RAIS DKT.JOHN MAGUFULI AZUNGUMZA NA WANANCHI WA MIANZINI JIJINI ARUSHA AKITOKEA NAMANGA

  Рет қаралды 17,048

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.John Pombe Magufuli azungumza na Waananchi wa Mianzini alipokuwa akitokea Namanga ambapo yeye pamoja na Rais wa Jamhuri ya Kenya Mheshimiwa Uhuru Kenyatta Walifungua kituo cha kutoa huduma kwa pamoja mpakani(One Stop Border Post-OSBP Namanga Wilayani Longido Jijini Arusha.Disemba 1,2018

Пікірлер: 41
@francisismael2884
@francisismael2884 5 жыл бұрын
Asante ata kwakusimama mtaani kwetu.
@majaliwamwinje7276
@majaliwamwinje7276 5 жыл бұрын
Amina
@shadowhatory154
@shadowhatory154 5 жыл бұрын
Yaani Rais wangu ninakupenda, saaaana,wewe ni Rais bwana yaani hata miaka 30 wewe kaa tuuu baba kazi nzuri mno,hakuna atakayeweza,kufanya kazi kama wewe baba Mungu Aksantesana kwa huyu mtumishi jamani.Mungu mpe uhai mrefu atutumikie.
@Mwakasyuka1803
@Mwakasyuka1803 5 жыл бұрын
Heshima kwako baba
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Uhuru alituletea Mwl J.K Nyerere,Maendeleo ya kweli na ujenzi wa Taifa la kisasa ni John Pombe Magufuli.hakuna wa zaidi! Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni. Viva simba wa Tanzania,Viva JPM!! alluta continue......
@shindanopapaya2084
@shindanopapaya2084 5 жыл бұрын
Shikamoo JPM na awamu ya 5 kwa ujumla hapa kazi 2
@neemajoshuaer9562
@neemajoshuaer9562 5 жыл бұрын
Rais wetu Mungu aendelee kukupigania 🙏🙏🙏🙏
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
Neema Joshuaer,amen barikiwa sana kwa Dua nzuri!!
@ikramikra5219
@ikramikra5219 5 жыл бұрын
tanzania mmepata president kza kweli hongerea sana JPM
@freddymello3227
@freddymello3227 5 жыл бұрын
ikram ikra ,zidisheni maombi na nyie mtapata tuu.Kenya nchi nzuri na inawatu wazuri pia.ila hajatokea wa aina hii!mkiwapa nafasi watu wenye uzalendo na nchi yenu.mtampata kiongozi mwenye kusikiliza watu wake kama huyu
@shukurumwangosi1537
@shukurumwangosi1537 5 жыл бұрын
Mzee wangu aiseeh. Kazi kazi viva JPM
@athumanomary1438
@athumanomary1438 5 жыл бұрын
Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu
@bahatimasolwa2109
@bahatimasolwa2109 5 жыл бұрын
Hongeara Mh.Rais kwa kuwa tayari kuzungumza na wananchi wako na kutatua matatizo ya wananchi.
@jimmymwas6180
@jimmymwas6180 5 жыл бұрын
Mama ako na t shirt ya jubilee Tuko Pamoja ambayo ni chama ambayo iko kule Kenya
@DrFatmaKhanPanAfrikan
@DrFatmaKhanPanAfrikan 5 жыл бұрын
Mpendwa Rais wetu naona huruma sauti yako imekauka, wakupatie tangawizi, asali mbichi na maziwa ya moto kiasi. Unywe Mpendwa Mheshimiwa Rais wetu.
@brianokero4991
@brianokero4991 5 жыл бұрын
TUKO PAMOJA t-shirt
@tharisilamacha6359
@tharisilamacha6359 5 жыл бұрын
acha kapengi we kwani wakati anapiga kapeni so mlieleza shida zenu angetakiwa kwa sasa aulize nilitenga kiasi Fulani ataka kuona mradi kama umekamili na nyie wananchi mnashangilia tu Hanna nyuma wala mbele.
@danielkwilemba4715
@danielkwilemba4715 5 жыл бұрын
ubarikiwe na Bwana!!! Huyu ndio Rais wa Awamu ya 5 maelezo kidogo kazi Kubwa!
@albertsindato731
@albertsindato731 5 жыл бұрын
Mimi nashukuru Mungu kutupa Raisi Mwenye Ujasiri,Nguvu,uweza wa Ki Mungu. Mungu aendelee kukuongezea nguvu na uweza wa ki- Mungu ulisema iwe Ukiamuru lisimame.
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 5 жыл бұрын
Hawa changa moto yao ni maji tuu
@gastorysebastianmsacky6515
@gastorysebastianmsacky6515 5 жыл бұрын
Hii ni faida yakuwa na upinzani kwenye eneo letu ili kulikomboa maendeleo yanakuja vyakutosha ila mkaachana na upinzani tuu imekula kwenu. Nasarii safi pambana.
