Rais Magufuli Amjulia Hali Baba Askofu Yuda Ruwaichi aliyelazwa MOI

  Рет қаралды 29,418

Global TV  Online

Global TV Online

Күн бұрын

Rais Magufuli amjulia hali Baba Askofu Yuda Ruwaichi aliyelazwa MOI
tps://www.youtube.com/watch?.... Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App:

Пікірлер: 29
@dianafyondi3265
@dianafyondi3265 5 жыл бұрын
Raisi wetu kipenzi. Jamani mwenye huruma. Mungu azidi kukupa moyo huo huo wakupenda watz na wasio watz kwa ujumla.🙏🙏 pia mungu azidi kukupingania na kukulinda katika Nazi zako unazofanya. Sina njisi yakukuelezea ila tu mungu akulinde.🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 5 жыл бұрын
Asante Mafufuli rais wangu . Prof kahamba asante kwa maelezo
@richardsoka2400
@richardsoka2400 5 жыл бұрын
What a wonderful President, Dr Magufuli John!!! Merciful, loving , dutiful, laborious, humane and God fearing!
@josephelias6066
@josephelias6066 5 жыл бұрын
Mungu mljnde mtumishi wako Archihishop Thadeus Ruwaich mjalie afhya njema aweze kupona
@utukufueliya5279
@utukufueliya5279 5 жыл бұрын
Wakati mh.Rais anaenda kuwajulia hali watumishi wa MUNGU .....Waziri wake Lugora yeye anaagiza wakamatwe .....Hongera sana Rais wetu.MUNGU akujalie sana na kukupa maisha marefu....🙏🙏🙏🙏
@kessyemmanuel2920
@kessyemmanuel2920 5 жыл бұрын
ndo nchi yetu
@happymsaki1720
@happymsaki1720 5 жыл бұрын
Afanyeje watu wanajifanyia mambo kienyeji na mbaya zaidi wanajisahau
@fredylucas2484
@fredylucas2484 5 жыл бұрын
Anakamata matapeli siyo watu wa Mungu
@laurentsunta5169
@laurentsunta5169 5 жыл бұрын
Sina la kusema zaidi kusema neno asante Kwa Mwenyezi Mungu kwa kutupatia Rais mzalendo wa kujali raia wake Mungu umpe nguvu na afya tele katika maisha yake
@binurusm8886
@binurusm8886 5 жыл бұрын
Kwa kweli hakuna La kumwelezea Mh. Magufuli, Rais wetu ni wa mfano katika Afrika, hata Nchi za jirani wamemkubali, Mungu akulinde kwa yote, Aamina.
@sudymgeni701
@sudymgeni701 5 жыл бұрын
Duh mzee pombe nakukubali ila mungu anakukubali sana sana ndio anakupa uwezo uwo. Wacha wanadamu wakuseme vibaya mwisho watakuangukia. Mungu akubaliki mungu akupe nguvu ameni
@ramadhanisuru1822
@ramadhanisuru1822 5 жыл бұрын
Magufuuuuuuliiiiiiiiii wewe nihatari Sana unafanyaga jambo hata hakuna anayefiriyaga kwamba utafanya hivyo labda nimungu tu ndoanajuwa mjawake atakalo lifanya kesho yake hakuna mwingine namungu akulinde aaamiiinaaa
@carolinamuchi5980
@carolinamuchi5980 5 жыл бұрын
Asante Sana Rais .pole Baba yetu Mwanama Ruaishi.
@santegotoronto5803
@santegotoronto5803 5 жыл бұрын
Wachaga wote kama mmesikia njinyinga pesa bwashe...like hapa tuende sawa
@maxmiliangunze8931
@maxmiliangunze8931 5 жыл бұрын
Hakna Rais kama magufuli aisee inatia moyo sana kwann asiendelee tu miaka yooote kuwa Rais?
@annassuleiman4508
@annassuleiman4508 5 жыл бұрын
kwanini asiendelee au aendelee maana yoote hapo inamaana ya kukanusha.
@benjaminreternyau30
@benjaminreternyau30 5 жыл бұрын
Napenda sana mzee atawale adi akiwa mzee sana
@bisekobernard5212
@bisekobernard5212 5 жыл бұрын
Labda kama hujui historia na mifumo ya tawala za dunia, hata kiongozi awe mzuri kiasi gani utawala wa milele ama usio na ukomo labda ni wa nchi za kifalme tu. Sisi kwetu tuna sheria, kanuni na taratibu na zimeweka ukomo wa utawala, sasa kiongozi mzuri ni anayeheshimu hayo.
@kelvinmichae728
@kelvinmichae728 5 жыл бұрын
rsis maguful anautu sana
@erickmkwera2784
@erickmkwera2784 5 жыл бұрын
Rais Magufuri mpendwa wetu tuboreshee zaidi huduma za afya ziwe nafuu kila Mtanzania aweze kuzimudu kwa sababu bima za ziko juu Sana maskini atuwezi kumudu tushushie bei bima ya afya ya Taifa letu
@marrysule316
@marrysule316 5 жыл бұрын
Mangu ampe uponyaji askofu wetu
@designtalks8776
@designtalks8776 5 жыл бұрын
Katika vitabu vya dini Mungu alisema atawaleta Manabii kuwatetea wanyonge. Nafikiri Tanzania tumeshapata wa kwanza. Dr John Pombe Magufuli is very unique in so many ways and he proved that his one of a kind. Is very difficult to find a leader like him in this universe. He is incomparably to those former leaders who ruled our Country before. They didn't do even half of what Magufuli did in very shot of time. So why don't we let him rule forever.
@jaredmutego6884
@jaredmutego6884 5 жыл бұрын
namkubali sana magufuli
@saulihongeraraiswetugeophr886
@saulihongeraraiswetugeophr886 5 жыл бұрын
Gear habibu
@agogodadimwa195
@agogodadimwa195 5 жыл бұрын
Guda man bomboclat man gwata gwan man,viva JPM👍👍
@prosperjuma905
@prosperjuma905 5 жыл бұрын
Safi sana
@valenakomba7686
@valenakomba7686 5 жыл бұрын
MAGUFULIIII HUYOOO, APEWE SIFA.
@mohdsalum3832
@mohdsalum3832 5 жыл бұрын
Safi
@saulihongeraraiswetugeophr886
@saulihongeraraiswetugeophr886 5 жыл бұрын
Gear habibu
这到底是怎么做到的 #路飞#海贼王
00:10
路飞与唐舞桐
Рет қаралды 3,4 МЛН
This mother's baby is too unreliable.
00:13
FUNNY XIAOTING 666
Рет қаралды 35 МЛН
World‘s Strongest Man VS Apple
01:00
Browney
Рет қаралды 35 МЛН
"MAGUFULI HAKUNIELEWA KUHUSU COVID 19" ASKOFU RUWA'ICHI AFUNGUKA MSIMAMO WAKE WA COVID 19
4:25
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 6 МЛН
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 601 М.