Wengi wanao cometi hawajasema isipokuwa mobile walivo fuata tu bila yakuwa naelimu Soma ndio utajuwa vizuli anachokiongea
@salimabdallah51766 ай бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI QABRI
@hassanrangambo80076 ай бұрын
Maaaashaalla masheikh darsa zuri sana naungana na sheikh wangu shafii kumwita ibn taymia kafiri huu uozo ndie kaeneza ndio maana mtume saw hakuiombea najid pembe ya ukafiri
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Amna lolote shafii mwenyew nae kafiri tuu kwani ushia si ukafiri tu bora ya manaswara
@AdamChogo2 күн бұрын
Duh
@bagalucha6 ай бұрын
Hapa ndio utaona wazi kuwa maibaadhi na mashia asili yao ilitokea katika wale waliojitoa katika njia ya haki,hapa huyu Ibaadhiya anashirikiana na huyu kijana Shafii Basalam,hawa wote ndio wanaowasema vibaya masahaba wa mtume na wake zake.
@awadhawadh58956 ай бұрын
Wewe muongo maibadhi hawako hvo na nitafauti sana na mashia
@AbuabdillahUthmaan5 ай бұрын
Wewe. Ngurue mche allah
@AbuabdillahUthmaan5 ай бұрын
, , , Wewe kinmbwa haina maana chako nikichwa box
@ABUUALLY-ch5jr2 ай бұрын
Kwa hayo munayoyasema masalafi yanaonesha wazi kuwa aliyoyasema sheikh ni kweli kwamba makhawarij ni nyinyi munaojiita masalafi
@ABUUALLY-ch5jr2 ай бұрын
Maaa shaa Allah shukran sana sheikh Kwa elimu uliotupa ,Allah akuzidishie elimu
@issaabdallah12056 ай бұрын
Ktk watu waoga ni maibadhi
@SalehLofy6 ай бұрын
Kweli hata ukitaka elimu uwafuate
@ABUUALLY-ch5jr2 ай бұрын
Nyinyi kinachokusumbueni ni maradhi ya hasad na chukii na ufisadi ndio maana hamuendelei maisha waafrica watakuwa watumwa wa wazunguu Kwa roho mbayaa na choyoo walizo nazoo
@AhmadAlkithiry-z8v6 ай бұрын
Sheikh shafiy safi sana nakuaminia kwasababu hawa majamaa wa kiwahabi wanajiona sana Ila nakupa hongera usirudi nyuma
@mchumiboy29726 ай бұрын
Unasifia ujinga acheni mambo ya makundi
@SalehLofy6 ай бұрын
Sheikh safi endelea mpaka wanyooke waache kutukana na kugombanisha waislam
@MuhammadJuma-n2r6 ай бұрын
Unaongea uongo wew,,
@SuleimanYakubu-im4jc6 ай бұрын
Mashia na ibadhi baba mmoja mama kila mtu wake makharij wakubwa hao
@awadhawadh58956 ай бұрын
Fisadi wewe
@SalehLofy6 ай бұрын
Unafuata mkumbo kingiacho mjini sio haramu kesho litakuja dhehebu jengine na lidhaminiwa na MAREKANI na wewe utafuata
@SuleimanYakubu-im4jc6 ай бұрын
Maibadhi mtabaki kuwa khawarij mpaka mtubu
@SalehLofy6 ай бұрын
Hujielewi unawajuwa makhawarij soma
@bagalucha6 ай бұрын
Huyu jamaa ni muongo Zindiki,tena ni mmoja katika maadui wa upotoshaji,na
@mohamseyf62435 ай бұрын
Thibitisha
@ismailhassan52094 ай бұрын
Mawahhabi ni Khawariji khasswaaa
@bagalucha6 ай бұрын
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
@SalehLofy6 ай бұрын
Kama mtu mzima kumbuka kabla ya kuja Mawahabi ilikuwaje na baada ya kuja wao Sasa ikoje na kama ni mtoto soma historia lakn la kukuambia ni kuwa ikiwa mwenzako anakutukana utavumilia Kwa kipindi gani wewe kama wewe toa jibu
@SeifAlly-g9i7 күн бұрын
Haswa
@AliHamad-xl2mm6 ай бұрын
Maibadh hawanaelmu hawa jaman wanapinga hathi yamtume s.w.s atiwanasema Allah hatoenekan sku yaqiyaama hawa wamepotea na wanataka kupoteza watu
@awadhawadh58956 ай бұрын
Mlopotea ni nyinyi mnaosema Allah anamikono
@awadhsalim26806 ай бұрын
Hawqna elmu mbona wakikubananisheni kwq hoja mnakimbia ? Na wao wapo teyar kimjadala na TV zirushe live mlikataa makkah kabisa ili ajuilikane yupi yuko sahihi na yupi kapotea ? Watu walinyamaza na elmu zao mumewqzushia maovu sana sasa wanaibainisha haki na wanakuradini mnaanza kuweweseka.
