WAZAZI WAWILI WAKONGWE WASILIMU KWA PAMOJA KATIKA DA'WAH MASHINANI

  Рет қаралды 17,919

Straight Path Dawah

Straight Path Dawah

Күн бұрын

Please subscribe to our channel for more videos

Пікірлер: 206
@fayrouzkimeu6310
@fayrouzkimeu6310 2 жыл бұрын
Takbeeeeer!!!!!Allahu Akbar MashaAllaah Sheikh Ramadhan kwa Kazi yako Mungu akubariki azidi kukuongoza na team yako MashaAllaah
@nakundwamkubwe7823
@nakundwamkubwe7823 2 жыл бұрын
MASHALLAH Wazee wana bahati hawa ! Wameokoka na moto wa Jehanam dk za mwisho kwahakika Allah humuongoza amtakae. Allah awaongoze wawe wacha Mungu kwa umri wao ulio bakia wa kuishi hapa Duniani na aje awape pepo ya Firidausi in shaa Allah.
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Amin
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Amiin
@missfuyuza5573
@missfuyuza5573 2 жыл бұрын
اللهم امين
@pilimusa3217
@pilimusa3217 2 жыл бұрын
Amiin
@mohammedabdallahalazri3238
@mohammedabdallahalazri3238 2 жыл бұрын
آمين يارب العالمين
@najaasalim8942
@najaasalim8942 2 жыл бұрын
Mashaallah ni fakhari kubwa kumpata mtu mwenye bidii kama shekh ramadhan mungu akupe bidii zaidi na pia upate jaza yako kwa allah waislam tumshikilie mkono shekhi wetu ni na sisi tusikose mambo mazuri kama haya hii ni fursa dhahabiya
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen🤲🏻
@fauziadavid4779
@fauziadavid4779 2 жыл бұрын
Without to forget the sheikh Ramadhan and all those who put this together. Jazakumallah khair Your rewards are with Allah s.w.t. Nothing to say nor do to pay this . 🌷💞
@khadijalady4307
@khadijalady4307 2 жыл бұрын
Ok
@nasseralhabsi1483
@nasseralhabsi1483 2 жыл бұрын
Ma sha Allah sheikh Ramadhan, Allah akubariki na akujaalie kila la kheri, amin.
@mishijuma5558
@mishijuma5558 2 жыл бұрын
Masha allah sheik wetu AllAH akupe umri mrefu wenye mafanikio
@famauali5739
@famauali5739 2 жыл бұрын
Amiin
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen 🤲🏻
@suhailmasoud7891
@suhailmasoud7891 2 жыл бұрын
Mashallah hawa wazee Allah awabariki ndan ya masjid AllahuAkbar
@salmasalim6055
@salmasalim6055 2 жыл бұрын
Wazee wakarimu wanakaribisha wegeni vizuri wacheshi nimewapenda bure mashallah love you all 😘
@Mamursal5
@Mamursal5 2 жыл бұрын
The old man is good naturally. Mtu roho safi!
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Wallahi hii imenigusa mpaka machozi😭😭 yanitoka kwa furaha..ALLAH akulipe kheir sheikh Ramadhan na atujaalie sote pepo ya Fridaus inshaAllah 🤲🤲
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Amiin
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Amin
@guenterernst5481
@guenterernst5481 2 жыл бұрын
Ameen
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen, atulipe sote ameen
@FahadAli-ig7kp
@FahadAli-ig7kp 2 жыл бұрын
Masha allah mwenyezi mungu awaongoze masheikh wetu wote napi Allh awaongoze wazee wetu pamoja na mtoto wao kwakuweza kuijua dini ya haki nakuifata vile vile Allah atuongoze waislam wote kwa jumla Ameen Ameen
@fauziadavid4779
@fauziadavid4779 2 жыл бұрын
Maa shaa Allah tabaraka Rahman. Alhamdullilla ladhi bi neehmatih tutimu swalihati. May Allah s.w.t grant them janatul firdaus let them die as Muslims Allahu akbar! My dad finally accepted lslam. May Allah s.w.t guide the whole community to lslam. Salaam from.canada am his second born was the first to accept lslam.
