QUR'AN YATOA MAJIBU KATIKA DA'WAH MITAANI - EASTLEIGH

  Рет қаралды 22,753

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Пікірлер: 54
@Nora-v1m3p
@Nora-v1m3p 10 ай бұрын
Shukran walim ngu nawapenda kw ajili ya Allah
@HamzaAkilimali
@HamzaAkilimali 9 ай бұрын
Sheikh, kazana na mafundisho, INSHAALLAH ALLAH ATAKUSIMAMIA. Asiyetaka kuelimishwa, achana naye. (Mfano;-Muumba anakataza mengi kama Kula nyama ya Nguruwe, kuweka sanamu ktk. Nyumba za Ibada au Majumbani, nk.) Lakini watu hukaidia. Yaani wanaikataa hata Biblia maamrisho yake. HAO AINA HIYO ACHANA NAO.
@kawtharalbarwani1337
@kawtharalbarwani1337 2 жыл бұрын
MashaAllah Shaikhe Ramadan Allah akubariki na akuzidishie afya njema na umri mrefu inshaAllah amiin
@HamsiKatunzi-wl4dd
@HamsiKatunzi-wl4dd Жыл бұрын
Inshallah mungu atasaidia walio poteau kuwa katika njia sahihi
@ShabaniAshura
@ShabaniAshura Жыл бұрын
Allah akuzidishie umri uendelee na daawa watu tuelimike
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani Mungu hakulipe pepo ya fildas lnshaallah
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
Huyu kijana mtafute uenda akasilimu in shaa Allah.
@janieali5521
@janieali5521 2 жыл бұрын
Sheikh Ramadhan, i really admire and appreciate your patience ♥️ may Allah Subhana Huwataala increase your Imaan, health, patience, knowledge and grant you the best here in the world and Jannah ferdaous. Kama vile Allah anavyo waahidi wenye Subra ndani ya Kuraan Tukufu.
@nooor1120
@nooor1120 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah Allah bless you and your family sheikh
@saudahassan6667
@saudahassan6667 2 жыл бұрын
Mashaallah mashaallah sheikh ramadhan kurya allah akuzidishie kila la kher
@KxrmaAttax
@KxrmaAttax 2 жыл бұрын
Mansahallah sheikh ramadhan mungu akuzidishiye umri.
@HamsiKatunzi-wl4dd
@HamsiKatunzi-wl4dd Жыл бұрын
Mungu akujaalie UMR mrefu
@KxrmaAttax
@KxrmaAttax 2 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah. Mungu akuzidishiye umri na afya..
@sosajamal8770
@sosajamal8770 2 жыл бұрын
Mashallah i respect you Rahmadan
@marvelousofzanzibar9556
@marvelousofzanzibar9556 Жыл бұрын
MashaAllah, kaka Allah akupe umri mrefu.
@maymgaya4192
@maymgaya4192 10 ай бұрын
Allah akuweke Zaid na akupe afya njema. Tupo pamoja nawe
@sadiqmwafrica6759
@sadiqmwafrica6759 2 жыл бұрын
MashaAllah Ustaadh Ramadhan, your very patient with difficulty people, who trying to make things even difficult kwa kujifanya hawafahamu, In Shaa Allah, nakuombea Allah akufanyie wepesi kwa kila jambo, dawa mashinani si kazi rahisi, watu wengine wabishi kweli kweli, Pia sote tujitahidi kufanya dawa popote tulipo, hata tukiwa tuna fanya nao kazi, tunao wakaidi kama hao hapa UK, wengi hasa hawa Wazungu wapi wakaidi zaidi, wanajidai Mwenyezi hayupo.
@hamedihasani9910
@hamedihasani9910 2 жыл бұрын
MashAlah shiekh,huyo jamaa Emanuel tumejaribu pia hapa eastleigh daawah mbishi sana ,Mungu amuongoze
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲
@MustakimaMuhammad-fy5ij
@MustakimaMuhammad-fy5ij 5 ай бұрын
Aa ramadhan ucichoke kutuilimisha jazaa yako iko kwa mngu
@SaidMgeni
@SaidMgeni 11 ай бұрын
SubhannaAllah
@MohamedHassan-oi1yi
@MohamedHassan-oi1yi 2 жыл бұрын
Jazaakumullaahu khayran mungu awe zidi she khayran na Mimi Muni ombeye ni mgonjwa
@fardoshnassor7847
@fardoshnassor7847 2 жыл бұрын
Mashallah Allah 💕
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
Mashallah tabaraka Rakhman
@Sal.0
@Sal.0 2 жыл бұрын
Huyo Mschana Rasta, pia Biblia ungemu somia kuhusu mavazi na kusuka na ku funika nyele. Wengi wao, huwa hawa amini !Qurani! Otherwise, MashaAllah. Allahswt aku rahashiye kazi hii yako, na mambo zako zotee! Ameen.
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Huyo dada inaonekana yeye huwa anaelewa mambo kwa haraka kwa sababu anauliza maswali machache na anaonesha uelewa kwa wepesi. Lakini simtakasi mtu yeyote. Allah ndiye anajua udani wa watu. Nataka nimwambie tu kwa kikamba....Akamba tumanye kui ngai ungi ateo Allah. Na tumanye kwa uwo Muhammad ni mutume wa Allah.
