyakopii wapi hayo maandishi katika hicho kitabu?
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 6 ай бұрын
Si amesha wambia vinapo patikana mnabisha ovyo
@Nily-kz3db
@Nily-kz3db 6 ай бұрын
Allah Ameshushaa Sura mbal mbal na matumio il dhamahz za Muhammad tujue ,na Akateremsha Sura Za Majjn,Sura Za wadudu,Na Faida Na Hasara,iv nkukzen km quran icngezungumzia Myuk Anatoa Asal na Faida Zke na Jnc inavyotengezwa iv kuna mt2 Angejua ,lkn tazama ufund wa Quran ktabj kso na shaka ndan yke,inatufunza ,kuna Ubaya wa Nafs Kuna mimea kuna Majin ambao cfaa yao mashetwan ,ukiwa mzur jin ukiwambya shetwan,ht Binaa adam akiwa na Matendo mema bnaadam safi,akiwa mbya mshrkiana ndio shetwan ,Ndacha hana Elmu,kuepo Habar zaa majin Ndan ya Quran tunafundhswa cc kuwajua na kaz zao na uwepo wao ,Allah Aljua waja cc bnaadam hatutowafaham kw mana hawaonekan kw Macho ,kwhy jhadharn ,ndio mana tuktaka kuingia choon kuna Dua tusomen kw mana kuna Majin shetwan wabaya,,na Tuktaka kulala,kuingia ndan ya nyumba ,kula yan Allah N Mola Wa viumbe wte na n muumba Ardh na mbngu,allah Ameshatunusuru shari za Majin shetwan ,
@salimiddy1704
@salimiddy1704 6 ай бұрын
Vitabu alivyovisoma vipo sawa kabisa, isipokuwa anasoma nusu nusu, ukiwa mjinga unaweza amini ndio hivyo kumbe ni kinyume
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 6 ай бұрын
Ebu soma wewe bila kugeuza tuone😂😂
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 6 ай бұрын
So huyo ni muongo? Na huyu sule wenu vp sio muislam
@charlesboniphace2249
@charlesboniphace2249 6 ай бұрын
@@FranceYohana-eg5zd wasipojiongeza wakabatizwa moto unawasibiri
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 6 ай бұрын
Kuna njia ionekanayo machoni pa mtu kuwa sahihi bali mwishowe ni njia ya mauti , ndiyo hiyo ni uislamu mithali 12:16
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
Ndacha anatetea ukafiri na kitabu tafsrii ya babu 😂😂😂 nyie blunder zipo ndani ya biblia nyie mnaleta tasfiri ya babu 😅😅 dah ukafiri kweli mtihani
@AmerdaKavishe-pu3cf
@AmerdaKavishe-pu3cf 6 ай бұрын
Imebidi nicheke kwangufu mpaka
@salimchimwaga8384
@salimchimwaga8384 6 ай бұрын
Hivi wakristo majini yaliwakuseaga nini??? Nauliza tu,lengo la mwenyezimungu kuwaumba majini ni lipi hadi wakristo iwe sabb ya kuwachukia hawa viumbe???
@JudithTwibonisye
@JudithTwibonisye 6 ай бұрын
Mungu amekataza kuwa na ushirika na Majini
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Majini na shetani ni viumbe wachafu hatutakiwa kuwa na ushirika nao
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Majini na shetani ni viumbe wachafu hatutakiwa kuwa na ushirika nao
@amosmutuma
@amosmutuma 6 ай бұрын
Eti kama nan!!.mwalimu?🤣🤣🤣🤣
@SaidKaros
@SaidKaros 6 ай бұрын
Uislamu ni quran na hadith mwqmbieni atoeni haya au hadith si maneno ya watu dini aiendi kwa maneno ya watu
@lenardkenedy542
@lenardkenedy542 6 ай бұрын
Kwaiyo apo ujasikia izo Adithi 😂😂😂
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 6 ай бұрын
Hayo anayosoma si vitabu zenu uislamu ni majini Kama ukristo ni Roho mawakala washetwan ni waislamu na wengine wametoka uislamu wanatoa ushuhuda zao kwamba walikuwa wanatumikia shetani wakiwa waislamu
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
@@FredrickNyangweso UKIRSTO UNAFUNDISHA UGANMGA UNAJUA HILO UISLAMU HAUNA MAKOSA UMESEMA WAPO MAJINI WALIOSLIMISHWA WAMEKUA WAISLAMU BUT HAIJA SEMA WAISLAMU WAABUDU MAJINI SULE ANAPINGWA NA SHAFI COZ YEYE ANAFUNDISHA WATU IMANI POTOFU WATEGEMEE MAJINI NA SIO MUNGU JINI MMBAYA NI YULE ANAE KUINGIA KWA MWILI NAKUUTUIMIA MWILI WAKO
@allymsellem5353
@allymsellem5353 6 ай бұрын
someni surat jini mutajuwa kila kitu
@SaadEbrahim
@SaadEbrahim 6 ай бұрын
Huyu Mchungaji hana Elimu kuhusu Majini Kwani Majini ni Viumbe walikuwepo miak mingi kabla ya kuumbwa binadamu. Majini wapo wazuri na majini wapo wabaya kama walivyo bianadamu.Wakristo someni sana mupate kuwafahamu kuwa kuna Viumbe wasionekana kw amacho ya biandamu nao ni Majini malaika na kuna viumbe wengine hatuwajuwi kwa akilizetu sisi binadamu Mungu ndio mjuzi wa yote .