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
ALLAHUMAH Amiin 🤲
@aishaabdullah4172
@aishaabdullah4172 2 жыл бұрын
Masha ALLAAH 🥰🥰🥰 Mola zidi kukuongoza na kutuongoza sote na kutuongozea ktk Dini yake ya Haqi na Atupe Bihusnil Khatwima haliameturidhia 💗💓💞💖💝 Allahumma Amiyn 💖
@salmasalim6055
@salmasalim6055 2 жыл бұрын
Alhamdulillah kwa neema ya uislam Allah awabarik masheikh wetu 🥰
@jubail73
@jubail73 2 жыл бұрын
ALLAH HUMUONGOZA AMTAKAE, BIG UP BRO KURIA FOR YOUR EFFORTS MEY ALLAH REWARD YOU AND YOUR TEAM JANNATUL FIRDAUS
@famauali5739
@famauali5739 2 жыл бұрын
Amiin
@jamalathman6219
@jamalathman6219 Жыл бұрын
Subhanallah hakika unafanya kazi ya manabi sheikh ramadhan inshallah utakua minongono wao siku ya kiama peponi
@samxx411
@samxx411 2 жыл бұрын
Mashallah wazee wameshachukua passport ya kwenda peponi, Mungu awajaalie na awakubalie firdausi
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
AaminaAwapeMwishomwema
@yusufawadhi3964
@yusufawadhi3964 2 жыл бұрын
Mashaallah,Mwenyezi Mungu ampe Kauli thabit mzee Wetu,ni muda Mfupi kutoka aingie katika uislamu na Sasa hayuko nasiii
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah shelkh Ramadhani Allah hakupe afya njema na umuli mrefu lnshaallah uzidi kumtangaza Allah lnshaallah
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
ALLAHUMAH Amiin 🤲
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Amin
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 2 ай бұрын
Alhamdulillah 🤲, Hao wazee, Mwenyezi Mungu, kawaogoza ktk njia ya Dini Iliyo nyooka. Hongera Mwalimu Ramadhani na Wenzako Kuwafikishia ujumbe. ALLAH, awajalie kila la heri Inshaallah.
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 2 жыл бұрын
Asante sana Babu kwa ukarimuwako wajuu nimewapenda rugha yao ninashabiiana na English nimewapenda sana
@user-ng1po1dh4z
@user-ng1po1dh4z 2 ай бұрын
Allah Akbar, Allah Akbar ☝, Alhamdulillah 🤲, Hakika Allah akiamua kukuondoa ktk upotevu, inawezekana. Hao Wazee Allah awajalie kila la heri, na aendelee kuwasimamia, hadi siku ya mwisho wa uhai wao. (HIYO NI KAZI NA JUHUDI, YA SHEIKH RAMADHAN NA WENZAKE) Tunawaombea🤲 heri kwa ALLAH.
@Ozihamza
@Ozihamza 2 жыл бұрын
Masha Allah Mzee wa umri kama huyo mungu Ampe maisha marefu
@fayrouzkimeu6310
@fayrouzkimeu6310 2 жыл бұрын
😂😂😂😂😂 mama ashaachoka kulipa chama ya mazishi.Yaa Allah wape fahamu waweze kufahamu watakachofundisha na utuongozee na sisi wazee wetu waweze kuiona njia na haki na kuifuata Allahumma Ameen
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
ALLAHUMAH Amiin 🤲
@nooor1120
@nooor1120 Жыл бұрын
Allahu akbar walilahi lhamd Wametoka nyumbani makafiri wamerudi waislam,Allah awahifadhi duniani na akhera.
