"NA WEWE BOSI WAO -HAIWEZEKANI -UTAKOMESHWA na MUNGU SIKU UKIFA" -

  Рет қаралды 96,000

Global TV  Online

Global TV Online

4 ай бұрын

"NA WEWE BOSI WAO -HAIWEZEKANI -UTAKOMESHWA na MUNGU SIKU UKIFA" - #TBT MAGUFULI GEREZA la UKONGA..
============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Пікірлер: 75
@globaltv_online
@globaltv_online 4 ай бұрын
JIUNGE KWENYE CHANELI YETU YA WHATSAP ==> whatsapp.com/channel/0029Va7u6Dk3QxRsVCJ7kW2e
@hugholinemmasi1671
@hugholinemmasi1671 4 ай бұрын
Raisi mzalendo wa kweli kweli,MWENYE Enzi Mungu akupe pepo mwanana utuombee huko mbinguni ulipo.Pumzika kwa Amani Papa
@Azikiwe-qi6jd
@Azikiwe-qi6jd 4 ай бұрын
One of our finest president, we miss you papa,
@ConsolataMtweve-rk6cf
@ConsolataMtweve-rk6cf 4 ай бұрын
We real miss you RIP dear
@noelmarapachi1808
@noelmarapachi1808 3 ай бұрын
For real, one of the finest ever happened in Tanzania 🇹🇿
@anawa4326
@anawa4326 4 ай бұрын
Man of Truth hatakagi ujinga RIP Mr President
@elispiuselias1339
@elispiuselias1339 4 ай бұрын
No body will forget the strength of yours, rest in peace magu
@bonifassimon7909
@bonifassimon7909 4 ай бұрын
Daah ni kama ya leo hii hotuba bwana ametoa na bwana ametwaa jina la bwana liimidiwe amina
@abdallahkihanza482
@abdallahkihanza482 4 ай бұрын
Tunakukumbuka kaka, sasa hivi upigaji unatisha, kila sekta ni hatari
@yayananajota5838
@yayananajota5838 4 ай бұрын
This man he touch my life, he make me be like never be4, RIP papa,
@sonnyr1899
@sonnyr1899 4 ай бұрын
Huyu alikuwa na kipaji cha uongozi.
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s 2 ай бұрын
RIP JPM, he was strong leader of Africa,
@eddahkobong271
@eddahkobong271 4 ай бұрын
Pumzika kwa Amani. Inaumiza sana kukukosa, Ila wote ndiyo njia yetu.
@paulsibu5770
@paulsibu5770 4 ай бұрын
DAH HUYU MWAMBA ALIKUWA NI HATARI RIP MAGI
@edwinmmari634
@edwinmmari634 2 ай бұрын
Mh.Makonda alikua yupo kwenye field study na hakua anajua kumbe Mungu alikua anamtumia Raisi Magufuli awe Mwalimu wa muda wa Makonda na sasa najua Mh.Raisi Magufuli huko alipo anafurahi kuona Mh.Makonda akifuata nyao zake na kuchapa kazi vyema...😊😊
@soloartist_ivanvespalusind1609
@soloartist_ivanvespalusind1609 4 ай бұрын
True leader, True Tanzanian.
@naturelle1097
@naturelle1097 4 ай бұрын
❤❤❤.smart President you were
@shijandobehe4953
@shijandobehe4953 4 ай бұрын
Duuuuh huyu mwamba alikuwa kiongozi bora Tanzania 🇹🇿 ivi ngozi nyeusi kama huwez uongozi si umwachie nafas mtu mwingine afanye hiyo kazi
@mamamfugaji9065
@mamamfugaji9065 4 ай бұрын
Nyie global mfikishieni mama bado wananunua uniform hawa askari.
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 4 ай бұрын
Amesafiri, Bado nchi kadhaa, amalizie safari
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 4 ай бұрын
sasa akiambiwa sasa maana ye ndio kayaruhusu haya and hamnaga akili sjui toka kaanza kuambiwa kero za watu lini uliona akiwawajibisha wanao kosea. ?????
@user-kp6lz7zs1w
@user-kp6lz7zs1w 4 ай бұрын
Mwenyezi mungu Amrehemu uko Aliko Ayati baba etu mpendwa magufuli
@rasnchimbi
