Mstaafu Kikwete awachana CCM mbele ya Rais Samia | Amtaja Dk Bashiru "Sijui kama yuko tayari"

  Рет қаралды 281,382

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Жыл бұрын

#LIVE🔴 Rais Samia anashiriki kwenye Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM - JKCC, DODOMA
#CCM #MkutanoMkuuCCM #EastAfricaTV
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 486
@merinankullua5874
@merinankullua5874 Жыл бұрын
Mungu tusaidie ,hawa watu wako kwa maslai yao tu ,hawaoni shida za wananchi ,
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
mungu tupe uvumilivu maana tunayoyaona ni majabu tu ila yanamwisho wake
@davidmpiluka5224
@davidmpiluka5224 Жыл бұрын
Ukweli ni kwamba, wapo wana CCM wazuri zaidi na wenye Uzalendo wa kweli zaidi kuliko waliopo.
@peterpetermdaku1691
@peterpetermdaku1691 Жыл бұрын
Waziri mkuu chukua fomu😎✌️
@mariamfaicalhassan2890
@mariamfaicalhassan2890 Жыл бұрын
Waziri mkuu ni bendera huyo
@samateryusuf4345
@samateryusuf4345 Жыл бұрын
Waziri mkuu aliyedanganya msikitini siku ya ijumaa kusema kuwa magufuli Bado Yuko hai?
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Huyo ni walewale tu
@bwagizoselemani8434
@bwagizoselemani8434 Жыл бұрын
Approximately million 900 imetengwa kwajili ya sherehe wakati wananch tunaish maisha magumu maji shida umeme shida vyakula vipo bei ghali lakini viongoz wao wanaongea mambo mengine ambayo hayana msingi kiukwel tupo katika wakati mgumu sana
@PeterNMzee
@PeterNMzee Жыл бұрын
Bashiru anapata hard time ku cope..... Lakini wa TZ mkiwachagua hawa ntajua kweli sisi ni viazi mviringo
@ellymakongo656
@ellymakongo656 Жыл бұрын
Vya chips kabisa 😂
@ehecodecbo4081
@ehecodecbo4081 2 ай бұрын
Huyu ni mwanasiasa
@peterchapusa2972
@peterchapusa2972 Жыл бұрын
The spirit of Magufuli will forever remembered ....
@deusalloyce6124
@deusalloyce6124 Жыл бұрын
Kweli magufuli was the best president in Tanzania.
@user-pn3hk3rq3o
@user-pn3hk3rq3o 7 ай бұрын
His contributions to Tanzanians will remain live except to those who missed his reign
@consolatamnaku9401
@consolatamnaku9401 Жыл бұрын
Na tutaisoma kweli tulikichagua wenyewe hiki chama, lakin mje basi na fact point ya kwa Nini Samia agombee mwaka 25
@charlesmapunda5905
@charlesmapunda5905 Жыл бұрын
Wapumbavu wa kufikiria na kuchanganua hoja na midahalo mbalimbali lazima wakurupuke na kumuona Dr Bashiru kaharibu badala kuchukua hotuba yake kama kachangamoto yakuifanyia kazi ili kuwaziba wakulima midomo sasa wao wanataka kuwafanya Watanzania kuwa ni Mapimbi wa kuwaburuza kama watu wasio jitambua.
@enockkibona7522
@enockkibona7522 Жыл бұрын
Sema bro umeongea vizuri sana,
@juliuskenyatta5037
@juliuskenyatta5037 Жыл бұрын
Kikwete is a shame to Africa. He can now have a chance to address an audience after DKT Magufuli. We lost Dkt. Magufuli, the true Son of Africa, but his spirit lives on. Tanzaznians must replace this current sell-out administration with another Magufuli. Kikwete needs to disappear into oblivion. Nobody wants to see this Kikwete face. Despicable.