@jjtheactorir.4447
@jjtheactorir.4447 6 ай бұрын
Ww hujutambui na hauna tija au mantiki yoyote kuhusu majini. Hakuna shetani mzuri.
@RehemaMkandawile-i3l
@RehemaMkandawile-i3l 6 ай бұрын
wawe wabaya wawe wazuri wote amewaumba mungu
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Akunaaa jini mzurii pumbavu wewee una akili ndogo sanaaa Bora ukae kimy tuu kuliko kukoment ujingaaa
@SafariGona
@SafariGona 2 ай бұрын
Hakuna jini nzuri bwana
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
Wakristo vichwa maji hawana elimu majini ni viumbe kama binadamu kuna waovu na wabaya ndio msichojiwa elimu ndogo
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Wewe ndo elimu ndogo sanaaa Bora ukae kimy tuu kuliko kukoment ujingaaa
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
@@FrankMushi-cs5js elimu hamna mnalishwa matango pori na ndacha hivi mtume saw ameacha kitabu kinaitwa tafisri ya babu kuna jitihada za wanazuoni wanaweza kupatia au kukosea ni binadamu huwezi ukatumia udhaifu wa mwanachuoni katika kubomoa uislam quran na hadithi sahihi za mtume ndio uislam
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
​@@MohamedMohamed-u3t1nSasa kama amekosea mbona hamsemi kwamba huyu mwanazuoni alikosea
@MariettaNyoni
@MariettaNyoni 6 ай бұрын
Et km sule 😅😅😅😅
@AziziRajabu-mv8jz
@AziziRajabu-mv8jz 6 ай бұрын
Majini niviumbe wa mungu kwani mungu anasema nimeumba majini na watu ili waniabudu. Sasa majini awawezi kua na dini ambayo sio ya mungu nao wameahidiwa moto
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl
@FrenkfrenkFrenkfrenk-sf4hl 6 ай бұрын
Ata wayaudi niviumbe wa mungu nyinyi waslam ntawaweza amta waweza kamwe yesu myaudi musa myaudi yakobo myaudi
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Waslam wotee mnaongozwa na majiniii ivi mnatuweza sisi tunae ongozwa na MUNGU 😅
@SamwelKipingu
@SamwelKipingu 6 ай бұрын
Ssf sana
@allymsellem5353
@allymsellem5353 6 ай бұрын
tuseme ukweli elimu yatiba wengi wanaishukulia kuwa ni shikri au majini ni wabaya wote tusomeni majini wapo tena ni wengi kila makabila wapo waislam wapo wakiristo wapo wanawake wanaume wapo wema wapo wabaya
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Hakuna jini mkristo wewe ni muongo,huwezi kukuta jini anaitwa Paul, peter, Isaya, Jeremiah, Samuel au Samson, majini yote majina yao ni Zulfa,zuhura,yunus,makata nk na wanaishi kwenye miji kama Madina, Mecca, Judah
@chikuiddy9946
@chikuiddy9946 6 ай бұрын
Ndacha unajitahid kupotosha watu lakin kw dini ya uislam hutoweza
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Kapotosha wapi
@AbdullahiHassan-st6co
@AbdullahiHassan-st6co 6 ай бұрын
Yesu aliita petro sheitani wakiristo na jini kafiri wako kundi moja wote jahanamu wakiristo hawajui elimu kuhusu majini ila bibilia inafundisha ushawi katika ezekieli
@JRN2612
@JRN2612 6 ай бұрын
Ukiona kafiri anakutetea basi jiulize umekosea wapi?