@rasnchimbi 4 ай бұрын
Siyo wote walofungwa wana makosa,wengine walisingiziwa au kubambikiwa,pia hukumu zinatofautiana 😢
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 2 ай бұрын
Watanzania huwa tunashangilia kupewa vitu vilivyotengenezwa hatushangilii kupewa ufahamu wa kutengeneza vitu,, duuh! Nchi hii bwana! R I P Magufuli BABA wa maarifa, mlezi, mzalendo, mkweli ❤🎉🎉🎉
@fideamtenga212
@fideamtenga212 4 ай бұрын
Ameeee
@makoyejohn3930
@makoyejohn3930 4 ай бұрын
Hivi atakuja atokee mwamba kama huyu mwenye uzalendo na asiyejali tumbo lake mwenyewe? Mwamba aliyetoa maisha yake kwa watu wake. Atatokeaga kweli Rais kama huyu? Dah. Na hii njaa tuliyonayo itakuwa ngumu kupata Rais kama huyu.
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 4 ай бұрын
Nimeangalia bila kurusha. R.I.P President.
@gmaillameckmnyika
@gmaillameckmnyika 4 ай бұрын
😢😢😢😢dah basi tu😢😢😢😢
@johnkiganga6014
@johnkiganga6014 4 ай бұрын
The best african president god bless your
@thieryniyonkuru5023
@thieryniyonkuru5023 4 ай бұрын
Tutampata wapi tena kama wewe baba yetu 😭😭😭
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 4 ай бұрын
Magu tutakukumbuka daima baba
@denisyohana8104
@denisyohana8104 4 ай бұрын
HII JAMAA NATAMANI TUKUTANE MBINGUNI
@margaretmahege7948
@margaretmahege7948 4 ай бұрын
Unaishi baba
@PeterNMzee
@PeterNMzee 4 ай бұрын
Kilikuwa kichwa hiki..... Fresh ideas za kufaa sana, huyu ni Rais mwenye akili timamu
@gasparyephraimmwakatuma9542
@gasparyephraimmwakatuma9542 4 ай бұрын
Ulifanyakazi yako kwa kadri ya karama Mungu aliyokujalia!
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 4 ай бұрын
Tutakukumbuka daima 💔 💔 shujaa wetu 😢hakika pengo halizibiki
@user-fs4uh3id3c
@user-fs4uh3id3c 3 ай бұрын
Magufur kuondka kwako Dunian tumeumia sana wewe ulilijali taifa lako mungu akuweke mahr pema pepon
@AyoubMatabala-zf6oi
@AyoubMatabala-zf6oi 4 ай бұрын
❤viongozi tujifunze hivyo vyote mtaviacha
@TuryamurebanicholasNicho-hn8oj
@TuryamurebanicholasNicho-hn8oj 3 ай бұрын
Zero corruption during JPM rule🙏🏽pumziko la milele
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 4 ай бұрын
Mulimponda sasa hivi munampongeza kweli Tanzania kichwa cha Mwendawazimu
@yusufuheri6524
@yusufuheri6524 2 ай бұрын
Yahni
@user-sy2mp7mm8u
@user-sy2mp7mm8u 4 ай бұрын
Aisée
@user-kg3cr9gg1h
@user-kg3cr9gg1h 2 ай бұрын
Maono hayoo
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 4 ай бұрын
Nani kamuona Comredy Makonda? Maisha yanaenda Kasi sana.
@TalasilaAnatory
@TalasilaAnatory 2 ай бұрын
Pumzika kwa amani
@JosephMwangiluke
@JosephMwangiluke 2 ай бұрын
My president of all the time JPM R.I.P
@edmundphilemon3054
@edmundphilemon3054 4 ай бұрын
Upumzike vyema jpm
@evaristgaspa6074
@evaristgaspa6074 2 ай бұрын
Sijui tutapata mtukamahuyu Tena: sasahi kunausemi unajua minani
@glorykastai3996
@glorykastai3996 4 ай бұрын
He was such a brainy person
@shizoshop2469
@shizoshop2469 2 ай бұрын
Hapa alimtaget manji 😂😂😂😂
@obadiamtawa1279
@obadiamtawa1279 2 ай бұрын
watakuwanatamani kufungwa kila siku😂😂
@SafariMsafi-um1pz
@SafariMsafi-um1pz 4 ай бұрын
