Utayapenda mafundisho ya Askofu Mkuu Lebulu/ Upendo usiwe wa unafiki/ Chukieni lolote ovu.

  Рет қаралды 5,669

Radio Maria Tanzania

Radio Maria Tanzania

Күн бұрын

Пікірлер: 12
@JosephAndrew-by4ww
@JosephAndrew-by4ww Ай бұрын
Baraka ya Mungu izidi kukutunza. Namna tu unavyohubiri unanifanya ni concentrate sana.. uzidi kuwepo baba
@lucyfrancis1614
@lucyfrancis1614 Ай бұрын
Napenda saana mahubiri ya baba askofu lebulu mwenyezi mungu akutunze
@eliaskangabo779
@eliaskangabo779 2 ай бұрын
Tunashukuru baba Askofu umetufakarisha Mungu akubariki sana wewe ni hazina Mungu akupe maisha marefu na afya njema
@edesmasawe430
@edesmasawe430 2 ай бұрын
Mungu azid kukupigania ktk uzima na afya
@marundakisaka2637
@marundakisaka2637 2 ай бұрын
Hongera Sana Mhashamu Lebulu kwa maubiri mazuri ya kusisimua na yenye kubariki miyoyo yetu . Asante Mungu kwa kutupa Askofu Mkuu Lebulu ❤
@francisHhari-uv7lk
@francisHhari-uv7lk 2 ай бұрын
Mh, Askofu Yuko vizuri,uzee sio tatizo,anaakiba yakutosha! Hongera yake
@kwayaviwawaparokiayabashne9281
@kwayaviwawaparokiayabashne9281 2 ай бұрын
MUNGU AWE Pamoja Nawe Baba Askofu wetu Kweli kabisa Nimefarijika Sasa kwa kunigusa kupitia Mahubiri Yako iliojaa busara zako kweli kabisa unajua Sana MUNGU Akubariki Sana
@francismigongwa4146
@francismigongwa4146 2 ай бұрын
Atukuzwe Mungu milele
@aman1leonard914
@aman1leonard914 2 ай бұрын
🙏hazina iliyohai
@Msafiri-cy8os
@Msafiri-cy8os Ай бұрын
Hazina,ya kanisa tuitumie
@JereminaChamle
@JereminaChamle 2 ай бұрын
Hongera Baba Lebulu❤
@ProsperReuben-fg6uh
@ProsperReuben-fg6uh 2 ай бұрын
Hakika ww baba askof imenifanya nikaipenda karismatik katolik Mungu azid kukutunza na kuimarisha Zaid afya yako
UTACHEKA NDACHA /  YESU WA KENYA /  WAISLAMU
1:11:18
GOSPEL CORNER
Рет қаралды 84 М.
Mahubiri Jubilei Askofu Lebulu Same
34:35
FRANCIS MMBUGHU
Рет қаралды 12 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
Who’s the Real Dad Doll Squid? Can You Guess in 60 Seconds? | Roblox 3D
00:34
HELP!!!
00:46
Natan por Aí
Рет қаралды 15 МЛН
LO! KUMBE MWANGIKA INA MAPADRE NA WATAWA WENGI MNO!! SHUHUDIA hapa
5:01
Salma MWARABU 1 Mgandu
Рет қаралды 7 М.
MUNGU AKIKUPA KITU AMEKUPA HAWEZI KUKUNYANG’ANG’A | ASKOFU JOSEPHAT GWAJIMA
21:36
Josephat Gwajima RudishaTv
Рет қаралды 12 М.
Mom had to stand up for the whole family!❤️😍😁
00:39