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Kabisa kabisa..Kumbe umeliona hilo kaka yangu from +254…🤝
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Wewe julius kenyatta concentrate with your damaged country.Tanzanians we re happy with our peace and respect and oneness that Mwalimu left us with.Not like your names sake kenyatta who didn't concentrate to unite you guys.Have respect for our leaders The same kikwete you re talking I'll of him he s the one who initiated peace talks between kibaki and Raila when your country was torn apart in 2007/2008.
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Wewe julius kenyatta concentrate with your damaged country.Tanzanians we re happy with our peace and respect and oneness that Mwalimu left us with.Not like your names sake kenyatta who didn't concentrate to unite you guys.Have respect for our leaders The same kikwete you re talking I'll of him he s the one who initiated peace talks between kibaki and Raila when your country was torn apart in 2007/2008.
@amiriadam9730
@amiriadam9730 Жыл бұрын
Live long Dr Kikwete,live long Our President Mama Samia.
@amiriadam9730
@amiriadam9730 Жыл бұрын
Remain with your Old Nairobi let us proceed with building out Nation.❤🇹🇿
@aminaomary5567
@aminaomary5567 3 ай бұрын
Kweli kabisa mzee Kikwete❤❤❤
@hoseakavubu2844
@hoseakavubu2844 Жыл бұрын
Tumamtaka Waziri mkuu
@giftsokolo3
@giftsokolo3 Жыл бұрын
Mweeee cjawai barikiwa na huyu cjui kwa nn Mungu nisamehe tu ☺️
@jumambaji9059
@jumambaji9059 Жыл бұрын
Huyo aliye huru ndo kale mambo ambayo miaka 60 mmeshinda acheni ujinga we kama awamu yako imeisha siutulie usubirie kufa tu mungu yupo na zamu yako itafika tu
@tanzanitejoshua3681
@tanzanitejoshua3681 Жыл бұрын
Kaota mapembe RIP MAGU uvivu wa kuamka ndo nakumbuka ilikuwa kauli yake ya kwamba kila siku lazima nipigiwe simu ili nikafanye kazi fulani yaan shidaaa ukombozi wa fikra
@simonpaul9022
@simonpaul9022 Жыл бұрын
Hatumtaki samia wako mzee maana co mzalendo ,tunamtaka majaliwa pia na jatiba mpya iwepo
@isaliisu3408
@isaliisu3408 Жыл бұрын
Kama unamtaka majaliwa mwambiye akuowe kwa sasa Rais ni mama Samiya huna maamuzi yakutuchaguliya
@najmamussa
@najmamussa 7 ай бұрын
Kabudi ndy zaidi
@lucaschisamalo2852
@lucaschisamalo2852 Жыл бұрын
Tunakazi kubwa hawa watu labda miaka 2000 ndowatatoka madalakani wanatumia nguvu kubwa hapo tu wametumia Kodi zetu mungu tu atusimamie
@ludigomhagama4023
@ludigomhagama4023 Жыл бұрын
Magu atakumbukwa daima. Hap hakuna kitu kabisaaa
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Жыл бұрын
Kutaka uraisi ni dhambi? Mwenyekiti kama anaouwezo wa kisiasa na anakubalika si mchakato upigwe mbona anatetewa kwa nguvu
@ayurekituz736
@ayurekituz736 Жыл бұрын
Mazoea ni mabaya sana so support president kikwetefo his brilliant sentiments in terms of Tanzania democracy.
@ayurekituz736
@ayurekituz736 Жыл бұрын
Wazi Raisi Kikwete ,wakenya tunamtakia heri na baraka Rais mama Samia.Peleke Bono mbele na maisha bora kwa Watanzania
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 Жыл бұрын
Ya kaisali muachie kaisali na yaliyo ya mungu muachie mungu sasa we mkenya chamgamoto za watanzania hauzijui ebu jifunze kukaa kimya sio kila kitu lazima uchangie
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Sio kweli
@cricwambali1352
@cricwambali1352 Жыл бұрын
Namuona polepole akigombea upande wa pili patakua patam hapoo na hivi umeme wa shida kwa mtaa kazi mnayo
@kennywilliam2466
@kennywilliam2466 Жыл бұрын
Kweli ni kazi ngumu sana mnayoyoifanya ccm kwenye nchi hii kuifanya dunia kuwa kijiji hii ni sawa na mnafturu mchana ndani ya chumba chenye Giza katika mwezi mtukufu wa ramadhani mw.mungu ashughulike na nyie maana mioyo yenu imebeba maovu ya mengi sana!!