@SalehLofy6 ай бұрын
Mawahabi ni wanasiasa tu kama kina Tundu Lissu na wengine wanatumia uongo kueneza Fikra zao na pia wanachukuwa vitabu vya wengine kubadilisha kama wanavyofanya Mayahudi peleleza utaona mambo ukitaka kitu soma Kwa wenyewe kichwa ki we
@muhammadal-bimani81205 ай бұрын
Shekhe usiseme ulokuwa huyajui. Wapi katika Quran kuwa Allah ataonekana. Wacha kusema maneno ya mitaani tu. Soma kwanza ufahamu halafu useme. Ujahil haufai hata kidogo
@SadatiDauda6 ай бұрын
Shekhe Allah akulipe kila la kheri katika nasaa zako nshaallah.
@mchumiboy29726 ай бұрын
Huo ni ujinga na Allah katahadharisha kuhusiana na makundi nyie ibaadhi na mawahabi na wengineo ambao wanajinasibisha na makundi kama vyama vya mpira mm naona au salafy au hizbu taariri mmeyatowa wapi wakati mtume hakuanzisha Wala kujinadi kuwa yy ni katika kundi Hilo . Mayahudi wamekugaweni Ili waweze kukuongozeni acheni ujinga huo kama sheikhe usitoe mada zaujinga kama huu tena. Tumeambiwa tuungane nyie mnaendekeza ujinga jamii ya kiislamu inafaidika nn na mada zenu hizi.au mmetumwa na mayahudi
@tajirbarua32795 ай бұрын
Shekhe vipi wale maswahaba wa mtume (s a w) waliofanya hijjira ya kwanza habasha(Ethopia )na ethopia ni jirani na kenya je hawakufundisha wanafunzi wakaingia kenya kabla ya ibadhi?
@SeifAlly-g9i7 күн бұрын
Hao niwatu ambao hawana ilanifitnatu nachukibasi
@SalamaKhamis-un8vn6 ай бұрын
Allah awahidi ndugu zetu waliopotolewa wakaingizwa ktk Uwahabi
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wwe ndo wajikuta upo katika hakki? Au ndo mnavyokalilishwa chuki na mashekhe zenu bila ya kusoma na kujuwa wahabi Ni nani mnaweza kujikuta mnashambulia kumbe mnamtaja mwenyezi mungu maskini, jina la mungunalinadibisha na watu Sabu kasome majina 99 ya Allah arafu uache kutukana maana unaweza ukajuwa unamtukana watu au dhehebu kumbe Allah tatizo ilmu na kufata mikumbo ya watu someni dinni vzr
@abiabi93536 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7ewewe jahili wakiwahabi wacha ngonjera zako na akili fupi.kila mtu anajua mawahabi ni wafuasi wa mnafiki mohamed ibn Abdulwahab anbaye aliendeleza itikadi chafu za kafiri ibn taymiyah
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Hizo ni propaganda na chuki zenu juu ya shekhe muhammad Abdul wahabi kwavile alikuja kipinga shirki na itikadi zenu mbovu na bidaa ndo mkamchukia hilo ni liliwakuta hata mitume ya mungu katika daawa yao
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Kwahiyo chuki zenu na propaganda kwa shekhe muhammad Abdul wahabi hazitozuia daawa ya mtume na kuenea na sunna zake kuenea ulimwenguni utaenea na kwa uwezo wa Allah
@AdamChogo2 күн бұрын
Sasa hata anavyozungumza huyu Maalim anasoma hadithi na kitabu cha taymiya bado unasema hajielew ewe muwahabi kuwa mkweli kubali haq hata km haitok kwa Bachu
@husseingitonga89216 ай бұрын
Wazushi hamna haya.
@SalamaKhamis-un8vn6 ай бұрын
Sahihi shekh kwa kila kitu ndio zao hawo
@SalehLofy6 ай бұрын
Mawahabi wametumwa na Mayahudi
@mchumiboy29726 ай бұрын
Hata nyie ibdhi mmetumwa pia wapi mtume kasema sema tuwe kwenye moja ya makundi hayo mmegombanishwa na kutenganishwa mnakubali
@SalehLofy6 ай бұрын
Sijakuelewa Kwanza IBADH Haina makundi IBADH ni IBADH TU tofauti na wengine wote
@AdamChogo2 күн бұрын
Mhabi bhana kwa kupinga nbmshndi
@manixawadh71986 ай бұрын
@salafi please hii video imfikie sheikh Abu Khataab au Sheikh Kassim Mafuta twataka mum ueke sana huyu Sheikh ni mwanzo kumuona mie lakini kaongea maneno ambayo hata moja hakulitolea dalili... anaongea maneno ya chuki tuu na uongo mwingi. Umri umesonga lakini mpaka Leo amepiga makamama bid'ah na kuchukukia sunnah._
@DR.SAIFILLAH.53636 ай бұрын
Kwa hakika wewe ni kipofu mwenye macho mawili, na kiziwi mwenye masikio mawili,
@UB40X15 ай бұрын
Akhi achana na huyo mzee wa kiibadhi. Hana elimu hata ya uibadhi. Sheikh Kassim Mafuta aliwachafua kwa ushahidi madhubuti.