@missfuyuza5573
@missfuyuza5573 2 жыл бұрын
الحمد الله لذى بنعمته تتم الصالحات...الحمد الله لذى هدانا لهذا وما كنا له لنهتدي لو لا أن هدانا الله..😭😭😭😭 جزاكم الله خيرا كثيرا.. إشتقتو الا قريتي
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Masikini Babu miaka yote mungu mkubwa ameingia Kwa mara ya kwanza msikitin 😭
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 2 жыл бұрын
ما شاء الله تبارك الله mzee na familia yake wote ni wakarimu❤️
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Masha ALLAH
@missfuyuza5573
@missfuyuza5573 2 жыл бұрын
اللهم بارك
@najaasalim8942
@najaasalim8942 2 жыл бұрын
Sana wakarimu na allah awapenda subhana allah mungu atupe khatima njema
@husna34562
@husna34562 2 жыл бұрын
Mashallah sana yaan hadi rahs
@AliIbrahim-lv5cq
@AliIbrahim-lv5cq 2 жыл бұрын
@@najaasalim8942 اللهم امين
@42HUSNA38
@42HUSNA38 2 жыл бұрын
Mash Allah Yarabb mfanyie wepesi seikh wetu .
@SalmanMughal-lq5lt
@SalmanMughal-lq5lt 3 ай бұрын
Aamina😭😭
@hassannzeyimana4003
@hassannzeyimana4003 Жыл бұрын
mansha Allah sheikh ramadhani kuria Allah akuripe pepu ya juu kabisa tunakupenda tukiwa burundi
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
MaashaAllah sheikh Ramadhani Kuria Allah akubarik
@user-pr8pv2du2x
@user-pr8pv2du2x 2 жыл бұрын
MashaAllah mwenyeez mungu akulipe kheri shekh RAMADHAN kwa kuusambaza uislam mim ni Mtanzania ila nakufuatilia sana nakupenda kwa ajili ya Allah mwenyeez mungu akusimamie akulipe kheri shekh RAMADHAN hapa dunian na kesho akhera
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Amin
@maymunamakungu6265
@maymunamakungu6265 Жыл бұрын
MaashaAllah mnajitolea sana. Jazakallahu khayr
@shobatache8806
@shobatache8806 8 ай бұрын
Walai the most beautiful shahada. May Allah grant him janna
@nooroman2535
@nooroman2535 2 жыл бұрын
MashaAllah wazee wetu Allah waogoze lnshaallah
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Maasha Allah, wazee wetu hawa allah awape khatma njema. Kawapa hidya karibu na mwisho wa maisha yao hapa duniani. Mungu akitaka lake binadamu hawezi kuzuia.
@maryammdoe5801
@maryammdoe5801 Жыл бұрын
Takbiiiiiiir Allahu akbar Yaa ust Ramadhani hafidhwahullah
@ramadhankisingile6539
@ramadhankisingile6539 2 жыл бұрын
mashaAllah.Allah awalipe
@allyduniakhamis22
@allyduniakhamis22 4 ай бұрын
Mungu awajalie wazee wetu wafe katika kalma ya laillaha illa Allah
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Ninamukethya inyuonthe. Nye ni Muislamu. Kwitu ni Tala. Na ninewa utanu muno kumumanya. Niiloela uvoo usu ni Ualavuni, Riyadh, Saudi Arabia.