@alijuma8009
@alijuma8009 Жыл бұрын
Jaji warioba mwanachama asieweka mbele Imani ya form za CCM
@emmanuelmwakyusa8206
@emmanuelmwakyusa8206 Жыл бұрын
Good president kikwete ...vry transparent
@josephjohn6783
@josephjohn6783 Жыл бұрын
Wazili mkuu Kusema ukweli Anafaa. Sana Anamusimamo
@marcodomnick8122
@marcodomnick8122 Жыл бұрын
Oko sawa
@yakobojoseph965
@yakobojoseph965 Жыл бұрын
We jikute tu, ipo siku nawe itabaki historia........ Pumzika kwa amani Mzee wetu😭😭
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Huyu Samia huyu mhuuuuu aya bwana pumzika kwa amani magu😭😭😭😭😭😭
@swimmermoddy3263
@swimmermoddy3263 Жыл бұрын
Yani inanichoma hadi leo hata kesho
@FrorencioArbertoArberto-ij3km
@FrorencioArbertoArberto-ij3km Жыл бұрын
Nakukubali sana kiongozi,
@user-pn3hk3rq3o
@user-pn3hk3rq3o 7 ай бұрын
Impressive service
@yassinphonyogo2347
@yassinphonyogo2347 Жыл бұрын
huku umeme hakuna mvua zina nyesha maji yana pungua
@mrnobody-qg6ed
@mrnobody-qg6ed Жыл бұрын
Wanalazimisha mtu yeyote asijitokeze kuwania urais kazi kweli kweli
@froma3732
@froma3732 Жыл бұрын
Halazimishi ndio wanavojipanga miaka 10
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 Жыл бұрын
Wanalijinda wao na maali zao
@djnnyandboy564
@djnnyandboy564 Жыл бұрын
R.I.P Mfalme wetu JOHN POMBE MAGUFURI kwan umetuachia viongozi MAANDAZI kwan wanasifiana kwa upuuzi wanao ufanya
@Silay1034
@Silay1034 Жыл бұрын
Mfalme wa mamako ndoman mbwa we kmy mfuate huko akukanyage maana naona waumia
@aishaalbalushaishabalush8291
@aishaalbalushaishabalush8291 Жыл бұрын
sana maghufuli king wa Africa nzima hakuna wakumfikiya baba yule kwa mazuri yake mashetan yanajitahid kumchafuwa ila wapi
@djnnyandboy564
@djnnyandboy564 Жыл бұрын
Halafu ujue kitu kimoja au vp sijapanda jukwaan kwa ajil ya kutukanana sawa, ungejibu kistarabu au vp usitake kunitafutia/ kuniweka kwenye kundi lisilo faa sawa narudia usiniweke kwenye kund la wahun, replie tena
@sankeabeli6692
@sankeabeli6692 Жыл бұрын
Nakupenda Sana mweshimiwa,k Wakanye sanaaaaaa
@ashiyafarid9122
@ashiyafarid9122 Жыл бұрын
Rip jpm, Tz inako elekea Mungu aisadiye
@saimonwatanzaniatanzania1436
@saimonwatanzaniatanzania1436 Жыл бұрын
Wao
@lugelosanga5798
@lugelosanga5798 Жыл бұрын
Naona Giza mbele
@willylazarusmwaigwisya2683
@willylazarusmwaigwisya2683 Жыл бұрын
Wakati umefika mwananchi arudishiwe nguvu zake na nguvu ya mwannchi ni sanduku la kula apige kura ihesabiwe ithamiwe na itangazwe kama alivyo piga hii ni ndani ya vyama na nje ya vyama itaondoa uongo uchawa, kwa wanaotaka uongozi ndani ya chama wajijenge kwa wanachama na kwanwaotaka uongozi nje ya chama basi wajijenge kwa wananchi. Kwa hali ilivyo sasa watu wanajijenga kwa viongozi kwa umbeya uchawa kawasabu mwanachama/mwananchi amepokonywa haki yake ndiyo maana wanasusa kupiga kura.Msiposikia hili endeleeni na siasa zenu wengine tubaki wakimbizi nchi yanu
@sharifuamuri4638
@sharifuamuri4638 Жыл бұрын
Akili nyingi safi kula chochote nakuja kulipa
@humphreymsengi6686
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
@@sharifuamuri4638 🤣🤣🤣🤣
@humphreymsengi6686
@humphreymsengi6686 Жыл бұрын
Aisee umeongea kwa uchungu sana. Mungu sio Mwanadamu, siku moja atajibu.