@SadatiDauda6 ай бұрын
Mr amfure aliondoka na akili zao Allah awaongoze nshaallah.
@ahmedabdullah89506 ай бұрын
ww shekh unaongea mbirimbi ata ukhawarij huujui
@abiabi93536 ай бұрын
Wewe wahabi jahili kweli. Kwahiyo alivyosoma vitabu vya ibn taymiyah hukuelewa
@issaabdallah12056 ай бұрын
UnachNgany unwell na uwongo we mzee muogope Allah
@SalehLofy6 ай бұрын
Siku zote IBADH wamekuwa hawapendi waislam wagawike akiwa kundi la Imam AbuHanifa, Malik, Shafy, Hambaly ikiwa shia wa aina zote alimradi aamini nguzo 5 za kiislam na nguzo 6 za Imani lakn tatizo la Hawa Mawahabi wanawatukana na kuwakashifu na kuwauwa waislam wengine na kuwaacha Makafiri wakazdi kujitanua na kutawala
@bagalucha6 ай бұрын
Tatizo hapa ni asili ya upinzani na ulwa na kibri,na kila mpotoshaji ,hawi salama binafsi, Aliyoyaamrisha Allah ukayakiuka na kutengeneza yako,itakuwa umezalisha dhambi,ama kubwa au ndogo. Huko nyuma manasara,wakamzushia Issa Alayh salam,ni mtoto wa Mungu,Allah akatubainishia kwa maneno yake,kufuru hii kubwa ya manasara,na Allah katubainishia wa wazi,kwamba hakuzaa wala hakuzaliwa,wala hana mshirika katika ghaibu ya ufalme wake. Je hawa wapotoshaji,wanaoifanya Quran ni kiumbe chake ,kilichobeba siri zake,hawaoni kwamba wamemshirikisha Allah ya kuwa na kiumbe msaidizi/mshirika aliyebeba Siri zake,hii si kufru????. Manasara wana utatu,je hawa wenye asili ya ukhawarij wa Nahrawan,kama mtume alivyowatahadharisha masahaba,kwa hadithi yake sahihi makhususi ya kuwazungumzia hawa,na yakatokea katika vita alivyopigana Sayidna Ali,na katika vita hivyo zikabainika alama alizozielezea mtume, Ndugu zetu wa kiibadhi kipi kimekusibuni, Hamuoni kwamba hayo ni makosa na kufru kubwa mnaitamka??,nani aliyekuelekezeni mtamke hayo? Hamkua mkiswali sala ya ijumaa kwa takribani miaka 1400,hilo halikukujieni katika elimu yenu kabla? Alhamdulillah miaka hii ya karibuni mmerudi na kusali sala hiyo. Na hili la Quran ni kiumbe,ndugu zangu wa kiibadhi ni kosa kubwa na ni kumkufurisha Allah,kwamba ana mshirika kiumbe katika utukufu wake.