@muminaroba9122
@muminaroba9122 2 жыл бұрын
MashaAllah
@rabiba
@rabiba Жыл бұрын
Allah akunusuru bwana Ramadhan kuria bin kaguo...Allah ndie mjuzi wa Siri na dhahiri amewaongoza wazee Allah atuongoze nasi na dhuria zetu na ww Allah akujaalie IKHLASW.....amiin
@mrimh7798
@mrimh7798 2 жыл бұрын
MashaAllah MashaAllah 🙏
@allyduniakhamis22
@allyduniakhamis22 4 ай бұрын
Mashaallha ustadhi wetu mungu akupe umbri mrefu uzidi kuwalingania watu ambao hawajabahatik kuw waislam inshaallah
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 2 жыл бұрын
*TAFAKARI* وَمَا كَانَ هَٰذَا الْقُرْآنُ أَنْ يُفْتَرَىٰ مِنْ دُونِ اللَّهِ وَلَٰكِنْ تَصْدِيقَ الَّذِي بَيْنَ يَدَيْهِ وَتَفْصِيلَ الْكِتَابِ لَا رَيْبَ فِيهِ مِنْ رَبِّ الْعَالَمِينَ Na haiwezekani Qur'ani hii kuwa imetungwa na haitoki kwa Mwenyezi Mungu. Lakini hii inasadikisha yaliyo tangulia, na ni mfafanuo wa Kitabu kisicho na shaka ndani yake, kutokana na Mola Mlezi wa viumbe vyote. (Quran 10 : 37).
@fauzenkassim8424
@fauzenkassim8424 2 жыл бұрын
Takbir allah uwajaalie kheri inshaallah
@salimnazir6000
@salimnazir6000 2 жыл бұрын
Shee ramadhan jitihada Yako ni TU atakulipa dunya na akhera🙏
@ashrafissa778
@ashrafissa778 2 жыл бұрын
Mashallah shekhe ramadhan Allah akufanyie kila lenye khr
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@fridahmulongo2697
@fridahmulongo2697 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah lakini kweli dawaa mashinani inataka kujitolea si kazi nyepesi ila Allah amlipe kila la kheri
@ambarnelly6304
@ambarnelly6304 2 жыл бұрын
Mashalwah kazi nzuri sana na pia mungu atakulipa na atawalipa pia wote wanao ona haki na wakaifuwata mungu atupe mwisho mwema ishaalwah
@zamzamsalimu6772
@zamzamsalimu6772 Жыл бұрын
Allah ailaze roho ya Daud pema palipo na wema
@rayhanrashid3928
@rayhanrashid3928 2 жыл бұрын
Allahu Akbar..Maashaa Allah Tabarakallah
@user-hk2om2ef7m
@user-hk2om2ef7m 2 жыл бұрын
بسم الله ماشاء الله، تبارك الله.
@linetkikin4023
@linetkikin4023 2 жыл бұрын
Mashaallah tabarakallah kheir
@myoutubecom-gg7sb
@myoutubecom-gg7sb 2 жыл бұрын
Masha Allah
@fatihafatiha1045
@fatihafatiha1045 2 жыл бұрын
Mashallah❤️❤️
@mhjgkgjfjzuzu9545
@mhjgkgjfjzuzu9545 2 жыл бұрын
Subhanallah Allahu akbru
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Soda jamani na mm 😂ahadi ni deni kweli tuna kupenda sana shekh wetu ni muaminifu
@malikdodo5190
@malikdodo5190 Жыл бұрын
Alhamduli-llah
@nassorfaki751
@nassorfaki751 2 жыл бұрын
Allahu akbar. Nnalia kwa furaha kwa kazi yako njema. Nnapenda kuamka usiku na kuangalia brother Kuria ameweka nini leo. From Zanzibar.
@meheyanskidabar8424
@meheyanskidabar8424 Жыл бұрын
Manshallah what a Job am so proud
@saidkhalid6745
@saidkhalid6745 2 жыл бұрын
I've just seen this video now,sikuwahi jua almarhum Mzee Daudi safari yake ya Deen ilianzia hapa.Allah amjaalie kaburi lake liwe miongoni mwa bustani za Jan'nah amiin..I miss him
@shushu8105
@shushu8105 2 жыл бұрын
Mansha Allah nawafat kutoka burundi
@pricesalim1127
@pricesalim1127 2 жыл бұрын
Mashallah ...ukweli haufichiki bora tu uwe tayari kusoma na kuelewa..