@abelmirwatu544
@abelmirwatu544 Жыл бұрын
Yani mnawaza uchaguzi wakati umeme na maji ni shida hapa Tanzania dah! Mungu atawaukumu kama wakishindwa watanzania.
@thomastarimo
@thomastarimo Жыл бұрын
Kaka yangu magu hapo ulipo lala mungu apawekehe uliizi wa malaika wake kaka magu nakukumbuka sana kutokana na ubebari mkubwa uliorudi hapa kwetu kaka magu kamwe siwezi kukusau kaka
@marrymenas
@marrymenas Жыл бұрын
Hivi hayo makofi yanayopigwa ni ya watu au makofi yaliyorekodiwa kwenye tafrija flan?! Hayahusian kabisa na vitisho vya huyu mzee
@bonifacekalima5273
@bonifacekalima5273 Жыл бұрын
Mhh umeliona hilo
@hassnsalim5156
@hassnsalim5156 Жыл бұрын
SANAA IENDELEE Makundi oyeeee
@sweetbertkikarugaa8814
@sweetbertkikarugaa8814 Жыл бұрын
Tushawachoka Ila bc atunanamna yakufanya,
@JacksonNovatM
@JacksonNovatM Жыл бұрын
Namna ipo
@benedictmhina8880
@benedictmhina8880 Жыл бұрын
Hakuna namna
@herrysonk.edward609
@herrysonk.edward609 Жыл бұрын
Usiseme hiko kitu namna tunayo tena kubwa tuu
@lawrencemagwaja6746
@lawrencemagwaja6746 Жыл бұрын
Haya bwana
@jumaothman9449
@jumaothman9449 Жыл бұрын
Dr. Jakaya Kikwete mimi nakukubali sana na ingekuwa katiba yaruhusu ningekuomba ukarudia tena kutuongoza watanzania.
@tonnyojambo1731
@tonnyojambo1731 3 ай бұрын
Mpumbavu wewe😅
@joezeno8
@joezeno8 3 ай бұрын
@@tonnyojambo1731😂😂😂😂😂😂
@heronimomsefya3190
@heronimomsefya3190 Жыл бұрын
Safi Sana
@mohamedkigwehe3561
@mohamedkigwehe3561 Жыл бұрын
Tumewachoka na serekali yenu wallah hakki hamna watu tunatepeliwa live kabisa unapeleka kesi police unajutiya kupoteza mda wko wallah hiki chama chenu wan day hakki zitakuja kupatikana tu mm ninakesi mpaka Leo ipo pale mbarahati kituo Cha police kesi ipo wazi lakini mpaka Leo ziro point ziro
@eliyagervas8680
@eliyagervas8680 Жыл бұрын
Mungu atakusaidia aisee, pole sana
@mauridjuma8806
@mauridjuma8806 Жыл бұрын
usichoke mungu hajawahi kumtupa wake amini tu utajibiwa. MUNGU ajibu hitaji lako amen
@eliusngereza156
@eliusngereza156 Жыл бұрын
2025 tumtangulize mungu tu ajibu maombi ya watanzania basi
@alfanmussa3041
@alfanmussa3041 Жыл бұрын
Yetu macho
@deograsiamgeni5716
@deograsiamgeni5716 Жыл бұрын
Mnajali kamati kuu ya ccm na siyo Watanzania wote.
