KWA UKALI: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI, AWAONYA MAWAZIRI, AMTAJA WAZIRI MKUU

  Рет қаралды 790,060

Wasafi Media

Wasafi Media

2 жыл бұрын

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameshiriki hafla ya kuwasilisha taarifa ya utekelezaji wa matumizi ya fedha za maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO - 19 Ikulu jijini Dar es salaam.
#RaisSamia #HotubaYaRaisSamia
KWA UKALI: RAIS SAMIA AMJIBU SPIKA NDUGAI, AWAONYA MAWAZIRI, AMTAJA WAZIRI MKUU
WATCH WASAFI TV📺
AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
LISTEN WASAFI FM 📻
88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
Follow Us On:
INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
FACEBOOK: / wasafitv
𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm

Пікірлер: 1 500
@georgekarobia4279
@georgekarobia4279 2 жыл бұрын
Mheshimiwa Raisi was Tanzania.Niko Kenya. Lakini uko tofauti sana na magufuli...utarudisha nchi nyuma sana.
@m_farmers_limited8509
@m_farmers_limited8509 2 жыл бұрын
Nnchi kila kukicha inarudi nyuma vitu vinapanda bei
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@brysonkaale3003
@brysonkaale3003 3 ай бұрын
Wakenya shikeni nchi yenu achaneni na sisi,tafuteni unga mle ugali!
@aronnyboy_tz7785
@aronnyboy_tz7785 2 жыл бұрын
Kama haumkubali huyu Bibi Weka like
@ikramuomary1214
@ikramuomary1214 2 жыл бұрын
J P M.Tutakukumbuka watanzania 🇹🇿 Tushakua watumwa 😭😭
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@daudimchileg307
@daudimchileg307 2 жыл бұрын
Mama sasa kama kasema kweli kwanini alaumiwe, hii nchi, ndio tatizo wakweli hawaishi magu yuko wapi, mnataka msifiwe tuuu daaah hii ok R.I.P JPM
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
CCM OYEEEE!!!!
@jazzymkalitv5535
@jazzymkalitv5535 2 жыл бұрын
Swadakta.
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Mmh
@hussenmishamo1963
@hussenmishamo1963 2 жыл бұрын
Du 🙆 mbona makf mengi kwan mamachinga wao wanasemaje ? .
@stevenomanga4637
@stevenomanga4637 2 жыл бұрын
Magu mwenyewe alikuwa anapenda kusifiwa tu! Na ukimkosoa unatekwa na watu wasiojulikana,,au mmesahau,,mi naona kosa walilofanya hawa ni kujazana wenyewe pale bungeni kwahiyo kwasababu wako wenyewe lazima wapinzani wawemu Kati yao, Ni heri wasingewakataa wapinzani, tusingefikia hapa, yani wanatia aibu, kesho na kesho kutwa utasikia waziri mkuu nae kazinguana na mtu🤣 achana na wakina kiroboto na wahuni🤣,, kabla ya Yesu kurudi tutajionea mengi🏃🏃🏃🏃🏃
@iam_lasco
@iam_lasco 2 жыл бұрын
Kuna kitu bado tanzania hakipo sawaa kabisaa kwenye mambo ya kisiasaa
@mosesdouglas7902
@mosesdouglas7902 2 жыл бұрын
Your right 99%👍 there is something wrong somewhere
@theresiakaruhanga364
@theresiakaruhanga364 2 жыл бұрын
Which is wrong ni kwamba watanzania tunamaisha magumu na wao wanarumbana tu majukwaani. Wanaumbuka kweli
@vascostanleymbisse4477
@vascostanleymbisse4477 2 жыл бұрын
Ofcoz sijapenda hii kitu mh
@successconcious703
@successconcious703 2 жыл бұрын
Udumavu wa akili wala hakuna kingine ndugu
@abdulkarimu745
@abdulkarimu745 2 жыл бұрын
I love u baba angu magufuli mungu akuweke mahal pem pepon amina
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
Moja ya kazi ya bunge ni kuikosoa na kuisimamia serikali. Nini kosa la Ndugai? Kwa hiyo nchi kuendeshwa kwa mikopo ndiyo afya? Halafu hao wanaokupigia makofi ndiyo wanafiki wako kuliko hata huyo Ndugai. Pole sana we mama.
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 2 жыл бұрын
Mi naona jamaa kajitoa muhanga kuzungumza ukweli sasa umewauma ila ndugai unafiki umemzidi kaona arudi kwa wananchi na kuzungumza ukweli mi binafsi sifurahishwi na jinsi tunavyoendeshwa Jpm tuna kukumbuka mzee pumzika tuna kuombea sasa tuna yaona wenyewe mambo yanavyokwenda
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 2 жыл бұрын
Mi naona jamaa kajitoa muhanga kuzungumza ukweli sasa umewauma ila ndugai unafiki umemzidi kaona arudi kwa wananchi na kuzungumza ukweli mi binafsi sifurahishwi na jinsi tunavyoendeshwa Jpm tuna kukumbuka mzee pumzika tuna kuombea sasa tuna yaona wenyewe mambo yanavyokwenda
@hamiduhamdun1858
@hamiduhamdun1858 2 жыл бұрын
Hiyo ndio kazi ya bunge mama kubali kukosolewa nchi ni yetu wote si yamtu mmoja
@isikesamike
@isikesamike 2 жыл бұрын
@@hamiduhamdun1858 shida yake ni kigeugeu yaani haeleweki.