@AbuabdillahUthmaan5 ай бұрын
Wewe kipopo hujui chochote
@AbuabdillahUthmaan5 ай бұрын
Wakinyamaza watu waki watu wabaatili watajiona wako ktk haki zindukeni masalafu kithirisheni mihadhara kuinusuru haki na tauhidi kalma ya tauhid shirki na bidaa . Zitadhalilika tu hawa watu ni watu wenye aqida ya mahwaariji wanamkufurisha othmaan kipenzi chetu ally kipenzi chetu. Hassan kipenzi chetu husein kipenzi chetu kisha wadai wampenda mtume hebu Zindukeni enyi waisilam na enyi maibadhi koko hata itkadi zenu hamuzijue hivi yako wapi mapenzi yakweli ikiwa wawatukana maswahaba na ahlul bayti wa mtume in shaa allah tutakula nanyi sahani moja mpaka tuutoe uozo wenu Na uvundo wenu hadharani
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
😂😂nimecheka sana shskhe amna cha maana anachokisimulia ni uzushi tuu
@abiabi93536 ай бұрын
Haha hata mimi nimecheka kuwa majahili wakiwahabi hawaelewi kitu hata wakisomeshwa
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wahabi jina la Allah Sasa sijui mnamsomesha Allah au nani maana hilo jina mwalitamka kwa chuki tuu
@abiabi93536 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7e Nyinyi majahili wakiwahabi acheni ngonjera zenu. Mnajua vizuri uwahabi ni nini na mmeutaja kwenye vitabu vyenu. Mawahabi ni wafuasi wa jahili mmoja anayeitwa mohamed Abdulwahab ambaye amefata nyayo za kafiri ibn taymiyah ambao wanamungu wao tofauti na Allah pia kwasababu ya akili zao finyu kila kitu kwao ni bidaa na shirki
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Nahatuwezi elewa tupo katika dahawa ya mtume manhajji sahihi tunalingania sunna za bwana mtume na kupinga shirki na bidaa na makndi ya bidaa
@AdamChogo2 күн бұрын
@@AbdulIssa-o7eacha kutuzuga
@AbuumuussaaAttanzaaniy6 ай бұрын
NDUGU: HUYU SHEKH AMCHE ALLAAH KWAN KWANZA HAYA MANENO ANAYO YASOMA HAELEWI HATA MAKUSUDIO PIA HUYU NI MUONGO KWAMBA ETI WANA MSIFIA ALLAAH KUWA ANAVIUNGO NDIO LAKINI SIVYO KAMA ANAVYO TAJA YEYE KWAMBA ETI PUA NYWELE ZIKO TIMTIM SIO SAWA KAKOSEA SIVYO TUNAVYO MSIFIA ALLAAH NA SISI TUNAMSIFIA ALLAAH KAMA ALIVYO TAJA KATK KITABU CHAKE YEYE ALLAAH KUWA ANAMIKONO, ANA MACHO,ANATEREMKA USIKU,ANASIKIA,ANAONGEA,ATA ONEKANA SIKU YA KIYAMA, YOTE HAYA YAPO KWENYE QU,RAAN SI MANENO ANAYO SHEYKH IBNU TAYMIYAH WALA IBNUL QAYYIM HUYU HAELEWI NA UBAYA ZAIDI YEYE KAZUNGUMZA KUKANUSHA HAYO LAKINI HAJASEMA JAPO AYA MOJA AMBAYO INAPINGANA NA YALE TUNAYO YASEMA BALI KATUMIA MANENO YAKE NA UFAHAMU WAKE TU KUKANUSHA SASA HII NI DALILI YAKUWA NI MUONGO NA HANA UKWELI KTK MANENO YAKE KIKUBWA WAISLAAM TUSOME QUR AAN NA TUTAFUTE KUIELEWA ASANTEN
@jumafaki28916 ай бұрын
a,Mimi nilikua siamini kama mawahabi wanaimani ya kua mungu enda mbio anavinyele ana mikono n,k ila ila Leo nimeshangaa Kwa maandishi Yako wahabi wewe wathibitisha kufuru hiyo Allah Akbar mungu tunusuru na mawahi
@husseinihassani35416 ай бұрын
😂😂😂😂 hebu weka makusudio yake hayo maneno
@Khalid-mf3iu6 ай бұрын
Wallahy shafi hatatoboa....shafi ni punda la kishia anaefadhiliwa nao
@SaidSeif-d4y6 ай бұрын
Wewe ni nguruwe mchafuu @@Khalid-mf3iu
@AbuumuussaaAttanzaaniy6 ай бұрын
Ndugu wewe si unasoma qur aan au hausomi kama unasoma naomba nitafute tuzungumze inshaallah
@YusufuMakamba-h1x6 ай бұрын
Maibadhi ndio maghawaariji nandio waliojiita jina la uwahabi rejea Kitabu Cha ibadhi سرحان بن سعيد الإزكوي كتاب كشف الغمة الجامع لأخبار الأمة مجلد الثاني صفحة 282 وفي صفحة 320 Soma utastaajabu
@SalehLofy6 ай бұрын
Kuwa mkweli yaani jina la uwahabi wanajiita maibadhi wakati Muhammad bin Abdul-Wahab kaja juzi tu na akaungana na Mfalme Saudi kuingia Hijaazi yaani saudia Kwa Sasa akauwa waislam waliokataa Fikra zake mpya na toka hapo nchi ikaitwa Saudi Arabia na toka hapo Uwahabi ndio ikawa madhehebu Yao unajuwa watu hawasomi ndio maana unasema hayo
@mchumiboy29726 ай бұрын
Nawaoneaje
@KassimMsalangi6 ай бұрын
kwann utumie channel ya mshia
@SalehLofy6 ай бұрын
Hujielewi huyu kachukuwa video tu huyo sheikh hayupo kwanza kama kachukuwa Kuna tatizo gani watu wanaenda kutoa matangazo kwenye redio au Tv za music na hamsemi shia pia ni muislamu acha ujuha
@AbdulkarimShosi6 ай бұрын
Wallahi kama hii ndio itikadi zao basi kwa hakika huu ni upotofu wa hali ya juu mungu atuepushe nao
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Nyote mmafarijiana ni katika makundi ya bidaa nyote ninyi na ibadhi nao ni makhawarijji na katika makundi ya bidaa na dwalala hamna mnachojuwa ninyi
@awadhsalim26806 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7emdomo ni nyumba ya maneno. Haki kwa dalili.😅
@salimabdallah51766 ай бұрын
HUU USALAFII ULINGIA TZ 1978 JE HAPO NYUMA WATAKUA NA HUKMU GANI
@mchumiboy29726 ай бұрын
Makundi kama kawaida yenu mkienda kwa allah pia mseme tulikuwa waislamu ibadhi au salafy au hizb tariri
@SeifAlly-g9i7 күн бұрын
Maibadhi siwaoga Kama unavo sema au unavo ona wewe maibadhi niwatu ambao hababaishwi
@silimakhamis70886 ай бұрын
Mawahabi ndio mayahudi wenye kusujudu Miskiti ya waislamu
@AliAli-lu7or4 ай бұрын
Mawahabi wametumwa namayahud tusemehuouongowako nikweli, sasa nyinyi wauaji wa Aliy bn abiy twalib nakumtukana Amru ibnu lasi na mnasem sahaba muawiya kasilim kinafik nyinyi mumetumwa nanani?