@jafaryjey
@jafaryjey Жыл бұрын
Yaani mkija kumwacha mtu ambaye siochaguo la wananchi agombee nitawaona wapuuzi sana, Kikwete usitutishe, Samia ni Rais wetu but she is not our choice it was MAGUFULI, So muhula ukiisha tunataka waheshimiwa wagombee ili tupate chaguo letu msitake kutulazimisha
@samwelsimon4800
@samwelsimon4800 Жыл бұрын
Wakati wa mungu utafika TU watanzania wapo misri wakiteswa na farao ipo cku Moja mungu atamwinua Musa mwingine wa tatu
@jafaryjey
@jafaryjey Жыл бұрын
@@samwelsimon4800 umeona eeh!
@hajnuabam452
@hajnuabam452 Жыл бұрын
Mzee baba upo vzr
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 Жыл бұрын
Badilisheni katiba nchi inaenda pabaya inaliwa mbaya badilisheni uongonzi maana hii ni bara siyo nzanziber
@photopicha8298
@photopicha8298 Жыл бұрын
Very good Dr jk
@davidchungu6598
@davidchungu6598 Жыл бұрын
Kikwete Ukweli Mtupu Wewe na Genge lako Mnaliharibu Saaana Taifaletu. Na Mungu Atawaona Kama Siosasa Hapa Duniani Basi Huko kwa Mungu
@mussamkali9926
@mussamkali9926 Жыл бұрын
Jakaya top in tz
@samwelipima3795
@samwelipima3795 Жыл бұрын
RIP JPM tutamkumbuka uozo umeludi wapigaji wapo kazini mama nchi umeludi kwa majangili
@omarypongwa9246
@omarypongwa9246 Жыл бұрын
Wewe msukuma hebu tulia
@FerdinandMatangalu
@FerdinandMatangalu 3 ай бұрын
Hongera sana mh kikwete
@joshuamwambene2874
@joshuamwambene2874 Жыл бұрын
MUNGU wetu yupo
@alimussa2655
@alimussa2655 Жыл бұрын
Ndio maana kamuondoa magufuli
@priscargodwel3794
@priscargodwel3794 Жыл бұрын
Kelele zikizidi anguko lakaribia
@chujimustafa7209
@chujimustafa7209 Жыл бұрын
Mungu akubaliki sana tunakukubali sana
@abednego3876
@abednego3876 Жыл бұрын
Ww na nan
@PeterNMzee
@PeterNMzee Жыл бұрын
Sema mimi
@kefajoseph158
@kefajoseph158 Жыл бұрын
Kumbe mjinga umebaki wewe tuu
@njemamehuna9821
@njemamehuna9821 Жыл бұрын
Next time,pata akili siku nyingine usirudie kutumia we kwenye me
@antoymaritini571
@antoymaritini571 Жыл бұрын
Waziri mkuu chukua fomu🙏🙏🙏🙏🙏
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Hata akichukua fomu lazima aifate katiba ya ccm kama inavyotaka
@kellyngogo3319
@kellyngogo3319 Жыл бұрын
Baelezee hawajui wanajiropokea nani atampa huy
@millandoinstructor8844
@millandoinstructor8844 Жыл бұрын
Mbona watu hamtaki kustafu...
@ignasnyembo1256
@ignasnyembo1256 Жыл бұрын
Ajali ya watz ndio huyo
@jumakapesa2940
@jumakapesa2940 Жыл бұрын
Sijawahi kumsikia kikwete akiwa mkali namna hii.
