This man is a true definition of a leader.nashindwa hata niongee nini ila hongera sana.
@user-qu1mq2ik2e9 күн бұрын
Congratulations 👏👏👏👏 your generation will be blessed
@scholarmawala14039 күн бұрын
Mtaji wa kwanza wa Mwananchi ni Afya njm. Asante sana Makonda kwa maono hayo.God bless you .🎉🎉❤
@emmanuelmayunga15189 күн бұрын
Big up commander Makonda kazi nzuri
@AllyGibu-cz2vo9 күн бұрын
Mheshimiwa Paul Makonda hongera sana
@bashiruwise9 күн бұрын
Talented guy,❤ Makonda for life
@LukasiAlubart9 күн бұрын
Makonda mungu aendelee kukulida
@user-ni4be2gg7l9 күн бұрын
Makonda wewe nimtumishi msikivu mungu akulinde zaidi utafika mbali mno tunakuombea 30 inakuhusu.
@user-yg8yo3ul8h9 күн бұрын
Mama kama mama 🎉🎉🎉🎉 twakupenda sana na mh makonda wawooo Yan tungeoata nasisi kama makonda tungepata laha jaman mh raisi. Ungepata majembe kama makonda aisee mama ungefika mbali sana
@kuntaalkinte54159 күн бұрын
Hongera Mh Makonda
@agustinoezekiel9 күн бұрын
Angalau ukija KZbin kuona mkoa wa Arusha unafarijika, Arusha kwa kipindi hiki imekua kama nchi inayojitegemea
@Ellsonmushi60599 күн бұрын
Duh!!! Ila siasa,tumheshimu Mungu tu
@aloycemabula86499 күн бұрын
Arusha wanafaidi
@MatronaThomas-wz5si9 күн бұрын
Wananchi wapate Bima ya afya KWA wote❤❤
@MatronaThomas-wz5si9 күн бұрын
Afya ni mali owe siku zote❤❤
@user-pe8wh5bw2h7 күн бұрын
Asant babaa
@user-yg8yo3ul8h9 күн бұрын
Wagonjwa jaman SI mtapata laha sana
@teddyteddyphilipo52549 күн бұрын
Hatali huyo makonda chapa kz
@Esterkomba-ef7eb9 күн бұрын
Yani hujamaa sinalakusema viongozi wote wangekuwa kama makonda watanzani tungekuwa naraha sana
@paschalpaul38629 күн бұрын
Tatizo hivi vitu kama vinawezekana inatakiwa viwe kisheria maana makonda akitoka basi anayekuja anaanza mambo yake na mazuri yanapotea
@mataypanga52629 күн бұрын
Umenena vyema,mimi naongezea nchi nzima wapate matibabu kwa njia hii muda wote. Hii wiki ya matibabu bure ya Makonda ikiisha na pengine mtu hajapona,twende wapi😂
@paschalpaul38629 күн бұрын
@@mataypanga5262 pia wabunge ndiyo wanatakiwa wajifunze namna kujenga hoja!
@Joviti1759 күн бұрын
Safiiiiiii
@mariamalongo88039 күн бұрын
❤❤❤
@FredrickMnyakiwele7 күн бұрын
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa 1:31
@JacksonMbites9 күн бұрын
RAIS AJAYE WA TANZANIA PAUL MAKONDA
@FredrickMnyakiwele7 күн бұрын
Umeshindikana makonda tunabaki kukushangaa
@josephelias73649 күн бұрын
KAKA MAKONDA CHAPA KAZI
@samsonsimon31388 күн бұрын
Unachokifanya makonda ni kizuri lakn jarbu kutembelea maeneo yenye chagamoto na si kuazisha mikutano mikubwa namna hiyo unatumia gharama kubwa sana kuazisha mikutano yako hiyo kuandaa na kuhitimisha mikutano mikubwa namna hiyo
@BonephaxeMasanja9 күн бұрын
Yuko xawa makonda
@NicholausAlois8 күн бұрын
Siasa mchezo mchfu
@user-ig7tb1cf8z9 күн бұрын
Nchi yote wangechagua chadema maendeleo yatakuwa makubwa sana. Kwa mchakato huu Lema ni jembe
@teddyteddyphilipo52549 күн бұрын
Chap kz
@richardhosea88279 күн бұрын
Wameenda Wasso Loliondo kuchochea lakini naona wamefeli piga kazi dogo
@lwimboderick74799 күн бұрын
Harmonize alisema Rais DKt. Samia ni mtu na Nusu. Tunaendelea kuthibitisha.
@michaelmlugu56549 күн бұрын
Makonda sijaellewa ubongo wako ukoje Kama sii uchawa herkopiter ya nini DAWA ZIPO
@AllyMaya-yj3xd9 күн бұрын
Lengo hujaskia kama anaonekana mgonjwa anataka kupelekwa KCMC apelekwe hapo hapo au muhimbili anapelekwa shida yako wewe nn ?
@kamanapomo70299 күн бұрын
@@AllyMaya-yj3xdKaka watu wengine wanakuja na hila zao binafsi sio kufatilia habar
@isackkivuyo19809 күн бұрын
Mhhh
@reginakatele88299 күн бұрын
Mungu akutunze makonda
@johnjoel50129 күн бұрын
Mheshimiwa Makonda njoo na Mkoa wa Mara uone uozo. Maji shida , michango ya Sekondari pesa hazionekani.