@AbdallahMpemba6 ай бұрын
Shkh muongo kasome viziri
@abiabi93536 ай бұрын
Nyinyi majahili wa kiwahabi ndo waongo ambao hata mkisoma hamuelewi kitu
@bagalucha6 ай бұрын
Tatizo hapa ni asili ya upinzani na ulwa na kibri,na kila mpotoshaji ,hawi salama binafsi, Aliyoyaamrisha Allah ukayakiuka na kutengeneza yako,itakuwa umezalisha dhambi,ama kubwa au ndogo. Huko nyuma manasara,wakamzushia Issa Alayh salam,ni mtoto wa Mungu,Allah akatubainishia kwa maneno yake,kufuru hii kubwa ya manasara,na Allah katubainishia wa wazi,kwamba hakuzaa wala hakuzaliwa,wala hana mshirika katika ghaibu ya ufalme wake. Je hawa wapotoshaji,wanaoifanya Quran ni kiumbe chake ,kilichobeba siri zake,hawaoni kwamba wamemshirikisha Allah ya kuwa na kiumbe msaidizi/mshirika aliyebeba Siri zake,hii si kufru????. Manasara wana utatu,je hawa wenye asili ya ukhawarij wa Nahrawan,kama mtume alivyowatahadharisha masahaba,kwa hadithi yake sahihi makhususi ya kuwazungumzia hawa,na yakatokea katika vita alivyopigana Sayidna Ali,na katika vita hivyo zikabainika alama alizozielezea mtume, Ndugu zetu wa kiibadhi kipi kimekusibuni, Hamuoni kwamba hayo ni makosa na kufru kubwa mnaitamka??,nani aliyekuelekezeni mtamke hayo? Hamkua mkiswali sala ya ijumaa kwa takribani miaka 1400,hilo halikukujieni katika elimu yenu kabla? Alhamdulillah miaka hii ya karibuni mmerudi na kusali sala hiyo. Na hili la Quran ni kiumbe,ndugu zangu wa kiibadhi ni kosa kubwa na ni kumkufurisha Allah,kwamba ana mshirika kiumbe katika utukufu wake.
@abuumaryam1856 ай бұрын
ibadhi ni moja ya makundi potevu kabisa tena wenye kupinga maneno ya mtume hawa jamaa hawakubali sahihi bukhari na musilimu wana vitabu vyao vya hadidhi tofauti na hizi wanazo amin masuni ni mashia tu hawa jamaa
@DR.SAIFILLAH.53636 ай бұрын
Ni kweli hawakubaliani na bukhar na Muslim ni kwasababu Maimamu wa Ibadhi ni maimamu wa kwanza na wameswali nyuma ya maswahaba kwa hiyo wao hadithi wamechukua moja kwa moja kutoka kwa maswahaba ndani ya karne ya maswahaba wenyewe.
@awadhsalim26806 ай бұрын
Chuki binafsi dini huijui ndugu bora ule ugali wako ulale.
