Daaa wachungaji wasikuhizi akisimama tu mazabauni anahubiri tuu utoaji wasadaka ndisikuimepita ivo ila mgogo MUNGU azidi kukubariki
@sadocksangu96693 жыл бұрын
Nashukuru sana mtumishi nimebarikiwa sana na ujumbe wako mzury
@amribudi78705 жыл бұрын
Mke wa mtu sumu, ni somo tosha kwa wanaume wanaofuatilia wake za watu.
@franksanke52114 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumixhi sema maneno yako yanachoma
@josephmanyama4354 жыл бұрын
Umeona eeeh mkuuu
@juliussagwe93864 жыл бұрын
Umeniguza sana Mchungaji barikiwa sana
@josephmanyama4354 жыл бұрын
Ila mapenzi yanauma mkuuu wacha tuuu
@josephmariki22925 жыл бұрын
Mafunzo yako yanafariji na kunibariki mch.mgogo mungu akubariki
@kingaugus15145 жыл бұрын
Nitashukuru ujumbe wako nipe like kwa niaba ya mchungaji +971 represented
@barakalazaromollel62915 жыл бұрын
King Augus
@dignamosha89795 жыл бұрын
King Augus mchungaji ikialikwa mikoani utakija jamani?
@tinamayani22345 жыл бұрын
Sikujua Kabla ya kuhubiri anasoma kitabu gani kwenye biblia?
@angeljasson43764 жыл бұрын
Like hiyo too +971
@anatorydesdery46545 жыл бұрын
Mchungaji wewe ni Genius sana
@saimonjulius13195 жыл бұрын
Hilo somo limenijenga nilikuwa ktk vita hiyo, nimeelimika sana mtumishi ubarikiwe sana
@abrahammorice32125 жыл бұрын
Kama na ww bado unasubiria parachichi gonga like twende sawa
@neemakaisile39134 жыл бұрын
Kwel kabisa mafisi yapo jmn Tena mengi sana yaan hayaach hayachoki hayakati tamaa kabisa Asante pastor
@ilovejesus93035 жыл бұрын
Wengine wanachoma na mkaa wake zao, Mara mapanga kwa kusahau bahati waliopewa na Mungu kupata watu wazuri
@patrickmusyoka73535 жыл бұрын
Lakini kusema kweli mchungaji maneno unayoyasema ukweli kabisa mungu akubariki sana tena saana
@trophainamagogwa79665 жыл бұрын
Baba mchungaji hii dunia iacheni ilivyo ni wachache wenye bahati kupata Yule aliyetulia wengine hawajatulia kabisa,Na Mungu awahurumie
@happymoses45265 жыл бұрын
,ubarikiwe sana baba Kwa mafundisho mazuri unaytulisja
@stokhomehome32514 жыл бұрын
Mchungaji mimi nimeishi na mume twenty years mine kanichosha na kelele na pombe
@dottosamweli23645 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU, hakika nafarijika sana na mafunzo yako
@johnwilsonimasasi50234 жыл бұрын
Aaaaaaaamen Ubarikiwe Sana MTUMISHI wa Mungu tumepona wengi
@patrickmusyoka73535 жыл бұрын
Acha waogee baya lakini Mimi najua utaponya wengi Mtumishi barikiwa sana
@maarifatv98925 жыл бұрын
Daaah mchungaj Shukran kwa kmwaga ukweli, amnia
@tedoramashirima43394 жыл бұрын
Nmebarkiw naneno lako Amen
@ramadhansafi39124 жыл бұрын
Mchungaji mgomg Mungu Akubaliki sana
@issakissanga55973 жыл бұрын
Mungu akubariki
@floraloningo35723 жыл бұрын
Barikiwa Sana baba
@georgedominick94055 жыл бұрын
Mungu akuzidishie babangu ,we ni genius
@frankmagesa29984 жыл бұрын
Mungu akupe maisha maref
@festomhimili19194 жыл бұрын
Dah Mgogo namkubari sana
@fredyjackobleikoyo19715 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa mungu
@geofreymsigala20015 жыл бұрын
Mchungaji umeongea Jirani na ukweli.
@barakathomas28095 жыл бұрын
MCH hakika mungu akutie nguvu maana ni wachungaj wachache wanaohubir injil ya kwel
@jacksonmathayo65105 жыл бұрын
Ni kweli kabsa
@bahishaalexander36415 жыл бұрын
Mungu atupe nini? Zaidi ya watumishi Hawa katika ulimwengu Huu ulioharibika?