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 6 ай бұрын
Wakwanza Allah kafiri
@yusufwanderawesonga440
@yusufwanderawesonga440 6 ай бұрын
Huna elimu ndugu .
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Wewee ndo una elimu ndogo sanaaa Bora ukae kimy tuu kuliko kukoment ujingaaa
@isaackmlayy6228
@isaackmlayy6228 6 ай бұрын
ukijua neno maamuma ndio uislam
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
😂😂 am proud to be Muslim mbona siwaoniiii
@arafatbarissa8392
@arafatbarissa8392 6 ай бұрын
I am proud to be a Muslim, Alhamdulillah. May Allah (S.W) guide you to Islam. Aamin
@abdulkarimjuma78
@abdulkarimjuma78 6 ай бұрын
I'm proud to be Muslim , sahih imaan , Alxamdulillaah, Huenda Allah akawaongoza na nyinyi
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
nilitaka pastor aseme kitabu kinaeleza waislamu waabudu majini sioni akisema kitabu kinaeleza majini mtume wao ni muhamad kitabu chao ni quran kitabu kinaeleza wapo majini waislamu na wapo makafiri hyo nio sawa coz ni viumbe wa mungu wako waadilifu wako wazinzi kama tulivyo si binadamu kitabu kiigeeleza muislamu anaabudu majini hata sahii ningetoka uislamu
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
@@abdulkarimjuma78 kwan Allah kwa kiswahili tunamwitajee??😅 . Sema jehanamu inawangojea ndugu zetu, Yesu awangazie Nuru yake na kuwatoa kwenye njia ya upotevu
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
@@thekingdragon8358 basi haujafuatiliaa , vitabu vyenu vinasema , majini ni ndugu zenu, na hawana mtume mwingine ila Muhammad , na hawana kitabu kingine ila Quran . So mtume wa majini ni Muhammad na kitabu Cha majini ni Quran 😅 we unakataa nn
@mshamhemedy8567
@mshamhemedy8567 6 ай бұрын
Cute
@AibumuadhikaasimKidocho
@AibumuadhikaasimKidocho 6 ай бұрын
Huyu ni muongo hata alie muumba piya anajua huyu jamaa ni muongoo
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
Kitabu eti tafsiri ya babu 😂 hao ni binadamu sio maneno ya mwenyezi mungu wala mtume wa mwenyezi mungu
@jaggerjack30
@jaggerjack30 6 ай бұрын
Sasa wewe umepinga akina bukhari
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
@@jaggerjack30 buhkari ndio ana kitabu kinaitwa tafsiri ya babu?
@jaggerjack30
@jaggerjack30 6 ай бұрын
@@MohamedMohamed-u3t1n Sahih Muslim 450a Imepokewa na Dawud kutoka kwa Amir ambaye alisema: Nilimuuliza Alqama kama Ibn Mas'ud alikuwa pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) katika usiku wa Majini (usiku alipokutana nao Mtume). Akasema (Ibn Mas’uad): Hapana, bali tulikuwa pamoja na Mtume wa Mwenyezi Mungu (ﷺ) usiku mmoja tukamkosa. Tulimtafuta kwenye mabonde na vilima tukasema. Ama amechukuliwa (na majini) au ameuawa kwa siri. Akasema (msimuliaji). Tulitumia usiku mbaya zaidi ambao watu wangeweza kuutumia. Kulipopambazuka tukamwona akitokea upande wa Hiri'. Aliripoti (msimuliaji). Tukasema: Mjumbe wa Mwenyezi Mungu, tulikukosa na tukakutafuta, lakini hatukuweza kukupata na tukapitisha usiku mbaya kabisa ambao watu wanaweza kuutumia. Akasema (Mtukufu Mtume): Alinijia mualikwa kwa niaba ya Majini na nikaenda pamoja naye na kuwasomea Qur'ani. Akasema (msimuliaji): Kisha akafuatana nasi na akatuonyesha athari zao na athari za makaa yao. (Majini) walimuuliza (Mtukufu Mtume) kuhusu riziki yao na akasema: Kila mfupa unaosomewa jina la Mwenyezi Mungu ni riziki yako. Wakati itakapoanguka mkononi mwako ingefunikwa na nyama, na mavi ya (ngamia) ni lishe ya wanyama wako. Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) akasema: Msifanye istinja kwa (vitu) hivi kwani hivi ni chakula cha ndugu zenu (majini).