@betybety564
@betybety564 5 жыл бұрын
Ndiyo , ndio kubwa mengine ni mengineyo
@shabanikibwana6700
@shabanikibwana6700 5 жыл бұрын
Tuna kuombea Mr president
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
Baazi yetu tunakuamini baba maana hujawahi kutuangusa unatufanyia zaidi ya ulivyo tuahidi mungu akupe maisha mrefu madalakani mwisho wako uwe. Mwema mbele za mungu heri zote ziwe juu yako Kwakuwakumbuka wanyonge uende Lee kua mbaraka watz amina
@aloycekiwia8613
@aloycekiwia8613 5 жыл бұрын
Magufuli asingekuwa Mbabe kwa wapinzani,ningempigia Debe awe Rais wa maisha.!
@shabanikibwana6700
@shabanikibwana6700 5 жыл бұрын
Wewe siuna chugua chama sio uwezo wa MTU wewe una fikili uwezo wa magufuli una ufafanisha na lowassa
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 5 жыл бұрын
Kazi yeyote bila ubabe haiendi,maana vipingamizi vingi
@MajiTakaMaji
@MajiTakaMaji 5 жыл бұрын
Huo ubabe ndio unamsaidia kufanya mambo makubwa
@robertkagudu9937
@robertkagudu9937 5 жыл бұрын
Rais wetu chapa kaz
@sonnvax6760
@sonnvax6760 5 жыл бұрын
Ao askali sijawahi kuwaona kabla
@subirajohn728
@subirajohn728 5 жыл бұрын
Magufuli juuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu juu zaidi
@awadhirajabu7754
@awadhirajabu7754 5 жыл бұрын
Mimi Siwaraumu Ware Walioacha Kukuchagua Mwaka 2015 Kwakua Ali Ilikua Mbaya Ccm Walifikia Pabaya Ila Wewe Umekuja Kuifufua Ccm 2020 Watu Wamejirekebisha Awafanyi Makosa Wapinzani Vaeni Ninja Mana Mtaumbuka Sana Huu Mziki Mnene JPM Chaguo La Nchi Yetu
@zuberigwakula8531
@zuberigwakula8531 5 жыл бұрын
Twaweza wako wapi?
@msikunkudadi1534
@msikunkudadi1534 5 жыл бұрын
good,,,
@kacherosimba5762
@kacherosimba5762 5 жыл бұрын
Masai hehehe
@jenyyusuph4973
@jenyyusuph4973 5 жыл бұрын
Ishi magufuli ishi ili watz tuyasimulie matendo makuu ya mungu uliyopewa kuwapatia watz ni kweli kabisa Kuna nchi Duniani nimajangwa lkn hajabu Hawana shida ya maji tz tunamito miingi mitamu lkn maji ni shida mh jpm yoteuliyokwisha kufanya yananifanya namini yajayo kanyaga twende mungu mungu kakupa kipaji cha kuongoza tutafika tu
@hanuniselemani2274
@hanuniselemani2274 5 жыл бұрын
Tanzania kwanza baba, matusi ya chadema baadaye, waache watukane wamezoea ufisadi,piga kazi hakuna kulala, wewe ndio mkombozi wetu uliyebaki
@josephsaghana1056
@josephsaghana1056 5 жыл бұрын
Mzee piga Nazi niayako ni njema baba
@tharisilamacha6359
@tharisilamacha6359 5 жыл бұрын
acha kapengi we kwani wakati anapiga kapeni so mlieleza shida zenu angetakiwa kwa sasa aulize nilitenga kiasi Fulani ataka kuona mradi kama umekamili na nyie wananchi mnashangilia tu Hanna nyuma wala mbele.
@sonnvax6760
@sonnvax6760 5 жыл бұрын
Ao askali sijawahi kuwaona kabla
Running With Bigger And Bigger Lunchlys
00:18
MrBeast
Рет қаралды 31 МЛН
So Cute 🥰
00:17
dednahype
Рет қаралды 61 МЛН
Поветкин заставил себя уважать!
01:00
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 6 МЛН
ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI  NACHINGWEA NA MASASI .
38:48
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 51 М.
RAIS MAGUFULI NA RAIS NYUSI  WAKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI
16:27
MAGUFULI AMPIGIA MKURUGENZI TAKUKURU LAIVU, AMFUKUZA KAMISHNA WA MKOA!
13:52
ZIARA YA RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI RUANGWA  MKOA WA LINDI.
30:25
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 15 М.
Hotuba ya Rais Magufuli katika Kongamano la Kumbukizi ya Mwalimu Nyerere
1:40:35