@mateikihoi8125
@mateikihoi8125 Жыл бұрын
hayaaaa
@user-zu9jg8hx5l
@user-zu9jg8hx5l 7 ай бұрын
Humble style of leadership is not the good way of effective impact that is why every sector was very weak! RIP MY FAVOURITY PRESIDENT JOHN POMBE JOSEPH MAGUFURI
@masanjapaulo109
@masanjapaulo109 Жыл бұрын
Kweli sisi wagangaa njaa sasahv
@simonsadala2386
@simonsadala2386 Жыл бұрын
Mungu simama na Taifa letu maana kila kona wananchi wanalalamika
@stephenmseti5539
@stephenmseti5539 Жыл бұрын
Tuunganishe nguvu yetu kama nchi zingine. Huu ujinga wa kurithishana utawala eti destury yao wakati mtu hatuna furaha zaidi wananeemeka wale walichonacho. Nchi inatawaliwa na ujinga uliopitiliza. Huyu mama sio Rais wangu
@kabakajuma9768
@kabakajuma9768 Жыл бұрын
mzee unamdanganya huyo mama eti anakubalika mmmmhh labda msifanye uchaguzi wa haki na huru kama mko serious nchi hii anayeweza kukubalika nchi nzima kwa kishindi ni mmoja tu Kasimu
@petersarwatt9127
@petersarwatt9127 Жыл бұрын
Wewe mbn nchi ilikushinda Leo ndo unaweza
@isaackalenge8194
@isaackalenge8194 Жыл бұрын
Kama Haki itatendeka Haiwezi kushinda,Maisha ya wananchi wa kawaida wanashida sana,
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Жыл бұрын
Sasa ongeeni tu baada ya mwanaume JPM kuondoka ,kikwete hatukupendi na unajua
@iddmlenga1762
@iddmlenga1762 Жыл бұрын
Wananch hawajatajw hat kidog..they think how to win only not for the rest of the civil ...duh
@babyrasta9685
@babyrasta9685 Жыл бұрын
Apo nimemuona Raisi wangu Mtaafu Sheni tu
@antonywilliama2868
@antonywilliama2868 Жыл бұрын
waliopo wote ni wapambe bendera fuata upepo
@benardmasese6333
@benardmasese6333 Жыл бұрын
Na magufuli mlimsifia hivyo hivyo kumbe ni kupakana mafuta Kwa mgongo wa chupa,
@benjaminntwale1325
@benjaminntwale1325 Жыл бұрын
🤫
@nehemiamathias3317
@nehemiamathias3317 Жыл бұрын
Mwanaharakati huru ndio MUSIBA
@Jal210
@Jal210 Жыл бұрын
Alikuwa anawabomoa
@asteriambwei3349
@asteriambwei3349 Жыл бұрын
Hivi msiba aliendaga wapi kiherehere no 1
@josephatntunduyemathias
@josephatntunduyemathias Жыл бұрын
Kama walivyo zowea wanafanya juhudi za kufanya mazuri mwishon KUTUFUMBA macho tuwape kura kumbe ni nyoka WALEWALE. KIKWETE amewatia moyo CCM et tutashinda lkn kiukweli wanaonekana walisha Kara tamaa Wana woga kutokana na matendo Yao wanatafuta namna ya KUFUNIKA makosa Ili waongeze thaman walivyo poteza
@edmundrutahiwa
@edmundrutahiwa Жыл бұрын
Mbona mzee alikuwa na busara sana siku hizi vipi tena mbona leo kaongeaa vitu sivielewi...?? Kama mama anakubalika si waruhusu watu wagombee ndani ya chama...!!! Na kura ziwe huru...!!
@ramadhanibundala580
@ramadhanibundala580 Жыл бұрын
Hio shida ccm
@abbassalum6824
@abbassalum6824 Жыл бұрын
Hakuna Chenye Mwanzo Kisichokosa Mwisho ipo siku Wananchi Watakuja Kuchoka na ndio itakua mwisho wenu wa kua na CCM yenye wenyewe
@josephbwire8305
@josephbwire8305 Жыл бұрын
Hawa ni sawa na walugaluga 2 watu wakisema ukwel el waongo hakika Mungu anawatazama mawazo yao nafkira zao mbovu watatambika sana 2 023
@ezekielmabwai482
@ezekielmabwai482 Жыл бұрын
Rangi za mboga ya maboga, kazi kweli,kweli! Hakuna hata karangi ka Figo?