@fatumarashid5126
@fatumarashid5126 2 жыл бұрын
Kama kazi ya spika kuikosoa serikali kwanini akikana tangia huko bungeni hadi aje kusemea huku nje anamaana gani na malengo gani na Mh Rais wetu kama si kumgombanisha na wananchi wake, ameshindwa kwa nguvu za Mwenyezi Mungu subhana wa taallah. Tunapenda Mh rais wetu kwa nguvu moja na tunamuani. Allamdulillah na atazidi kufanya makubwa inshallah
@malcomg1004
@malcomg1004 2 жыл бұрын
MAGUFULI angekuepo kamwe tusingekua tunaona huu uozo unaoendelea serikalini,,RIP mtendaji mkuu wa waTanzania JPM😭😭😭
@elynego1654
@elynego1654 2 жыл бұрын
R. I. P MAGUFULI
@dicksonmmasy55
@dicksonmmasy55 2 жыл бұрын
R.I.P ,Hon JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI...Mama usiwaamini hata hao wanao imba
@uledicohnewstv1037
@uledicohnewstv1037 2 жыл бұрын
Daaah R.I.P DKT JOHN POMBE MAGUFULI. umeiacha nchi kwa watu vilaza sanaa eeh Mungu tuongozeee nchi hamna viongozi hapa
@m_farmers_limited8509
@m_farmers_limited8509 2 жыл бұрын
Ndomana anarudisha viraza wezeke
@merumusakoy2251
@merumusakoy2251 2 жыл бұрын
Kwa kweli nchi hii imekuwa ya mungu 2
@boy-pq6ow
@boy-pq6ow 10 ай бұрын
Sema mama Tamaa mbele mauti nyuma.
@kamulisamson896
@kamulisamson896 2 жыл бұрын
MAGUFULI ALIFANYA KITU, NA SIO NYINYI. MAANA MAJUGUU TU.
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Kabisaa tupo shidanitu sasa
@chaxpeter5789
@chaxpeter5789 2 жыл бұрын
MTA umbuka tuuu hadi muombe wanainchi msamaaha tulimulilia sanaa kiongozi wetu machozi ya wanyonge ayaendi kinyonge
@johnlembo2955
@johnlembo2955 2 жыл бұрын
@@mbwanarajab4756 nikikuhitaji kesho kituo cha polisi utaweza kueleza upumbavu wake, bwana Mbwana?
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
YEYE KAUWA TENA WANYONGE KULIKO WEWE.
@frankcharles2483
@frankcharles2483 2 жыл бұрын
Wanyonge wanamililia magufuli rip magufuli polepole jemadari mkuu
@planet_tz1310
@planet_tz1310 2 жыл бұрын
Kauli moja t ya mzee wangu maguful inanitoa machoz WATANZANIA MTANIKUMBUKA,siasa imejawa unafikiiii haohaoo kwapgao makof walmpigia sana makof maguful.Sir God mlaze mahal pema JPM
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 2 жыл бұрын
Yaani hilo neno hatamimi nikilikumbuka hutokwa namachozii lakini humwachia mungutu
@martial_tz4595
@martial_tz4595 2 жыл бұрын
No freedom of expression....yale ni mawazo ya spika yanaweza yapingwe au yakubaliwe...haina haja ya kupewa vitisho... I love you Tanzania🇹🇿
@mashaally3621
@mashaally3621 2 жыл бұрын
Jaman nipen ata like nimekuwa wa Kwanza kukoment
@MohamedAli-rl8cl
@MohamedAli-rl8cl 2 жыл бұрын
Kauli ya Mwenyezi Mungu haina mbadala, wanaangamia watu wangu kwa kusa maarifa, na ile hamdhalilishi mwenyezi Mungu mtu pamoja na elimu kabisaa. Watu wa saikolojia wanatufundisha mtu akikunyaga hata kwa makusudi muombe msamaha wewe ndio utakua umemuumiza na ndio busara. Kinyume chake sijui
@seiphabdallah4146
@seiphabdallah4146 2 жыл бұрын
Magu mungu akubarikiii milele amiiin🙏🙏🙏😭😭
@reganshao
@reganshao 2 жыл бұрын
Laiti ungejua hao wanaokupigia makofi ndio walimpigia baba yetu makofi dah ! 😭😭😭😭 Ongea uongeavyo mama, haohao ndo walikuwa na Baba yetu.
@rosemomanyi2847
@rosemomanyi2847 2 жыл бұрын
0
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 Жыл бұрын
Hajui kama hao ndumilakuwili
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@malcomx4067
@malcomx4067 2 жыл бұрын
Rest In Peace uncle Magu. Nchi imekuwa ya vijembe mtupu.
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 2 жыл бұрын
Sure RIP uncle JPM
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Umekisahau kijembe cha "WATOTO WA MIAKA YA 80 WANA TAMAA?" ALishinwa kusema Makonda unazingua? Wacheni zenu!
@J4UPro
@J4UPro 2 жыл бұрын
Mambo ya vidole juu
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 жыл бұрын
WASENGE MNAOUMPINGA MAMA MNAROHO MBAYA KM MWENDA ZAKE LILIKUWA LIKIKOPA HALAFU LIKISEMA HALIKOPI MAGUFULI 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 LIMEEENDA LIENDE TU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@waheedahtanzania4912
@waheedahtanzania4912 2 жыл бұрын
@@imranijuma6955 una laana ya dunia pamoja na ya wazazi wako ndomaana unaropoka fedhuli mmoja wewe
@deetv3843
@deetv3843 2 жыл бұрын
chawa lazima usimame ushangilie😂
@saradrupiarupia3396
@saradrupiarupia3396 2 жыл бұрын
Nakiapo chako kizigatie maana Mungu ni Mungu huyo anakushsmbulia mama kadhuluka msamehe na uchuu wake mara aseme mwanake ni mwanake tu amejikinai huyo kachafuwa ulimi wake
@aidanlemmy5124
@aidanlemmy5124 2 жыл бұрын
Hii yote tunamkumbuka Rais wetu Magufuri
@Mussajohn99
@Mussajohn99 2 жыл бұрын
Rest in peace magufuli💔💔 nchi imekua ya vijembe kunakuchambana tuu hakuna chamsingi siurudi japo kidogo JPM uje uone madudu yanayo fanyika 💔💔
@julihanjosephyjs6361
@julihanjosephyjs6361 2 жыл бұрын
Huyu mswahili vijembe,misemo yaan mmmh
@caindunke8526
@caindunke8526 2 жыл бұрын
Duh
@telaamtauta2227
@telaamtauta2227 Жыл бұрын
Kabisaa yaani kumeoza kabisaa tabaani mimi nimechokatu majungu vijembe dhulma kukandamizanatu
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@stonefacestoneface2976
@stonefacestoneface2976 Жыл бұрын
Iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@mkushiandikayakoachananaya7944
@mkushiandikayakoachananaya7944 2 жыл бұрын
Kajaa upepo huyu mama, jahazi linazama hilo muda utamwambia tu!
