HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA UKUTA WA MIRERANI.06 APRILI 2018

  Рет қаралды 13,299

Ikulu Tanzania

Ikulu Tanzania

Күн бұрын

HOTUBA YA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI KWENYE UZINDUZI WA UKUTA WA MIRERANI.06 APRILI 2018

Пікірлер: 33
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 6 жыл бұрын
I admire Tanzanite auction, it will create a competitive environment.
@jikomboetv5542
@jikomboetv5542 6 жыл бұрын
Asante Rais Wangu always I pray for you Mungu akuepusha na kila hila za maadui.
@wasafifanstv6317
@wasafifanstv6317 6 жыл бұрын
This is very touching
@amanichanga3448
@amanichanga3448 6 жыл бұрын
Yes, keep going Tanzania
@t1910j
@t1910j 6 жыл бұрын
Hotuba nzuri. Mwenye sikio asikie. Laiti kama watu wangeona dhamira njema ya rais Magufuli.
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 6 жыл бұрын
Nampongeza sana Rais wangu, anatufanya tuipende nchi yetu. Ni kweli kabisa vibeberu huku ughaibuni havipendi kabisa kusikia yanayoendelea Tanzania na baadhi ya majirani zetu pia waliokua wananufaika. Vita vya kiuchumi ni vigumu sana hasa vikipiganwa na viongozi wenyewe bila kuwajulisha na wananchi maana silaha watakayotumia vibeberu ni kama kawaida yao wataingia kwa mlango wa demokrasia hasa vyama pinzani na kwasababu wananchi hawajui watafwata mkumbo na kusaidia wezi kuivuruga nchi. Nipo ughaibuni lakini natembea kifua mbele kweli kweli.
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 6 жыл бұрын
Zamani nilikua sitaki hata kuisikia serikali wala siasa kwa sababu ya uozo uliokuwepo serikalini na kazi nilikataa serikalini kwa sababu hizo hizo lkn kwa kazi hizi za mheshimiwa rais Magufuli kila siku nafuatilia kinachoendelea katika nchi yangu na nasikia raha sana kuona mambo yanakwenda. Mungu ibariki Tanzania.
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Philipo Joseph Lukumay HUFIKI KWANGU NILIWACHUKIA WATAWALA BILA SABABU LAKINI NOWW NAENSA KUCHUA CADY YA CCM
@philipojosephlukumay3965
@philipojosephlukumay3965 6 жыл бұрын
James Ngunda Teresia hahahaha
@wcbwanatishakiranikirudiab2349
@wcbwanatishakiranikirudiab2349 6 жыл бұрын
Huyu ndie mteure wetu wa mwenyez MUNGU kwetu sisi watanzania ewe mwenyez MUNGU enderea kumuongoza kumsimami kumrinda na enderea kuimarisha afya yake raisi wetu na majeshi yetu mwenyez MUNGU yupo pamoja na raisi wetu mwenyez MUMGU mkuu
@nyanda427
@nyanda427 6 жыл бұрын
Mungu akubariki sana Mr. President John Pombe Magufuli
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Nyanda Mlanzi 😂😂😂😂😂😂😂Asande
@evraburetta7759
@evraburetta7759 6 жыл бұрын
Good jpm long live Mr President
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Evra Buretta pamoja sana
@seifhabibu9890
@seifhabibu9890 6 жыл бұрын
chapa kazi baba
@eliasilaizar9787
@eliasilaizar9787 Жыл бұрын
Kweli kabisa mzee ulipiga kazi
@wilhadarobogastshirima9149
@wilhadarobogastshirima9149 6 жыл бұрын
Jpm
@prochesilyakurwa815
@prochesilyakurwa815 6 жыл бұрын
Najiskia mwenye furaha kuwa Tanzania.........ulisema watu watalima na meno..... Nakubali wazembe wanaanza kulima na meno yaan
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
Prochesi Lyakurwa NIMECHEKA KWA SAUTI😂😂😂😂
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
JUMANNE MUUJIZA HUO BABA MAGUFURI ULIFICHAMA WAPI JAMANI TZN TUNGEKUWA MBALI SANA
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 жыл бұрын
