Very happy Mh Makonda thank you so much ❤❤❤ Yani mimi nakuombea kwa Mungu akulinde akupe umri mrefu Mh Makonda 🙏🙏🙏🙏
@kaditokenya687312 күн бұрын
Duuuh huyu ni magufuli wa pili❤❤ very smart guy please dear God protect Makonda and Mama samia🙏🫂❤
@channyanjen904712 күн бұрын
Safi sana Mama,Allah akuzidishiye kila laheri inshaallah❤❤❤❤
@danielshauri639012 күн бұрын
Makonda ni mbunifu sana huyu jamaa, na anaipenda kazi yake
@MojaZirro12 күн бұрын
❤❤❤ Mama Samia Nimama wahuruma sana kweri kweri Duuu Hongera Makonda kwautendaji wako wakazi
@hamishassan678412 күн бұрын
Makonda bhana umbunifu mno sasa nikupende hadi wapi sijui!!!!! Nadhani linalokufaa ni kukuombe kwa Allah akuongoze hadi uipate NURU Safi sana
@yusufmohamed887412 күн бұрын
Angewekwa Dar.... Manake yule kitambi ni aibu tupu 😊
@jasirimjasirimedia794012 күн бұрын
Makonda 🔥🔥🔥🔥
@wasaficlassicshoes12 күн бұрын
Kazi iendeleeeeeeee
@OthanMedia_12 күн бұрын
Wakuu, ni Kambi ya MATIBABU 😊
@user-ce3tx7mr8v12 күн бұрын
BIGUP MAKONDA
@liberatusjackson504512 күн бұрын
Samia ❤❤❤❤❤❤oyeeeee
@OthanMedia_12 күн бұрын
Tusaidieni hapo kwenye TITTLE
@wasaficlassicshoes12 күн бұрын
Wanajua kucheza Game
@wasaficlassicshoes12 күн бұрын
Hakika wanajuw kuchez game
@hamidjailos817112 күн бұрын
Huyu huduma zake sio hadhi ya mkoa ni hadhi ya kitaifa kabisa tena kuanzia uwaziri...
@AbshirMubaarack12 күн бұрын
Hv ATUSHA ni mkoa gn ndg zng waTZ😂😂😂
@COMPASSIONMEDIA12 күн бұрын
Makonda Raisi ajaye.
@sonnyr189911 күн бұрын
Huyu jama anapiga kazi sio mtu wa maneno. 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾 Mama mpe Makonda cheo kikubwa kama uwaziri kamili.
@chuzilapweza651710 күн бұрын
makonda Hana baya
@OmmyJames-xn7ji12 күн бұрын
SSH❤🇹🇿🇹🇿
@emanuelleopod394912 күн бұрын
Alieandika kichwa cha habari huenda hakupata msosi asubuhi 😂😅
@EbondoSounds11 күн бұрын
😂😂
@jizzotheking923812 күн бұрын
Hii nchi ni nzur saana najivunia kuwa na chuma kama makonda, Mama samia na Mh Rais wetu, kazi anaipiga saana, mama ni mtu wa watu, Tanzania tupewe nini kingine sasa Kiongozi msikivi anayewapenda watu wake .. duhh, Mungu awaongoze viongozi wetu muongoze inchi kwa hekma saana maana changamoto na vikwazo ni ving saana