@MohamedMohamed-u3t1n
@MohamedMohamed-u3t1n 6 ай бұрын
@@jaggerjack30 hivo vitabu anavosoma ndacha ulimwengu wa majini sijui majini majumbani tafsiri ya babu hata kama anadai vimeandikwa na waislam haviwezi kuwa hoja katika uislam muongozo wetu ni quran na sunna hata mimi muislam naweza kuandika kitabu hakiwezi kuwa hoja kwa sababu muandishi ni muislam huyo anawafurahisha nyie mumpe pesa za kula na watoto wake hakuna muislam wa kweli atakae acha hakki afuate batwil iliyowaz dini ina madhehebu elf 55 na alivyo muongo ndacha kapunguza huoni kama ni tolii hata mimi nikiwaambia nimemuona yesu wakati niko choosing nikifungua dhehebu napata wafuasi sasa kuna dini hapo acheni tolii
@mrishojuma4695
@mrishojuma4695 6 ай бұрын
Hakuna jipya hapo andiko hilo la kila siku sioni hoja yako.
@jaggerjack30
@jaggerjack30 6 ай бұрын
Ametumia sahih bukhari na muslim ambaye ni hadith sahih yanayobalika na masunni, wacha unafki
@MwasabuniSuleiman
@MwasabuniSuleiman 6 ай бұрын
Mbona umesita ukusoma mtume alirogwa na ukoo gani
@conshazSaid
@conshazSaid 6 ай бұрын
ndacha nakuombea kwa allah usilim wwe utakua akhy... silimu ndacha
@allymsellem5353
@allymsellem5353 6 ай бұрын
wakiristo pia wanawo majini
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Sisi c km nyie mnakula nao mnalala nao mnafanya nao paka mapenzi msikitinii
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Hakuna jini anayeitwa John, David, Emmanuel, peter, Jacob au Elizabeth
@yoliswabontsa8469
@yoliswabontsa8469 6 ай бұрын
Pumba tu unayoongea uwisilamu hawuruhusu kumiliku majiini nayeyote anaye anaemiki hayo hali yakuwa anadiyi yeye ni muisilamu basi si muisilamu ni kafiri
@joshuanyamaiswe4327
@joshuanyamaiswe4327 6 ай бұрын
Sura ya majini imetoka wapi kwenye quran
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 6 ай бұрын
Ndoto yako mbona mumeshindwa kujibu hoja
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 6 ай бұрын
Ndacha si kila kitabu kilichoandikwa na muislamu kuwa kinakubalika ki Sheria so unakiri na kitabu Cha pasta mkorofi kinakubalika kwenye ukristo?
@mobutu3884
@mobutu3884 6 ай бұрын
Kama hakikubaliki kwa nini mnaviuza misikitini? Katafute kitabu cha pastor mkorofi kwenye library za makanisan uone kama utavipata yani wanavyo walimu wa kiislamu tu sijui wanavipata wapi 😂
@khambhai360
@khambhai360 6 ай бұрын
​@@mobutu3884Walimu wakiislamu wanavipata kama Ndacha anavyovipata vya majini.
@benjaminheadman8337
@benjaminheadman8337 6 ай бұрын
Kwahiyo umekubali sule na mazinge hawawezi tena mechi ya ndacha
@FranceYohana-eg5zd
@FranceYohana-eg5zd 6 ай бұрын
Usijitoe ufahamu
@khambhai360
@khambhai360 6 ай бұрын
@@benjaminheadman8337 Ndacha hamna chochote tunataka Aya za Quruani Sio vitabu vilivyoandikwa tu Na mtu yeyote.
@HijaSaid-xd7fg
@HijaSaid-xd7fg 6 ай бұрын
Wewe na sule ni 2ashirikina tuu
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 6 ай бұрын
Ndugu nenda kanunue icho kitabu usome mwenyewe acha ubishi
@muliamadi859
@muliamadi859 6 ай бұрын
Ukoo wa mayaudi malizia aya
@LovelyComputerChip-cj4wz
@LovelyComputerChip-cj4wz 6 ай бұрын
Jisomee ametoa Yale alitaka wewe soma hapo chini kivyako
@wazirisaid8326
@wazirisaid8326 6 ай бұрын
Mnamtandao wenu wa kuamdika vitabu feki vya kiislam na kuvipenyeza ktk Jamii ya kiislam ili mpate point ya kuongea. Vitabu vyenu vimekamatwa kibao.
@godfreydavid6847
@godfreydavid6847 6 ай бұрын
Kwa hiyo Sule anataka kuipotesha uislamu?