@jumawaziri8501
@jumawaziri8501 2 жыл бұрын
NINACHOJUA UKIWA CCM HUTAKIWI KUKOSOA WAKA KUKEMEA WEWE USIFU TUU NA KUPAMBA , NDUGAI ANGESIFIA ASINGEGUSWA
@nastheboss.baishe2799
@nastheboss.baishe2799 2 жыл бұрын
Mambo ya ndani ya nyumba yabaki ndani..kama alitaka kukosoa angemwambia mama mwenyewe na kama asingemsikiliza ndio angetoa nje..the guy fucked up big time
@manilabonalumanula1014
@manilabonalumanula1014 2 жыл бұрын
Chama kina utaratibu siyo kuropoka tu, pia kwa Muhimili kama huo alikuwa na nafasi ya kumuona akamshauri, ama tuseme nyuma yake wapo wengine? Lkn hakuna mkamilifu asamehewe tu
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 2 жыл бұрын
Hata huko chadema hakuna kukosoana mkiwa mmetoka mhimili mmoja
@mhandondahani2656
@mhandondahani2656 2 жыл бұрын
R.i.p Magufuli alikua na maono Chanya Sana .........lawama hazitoweza saidia kitu Cha mcngi Tumuombee Kwa Mungu Mama apewe Maono Mazur ya kuingoza nchi katika muda wake wa uongozi uliyobaki
@m_farmers_limited8509
@m_farmers_limited8509 2 жыл бұрын
Timuombe mungu atoke tu maana tushachoka
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@joselinesimon607
@joselinesimon607 2 жыл бұрын
Mtaumbuka tu kuanzia tar 17.03.2021 tulilia Sana wananchi , naninawaambia hivi hamutaamini mizimu ya afande sele😂😂😂🤣🤣🤣🇹🇿🏌️
@lydiayothamu9902
@lydiayothamu9902 2 жыл бұрын
Hahaha
@lydiayothamu9902
@lydiayothamu9902 2 жыл бұрын
Kimeshaumna na bado
@thomaskitemi3283
@thomaskitemi3283 2 жыл бұрын
Mama,fuatilia huduma za afya,mara mashine mbovu,mara DAMU haipo,yaani mama huko ndo malalamiko yapo Kwa wananchi,
@isaacgara3528
@isaacgara3528 2 жыл бұрын
Swala la damu sio la moja kwa moja kwa serikkali
@ototek8037
@ototek8037 2 жыл бұрын
@@isaacgara3528 wakuthibiti hujuma ni serikali
@Wezesha1
@Wezesha1 2 жыл бұрын
Sasa kama Damu haipo si mkachangie? Wabongo mnamalalamiko mengi bana
@ms.happie3994
@ms.happie3994 2 жыл бұрын
This day nlikua Muhimbili.. instead of kuhudumia wagonjwa pale wamezidiwa, watu wanashughulika na general cleaness🌚.. kwl, saa nne ni muda wa usafi hospitali wakati wagonjwa wanasubiri huduma.
@isaacgara3528
@isaacgara3528 2 жыл бұрын
Serikali yet sio tajiri sana tuwekeze zaidi kujikinga.
@mjuemtakatifuyosefu9410
@mjuemtakatifuyosefu9410 2 жыл бұрын
Mama tuletee maendelea mipasho inakuvunjia heshima
@husseinmadebe2310
@husseinmadebe2310 2 жыл бұрын
Hahaha kwel mipasho dah😃😃😃😃
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Mbona Mwendazake alikuwa na mipasho kibao sana tu! Sometimes, kauli hizi zinahitajika... Mama wamemchokoza wenyewe! 😂😂
@verdianabanabi5943
@verdianabanabi5943 2 жыл бұрын
Wambie wambie hao.
@seifnassor775
@seifnassor775 2 жыл бұрын
Mama wajibu ukikaaa kimya watakupanda kichwani. Umenifurahisha sanaaa mama
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 2 жыл бұрын
Mipashoooo lazimaaaaaaaa weweee
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Mama hata hao wanakupigia makofi nakuimba niwanafiki so kuwa makini nao Sana.
@ahmadlahe3996
@ahmadlahe3996 2 жыл бұрын
Keel lakin
@sahiyaali4466
@sahiyaali4466 2 жыл бұрын
Kabisa Yani Uko sahihi Sana Wote Sio wakuwaamini .hata Magufuli Marehem Walikua Wakimpigia Makofi ayo Kidg Leo Kiko wap Wanamfanya aonekane Hakua anafaa Kabisa
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Mm watanzania nawaogopa nilivyo ona wamemgeuka jpm apo ndo niliamsha mikono, pumzika jpm mtetezi wa wanyonge
@winifridakasibu2900
@winifridakasibu2900 2 жыл бұрын
Mm watanzania nawaogopa nilivyo ona wamemgeuka jpm apo ndo niliamsha mikono, pumzika jpm mtetezi wa wanyonge
@jumannemtawa4535
@jumannemtawa4535 2 жыл бұрын
Ukiwa CCM lazima pepo la unafiki likutawale.Hawa wote uenda wanampiga makofi kinafiki baadae wakitoka nje wanaongea na kulaumu
@jonasansaid1808
@jonasansaid1808 2 жыл бұрын
Unaona mbaliii Sana mkuu
@kassimu3708
@kassimu3708 2 жыл бұрын
Good point
@saidhamad9723
@saidhamad9723 2 жыл бұрын
Yaalp ndo ivo yaani
@eliyajeremia1447
@eliyajeremia1447 2 жыл бұрын
Hayo yote kipindi chamagufuri ya likua yanajipendekeza alipokufa yote yakageuka hata hao wanawaza hicho kiti hawawezi kumupenda ajiangalie
@barakandola3185
@barakandola3185 2 жыл бұрын
Kwanini viongozi hua hawapendi kuambiwa ukweri,R.I.P.Magufuli
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Kwani huyo alikuwa anaenda kuambia ukweli,?