Nani kaona tabasamu la general wa magereza
@pastorgodwinchengula7848
@pastorgodwinchengula7848 4 ай бұрын
Hakuna hotuba ya kuandikiwa hapo anahutubia kutokana na alichokiona na anachojua ili kutatua changamoto zilizopo.
@thabitiseapower4499
@thabitiseapower4499 4 ай бұрын
Hinatia haibu myumba kama hanarara kuku
@MiriamAbdallah
@MiriamAbdallah 4 ай бұрын
Anarara ndio Nini analala du,!!!!!
@kaisimwantindili397
@kaisimwantindili397 4 ай бұрын
Pumuzika kwa amani , MZALENDO wa kweli, hufananishwi na wapiga Dili.
@lovenessvisent9408
@lovenessvisent9408 2 ай бұрын
Ila mbegu zako tupo mkuu tutakopi kwenye clip zako
@josephmysononline5919
@josephmysononline5919 4 ай бұрын
r.i.p JPM
@alisaidi2620
@alisaidi2620 2 ай бұрын
Ni ukweli president magufuli alikufa ??? Mbona hizi video zake nikama ako live😢
@DeusRobart
@DeusRobart 3 ай бұрын
sisitunakwenda kulala nyinyindo mmefungwa zaid endeleen nakaz 😂😂😂
@user-gp7es3sg3k
@user-gp7es3sg3k 3 ай бұрын
Pumzka kwa amani baba
@hillarymusalia8066
@hillarymusalia8066 3 ай бұрын
In did this was atrue leader
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 ай бұрын
Je, hizo nyumba za Magereza Ukonga zilijengwa?
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 4 ай бұрын
Yaap zilijengwa, ila kwa mbinde sana. Alikuja kutembelea ujenzi akakuta unasuasua, akawanyang'anya TBA ambao ndo walikuwa wanajenga akawakabidhi JKT ambao walimaliza ujenzi kisha akambadilisha Kamishna wa Magereza akaweka mtu wa JWTZ
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 ай бұрын
@@nitumesokoni3164 Apumizike kwa amani shujaa wa Taifa letu! Nakushukuru kwa kunitaarifu!
@masatumtani1588
@masatumtani1588 4 ай бұрын
Zilijengwa na wanaishi saiv na ziliisha kabra ajafa alizifungua mwenyewe
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 4 ай бұрын
@@masatumtani1588 Kumbe sasa askari wanaishi kwenye nyumba zenye hadhi,! Safi sana, alisimamia kikamilifu kile alichokiamini. Apumizike kwa amani!
@lumulyimage4826
@lumulyimage4826 4 ай бұрын
​@@sylvestercameo6263aisee hii inatia moyo sana.
@saidchonde9851
@saidchonde9851 4 ай бұрын
NI MIAKA MITATU SASA TANGU ATUACHE LAKINI HACHOSHI KUMSIKILIZA....😂😂huyu ndo Rais wangu,huyo mwingine endeleeni naye nimewaachia mimi siyo mroho wa marais
@user-yr1dv2oq7r
@user-yr1dv2oq7r 4 ай бұрын
Mwamba thabiti
@user-xd2tg8eq1h
@user-xd2tg8eq1h 2 ай бұрын
Umeacha pengo mkuu
@MACHOYATAI-jk6fu
@MACHOYATAI-jk6fu 4 ай бұрын
Huyu ndio RAISI sio huyu bogasi kila siku kusafili
@salehhassan87
@salehhassan87 2 ай бұрын
Umechoka kuishi uraiani
@user-vb8ki3jo9t
@user-vb8ki3jo9t 4 ай бұрын
P
@user-vw4te9qr3i
@user-vw4te9qr3i 4 ай бұрын
Pumuzika kwa amani sauti ya simba simba wa nyika
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН
JUSSA AFICHUA SIRI NZITO YA MUUNGANO
34:06
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 56 М.
"RPC UMLIPE HUYU MAMA MIL 15, HUYO GADDAF YUKO WAPI KWANI? - JPM
11:08
Global TV Online
Рет қаралды 3,7 МЛН
RAIS MAGUFULI AMTUMBUA KAIMU RPC RUKWA/ "ANAKIBURI....."
8:13
No empty
00:35
Mamasoboliha
Рет қаралды 10 МЛН