RASMI, TANZANIA IMEREJEA GIZANI KITAIFA NA KIMATAIFA

  Рет қаралды 36,402

SK Media Online TV

SK Media Online TV

Күн бұрын

Kauli ya Rais Samia imefunua mengi yaliyofichika, na kama taifa, imetuacha uchi.

Пікірлер: 515
@warakawayohana2896
@warakawayohana2896 Күн бұрын
Amiin tunawaombea sana Mbowe, Lisu, Mnyika...Mungu atawatetea kwa kila hali na walaaniwe wote wanaopanga mabaya na kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe
@nzungushikombesekei
@nzungushikombesekei Күн бұрын
Jamani Makofi ya Nini. hotuba chungu hiyo na ulimbukeni. Mwandishi wa hotuba amwemwingiza Rais mkenge
@flacskillz3411
@flacskillz3411 Күн бұрын
makofi ya kina chawa
@gowekogoweko5803
@gowekogoweko5803 Күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢
@AyoubAbdullrahmanAmir
@AyoubAbdullrahmanAmir 14 сағат бұрын
​@@flacskillz3411😂😂😂😂😂🎉
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 12 сағат бұрын
Kweli kabisa 😂😂
@Robert-p7c1k
@Robert-p7c1k 5 минут бұрын
@@nzungushikombesekei Kwa taratibu za nchi za demokrasia ya kweli, hata siku moja vyombo vya ulinzi na usalama haviwezi kupiga makofi kwenye hotuba ya kiongozi wa siasa, mara nyingi husikiliza na kukaa kimya tu. Polisi wenyewe tu hawajitambui kabisaaaa, tuna safari ndefu, tutafika tu.
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Raisi anawachamba wananchi. Mswahili, kiuswahiliswahili. Lugha ya mitaani. Si msanifu .lugha katumia ya mitaani taani. Hii si hotuba. Ni kuchamba watu kwa kiswahili cha mitaani. Anamsema Mbowe, Lisu, na waliozweka ndani kinyume cha sheria na mwenda zake. Yuko wapi mwendazake? Unaenda nje kuombaomba misaada, leo unawachamba hao mabalozi. Hapa umejizika kimataifa mwenyewe. Umejichimbia shimo.
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 Күн бұрын
Misaada inakupofusha kiasi Cha kukabidhi uhuru wako?
@saadune
@saadune Күн бұрын
Such a wonderful analysis by a well seasoned journalist...God Bless you
@Robert-p7c1k
@Robert-p7c1k Күн бұрын
@@saadune he is a brilliant fellow I can tell you.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 5 сағат бұрын
AFANDE MWINGINE ATUMA WAHUNI KUMLAWITI KIJANA ANAETEMBEA NA MCHEPUKO WAKE,KUMBE NI MWANAE..! kzbin.info/www/bejne/ipfSfnqDrJZmsLc BAGAMOYO. Afande Mstaafu aliyeatuma wahuni kwenda kumlawiti kijana aliyekuwa anatembea na mchepuko wake, Lakini wakati wahuni wanajiandaa kumuingilia Kijana huyu mzee kumuangalia vizuri kumbe ni kijana wake kabisa. Alikuwa hajui kama msichana huyo ni MAMA yake mdogo walikutana bar usiku akaenda kulala nae, Kumbe baba yake amempangia nyumba nzima, amemfungulia Saloon na kumnunulia gari aina ya IST. Mzee alichanganyikiwa kwani alikuwa na maradhi ya KISASA, Wananchi wengi watoa maoni yao kuwa wazee wenye watoto wa kiume umri wa kuanza mahusiano wawe wanatoa taarifa kwa watoto wao ili lisijirudie jambo kama hili. Mtoto wa huyu mstaafu huyu hapa VIDEO yake amefunguka mengi, endelea kuangalia Mkoi Tv Online share, comment, Like na Subscribe Mkoi Tv au unaweza kuwsiliana na chumba chetu cha habari kwa simu namba +2557130575718 ipo Whats App.
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko Күн бұрын
Sijasoma mimi ila akili za kupewa na Mungu ninazo nimemsikiliza vizuri sana mama kwa kweli hapa kaluhusu police waendelee na kazi yao😱👏
@michaelwaryoba4904
@michaelwaryoba4904 20 сағат бұрын
Tangu uhuru wa nchi sasa hv kwenye nafasi ya urais tumepatikana , Samia ana uwezo mdogo sana wa kuwa rais wa Tanzania.
@AmisiLulacha
@AmisiLulacha Күн бұрын
Nilivyo sikia hii utuba niya uditecta nchi hii niko pale naangalia
@denisipaulo7785
@denisipaulo7785 Күн бұрын
Yani wauhaji na watekaji awapewi onyo ila wafiwa ndo wanatishiwa duuu Mungu tupe amani
@gaagwasaugustino2584
@gaagwasaugustino2584 Күн бұрын