@issasued957
@issasued957 2 жыл бұрын
Kwan Magu hakukopa?? Na huyo ndio alikuwa hapend kuambiwa chochote ndio maana kulikuwa na watu wasiojulikana kula kukicha
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
Magufuli lini alipenda kuambiwa UKWELI??!.
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 2 жыл бұрын
Wacha akili za mgandooo..
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
BARAKA NDOLA SIJUWI BARAKA ZAMBIA UNAFIKI UNAUITA UKWELI???
@abdullahmadi9125
@abdullahmadi9125 2 жыл бұрын
Ndugai Tutaja Muelewa Parefu Sana Ila Kwa Sasa Shangilieni Hizi Lomoni Hali Ya Nchi Hii Imeshakua ngumu mno Viongozi Hawafikirii maisha ya wananchi
@sniper93999
@sniper93999 2 жыл бұрын
Rest in peace JPM😭
@obedkiswaga2790
@obedkiswaga2790 2 жыл бұрын
Kabisaaaa
@mussasaid284
@mussasaid284 2 жыл бұрын
kusema kweli sijawahi kumwelewa huyu mama,sitakagi hata kumsikiliza,hoja ya ndugai ipo sawa
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm 2 жыл бұрын
CCM OYEEEE!!!!!
@abdulatiftu9836
@abdulatiftu9836 2 жыл бұрын
😪😪😭😭😭😭😭😭😭
@scorasticaclement6308
@scorasticaclement6308 2 жыл бұрын
R.I.P JPM
@magomakabanja480
@magomakabanja480 Жыл бұрын
Huyo Ndo Mama Yetu Samia Suluhu Hassani
@pierrebigirindavyi4378
@pierrebigirindavyi4378 2 жыл бұрын
Nnachokiona mambo bado tu! Everybody sema Magufuli was sent from heaven
@brownchannel7216
@brownchannel7216 2 жыл бұрын
Kwamba magufuli was better mtu amekufa tufocus kwa walio hai
@abdulazizmwipi9295
@abdulazizmwipi9295 2 жыл бұрын
@@brownchannel7216 magufuli nae alkua na yake mengi ila alitumia ubabe kwa vyombo vys habar laiti mngejua
@mwigaramadhani3687
@mwigaramadhani3687 2 жыл бұрын
Mtafukuzana wenyewe kwa wenyewe, mtauwana wenyewe kwa wenyewe,mtapigana majungu wenyewe kwa wenyewe tafakuri 🙆🙌😃😃😃🏃
@dorahy1579
@dorahy1579 2 жыл бұрын
Mumezoea kuuwana. Labda mnatafuta.mwingine.
@salehewaziri8231
@salehewaziri8231 2 жыл бұрын
Raisi wetu alikufa
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
Mungu tunakuomba rejea Tena kwenye Taifa letu la Tanzania
@charlesngwembele4541
@charlesngwembele4541 2 жыл бұрын
Mungu yuko nasamia ssh we uko wap
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Labda aje kuongoza ww ndani mwako
@Dantaata
@Dantaata 2 жыл бұрын
Amanaa
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
@@mudighurayra Asante
@neemajulius1256
@neemajulius1256 2 жыл бұрын
@@charlesngwembele4541 Kama yupo naye Ni vzr
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 2 жыл бұрын
Sasa wanaimba Nini kama sio kujipendekeza, mama hao hao wanaokuchekelea Ndio wenyewe. Pia sio vizuri kuanza kugombana wenyewe kwa wenyewe wakubwa.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 2 жыл бұрын
Serikali ya michambo na viraza wanashangilia ,nchi hii Mungu awasaidie
@hermanarron5341
@hermanarron5341 2 жыл бұрын
Hayo ndo madhara ya kuwa chama kimoja bungeni mliyataka wenyewe sasa kama wapinzani hawapo ajabu nini kupingana wenyewe,. Mwenyezi mungu anawaona cha msingi mama ili ujue mbivu na mbichi acha uhuru was kidemocrasia kama ukifanikiwa kupita tena bas hakikisha kila mtu anakwenda bungeni kwa jasho lake harali usimbebe mtu 2025 ukawe mwaka wenye manufaa kwa vyama vyote mwenyezi mungu akujaalie akupe karma zaidi ya uongozi walau tukakukumbuke hata kwa hilo asante.
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 жыл бұрын
Nahilo mama halitaki alishawai KUSEMA
@mohammedrajabumwamba1322
@mohammedrajabumwamba1322 2 жыл бұрын
Na ww umepiga mwingi Broo heshma kwako
@hermanarron5341
@hermanarron5341 2 жыл бұрын
@@imranijuma6955 umeona eeh
@hermanarron5341
@hermanarron5341 2 жыл бұрын
@@imranijuma6955 nakubali mzalendo mwenzangu
@jei_maimu6957
@jei_maimu6957 2 жыл бұрын
kbs kaka bigup..acha laana iwatafunee
@jumaothman9449
@jumaothman9449 2 жыл бұрын
Watakuelewa tu hao mama Samia raisi wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania na watakukubali
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
MAMA KAZA BUTI Mwanangu TWENDE MAMA TWENDE KAZI. MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU MBARIKI MAMAAA. 🤝❤
@mr.machange1377
@mr.machange1377 2 жыл бұрын
Laana za Gwajima
@lusajomwaipopo5042
@lusajomwaipopo5042 2 жыл бұрын
Gwajima nae analaana zake za kuona ubunge
@piusimnanka8140
@piusimnanka8140 2 жыл бұрын
Kamwambiye huyo Gwajima wako akupeleke Birmingham...!