president magufuli keep it up never give up use challenges as an oppotunity we trust in you with all our faith hatunamashaka na wewe we know that no sweets without sweat.
@tumainimalulu7708
@tumainimalulu7708 7 ай бұрын
Lengo limetimia mzee sasa hivi umeme kutoka Egypt unapita hapa kwenda South Africa
@paschalmichael3340
@paschalmichael3340 4 жыл бұрын
Laizer Tena
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 жыл бұрын
ee mungu mulinde Rais wetu huyu ndiye chaguo letu Raisi Wa Wa nyonge Rais magufuli kaza hapo hapo wewe umeletwa na mungu kuikomboa Tanzania watanzania wengi tumekuelewa usikatishwe tamaa na majungu ya wezi Hawa You are the best president I have ever seen nakuomba Rais usirudi nyuma ili na sisi tujivunie na Tanzania yetu
@ramadhanaliy5282
@ramadhanaliy5282 3 жыл бұрын
Hongeraa mkuu mkombozi wa Africa
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 жыл бұрын
umenifanya niendelee kubaki Tanzania wito wangu kwa watanzania naomba tusidanywe na maneno ya upotoshaji Rais magufuli ni mzalendo na tusipo mupa ushirikiano tutamkumbuka sana kila MTU akeshe akiomba tuweze kukombolewa maana tumeibiwa na kunyanyaswa vya kutosha!.
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 жыл бұрын
mwaka 1929-1930 kiongozi Wa USSR /Soviet unioni(muungano Wa URUSI) Comrade Joseph Stalin alitangaza vita uchumi na akatangaza kuwa Anataka kubadili USSR from peasant economy to industriezed economy na akasema ndani ya miaka kumi nataka URUSI iwe inaweza kutengeneza nuclear na kuwa super power Wa dunia .Watu wengi wakiwemo viongozi Wa serikari pamoja viongozi mbali mbali Wa dini walimpinga vikali na hata wakawa wanafanya mipango ya kumpindua, lakini Stalin hakubadili msimamo wake Na kweli ndoto yake ikatimia baada ya miaka kumi kama alivyokuwa amepanga mwaka 1940 USSR (muungano Wa URUSI) ikwa industriezed country and world superpower. SASA naomba tumuamini anachokisema Raisi wetu magufuli kinawezekana kabisa tena kwa 100% sisi kuwa na uchumi Wa kati na viwanda inawezekana tusidanganywe na watu wenye hila na wabinafsi!
@jamesngundateresia2600
@jamesngundateresia2600 6 жыл бұрын
MJEDA MJEDA MJEDA MJEDA MJEDA WANGU MIYE
@fbr5113
@fbr5113 6 жыл бұрын
MUNGU MBARIKI RAISI WETU NA IBARIKI TANZANIA. WACHAWI WA NCHI WOOOOTE MUNGU ATAWAPA DAWA YAO.
@fbr5113
@fbr5113 6 жыл бұрын
HADI TUNATOKA MACHOZI UNAVYYOTUPA RAHA WATANZANIA. MUNGU AKUPE UHAI MIAKA KIBAO NA UENDELEE KUTULETEA MAENDELEO. KWELI KABISA MAJESHI YETU NDIO YALINDE RASILIMALI ZETU KILA MAHALI
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON
@DRISMAIL_DENTAL_SURGEON 6 жыл бұрын
president magufuli keep it up never give up use challenges as an oppotunity we trust in you with all our faith hatunamashaka na wewe we know that no sweets without sweat.
HOTUBA KAMILI YA RAIS MAGUFULI AKIWA TARIME - 07/09/2018
1:23:49
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
Пранк пошел не по плану…🥲
00:59
Саша Квашеная
Рет қаралды 7 МЛН
Каха заблудился в горах
00:57
К-Media
Рет қаралды 10 МЛН
Hotuba ya uzinduzi wa Bunge la 11 dodoma Nov 20,2015
1:38:02
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 146 М.
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 800 М.
RAIS DKT. MAGUFULI AKIWA NJIANI KUELEKEA JIJINI DODOMA
32:41
Ikulu Tanzania
Рет қаралды 26 М.
Sababu za madini kutoroshwa hizi hapa
16:08
Azam TV
Рет қаралды 107 М.
MAGUFULI AANIKA MADUDU KUHUSU CORONA - "FENESI, MBUZI NAO WANA CORONA"
35:46
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:40
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 32 МЛН