RAIS SAMIA AFICHUA MAOVU KIKAO CHA CHAMA CHA SIASA, "MIPANGO MIBAYA, KUSHUSHA MOTO, SAMIA AONDOKE"

  Рет қаралды 13,600

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@hoseamwambambale3503
@hoseamwambambale3503 2 ай бұрын
Iyo amani unayo isema mbna sisi atuioni watu wana uwawa afu unasema amani yaani kwa kuuwawa watu kwko ndio amani mama apo umeonyesha wazi kua wana wake amfai kua viongozi wa maali popote
@israelfutte214
@israelfutte214 2 ай бұрын
Mungu aiokoe tz siyo kwa uovu huu.
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Mnanaua watu wakiwakosoa kwenye hakialafu mna wanawageuzia wao kuwa wameua hii ni hatari
@muhamedali3902
@muhamedali3902 2 ай бұрын
Ah! Mm atasielewi lkn ukweli ni kwamba kinachotakiwa mnakifahamu lkn mnajitowa ufahamutu
@barnabasnyangi6900
@barnabasnyangi6900 2 ай бұрын
Safi sana mama maana sasa umeongea kama raisi na mkuu wa nchi hakika amani ni zaidi ya kila kitu hapa duniani,na sisi kama nchi hatutaweza kukubali vibaraka wa nchi zngne kutuweka kwenye machafuko mbona kuna nchi zingne zina matukio hatari hata zaid ya haya yetu Tz ! Mama mimi binafsi natoa yangu ya maoni usikubali watu wachache wakaingiza nchi kwenye machafuko afu vidole wakunyoshee wew mama wa watu usio kuwa hata na makuu,mbona uliwaruhusu wafanye mikutano ya hadhara jaman si washukuru hata kwa hilo,mimi nakuunga mkono mama raisi wa nchi yetu hata kwa sara
@LazaroMalkus-r9e
@LazaroMalkus-r9e Ай бұрын
Ningekuona wamaana kama ungetujali na sisi wamachinga kama alivotujali magu... Wewe unazidikutuumizatu
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Hakuna kuipongeza serikali mpaka wakiri wapoteza watu nakuua watu ni nani?
@ImaculathaMasuka
@ImaculathaMasuka 2 ай бұрын
Uko vizur Mama.wanacheza na amani tuliyo nayo.
@JoshuaNicodemus-lf2tw
@JoshuaNicodemus-lf2tw Ай бұрын
Kama wanaofanya mauwaji hawajulikani maana yake tunaendelea kuuwawa
@AbdallahMnyiwe-he2zu
@AbdallahMnyiwe-he2zu Ай бұрын
Kuna majeshi mbalimbali halafu watu Wana umia na kufa
@RubenMtuwaMungu-bz8ee
@RubenMtuwaMungu-bz8ee 2 ай бұрын
Swali nani anatekeleza utekaji nchini? Hilo tu. Maana hata kama ni vyama vya siasa vinatumika wachukuliwe hatua kama wahalifu vinginevyo wananchi wakiendelea kutoviamini vyombo vya usalama jamii itaathirika kama kule Lulembela na Lamadi
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 2 ай бұрын
SAFI SANAAA RAIS WANGU
@jumaomari3842
@jumaomari3842 2 ай бұрын
Mama uko vizuri Hawa jamaa vichwa vyao vina matatizo
@amosbanyenza8494
@amosbanyenza8494 2 ай бұрын
Asante mheshiwa Rais kwa tamko lako linalotoa msimamo wa nchi ! Mungu akupe afya tele na hekima ya juu zaidi katika utumishi wako kama Rais ! Kidumu chama cha MAPINDUZI
@kostajoseph5811
@kostajoseph5811 2 ай бұрын
SAMIA MITANO TEEEEN
@willymdeka6034
@willymdeka6034 Ай бұрын
Mwandishi ni mpumbavu sana mama Samia piga kazi hao wapiga debe wasikutishe wehu hawa
@epimackjohn461
@epimackjohn461 2 ай бұрын
Kunahitajika KUIOMBEA nchi hii kwa MUNGU sana iwe na AMANI ,sambamba na MAOMBI hayo tujiulize , tangu UHURU wa nchi hii hatukuyasikia wala kuyaona MATUKIO ya uvunjifu wa AMANI na Matukio ya kutisha yanayotokea sasa hivi . Chanzo chake ni nini na msaba bishaji au wasababishaji ni akina na nani ?, na ni kwa nini ? na wana lengo gani ? na watafaidika na nini ? kama ni tamaa ni ya nini ? kama ni kujihami ni kwa kipi ? Mwanzo huu mwisho wake ni upi ? Kuna maisha ya MILELE DUNIANI ndani ya TANZANIA hii ?
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 2 ай бұрын
Ukicheza nanyani mheshimiwa Rais nchi itavuna mabuwa .Viongozi wachadema hasa kiongozi mkuu nimhuni tu nayupo kibiashara zaidi .wapingwe tu
@ShamteMohmed-ed2kk
@ShamteMohmed-ed2kk 2 ай бұрын
Ongera mama waambie wajue hawatofanikiwa kuleta fujo na kwa uwezo wa Mungu wataaubuka na mipango yao michafu.
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31
FOREVER BUNNY
00:14
Natan por Aí
Рет қаралды 27 МЛН
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 215 МЛН
Новости дня | 24 ноября - дневной выпуск
4:43
Euronews по-русски
Рет қаралды 56 М.
Oliver Kahn will never forget this humiliating performance by Ronaldinho
10:07
NONDO ZA MZEE WARIOBA MBELE YA RAIS SAMIA KUHUSU HAYATI SOKOINE
19:28
Players push long pins through a cardboard box attempting to pop the balloon!
00:31