@awadhawadh58956 ай бұрын
Wewe ndo mpotevu
@ZahorSaid-ff8cf6 ай бұрын
awo cfa t nyngi ila hamna kt awo mngu awaongoze ishaallah
@ZahorSaid-ff8cf6 ай бұрын
sheikh asalam alykum ebu tufahamushe mcmamo wa ibazi baada ya kuzn na mwanamke Ina faa kumuowa au naomba utusedie apo sheikh
@SalehLofy6 ай бұрын
Sheikh wa kibadh hayupo hapo huyu sheikh kachukuwa video tu
@AdamChogo2 күн бұрын
Wew mcmamo wako n vp ukishamzn
@selemankishema57806 ай бұрын
Masikini sidhani kama tutakuwa na akili timamu kama tutakuwa tunashughulikia ambayo hatutoulizwa baada ya umauti wetu hebu tubadilike waislam.
@YusufKombo-ky9zv6 ай бұрын
Acheni kujigongagonga
@jumangozi27206 ай бұрын
Unasema kwa miaka 92 na mbili uislam haukua na kiongozi muadilif hiyo ni twan'ani kwa khurafaau rashidiin ally ibn abii twaalib Othman ibn affaan na wao pia hawakua waadirifu huo ndio ukhawaarij wenyewe kuwa twa'an viongozi kua sio waadirifu na ndio maana mnajitoa kwenye twaa yao sasa unapinga nini kama nyie sio mahawaarij Mnatofauti gani na al-shabaab na boko haram
@HanafiZayumba6 ай бұрын
Wanajiona ndio Bora wakati viongozi wao wa saudia ndio wameiuza sehemu tukufu parestina
@nahimanasaidi94905 ай бұрын
😮Wameiuza bei gani sheikh?
@Logicentric6 ай бұрын
Kikubwa nilichokiona kwa mawahhabi ni dharau kwa wengine na kujitukuza wao. Wallahi shekhe umeongea ukweli mtupu kuhusu hawa mawahhabi. Kazi yao kujitukuza. Kibri kimewajaa....
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wahabi jina la mungu katika majina 99 ya mwenyezi mungu kasome dini uelewe so mnakalilishwa na chuki zenu kisa watu wanawakemea bidaa na shirki mnazofanya mwawaita majina usoelewa maana yake hii dini yatakiwa isome so wabulutwa kama gari bovu ww
@Logicentric6 ай бұрын
You are childish and talking nonsense. Una matatizo kweli kijana. Kwani mtu akiitwa Abdallah halafu alawa kafiri au dhalimu hilo jina lake litamsaidia nini. Tunazungimza mawahhabi hufanya farqu baina ya waislam...Kuleta fitna ,kudharau waislam wengine na kuwaita majina mabaya mabaya na kuwakufurisha halafu unaniambia Wahhabi ni jina la mwenyezimungo so what? How do those two relate? Nyinyi hamjui njia nzuri ya kufanya daawa isipokuwa kusha chuki miongoni mwa waislam. Hata mtume haliwa ghaliidhu lqlbi kama walivyo mawahhabi. Hebu angalia mwenyezimumungu alivyomtuma Nabii Mussa kwa Firaun alimwbia aongee nae kwa upole. Nyinyi hiyo daawa yenu haiwezi kwenda mbele ... Mnafikiria kusoma vitabu vingi tu ndio mtafanikisha daawa... Daawa inaanza kwanza na kijipamba na akhlaaq njema... Sio matusi tu... Go back to the drawingboard. Wewe hebu angalia huko Saudi Arabia ...Vibaraka wa Wazungu...Huko si kila kitu kinasbaratika...Mpira ,Muziki,Mambo ya kipuuzi yameshamiri... Mbona hao mashelhe wenu wa Kisalafo na Kiwahhabi hawasemi kitu.. Wanamuogopa Mohammed Bin Salmam kuliko Mwenyezimungu.. ما لكم ايها المطبعين الجبناء المخذلوا الفلسطينيين والدمياء للغربيين... قل ما لكم في هذا الين الإسلام... اصمت ...
@binzubeir65106 ай бұрын
hhhhh wababaishaji hamna kitu apo.
@YusufuMakamba-h1x6 ай бұрын
Huyosheghe aweke nambazake ili aelekezwe vitabu vyao vinavyo uibadhi
@abiabi93536 ай бұрын
Wewe jahili wakiwahabi acha ngonjera jibu hoja zilizojadiliwa kama unaweza
@HasanAlly22-un2ng5 ай бұрын
Huyu naona ana chuki na masalafy hebu huyu kasoma kweli hebu atizame hizo kauli zake kweli wanasema masalafy au anaropoka tu bila ilmu. Mfano Allah kuonekana siku ya kiama nini wanasema maimam wa ahlusunna waljamaa na Quran nini inasema na hadidhi za mtume nini zinasema hiyo nukta moja tu kumuona huyu ni muongo usiwandanganye watu kutaka kuleta umoja na ahlusunna wal jamaa
@signtv98486 ай бұрын
kwanza hakuna wahabi pana ahli asssuna wakiwemo ibadhi
@abuuseifanaabdulqaadir11246 ай бұрын
HII NITABIA AKIKE KUPOTOSHA MANENO
@banihashim53476 ай бұрын
SHIA NA IBADHI MNAKUTANA WAPI? WAKATI NYINYI MASHIA MNAMUABUDU ALI NA MAIBADHI WANAMKUFURUSHA ALI.??????