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 2 жыл бұрын
Hii ndo Tanzania ya leo😭😭🙏
@esterkilasi5116
@esterkilasi5116 2 жыл бұрын
Mama ata anae kupigia makofi mnafiki tu kwa haoni yaliopo
@assakb6829
@assakb6829 2 жыл бұрын
Ujinga mtupu
@worldhappiness1181
@worldhappiness1181 2 жыл бұрын
I've learned that people will forget what you said, people will forget what you did, but people will never forget how you made them feel.
@socialtv9879
@socialtv9879 2 жыл бұрын
Bonge la Falsafa hili nimelielewa
@immajuzo2440
@immajuzo2440 2 жыл бұрын
Maya angelo
@andrewfrancis8839
@andrewfrancis8839 2 жыл бұрын
Well said
@brownchannel7216
@brownchannel7216 2 жыл бұрын
Maya angelou well said this
@georgemzoo4417
@georgemzoo4417 2 жыл бұрын
Unafiki ni kama rushwa, hauishi,anaye kubali nipe like.....
@shishichocolate140
@shishichocolate140 2 жыл бұрын
Usiseme kila fursa,kuna zingine zinakuja kama fursa kumbe si fursa...spika kasema ukweli ila nafurahia aibu inayompata kwa kuwa Ni mnafiki iyo Ni laana ya Gwajima imeanza kumtafuna
@johnlembo2955
@johnlembo2955 2 жыл бұрын
Aise huu ni ukweli
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WEWE UNAJUWA MAANA YA LANA???
@malyelyemalugu3373
@malyelyemalugu3373 2 жыл бұрын
Mazombi yameanza
@felicianmabepe3958
@felicianmabepe3958 2 жыл бұрын
vip mama ni kama ulijinadi kwa uongozi wa democrasia ,, mbona umeanza kuzuia watu wasiseme,, ukajua urais ni kuimba taarabu et
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kusema hawazuiliwi... Ila kubweka kama Mbwa mtaani, hilo ndio tatizo ! Ila ni stress za 2025!
@ziadasadiki8196
@ziadasadiki8196 2 жыл бұрын
Kusema au Kubwatuka?
@nassirhamad9407
@nassirhamad9407 2 жыл бұрын
Kwani ndugai kasema au kabwabwajaaa ujingaaa tuu
@marymfugwa847
@marymfugwa847 2 жыл бұрын
Leo samia kawa mbogo! Wamepiga mkia tutaona kichwa kinapo inukia.
@imranijuma6955
@imranijuma6955 2 жыл бұрын
Nimefrahi kinyama
@alfredkivuyo2739
@alfredkivuyo2739 2 жыл бұрын
Pole sana mama Tangu umekua rais wangu sijawahi kukuona unaongea kwa hasira mama yangu. Ila mama mungu yupo pamoja ma wewe . Bwana atapigana nao wanaopigana na wewe.
@TamuzaKale
@TamuzaKale 2 жыл бұрын
Na alisema hatobwata. Leo kabwata!
@aasiyaham
@aasiyaham 2 жыл бұрын
Mama hana sera, mama hataki kuambiwa ukweli. Utamtegemeaje ndungai akubaliane na wewe kuuza nchi, wakati mama wewe mwenyewe ulikua unaona Magufuli anavyokusanya hela ya hapo hapo ndani ya nchi kuleta maendeleo ya nchi. Mungu asaidie hiyo 2025 usipite. Aibu kubwa Magufuli hajafa mwaka mama unavuruga kilakitu. 💔
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Ila dini aiongopii kiongoz awez akawa mwanamke...[wanamuoneaa mama]
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 2 жыл бұрын
Old attitude hii ni serikali sio dini
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
@@jasirimjasirimedia7940 ndo manaa nikatunguliza dini .. Uelewwiiii or stresss
@jasirimjasirimedia7940
@jasirimjasirimedia7940 2 жыл бұрын
Ok sawa
@ashaashaashaasha3656
@ashaashaashaasha3656 2 жыл бұрын
Mama la mama chapa kazi Ni kutesa kwa zamu
@mwannemsekalile9633
@mwannemsekalile9633 2 жыл бұрын
Allah atufanyie wepesi inshaallah ktk kazi dadaang, Ris wang tupo bega kwa bega nawe,duaaa pokea sema Ameen!
@edgarnandonde48
@edgarnandonde48 2 жыл бұрын
muheshimiwa bwege mbunge mstaafu wa kilwa alisema mnafukuza wapinzani itafika wakati mtasokolana wenyewe kwa wenyewe mungu mkubwa sana mpinzani hata mmoja hayupo safi sana sisi tumekaa pembeni tunaangalia gem linavyokwenda👏👏👏👏
@amosmichael487
@amosmichael487 2 жыл бұрын
Kweli kabisa namkumbuka sanaaa
@jeresigirya6248
@jeresigirya6248 2 жыл бұрын
Hi ndo Tanzania, but remember 2025 isn't easy as yu think, ...ni kwamb mtu asitoe maoni yake, ...
@zabubamudy126
@zabubamudy126 2 жыл бұрын
2025 mbona mbali ya kesho hatujui.Mwenyezimungu ndio kamweka for a good reason.