@wengerO8
@wengerO8 Жыл бұрын
Allah akuzidishie Skh Ramadhani
@omarmwajao222
@omarmwajao222 2 жыл бұрын
Mashallah
@salmanassor8732
@salmanassor8732 2 жыл бұрын
MASHALLAH TABARAKA RAKHMAN
@kadirhajj4835
@kadirhajj4835 Жыл бұрын
Masha allah jazakumullahu kheran
@maherzain615
@maherzain615 2 жыл бұрын
Sheikh Ramadan you are doing extra job in daawa MashaAllah. Na mzee Allah amrehemu amueke pema.na InshaAllah bakora yake atakua nayo peponi
@sofiamohammed6889
@sofiamohammed6889 2 жыл бұрын
ALLAH HU AKBAR Allah hu Akbar
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Huyu Babu anavyo mpenda mkewe na mm mungu anipe mume mwenye upendo km huu jamni
@mutomubaya
@mutomubaya 2 жыл бұрын
Amin. Allah ndiye mwenye uwezo wa kila jambo. Muombe bila kuchoka. Hakuna linalomshinda.
@mansourhubby7398
@mansourhubby7398 2 жыл бұрын
Mm apa jamani
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
@@mansourhubby7398 ww unataka nn ss
@khalfaniburushi7805
@khalfaniburushi7805 2 жыл бұрын
Una swali swala 5?
@khalfaniburushi7805
@khalfaniburushi7805 2 жыл бұрын
Hasiyeswali simtaki
@aishaally6602
@aishaally6602 2 жыл бұрын
ALLAHUMA BARIK ALLAH azidi kuwaongoza
@mhjgkgjfjzuzu9545
@mhjgkgjfjzuzu9545 2 жыл бұрын
MashaaAllah shekh Allah akufanyie wepesi
@StraightPathDawah
@StraightPathDawah 2 жыл бұрын
Allahuma ameen
@bentybenty2343
@bentybenty2343 2 жыл бұрын
Masha ALLAH Tabarakallah
@saleemaaloman1548
@saleemaaloman1548 2 жыл бұрын
Mashallah tabatak rahman
@ramadhanyusuf2401
@ramadhanyusuf2401 2 жыл бұрын
Masha Allah kazi nzuri bro Allah Akujaze kheri na ilmu pia iendelee
@salimumakame5076
@salimumakame5076 Жыл бұрын
Mashallah. Kwa kweli hili ni jukumu letu sote waislam kuhakikisha wale ambao hawajafikiwa na imani ya dini ya kiislam iwe inawafikia kwa Hali na mali. Ikishindikana jp hao wanaofanya hiz harakati angalau tuwauunge mkono(tuwawezeshe) Kwa kweli tutaulizwa siku ya kiama kuhusu dini ya kiislam Jee! tulifanya jitihada gn kuwafikishia wengine?
@missfuyuza5573
@missfuyuza5573 Жыл бұрын
الله يرحم ويغفر ويسكنها في الجنة فردوس العالية. 😢
@rahmasoliman489
@rahmasoliman489 2 жыл бұрын
Maashaallah
@am_fashabi3888
@am_fashabi3888 2 жыл бұрын
Mashallah Allah tabarak
@alyaqdhan5206
@alyaqdhan5206 2 жыл бұрын
ما شاء الله، في ميزان حسناتكم
@allyussene
@allyussene 2 жыл бұрын
Mashaallah
@wamugimohammed3848
@wamugimohammed3848 2 жыл бұрын
Asalam Alaykum warahama tulilah wabarakatuh ! Masha Allah ❤❤❤❤
@naimaabuualii578
@naimaabuualii578 2 жыл бұрын
Masha Allah jitihada shekh Ramadan kuria na wenzio hata watu wa seme Nini watu nilazima tukuwasifia hatuchi
@TeamKRX
@TeamKRX 2 жыл бұрын
Daaaaaaa yani nimesahau Allah akbar jamani watu wajitokeze wamnunulie gari Pls tujitokeze zile zenye Maringi makubwa ili arahishishe kwe safar zake jamani gariii mi ningekuwa na uwezo walah suma walah ningemnunulia peke tangu bila kusema kuku mtandaoni Pls ajitokeze atapata ujira jamani tabuu katika safari yake
@saudahassan6550
@saudahassan6550 2 жыл бұрын
Allahu akbar
@maimunamselemo8427
@maimunamselemo8427 2 жыл бұрын
Allah awalipe kheri
@alhamdulillahalhamdulillah7529
@alhamdulillahalhamdulillah7529 2 жыл бұрын
Baarakallahu fiiqum
@aishaabdi2059
@aishaabdi2059 Жыл бұрын
😭😭😭mashaallah mashaallah Alhamdhullah ❤❤🤗
@mwajumasaid9304
@mwajumasaid9304 Жыл бұрын
Maa shaa allah
@sulesumry9766
@sulesumry9766 2 жыл бұрын
Ma shaa Allah
@mwanaishakhamis8069
@mwanaishakhamis8069 2 жыл бұрын
TAKBIR ALLAHU AKBAR
@saeedisa9798
@saeedisa9798 2 жыл бұрын
MashaAllah.