@victorphilipo
@victorphilipo Жыл бұрын
Sikuwahi kufikiri Kunal shida ya nchi Tanzania Kwa sababu ya wahini watatuua
@josephmaganga2667
@josephmaganga2667 Жыл бұрын
Majaliwa chukuwa fom
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 Жыл бұрын
Waziri mkuu ndio atakuwa rais wa wasaba wa Tanzania 🥰
@nehemiamathias3317
@nehemiamathias3317 Жыл бұрын
Inasemekana Waziri mkuu hawezi kuwa raisi katika hii nchi mkuu... hayo ni maagano waliyoweka wazee wa dsm
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
Unaotawewe Tena ndoto za alnacha kasome katiba ya ccm inasemaje
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 Жыл бұрын
@@nehemiamathias3317 hakuna mambo ya maagano hapa lazima waziri mkuu awee rais hata CCM wakikata tutajiunga na chadema👌
@mustyboymaalim2070
@mustyboymaalim2070 Жыл бұрын
@@robertphilip385 hatutambui katiba Cha CCM huyo mama hawezi kazi bure kabisa.. #wazirimkuu mpaka ikulu🤞
@robertphilip385
@robertphilip385 Жыл бұрын
@@mustyboymaalim2070 chadema hawachukuitena makapi ya ccm
@ahmedhamad2410
@ahmedhamad2410 Жыл бұрын
Nimeamini kama nchi saiz ipo chini ya Kikwete
@veronicasteven
@veronicasteven Жыл бұрын
Majaliw tunakupenda
@aroneymarjr9676
@aroneymarjr9676 Жыл бұрын
Watu wasiongee ukwel kisa wanakiuka maadili ya chama, maadili gani ukwel lazima usemwe ww Mzee wa mipasho unaleta siasa hii nchi wasipewe watu wa Pwani ni wavivu wa fikra na kaz huo ndo ukwel Ccm tuliipenda kipindi Cha Magu lkn xio xaxa na inaenda kupasuka mwenda zake kairudusha vizuri nyinyi mnaibomoa tena tuxubir na huyo mama yenu watu wameeducate xio km zamani katiba mpya hakuna halaf unaongea nn ni Bora ukakaa kmyaa km mstaafu ubak na respect zko
@berthatz
@berthatz Жыл бұрын
Kweli kabisa..Watu ea Pwani ni majungu na hawajali kuhusu maendeleo…Hii nchi inahitaji watu wanaopenda maendeleo,Twende huko Bara na Kaskazini…Pwani ni bure..
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 Жыл бұрын
Mimi Ni ccm lkn kwa 2025 waniache siyo waho hata Kama haitoshi kura yangu hawaipati ng'oo labda Hawa wote waishe ujinga mtupu
@alimussa2655
@alimussa2655 Жыл бұрын
@@mohameddikaluka3162 kura yako itamsaidia nini kampigie mamako
@mohameddikaluka3162
@mohameddikaluka3162 Жыл бұрын
@@alimussa2655 hiyo ndiyo kauli za vilaza km ww Ni matusi tu km unajua kura yangu Aina umuhimu kwa Nini unitukane,najua unajua umuhimu wa kura yangu ndiyo maana unanitukana km unamarusi kweli mtukane baba hako na mama hako,
@alfamody6286
@alfamody6286 Жыл бұрын
wivu
@khelefomary4486
@khelefomary4486 Жыл бұрын
Safi sana mjukuu wa nyerere
@TM.Sullusi
@TM.Sullusi Жыл бұрын
😂😂😂
@saimonlenjemet1458
@saimonlenjemet1458 Жыл бұрын
R.i.p rais wangu maguful bado nakupenda ango magu
@GeofreyMalingumu-kt5ik
@GeofreyMalingumu-kt5ik Жыл бұрын
Kweli mstaafu anafaa amekabidhi majukumu makubwa serikali
@antidiusegbert5562
@antidiusegbert5562 Жыл бұрын
Hamna majawabu
@dismasmtui729
@dismasmtui729 Жыл бұрын
Katiba mpya inahitajika ili kuleta ushindani kwa vyama vingine.