@mudighurayra
@mudighurayra 2 жыл бұрын
Me kama mwana nchi wa kawaida nisie na chama sitokubalina na ndugai hta sekunde 1 coz miradi mikubwa tulio kua nayo kwaiyo akisema tukabane wenyewe kwa wenyewe tuta kabwa sie tu na kutokana na ukubwa wa miradi tutakabwa mbka tufe hatuta imaliza, tna kabwa kwenye tozo tu tna lalamika hatar, je wewe utakubal kukabwa kwa kila matumiz ambayo uta tumia
@mohamedimohamedi8933
@mohamedimohamedi8933 2 жыл бұрын
CCM. OYEE
@chrisjacob4057
@chrisjacob4057 2 жыл бұрын
Mhuuuuu nchii yaajab Sana
@rashidiwilliam8469
@rashidiwilliam8469 2 жыл бұрын
Kama nawewe huna stress za 2025 mbona uliyafungia magazeti
@yasintakahamba1320
@yasintakahamba1320 2 жыл бұрын
Yeye mwenyewe ana tamaaa Kama Nini before alisema hawezi kugombea Tena 2025 zaizi anaona Yuko tayari Kwa miaka mingin 5 mbele kasha lewa na madaraka tayari
@abuyunusmohamed6961
@abuyunusmohamed6961 2 жыл бұрын
Mama huyo aliyekupa nasaha sio kaka yetu wa awamu ya nne?
@emmanuelgwaay4773
@emmanuelgwaay4773 2 жыл бұрын
Shika adabu wewe
@mussasaid284
@mussasaid284 2 жыл бұрын
ahahaaaa mwenyewe banaaaaaaa
@gwajetheentertainer363
@gwajetheentertainer363 2 жыл бұрын
SABUFA ANACHAMBWA😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@esteralbert4720
@esteralbert4720 2 жыл бұрын
😅😅
@rosemuhandoofficial5676
@rosemuhandoofficial5676 2 жыл бұрын
SUBARUUUUUU
@btsanime6138
@btsanime6138 2 жыл бұрын
Mzee upara kama panya buku kwa sasa yuko mbwiiii Ndugai out.
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 2 жыл бұрын
Mama Mungu yupo na wewe
@ilhamissa5799
@ilhamissa5799 2 жыл бұрын
Afrika tumejaliwa utajiri lakini tumenyimwa viongozi, tunahitaji viongozi km JPM watakao tuvusha ktk bahari hii iliyojaa dimbwi la umaskini. Bidhaa zote zimepanda bei badala ya kudhibiti mfumko wa bei wao nikurumbana, wanacheza na akili zenu ili mpoteze muda kujadili watu badala hoja.
@storytownTv
@storytownTv 2 жыл бұрын
Sasa Mungu anawapa mabeberu wanamuuwa ..
@ilhamissa5799
@ilhamissa5799 2 жыл бұрын
Usemavyo uko sahihi ila hao mabeberu kuingia ndani wanafunguliwa na watu miongoni mwetu hivyo wauwaji wa kwanza ni watanzania wenzetu wanao shawishiwa na mabeberu kwa tamaa zao kufanikisha matakwa yao.
@sixbertmwakaluwa5665
@sixbertmwakaluwa5665 2 жыл бұрын
Mama nchi imepiga teke
@Anonymous00018
@Anonymous00018 2 жыл бұрын
Wachambe mpaka wanyooke pumbavu zao hao, ukimaliza kazi iendelee
@jayjay4313
@jayjay4313 2 жыл бұрын
😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂, Si kwa kuupiga huko.
@eliaspeter4017
@eliaspeter4017 2 жыл бұрын
Hahahaha hahahahhaha mama yetu anatupia mipasho kwl kwl nchi yetu buana raha sana
@evalineemmanuel8178
@evalineemmanuel8178 2 жыл бұрын
asemetu ukwel kashindwa kuvumilia kamua kutema nyongo
@rigobertjohnson7631
@rigobertjohnson7631 2 жыл бұрын
Rest in peace mangu😭
@TemwaJilaha-vw9md
@TemwaJilaha-vw9md Жыл бұрын
Nani kama mama jamani hakunaga bac wamwache atupikie ugali watoto tule sindio jamani anae mkubali rais samia kama anavyo mkubali mama yake mzazi like
@mosesdouglas7902
@mosesdouglas7902 2 жыл бұрын
Kazi iendelee 👍👍👍 .Na kumaliza fitna kabisa lete katiba mpya
@ochuanibal2270
@ochuanibal2270 2 жыл бұрын
R I P MAGUFURI REST EASY HERO
@WAASINASTYCRAZY
@WAASINASTYCRAZY Жыл бұрын
ndungai point yake ni kwamba serekali iwaminye wanach< yani kheri mama anaonea huruma wananch kuliko ndungai anasema tutoze wananch maanayake walete pigo zakishamba za kudai kodi zauongo na ukweli huku wakiwashikia wanach bunduki,kama enzi za magufuri kuna watanzania walijiua kwa kudhurumiwa,kheri mama kuliko huyu ndungai ,kwa ndungai mtalimia meno,bimkubwa tunakuelewa endeleza harakati@Manmasamia suruhu
@jumakapesa5289
@jumakapesa5289 2 жыл бұрын
Umeongea kama mkuu wa nchi hukupita pembeni. Spika ashike adabu. Hatupotayari kututukania Rais wetu tena hadharani kha!!