@awadhsalim26806 ай бұрын
Mpuuzi huna elmu. Anaeabudiwa ni Allah tu. Haki kwa dalili wacha mijineno.
@banihashim53476 ай бұрын
@@awadhsalim2680 Wallahi shia wewe ndio lijinga kabisaaa. Tuna vitabu na video zenu nyie mashia mkimuita ally ni mingu
@awadhsalim26806 ай бұрын
@@banihashim5347 Huna elmu ww humjui shia,,,wala ibadhi,,wala Hanafi,,wala Sunni. Vilivo kujaeni ni chuki dhidi ya haq. Nyinyi mnataka wasomi wanaoifanya dini nyepesi. Mwanamke kushazini nae. Muoe inafaa. Kula riba,,baadae nitatubu. Ramadhani fuata saudia unafunga siku 28 sawa. Eti mwezi wa kimataifa. Wazungu bwana wana kila njia ya kuwagawa watu wasio jitambua na kuw ndio sababu ya kuharibu uislam.
@awadhawadh58956 ай бұрын
Uongo. Wewe muongo mkubwa
@SalehLofy6 ай бұрын
Wapi IBADH AKIMTUKA SAYYIDNA ALY LETE USHAHIDI IKIWA WEWE NI MKWELI NI FITNA NA SIASA NDIO ZINAKUPELEKEA KUSEMA USIYOYAJUA
@musa123v6 ай бұрын
Maibadhi kumbe nanyie ni wapotoshaji kama mashia na masufi ndo maana mmeungana dhidi ya hii daawa salafiyya Hata mkashirikiana masufi,maibadhi,mashia,makadiyani kuipiga vita hii dawa kwa kuwazulia uongo au kupotosha walioyaandika na kwazuia watu wasiifaham hii daawa kamwe hamtaweza kwa idhini ya Allah Hii dawa inamisingi madhubuti tokea kale hata kabla ya sheikh Mohammed bin abdiwahab
@husseinihassani35416 ай бұрын
😂😂😂😂 hicho kitabu cha taymiyya kumbe kimetungwa na masufi
@Khalid-mf3iu6 ай бұрын
Shafi ni punda wa mashia
@ShekiyaoHussein-ki4ty6 ай бұрын
Wewe nae ni mtihani tuu sisi tupo na nyie mitaani tunawaona jinsi gani mlivyo kuwa na aghalaq mbovu kwanza waislamu wote wamepotea isipo kuwa nyie tuu vitabu vyote vilivyo andikwa na wana chuoni wasio kuwa wakweni mna vikataa nyie vp
@VyumvyeohoreIssa6 ай бұрын
Ujinga wetu sisi waislamu ndiyo mtaji mkubwa Kwa Hawa mawahabi.allah atuepushe na fitna zao
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Wahabi waelewa maanake au waropoka tuu ww jahli
@SadatiDauda6 ай бұрын
Mawahabi mnadharau mtume wa waislam kwa kusema mikwaju yenu nibora kuliko mtume kwasababu mnaweza jilinda kwazo ausio kweli?
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Maskini ndo mnavyo danganywa na shekhe zenu!?
