Wallah naipenda inch yng Allah Aijalie kher na baraka inch yetu ya Tanzania Allahumma Ameen
@khadijaomary24272 ай бұрын
Jamani hivi hapa TZ kuna Majeshi mangapi?!!!!!!! Kwani marais wengi waliopita wanapendelea sana kuvaa hizi kombati za JESHI HILI!!!!!!!? sijawahi mimi kuona RAIS yeyote DUNIANI kavaa kombati za POLISI au MAGEREZA au ZIMAMOTO au UHAMIAJI au ZA MISITU
@JosephGhapiАй бұрын
Hili ndo jeshi mengine ni nyama vya ushirika
@tanzaniakwanza1699Ай бұрын
Jeshi miaka 60, hakuna hata bunduki gobore mlilozalisha wenyewe!!