RAIS MWINYI ASEMA YAJAO NEEMA ZAIDI

  Рет қаралды 2,019

ZINJIBAR TV

ZINJIBAR TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Baba kura yandio kwako mitano tena yafurahishe zaidi na ikiwezekana miaka yote ungekua madarakani zanzibar ingebadika zaidi mh wetu pendwaaa❤❤❤❤❤❤❤
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 3 күн бұрын
Masha Allah Masha Allah Tabarak Rahman 🤲... tunaomba chengine baba Mwinyi utusaidie huu uvamiz wa watu wanao fanya matukio mabaya yadhibitiwe ln shaa Allah.... angalau nchi iwe na Aman
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Mh binaadam hawana shukrani tenda wema uwaachie mambo mazuri ila malipo ni kwa allah wazanzibari baadhi yao hawana shukrani angalia tu neema unotuachia urithi huu hatujaupata miaka mingi tunakushukuru babaetu jiwekee kwa ajili ya allah tunakupenda sana babaetu
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 күн бұрын
Unampenda wew mbongo mwenzio , kutokana visiwa alivyo viuza hata robo ya thamani yake haijafikiwa wezi tu
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Baba mwinyi upo vizuri
@SuleimanMuhammed-g7q
@SuleimanMuhammed-g7q Күн бұрын
Ni fly over au kifly hem musitudanganye,apunguze makodi biashara izungumke vyakulq vipungue hapo ndio tutaona cha maan lkn mpk saiv bado,mm cna chama naongea uhalisia
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Vitambulisho vya utanzania tunaomba tupatiwe bila ya mashrti ya ubara na uzanzibari bara na zanzibar zote ni tanzania tusizingushwe
@jumamohamed3168
@jumamohamed3168 2 күн бұрын
Ukitaja Zanzibar taja na Tanganyika sio bara unapoteza uhalisia wa kweli .
@NassoroHaji-i8k
@NassoroHaji-i8k 3 күн бұрын
Mmechkua picha ya dar flyover mkaiweka yutube
@RahmaIddi-s2s
@RahmaIddi-s2s 3 күн бұрын
Weee 🙄🙄🙄
@hajijabir8677
@hajijabir8677 2 күн бұрын
mmekuwa chanal cha chama ccm
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Ila sisi wengine hatuna vitambulisho hatupati kwaaababu tumezaliwa bara kwanini msitupatie vitambulisho kiurahosi nasiso tumezaliwa tanzania Na zamani tilijaziwa taarifa kwenye madaftari wazee kuhamia miji hii kwenda mingine wamepoteza kumbukumbu zetu zakuzaliwa
@JidawiHaji
@JidawiHaji 2 күн бұрын
Hio ni flyover au ni daraja
@binmasoud4150
@binmasoud4150 22 сағат бұрын
Tunanjaa madaraja ndo vp, so mda wake wadau😮
@idirisakhamis-m3i
@idirisakhamis-m3i Күн бұрын
Naona kipande tu pia kinaitwa fly over, kivuko
@FaridaAlita-jx6lt
@FaridaAlita-jx6lt 3 күн бұрын
Kama mimi nipo hapa tangu nna umri wa miaka mitatu mbaka leo nna miaka 46 eti sipewi kitambulisho cha mtanzania?
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 күн бұрын
Pole sana labda huna asili ya bara
@yussufali1167
@yussufali1167 3 күн бұрын
Hii ni fly over or kivuko
@zplanetzanzibar
@zplanetzanzibar 2 күн бұрын
Kwani wewe unaonaje?
@IlhamKhalid-mt3jp
@IlhamKhalid-mt3jp 2 күн бұрын
😂😂😂😂😂
🔴#LIVE: RAIS MWINYI AFUNGUA BARABARA YA MFANO
2:23:15
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 1,7 М.
STEVE NA NDARO WALIVO VURUGA NDOA UTACHEKA
16:04
Ndaro Tz
Рет қаралды 708 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.
БАБУШКА ШАРИТ #shorts
0:16
Паша Осадчий
Рет қаралды 4,1 МЛН
LIVE_ PARKING BORA YAFUNGULIWA ZANZIBAR
2:01:44
ZINJIBAR TV
Рет қаралды 3,1 М.
#MWINYI KUJIBU TUHUMA ZA UZUSHI ZINAZOVUMISHWA
7:25
IsleBlogTv
Рет қаралды 13 М.
«Жат бауыр» телехикаясы І 26-бөлім
52:18
Qazaqstan TV / Қазақстан Ұлттық Арнасы
Рет қаралды 434 М.