@salumugidion
@salumugidion 2 жыл бұрын
Spika ameonyesha udhaifu wa hali ya juu. Alikosea sana kuomba msamaha. Alikuwa ameongea ukweli. Huyu ameenda njia ya tofauti na Magufuli ya kujitegemea. Tatizo la AFRIKA RAIS anashikiliwa kama ka mungu mtu fulani hivi. Njoo Marekani hapa uone jinsi wabunge au Spika wanavyompa RAIS wakati mgumu akifanya ujinga. Na hiyo haijalishi ni wa chama tawala au upinzani. Huku ni maslahi ya nchi kwanza 💪🏿
@mussasaid284
@mussasaid284 2 жыл бұрын
nyanoko
@mwinyikadhi2870
@mwinyikadhi2870 2 жыл бұрын
Duh siamin ninayoyaona nchini mwangu 😭😭😭😭😭😭😭
@piusimnanka8140
@piusimnanka8140 2 жыл бұрын
Unalia ujinga wako ...kenge wewe...mwacheni mama afanye kazi.... zama zenu za kidicteta zimeisha...!
@saidabdillahi8107
@saidabdillahi8107 2 жыл бұрын
Choweyaaaaaaaaaa Mheshimiwa Rais eeee Choweya weeee
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
Speech inaendeleaa mnaanza kuimba kwayaa ..
@georgekimasaofficial1629
@georgekimasaofficial1629 2 жыл бұрын
Mama anazani wanavyo muimbia wanampenda kumbe ni unafiki tu 😂😂😂
@danieljs4285
@danieljs4285 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Ninyi msijali, Mama anawajua wote ! Na bado kalamu itaongea ✍️✍️✍️
@salim02tv24
@salim02tv24 2 жыл бұрын
@@georgekimasaofficial1629 kabissaaa ..unafki m2p
@ericapingi8354
@ericapingi8354 2 жыл бұрын
Kwa uncle Magu hakuwa hayo yote. Mama aongeze ukali
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Жыл бұрын
Safi Sana Mama barikiwa daima mwenyez mungu mwingi wa rehema akutangulie nchi ina Amani
@michaelkibago7331
@michaelkibago7331 2 жыл бұрын
Our country Tanzania
@erickmichaelmugele2107
@erickmichaelmugele2107 2 жыл бұрын
Mama anashikilia pale pale..... Job na genge lake kazi wanayo.... Baada ya shule ya uongozi waliyokuwa wanaifadhili kupigwa PIN wameanza kutoka hadharani akina Job na Genge lake
@mozasalum9715
@mozasalum9715 2 жыл бұрын
🖐
@pavillioncry5241
@pavillioncry5241 2 жыл бұрын
Kweli mzee umeongea fact kabisa
@Waberoya
@Waberoya 2 жыл бұрын
polepole hana uhusiano na ndugai
@abedinegoelias9616
@abedinegoelias9616 2 жыл бұрын
Natamani spika atoke nae ajibu hiz hoja, huyu hangaya hamna kitu kabsaa..!
@williammussa5621
@williammussa5621 2 жыл бұрын
Kassim hajavaa barakoa 👏
@sitivenwambura9508
@sitivenwambura9508 2 жыл бұрын
God help us, kazi iendelee
@hermanarron5341
@hermanarron5341 2 жыл бұрын
Adui hatoki mbali hata kimvuli chako ikifika giza kitakukimbia usiwaamini sana binadamu kama magufuli aliwaamini akawapa wadhifa wa juu leo wamemgeuka wamesahau yote aliyowaagiza enzi za ubai wake mungu yupo kazini tutaendelea kuyaona mengi lakini tunakuomba usimame imara
@kamurashinji4575
@kamurashinji4575 2 жыл бұрын
Namwelewa Sana'a mama
@mussankungu3701
@mussankungu3701 2 жыл бұрын
Sijui huna dini toka lini mwanamke kua kiongozi kama sio tamaa na ukifa utajibu mbele ya mungu ukumbuke magu alikuwepo na sasa hayupo hata wewe utiacha nchi tu utakufa ila hapa ringa tu jifaharishe but ila mungu anasema kila nafsi itaonja umauti
@alymansury
@alymansury 2 жыл бұрын
Kwan hiii ni nchii ya dini setikali hiii haina dini mkuu
@husseinloyy1912
@husseinloyy1912 2 жыл бұрын
RIP.... john pombe magufuli tutakukumbuka kwa kudhibiti matumizi yasyoyalazima
@rajahgajendra4740
@rajahgajendra4740 2 жыл бұрын
Tunakupenda sana mam yet mungu akujaalie katika mafanikio yakoo na yawatanzania
@kalungiangelo5733
@kalungiangelo5733 2 жыл бұрын
Mama kazi iendelee
@daniellema175
@daniellema175 2 жыл бұрын
Hii inchi bado kuna shida kubwa sana, yaani 2021 akili zote na masikio yameshahamia 2025 kwenye uchaguzi!?? Ni nani sasa anawaza maendeleo ya nchi?
@aasiyaham
@aasiyaham 2 жыл бұрын
Na hopo hapo anajidai hawazi 2025. Mama anaaibisha kwakweli. Na aibu zaidi ni pale yeye mama alikua Bega kwa Bega na Magufuli sasa anafanya vitu kama hakuwepo. Dah! Mwanaadamu basi!
@mzungu2012
@mzungu2012 2 жыл бұрын
Malumbano kati yako na Mh. Spika hayana maana yoyote. Kujibizana kwenye majukwaa hakuna maana yoyote. Ni kama kuna kamchezo tu, kila mmoja ana access na mwenzake. Kungekuwa na la maana mngetafutana mkazungumza kwa manufaa ya nchi. Lakini pia kwa upande mwingine nafikiri yalikuwa maoni yake tu, wala yasingetuyumbisha kama taifa. Kwanini kuwe na hofu pasipo na hatari yoyote?? Yapo mambo ambayo alipaswa kuhoji na muhimili anaousimamia kwa manufaa ya wananchi na ni wazi yangehitaji majibu ila si hili la maoni binafsi. Tulipaswa kujua zaidi kuhusu mfumuko wa bei, KWANINI VITU VIMEPANDA BEI? MAFUTA YOTEYOTE, VIFAA VYA UJENZI n.k .....SIO HAYA MAIGIZO
@johnsonmashauri63
@johnsonmashauri63 2 жыл бұрын
Haya ndio mamlaka makubwa kupitiliza ,ndio maana tunataka katiba ,inamaanisha mtu au kiongozi yeyote hawezi kutoa maoni au ushauri wake ,kweli nimeamini maneno ya lema ,nchi hii bado tuko nyumba ktk siasa
@jaliabahat1520
@jaliabahat1520 2 жыл бұрын
we Tanya kazi achananao mungu atawajibu ndugai ndomaana ngozi yake ya mwili Kama papai lililoiva
@arafatmursal3072
@arafatmursal3072 2 жыл бұрын
Bravo mama you’re giving hope to this country! 👏🤝 piga kazi wananchi tuko na wewe
@nassirali7499
@nassirali7499 2 жыл бұрын
Dah! Siamini ninachosikia! Ila Mama Uyo kiongozi wa muhimili si alikuomba radhi! Sasa mbona unamchamba kiasi hicho? Si ungefunika kombe tu?