@hajihassan5433
@hajihassan5433 Жыл бұрын
Ushindani kwa vyama hauhitaji Katiba mpya. Zanzibar kuna ushindani mkali sana kwa Katiba hii hii, muhimu vyama vya siasa vifanye siasa vieneze sera, falsafa na itikadi zao waachane na matukio. Best way ni social media wazitumie vizuri waache visingizio vya kuzuiliwa kufanya mikutano ya hadhara. Ni nchi gani duniani vyama vya upinzani hufanya mikutano ya hadhara kabla ya muda wa kampeni na huwa na agenda gani wakati Ilani yao haipo kazini? Sijaona wa kupambana na CCM ingawa tumeichoka.
@juliussilvestar8988
@juliussilvestar8988 Жыл бұрын
Haji umeona tatzo wapinzani wenyewe wamekaa kimaslahi na watu wa kuigawa nchi wale.Hawana issue hakuna wapinzani serious nchi hii.Nikuulize wako wapi nawaona waki tweet kutokea nje ya nchi hao ni wazalendo kweli.Tujiulize.Mzalendo anakaa nchini kwake si akae Canada sijui wapi.Aseme anawatetea.
@ibrahimyahyayussuf7947
@ibrahimyahyayussuf7947 Жыл бұрын
Wewe kikwete mungu anakuona sisi hatuchangui ccm never
@samwelyesaya1202
@samwelyesaya1202 Жыл бұрын
Kweli ccm imechoka kiasi hichi demokrasia wanaikanyaga kweli kweli
@maikobruno341
@maikobruno341 Жыл бұрын
Kumbe mmekaa ili kuja kuwekana tena sasa hatumtaki uyo mama
@abdallahselemani6423
@abdallahselemani6423 Жыл бұрын
Ndio kashakaa Sasa utafanyaje ! Na amalizia mitano Tena ukisikia uchungu hama nchi! Au kunywa sumu ufe
@ndukulusudikucho_
@ndukulusudikucho_ Жыл бұрын
Mzee wa Hekma, tunakusikiliza, bora umetoa ya moyoni, maana inanishangaza saana ,Mwana CCM anaongea uzushi alafu haitwi kuhojiwa ? Ile CCM ya kipindi cha Holasi Kolimba iko wapi?
@ahz6907
@ahz6907 Жыл бұрын
Vita ni vita mura😁
@GidionGidion-ki8po
@GidionGidion-ki8po 3 ай бұрын
Nakuhulumi sana siku yako imeisha
@elliottrahema
@elliottrahema Жыл бұрын
Rest In Peace magufuri Kila nafsi itaonja mauti W anafikiria wataishi milele
@pendomarco8928
@pendomarco8928 Жыл бұрын
Hawataweza
@samateryusuf4345
@samateryusuf4345 Жыл бұрын
Magufuli kapigika Hadi Raha Asante mungu
@jamesmbata8542
@jamesmbata8542 Жыл бұрын
@@samateryusuf4345 😁😁😁
@donnyshule7432
@donnyshule7432 Жыл бұрын
Mzee kikwete umeonyedha sofa ya uzee wako.busara zako Taifa linaziitaji.your bright and wise mzeee
@mercypeter162
@mercypeter162 Жыл бұрын
MUNGU atusaidie atupe lango la kutokea. Watu wanaojali matumbo yao wanapendwa kuliko wapiga kura wananchi
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН
Was ist im Eis versteckt? 🧊 Coole Winter-Gadgets von Amazon
00:37
SMOL German
Рет қаралды 37 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
Survival skills: A great idea with duct tape #survival #lifehacks #camping
00:27
PART 1: MZEE MAKAMBA AMVUNJA MBAVU KIKWETE HADI MACHOZI YAMEMTOKA...
20:48
He sees meat everywhere 😄🥩
00:11
AngLova
Рет қаралды 11 МЛН