@sakow747
@sakow747 Жыл бұрын
Mashaalah
@zackynebar6365
@zackynebar6365 Жыл бұрын
Mashaallah ✅
@zainabyousof3742
@zainabyousof3742 2 жыл бұрын
ALLAHU AKBAR
@jamilaomari2444
@jamilaomari2444 2 жыл бұрын
MashaAllah mzee ni wa kukarimu wageni Sana. Allah amlipe kila la kheri.
@Amina-yassin5ux4ol2o
@Amina-yassin5ux4ol2o 7 ай бұрын
Mashaallah ❤
@saeedisa9798
@saeedisa9798 2 жыл бұрын
Alxamdulillah
@prettyaysha7892
@prettyaysha7892 2 жыл бұрын
MashAllah Mungu awape wepesi
@fatimaismail2250
@fatimaismail2250 2 жыл бұрын
masha Allah
@aminaabu1599
@aminaabu1599 2 жыл бұрын
Allah Akbar
DA'WAH KATIKA MLIMA WA MAAJABU UKAMBANI
46:39
Straight Path Dawah
Рет қаралды 39 М.
LUKUVI NGORONGORO  AUSEMA UJUMBE ALIOAGIZWA NA RAIS SAMIA
5:54
Mwananchi Digital
Рет қаралды 4,1 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
Logo Matching Challenge with Alfredo Larin Family! 👍
00:36
BigSchool
Рет қаралды 21 МЛН
MZEE DAUD AJENGA MSIKITI WA UDONGO BAADA YA KUSILIMU
47:10
Straight Path Dawah
Рет қаралды 15 М.
Waislamu mbona mnambandika Mungu jina Allah?
1:05:45
Straight Path Dawah
Рет қаралды 9 М.
JOTO LA MAANDIKO LAPANDA HUKU WAKRISTO WAKIHOJI KUHUSU WANAWAKE WA PEPONI
1:00:59
KWANINI NILIACHA UKRISTO- RAMADHAN KURIA BIN KAGUO NCHINI OMAN
1:00:04
Straight Path Dawah
Рет қаралды 38 М.
SITAKI KUTUMIA MAJI CHOONI NITAOGA JIONI
50:53
Straight Path Dawah
Рет қаралды 17 М.
QUR'AN YATOA MAJIBU KATIKA DA'WAH MITAANI - EASTLEIGH
1:55:26
Straight Path Dawah
Рет қаралды 22 М.
ALIYESILIMU AAMUA KUTOBOA SIRI😀
58:34
Straight Path Dawah
Рет қаралды 16 М.
KUNDI LA WAKRISTO LASILIMU BAADA YA MAZISHI YA MZEE DAUD
2:04:03
Straight Path Dawah
Рет қаралды 85 М.
WAKRISTO WAYAKATAA MAANDIKO YA BIBLIA WAZI
1:05:11
Straight Path Dawah
Рет қаралды 12 М.
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 39 МЛН