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Ramadhani kuria umenichekesha eti mungu akekuweka na mabawa Ili uruke ruke
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Naam, kijana anataka kuwa highly
@guenterernst5481
@guenterernst5481 2 жыл бұрын
Hata mimì nimechekaa Allah awabariki
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
@@guenterernst5481 amin
@husnanancyatieno2391
@husnanancyatieno2391 2 жыл бұрын
Mashallah Tabarakallah
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 2 жыл бұрын
MashaAllah
@abdishakurosmanraahid5141
@abdishakurosmanraahid5141 2 жыл бұрын
Mansahallah sheikh ramadhan mungu akuzidishia umri..utakucha lini garisaa tunakupenda na tunakufatilia
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Tuombeane inshaAllah nitafika tu
@firdausjabir1436
@firdausjabir1436 2 жыл бұрын
barakallah fik akulinde allah na familia yako
@husseingabo5497
@husseingabo5497 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@halfanabdalla8949
@halfanabdalla8949 2 жыл бұрын
MaashaAllah mnafanya vizuri, ila nilitaka nitoe ushauri kwa sheikh ingekuwa vizuri kama mngekua mnatoa kadi ambayo ina namba zenu za simu kwale ambao mnaongea nao, endapo watakuwa na maswali baada ya hapo wanaweza wakawapigia na kuwauliza, shukran
@linetkikin4023
@linetkikin4023 2 жыл бұрын
Mashaallah Kwa elimu nzuri shekh
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 жыл бұрын
MashAllah
@KxrmaAttax
@KxrmaAttax 2 жыл бұрын
Truly Ustad Ramadan is very patient with this guys who deliberately go against the teachings of their own book but still claim they love Jesus
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Why did you say deliberately? You can hear them saying they were born by Christian parents. ..Its we Muslims who are not doing their duty of informing others properly. Sheikh Ramadhan is one of those born by Christian parents. He found out about Islam when he was already a past teenage...
@suleymanali431
@suleymanali431 2 жыл бұрын
Asalam aleykum bro ramadhani unafanya kheyri sana na mungu atakulipa ujira wako amiin, but bro usisahau kuwaeleza ya kwamba , wasipo muabudu allah watakua tu katika maisha ya thiki siku zote , na wakimuabudu allah subhana huu wa taala atawafungulia milango za riziki njema.
@shahabdallah9407
@shahabdallah9407 8 ай бұрын
hyu jmaa mm ncngeweza kuhojiana nae!!!! yani ni kichwa ngumuu!! cjaonapo!!!!!! unasubra brooo!!!
@mapishiyetumazuri2312
@mapishiyetumazuri2312 2 жыл бұрын
Uislam sio ya waria
@fatimaismail2250
@fatimaismail2250 2 жыл бұрын
hiyo wimbo yua igiza sauti ya kondoo😂😂😂
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Hee video yote kaichukua huyu 🤔 kichwa ngumu 😂
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Emanueli anasema yeye ni Mkristo damu. Je ni ukweli ? Hebu tuongeeni ukweli...Mtu akihitaji damu ya group fulani je ikipatikana ya Muislamu akiwekwa Mkristo atabadilika? Je Muislamu akihitaji damu akiwekwa iliyopatikana kwa mkristo je itambadilisha Dini?
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Swali nzuri
@guenterernst5481
@guenterernst5481 2 жыл бұрын
Damu haibadilishi Dini, dini ni imani yako na roho yako, ukiwa mgonjwa waeza tiwa damu ya mtu yeyote lakini Dini yako itabaki vile vile
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Et AAA Mimi si mwizi😂😂😂
@yusufonumo7000
@yusufonumo7000 Жыл бұрын
Cr
@jamilajamila4572
@jamilajamila4572 Жыл бұрын
K8jana mkorofi
@mariamhakim1463
@mariamhakim1463 Ай бұрын
Daa ona jamaa anavyo tafuna majani kama mbuzi😅😅😅😅
@fatimaismail2250
@fatimaismail2250 2 жыл бұрын
masha Allah sheikh Ramadhan Allah akuzidishie umri
MASWALI NYETI YALIYOWATATIZA WACHUNGAJI
35:55
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 38 М.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 23 МЛН
ЗНАЛИ? ТОЛЬКО ОАЭ 🤫
00:13
Сам себе сушист
Рет қаралды 3,4 МЛН
兔子姐姐最终逃走了吗?#小丑#兔子警官#家庭
00:58
小蚂蚁和小宇宙
Рет қаралды 13 МЛН
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 742 М.
WAZAZI WAWILI WAKONGWE WASILIMU KWA PAMOJA KATIKA DA'WAH MASHINANI
1:23:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 18 М.
From Dance to Da'wah part 2. Wakristo wasikiliza mafundisho kwa utulivu.
1:01:53
MZEE ASHANGAA BIBLIA KUSEMA WALIOLALA KATIKA KRISTO WAMEPOTEA
1:04:24
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
KWANINI NILIACHA UKRISTO- RAMADHAN KURIA BIN KAGUO NCHINI OMAN
1:00:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 38 М.
WENYEJI WA MURIRI MERU WAPOKEA DAWAH ILA WAOGOPA KUSILIMU HADHARANI
1:27:35
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
NDACHA AKUBALI KUSOMA MADRASSA
1:00:22
Straight Path Dawah
Рет қаралды 26 М.
I tricked MrBeast into giving me his channel
00:58
Jesser
Рет қаралды 23 МЛН