Umeongea pwenti sana wanaume hawataki majukumu yao wanatuachia sisi ila wakumbuke watakuja kujibu siku ya mwisho
@ErnestMoyo-z8jКүн бұрын
Rais mchapa kazi 5 tena
@HamadBashir-bs5woКүн бұрын
Nisahihi unachokisema🎉
@BeatriceKitembe-gs9siКүн бұрын
Kweli kbsaaaa mtu anasaidia mtu anataka Dunia nzima ijue.. Hiyo sio sadaka aaa. Barikiwa Mh chalamila🙏
@NadyaSamsonКүн бұрын
We ungejuaje
@MdHridoy-b5zКүн бұрын
Sana kabisa sasa wamezidi kutangaza sadaka
@WitnessOchora-dd1gmКүн бұрын
❤❤❤❤
@mataypanga5262Күн бұрын
Je,mheshimiwa rais Mama Samia anayo idadi ya watoto wote yatima na amewapa zawadi ya sikukuu ya Noel au Christmas? Au amewazadia watoto 1000 kati ya milioni?