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Haswaaaa Adirahaa
@elizapanga95324 жыл бұрын
Saluti kwako mchangaji
@oswardndilahomba29035 жыл бұрын
2:56 kuna vijana wengi wamepoteza wachumba wazuri kwa sababu ya kufikiria kuwa wako peke yao siku ameona anasalimiwa na rafiki yake walosoma nao anajua mchepuko
@astonathanasio1634 жыл бұрын
Kwel
@samsonbalishanga99414 жыл бұрын
Ongera sna pasta kwa mahubili yako
@hildajoshua29064 жыл бұрын
Ubarikiwe MCHUNGAJI
@prosperjames21154 жыл бұрын
Amina mtumishi wa bwana.
@burundishallsmile1day1094 жыл бұрын
Rev Genius Mgogo
@amanichipuza55585 жыл бұрын
daaaaa kwr mchungaji uko vzr msema ukwr ww wachungaj wengine sio wakwer
@anesikakwezi64904 жыл бұрын
Nakukbali sana mchungaj
@kingpiece21514 жыл бұрын
God bless you pastor m
@rosemarycharles4814 жыл бұрын
Nakupenda Sanababaangu
@frankmapesa64135 жыл бұрын
MUNGU akubaliki sana baba binafsi napona
@nkingipierre72125 жыл бұрын
Asante Sana mtumishi wamungu
@joywaithera6755 жыл бұрын
Hapo kweli kabisa pastor 👍👏👏
@anitharichard48924 жыл бұрын
Hahahahhahahaha babaaaa umenichekesha kwer mungu akubariki sana baba
@karishmashaibu76924 жыл бұрын
Huyu mchungaji yupo poa powa kaka
@festuskahindiyaa37034 жыл бұрын
Wachungaji Kama hawa ni wachache mno haswa katika karne hii. Wengi wanaogopa kusema haya
Wakuelewa ameelewa we fundi xna mungu akuongezee siku zakuish
@selestinamakari47504 жыл бұрын
Ukweli ni km unaona haya maovu ktk dunia,,,
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
ukweli mungu akubariki
@shiksmburu91045 жыл бұрын
Ni kweli mchungaji
@pamelanabokolweojuma19645 жыл бұрын
jaleluhya hallelujah hallelujah Jesus tosha
@remmysanga2634 жыл бұрын
Hakika ujumbe mzuri
@nevernorbeth15604 жыл бұрын
Hahahaaaa duu..God bless you mtumishi
@nodisc65185 жыл бұрын
Kweli mchungaji😆😆
@cleopastanley66835 жыл бұрын
Kiukweli mchungaji mahubili yako hua nayapenda napia hua yananisaidia san
@joshuamasele4475 жыл бұрын
So sili niukwer wote
@kokualex69483 жыл бұрын
Tulio na wake asilimia 100 tumepata mascrepa ya ukweli
@josephmantago3574 жыл бұрын
Mchungaji ww ni alfa na omega unalitendea haki neno la uzima
@francismigongwa41465 жыл бұрын
tema cheche mh mchungaji
@gmial8075 жыл бұрын
Mgogo uposawa tungepata wachungaji Walio kamawewe nadhani dhambi zinge kwisha mwenyezi Mungu akupe uhai mrefu ulekebishe tabiazao kuanzia wachungaji wanafiki mpaka waumini wanafiki Kama kibwetere nawafuasi wakeMugu akuzidishie
@claramasaki24055 жыл бұрын
Yes,Mchungaji unamwaga nondo
@mengibusiness96325 жыл бұрын
Ongera sana mchungaji ubarikiwe na mora
@albetmandike15095 жыл бұрын
Amina mchg
@stevhelman5865 жыл бұрын
Kweli wewe.ni mkweli
@jenifermchawi99555 жыл бұрын
ndiyo mahana mm sitaki kupenda,
@adelamlay37264 жыл бұрын
Good mchungaji
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL4 жыл бұрын
Amen Amen Amen. Kweli labia
@furahkay34855 жыл бұрын
Ubarikiwe saana mchungaji 😃
@teresianzilani81055 жыл бұрын
Wah mlipuaji kweli kabisa
@nancyrobina90744 жыл бұрын
Congrats 👏👏👏
@mrkephacytz93065 жыл бұрын
Safiiii baba
@RIZIKISEMUNAOFFICIAL4 жыл бұрын
Uhaimedia. Na mimi naomba mchango wenu kwa ajili ya ku subscribe kwenye channel yangu. Mini ni mwimbaji niko hapa Australia. Asante ni na Mungu awabariki 🙏🙏🙏🙏