Rais Mahmoud Abbas akatiza mazungumzo yake na Prince Mohammed bin Salman

  Рет қаралды 4,346

VOA Swahili

VOA Swahili

Күн бұрын

Israel imerusha makombora kadhaa upande wa Gaza na Ukingo wa Magharibi na hivyo imembidi Mahmoud Abbas kukatiza ziara yake Saudi Arabia.
Matangazo ya Duniani Leo kutoka idhaa ya kiswahili ya Sauti Amerika, Washington, D.C. #habari
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.

Пікірлер: 11
@prosperjohn2047
@prosperjohn2047 16 күн бұрын
Kenethi Bwire na Huba, hongereni sana,,
@user-wg2gd2nl6c
@user-wg2gd2nl6c 16 күн бұрын
Wazungu mnatuua. Ila kwa uwezo wa mungu wetu. Hamtaweza kamwe kutumaliza chanjeni wenyewe.
@user-hw6ke3uy7q
@user-hw6ke3uy7q 16 күн бұрын
Israel hoyeeee
@doubletapkama3901
@doubletapkama3901 16 күн бұрын
aki gaza si iachilie mateka wote vita ishee
@onedollarbaba-pp2wi
@onedollarbaba-pp2wi 15 күн бұрын
Uyo alikimbia vita y rwanda
@user-es4uf6gj7u
@user-es4uf6gj7u 16 күн бұрын
Viongozi wa saudia misri wako karibu na ukafiri kiliko uwislam hawafai wanafki
@dancerboy2686
@dancerboy2686 16 күн бұрын
mmmmmh mala hii chanjo imetengenezwa?
@abdillahilacha874
@abdillahilacha874 3 күн бұрын
Waliipataje Chanjo kwa haraka hivi Kama c tatizo la kuundwa.
@oparetionmaalum9030
@oparetionmaalum9030 15 күн бұрын
Congo kuisema ni nchi maskini Duniani nisawa nakututukana wafrica sote na haikubaliki
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 13 күн бұрын
Hamja nidanganya tetekuwanga mnichome chanjo
@salumabdallah2990
@salumabdallah2990 15 күн бұрын
Mtoa habari wewe ni muongo hio sio gaza ni west bank
Duniani Leo
29:46
VOA Swahili
Рет қаралды 1,6 М.
Marekani yatangaza vikwazo vipya dhidi ya Iran | VOA Swahili
2:45
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН
Electric Flying Bird with Hanging Wire Automatic for Ceiling Parrot
00:15
My daughter is creative when it comes to eating food #funny #comedy #cute #baby#smart girl
00:17
AI chip makers battle for dominance | BBC News
21:17
BBC News
Рет қаралды 28 М.
Al-Nakba: The Palestinian catastrophe - Episode 1 | Featured Documentary
47:25
Al Jazeera English
Рет қаралды 1,2 МЛН
Meza ya Duara : Ni Trump au Kamala uchaguzi wa rais Marekani?
41:03
Ukeketaji unavyoathiri maisha na afya za wanawake  Somalia
3:55
U.S. State Department press briefing: 9/9/24
1:01:39
Associated Press
Рет қаралды 19 М.
Violet Beauregarde Doll🫐
00:58
PIRANKA
Рет қаралды 53 МЛН