@AbdulIssa-o7e6 ай бұрын
Alokuambia uwahabi dhehebu Ni nani kwani inaonekana hata neno wahabi amlijui mnaimba tuu, nini maana ya wahabi kaeni chini msome hiii dini so kwenda kibubusa tuu,
@abiabi93536 ай бұрын
@@AbdulIssa-o7eNyinyi ni mawahabi tu acheni ngonjera zenu.naotikadi zenu zakishirikina zakumfanya mungua kuwa ka kiumbe tunazijua.na unafiki wenu na kuwaunga mkono viongozi madhalimu pia tunazijua.kama unaweza pinga
@bagalucha6 ай бұрын
Usufi in mwenendo wenye makosa mengi,yalitengenezwa na watu fulani,kwa maslahi zaidi ya dunia,usufi umeleta madhara mengi,zidi ya Uislamu aliokuja nao mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,sehemu kubwa ya usufi inachukua fiqh ya imam Shafii kisheria ,lakini hapo hapo,ikienda kinyume na Imam Shafi katika mambo mengi iliyoyabeba ya bidaa,ambayo wameyachukua kutoka kwa mashia katika karne za nyuma,kama maulidi/birthday,arobaini,hitma na kadhalika,haya yote ni wigo,uliotokana na mashia,pamoja na makundi ya baadae ya Qadiria,Shadhilia,Tariqiya,Tijania na kadhalika,hapo ndipo kulipotiliwa nguvu mambo ya makarama,na kuwapa nguvu mawalii ,wao kwa kuwazulia na kutengeneza ibada tofauti ,ambazo mtume hakuyafundisha hayo,na masahaba zake Hawa kuyafanya hayo,wala kuyaamrisha,bidaa hizi hazikuamrishwa na mtume,na nyingi ya hizi,zimefikia katika daraja ya shirki,yapo mengi ambayo ya makosa ambayo masufi wameyatengeneza na kuyaadhimisha kama ibada,kwa mfano wa Tenzi za Barzanji,ambazo zimeandikwa karne moja tu iliyopita,ambazo zimekuwa zimepewa utukufu mkubwa,kwa sehemu nyingi kusomwa sana kupitliza zaidi ya Quran majumbani ,misikitini na sehemu mbali,ikiwa kama ibada,jambo ambalo mtume na masahaba zake,hawakuifahamu dini ya Allah na utukufu wake Subhana Allah katika njia hiyo,hilo ni moja tuu ya uzushi wa masufi,uhalisia usufi,umo katika upotoshaji,na ni manhaj yenye matawi yaliyopopotoka,kutoka katika njia aliyokuja nayo mjumbe na mtumwa wa Allah,Mtume Muhammad Sallallahu Alayh wasalam,Allahu Masalli Alaa Muhammad waalaa Ahliyh wasahbihi waajmain,sababu kubwa ya masufi kuwachukia wasaudi,ni sababu ya kupingwa manhaj zao zenye bidaa/mambo mapya,na shirk,na kwa sababu hizo wakawatengenezea chuki mahambali wa Saudia kwa kutaka kushika hatamu katika ardhi tukufu ya Makka na Madina,na wao wakaungana na mashia,maibaadhi na kadhalika,na kuwabandika jina la mawahabi,hizo ndio chuki zinazotiliwa nguvu kila upande,kurejesha makundi ya upotoshaji katika ardhi tukufu ya Makka na Madini,wengi ni wafuata mkumbo
@bagalucha6 ай бұрын
Tatizo hapa ni asili ya upinzani na ulwa na kibri,na kila mpotoshaji ,hawi salama binafsi, Aliyoyaamrisha Allah ukayakiuka na kutengeneza yako,itakuwa umezalisha dhambi,ama kubwa au ndogo. Huko nyuma manasara,wakamzushia Issa Alayh salam,ni mtoto wa Mungu,Allah akatubainishia kwa maneno yake,kufuru hii kubwa ya manasara,na Allah katubainishia wa wazi,kwamba hakuzaa wala hakuzaliwa,wala hana mshirika katika ghaibu ya ufalme wake. Je hawa wapotoshaji,wanaoifanya Quran ni kiumbe chake ,kilichobeba siri zake,hawaoni kwamba wamemshirikisha Allah ya kuwa na kiumbe msaidizi/mshirika aliyebeba Siri zake,hii si kufru????. Manasara wana utatu,je hawa wenye asili ya ukhawarij wa Nahrawan,kama mtume alivyowatahadharisha masahaba,kwa hadithi yake sahihi makhususi ya kuwazungumzia hawa,na yakatokea katika vita alivyopigana Sayidna Ali,na katika vita hivyo zikabainika alama alizozielezea mtume, Ndugu zetu wa kiibadhi kipi kimekusibuni, Hamuoni kwamba hayo ni makosa na kufru kubwa mnaitamka??,nani aliyekuelekezeni mtamke hayo? Hamkua mkiswali sala ya ijumaa kwa takribani miaka 1400,hilo halikukujieni katika elimu yenu kabla? Alhamdulillah miaka hii ya karibuni mmerudi na kusali sala hiyo. Na hili la Quran ni kiumbe,ndugu zangu wa kiibadhi ni kosa kubwa na ni kumkufurisha Allah,kwamba ana mshirika kiumbe katika utukufu wake.
@SuleimanYakubu-im4jc6 ай бұрын
Maibadhi mtabaki kuwa khawarij mpaka mtubu
@awadhawadh58956 ай бұрын
Wewe khawarij mkubwa
@SalehLofy5 ай бұрын
Lete ushahidi kama kweli wewe ni mkweli Mawahabi hawafuati maimamu 4 wanawataja tu ni mbinu ili watu wahalalishe uwasi wao Kwa hakika Mawahabi wote duniani IMAMU wao mkuu ni IbnuTaimiya Sasa kihoja IbnuTaimiya na IMAMU wa maibadhi yupo mkongwe na kabla ya hapo maibadhi hawakuitwa maibadhi baada kuingia makundi mengi makarne ndio tena wakaitwa maibadhi Kupitia mwanaharakati anayeitwa Abdallah bin Abadh Attamimy