@asiakheir8684
@asiakheir8684 2 жыл бұрын
Lazima wananchi wasikie
@domymerinyo8165
@domymerinyo8165 2 жыл бұрын
Wasikie nini mtu mzima harudii
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Lazima tusikie maana Ndugai ametuvuruga...
@GloriousRestorationTV
@GloriousRestorationTV 2 жыл бұрын
Ndugai ni mnafiki....
@edwinmanyory2694
@edwinmanyory2694 2 жыл бұрын
taarabu hadi huku mmmh ya mondi bora nikae kimya
@mannabu9333
@mannabu9333 2 жыл бұрын
Awamu ya vichambo khadija kopa na Mzee Yusuf maana mpaka kiuno kashika cmchzo 😀😀😀
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Kuwa na adabu, ndugu... Kama humheshimu Rais kwa mamlaka aliyonayo, basi mheshimu kwa umri wake... Vinginevyo, utadharauliwa huko mbeleni, maana malipo ni hapa duniani!
@bongoupdatestv9322
@bongoupdatestv9322 2 жыл бұрын
🤣🤣🤣
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@j.c.maxima816 MTOTO WA HARAMU HUYO HANA ADABU KABISA.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
WEWE ABU WAZEE WAKO HAWAKUFUNDISHI ADABU TULIA SERIKALI ITAKUFUNDISHA.
@ayubuemanuel638
@ayubuemanuel638 2 жыл бұрын
Tarehe 17/3/2021 nisiku ya maombolezo tuunganeni watanzania wote kwa kumkumbuka kiongoz wetu aliyetutetea wanyonge aliyetupelekea umeme kwa 27000. Alietutetea machinga wote. siku hiyo niyamuhim sana kwetu watanzania wanyonge. Rip magu
@fafanua
@fafanua 2 жыл бұрын
Mama Raisi! Go girl!
@amirinyaki1057
@amirinyaki1057 2 жыл бұрын
Hii nchi imekua ya kuchambana sasa
@jonathan39046
@jonathan39046 2 жыл бұрын
Cbamba chamba!!!😂😂😂😂
@j.c.maxima816
@j.c.maxima816 2 жыл бұрын
Ndugai kalianzisha! Sasa atakiona cha moto!
@kombedavis4056
@kombedavis4056 2 жыл бұрын
R.I.P JOHN JOSEPH MAGUFULI.....kiongoz wa mfano muda wote mzalendo wa kwel na msema kwel daima!.....daaah hawa ndio WATUMISHI waliokua wamemzunguka kamanda wetu MAGUFULI, unafiki mtupu! hyo mikofi wanayopiga hapo ni unafiki mtupu!
@bennyngoye8707
@bennyngoye8707 2 жыл бұрын
jamaa ni wanafiki sna.
@davidsika5292
@davidsika5292 2 жыл бұрын
Hayo yooote alileta huyu rip wenu alileta chama cha kijani kijae ndo matatizo yenywee
@aminaam281
@aminaam281 2 жыл бұрын
Umesema haswaa,pia wawe wanapitia comment zetu
@salimmalaka256
@salimmalaka256 2 жыл бұрын
@@davidsika5292 MAGU MWENYEWE MNAFIKI.
@davidsika5292
@davidsika5292 2 жыл бұрын
@@salimmalaka256 kabisaa ndiye aliharibu mambo mengiiii
@iddyabdallah1673
@iddyabdallah1673 2 жыл бұрын
Kimeumana uko kazi kwenu si bado tunaishi muhimu pumzi Allah katupa
@SeluSelu-lc8rp
@SeluSelu-lc8rp 2 жыл бұрын
Mama Allah akulinde pole sana na kaz nakuombea kila sku Allah akuvushe salama na akufungulie njia
@dianamwalongo9732
@dianamwalongo9732 2 жыл бұрын
R I P jembe ulisema tutakukumbuka kweli tunakukumbuka, Raha ya milele umpe ebwana apumnzike kwa Amani baba John.
@ufugajiwetu7782
@ufugajiwetu7782 2 жыл бұрын
Safiii Sana'a Mama, Kaziii njemaa
SPIKA NDUGAI ALIVYOMTOA NJE MBUNGE CONDESTER - "NENDA KAVAE VIZURI"..
4:50
Red❤️+Green💚=
00:38
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 51 МЛН
Can You Draw A PERFECTLY Dotted Circle?
00:55
Stokes Twins
Рет қаралды 38 МЛН
KAULI YA NDUGAI KUHUSU MIKOPO  ''WAMETUFANYA SISI MAZEZETA ''
7:46
MGOMBEA USPIKA ALIVYOWAKOSHA WABUNGE, ATUNZWA PESA
14:14
Millard Ayo
Рет қаралды 497 М.
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 571 М.
Ruto's Biggest Mistake Firing Attorney General Muturi?
14:27
KimathiTV
Рет қаралды 243 М.