@FrankMushi-cs5js
@FrankMushi-cs5js 6 ай бұрын
Wewe auna hojaa ya msingii kaa kimy unakoment ujinga tu hi ni dini ya majinii ukweli ndo uo
@abdullahyislam5382
@abdullahyislam5382 6 ай бұрын
Ndacha usiote eti kuna muislamu atafuata Dini inayo abudu mtu.
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 6 ай бұрын
Kuani wamebatizwa wangapi
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Kuna ambaye anaweza kuishi kwenye hii dunia asitende dhambi? zaidi ya YESU ambaye hata kuzaliwa kwake siyo kama Muhammad ambaye amekufa
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
​@@FridayMwassani hapo basi tunapotaka kujiunga ukristo ni kwa sababu ni mzuri hupatwi na umauti kwa hio hata wewe hutakifa
@hassanjuma2772
@hassanjuma2772 6 ай бұрын
Sasa jamaa zako wambie wasiende tena makaburini ni kwa sababu wakristo watakuwa hai watamfata yesu alie hai waislamu watakufa watamfata Muhammad,kwa maana nyingine kila atakaekufa n muislamu anamfata Muhammad,jichunguze vip uko sawa,si kila neno useme,
@ZukhelRwegoshora
@ZukhelRwegoshora 6 ай бұрын
Ndacha huna elimu ya dini unaleta siasa tuu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
Hee jaribu kuweka debate nae Ndacha uone utakavyo pelekewa moto wenzio kina mazinge, sule, mwaipopo, shafii, mbogo wamemshindwa kwa hoja za maandiko jaribu na wewe kumuomba mwalimu Ndacha kuweka nae mdahalo uone utakavyo galagazwa
@FredrickNyangweso
@FredrickNyangweso 6 ай бұрын
Ujinga kweli nigharama sana hivi wewe unasoma vitabu zenu kweli
@thekingdragon8358
@thekingdragon8358 6 ай бұрын
@@ramadhanmahongole9293 nilitaka pastor aseme kitabu kinaeleza waislamu waabudu majini sioni akisema kitabu kinaeleza majini mtume wao ni muhamad kitabu chao ni quran kitabu kinaeleza wapo majini waislamu na wapo makafiri hyo nio sawa coz ni viumbe wa mungu wako waadilifu wako wazinzi kama tulivyo si binadamu kitabu kiigeeleza muislamu anaabudu majini hata sahii ningetoka uislamu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 6 ай бұрын
@@FredrickNyangwesokitabu chetu cha biblia kimenyooka ila nyie ndio wajinga mnasoma bila roho mtakatifu ndomana hamuelewi
@SaidKaros
@SaidKaros 6 ай бұрын
Unasoma mambo nusu nusu mwambie amalize hoja
@profs.a5412
@profs.a5412 6 ай бұрын
Kwaiyo hayo ambayo hajasoma yanasemajee ?? Yanasema majini sio waislamu?? Yanajipinga yenyeweee , maana yaliyo somwa yanaeleweka kabisa bila nyongezaaa😅
@Shaha-d1i
@Shaha-d1i 6 ай бұрын
Duuuuuh
@rashidngumbao3362
@rashidngumbao3362 6 ай бұрын
Hakika uelewaji wako pastor ww n mbovu sana, huna elmu ya kisilamu hata kidogo
@FridayMwassa
@FridayMwassa 6 ай бұрын
Wewe mwenye elimu mbona hujitokezi kifundisha
MCH: NDACHA :ETI? MUHAMMED SI MTUME WA MUNGU!
19:52
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 18 М.
БОЙКАЛАР| bayGUYS | 27 шығарылым
28:49
bayGUYS
Рет қаралды 1,1 МЛН
SLIDE #shortssprintbrasil
0:31
Natan por Aí
Рет қаралды 49 МЛН
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
# LIVE: MWL DANIEL VS MWL NDACHA: JE WAKRISTO WANATAKIWA KUITUNZA SABATO?
3:22:51
MCH.NDACHA AMVAA ZUMARIDI NA NABII GEOR DAVIE KUTUMIA INJILI KUJINUFAISHA
17:18
SIMULIZI ZONE (SZ BONGO)
Рет қаралды 45 М.
MCH NDACHA :MASWALI NA MAJIBU
47:51
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 11 М.
MCH; NDACHA UTACHEKA SHERIA ZA MTUME. MDAHALO WA KIELIMU
14:31
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 11 М.
NDACHA AWAHUBIRIA ALISHABABU MOTO UMEWAKA.
20:17
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 38 М.