R4 si sababu ya utovu wa nidhamu! Si sababu ya kukiuka sheria za Nchi! Kwa hiyo hizo R4 ndiyo sababu ya kuteka! Kupoteza! na kuuwa???!!! Mungu tunaomba usimame na wenye HAKI! Nchi imejaa Giza Nene! Mungu tunaomba ulete Nuru iangaze Taifa letu! Mungu tunaomba ulete Viongozi watakaoleta haki na kuondoa Dhuluma katika Taifa letu la Tanganyika/Tanzania! Mungu tunakuamini wewe ndiye ALFA NA OMEGA! Mungu usiyeshindwa! Na hautashindwa milele! Tenda jambo katika Taifa letu utuondolee Viongozi waovu na Dhuluma katika Taifa letu, AMENI.
@juliusjohnii7823
@juliusjohnii7823 Күн бұрын
Aaa jamani! Mi nilidhani ataleta Neno la faraja kwetu watanzania akiwa kinyume cha watekaji. Mh jamani 😫😫😫Mungu tuhurunie watanzania, Utuokoe.AMEN🙏.
@norahfrank
@norahfrank 16 сағат бұрын
Yana mwishoooooooo
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 Күн бұрын
Hongera SK media kwa kuwapa elimu hawa WaTanzania , America maulana wanatumi bunduki zao baba zao ,Tanzania wanatumia bunduki tulizonunua kwa kodi zet na kufanywa nawatu tunaowalipa mishahara ya kodi zetu. Tanzania ile yenye jeuri kimataifa, mheshimiwa Rais sisi Tanzania ni walimu wa maTaaifa mengine kuhusu upendo na Amani, mbona mauwaji hayapo Vatica.
@VitusNdaruhekeye
@VitusNdaruhekeye Күн бұрын
Nchi hii inahitaji neema ya Mungu tu. Hali siyo nzuri hiyo.
@whatisthetruth.8793
@whatisthetruth.8793 Күн бұрын
Reign of terror and dictatorship . Iddi Amini mama samia
@WilfredRweyemamu-rp5re
@WilfredRweyemamu-rp5re Күн бұрын
Haya maneno makali na vitisho kama yangetumiwa kukemea mauaji na utekaji ningesema kama r@isi tunae lakini kwa haya maneno tunakazi tz
@Flaviosafari
@Flaviosafari Күн бұрын
Daaah! Hii hotuba 😢😢😢na watu wanapiga makofi. 😢😢😢
@monicamwita7865
@monicamwita7865 22 сағат бұрын
Majinga
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 21 сағат бұрын
Polisi lazima kupiga makofi, au zoezi linaweza badilka any time !
@Werema3760
@Werema3760 Күн бұрын
■Linivyo isikiliza 😭😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿. Eeee Bwana dhihirika "NA IJULIKANE KUWA UPO"
@kamanda007
@kamanda007 Күн бұрын
Raisi la hovyo kabisa
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Күн бұрын
@@kamanda007 kuwa makini na kauli zako,pia heshimu umri wako,tafakari kabla ya kutuma ujumbe wako,watu ml 65 wanautazama,utapimwa kwa kauli zako,usitume ujumbe kama unampasha mkeo.mzee hii ni nchi jitafakari Best acha ushabiki usiokuwa na maslahi yoyote
@neliusgosbertbaguma8693
@neliusgosbertbaguma8693 11 сағат бұрын
Neno gumu kumeza!
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Күн бұрын
4R wala sio hitaji la katiba. Kufuta kesi na kuwatowa walowekwa magerezani,dio huruma-kikubwa kesi za kubambikiwa ni laana na udhaifu!
@simonnaivasha6393
@simonnaivasha6393 21 сағат бұрын
Waliwekwa ndani na nani?? Utawalas huhu uliopo mpaka sasa kama tofauti ni sura lakini mawazo yale yale , na jinsi ya kushiuhulikia na kuanzisha tatizo kwa wananchi.
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x Күн бұрын
Hii hotuba ya Samia amechochea motooooo Yaani mtu anatekwa anauwawa kabisa yeye anasema kufa nikufa tu
@sebastiansalamba313
@sebastiansalamba313 Күн бұрын
Mungu utussidie tuvuke salama na ulilinde Taifa lako amen
@ceciliamagalabajimmy4391
@ceciliamagalabajimmy4391 Күн бұрын
Asante sanaaa Ansbert, Mungu akubariki na kukulinda. Ni kweli kabisa.😢😢😢😢
@starlily07
@starlily07 Күн бұрын
Aisee nimemsikiliza rais na hotuba Leo nimepata hasira ambayo sijawahi kuwa nayo, Yani huyu mama ni muuuaji kabisa
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 23 сағат бұрын
Tuakoelekea Police wanaenda kutmaliza kabisa.maana kawasaki rungu,hvi ni mama kweli.hata mi nimecomment hvi unaweza ukakutwa kesho nakamatwa
@johnjulius3092
@johnjulius3092 Күн бұрын
Jamani nilijuw atawakemea wauwaji na watekaji jamn kumbe wanalindwa mungu tuokoe kwa maaelezo hayo wananchi tujilinde wenyewe ukiambia umefatwa na police hawan nmb za magari na mitutu Bora uwawe mbele ya watu uskubali kubebwa Kama ng'ombe
@Flaviosafari
@Flaviosafari Күн бұрын
Nilikuwa naisubiri kwa hamu. Hii haya ngoja niwe wa kwanza kuisikiliza
@Mboemo
@Mboemo Күн бұрын
Kwa mara ya kwanza leo ndo nimemchukia sana tena sana huyu rais yaani leo ameniharibia siku na kuiona tanzania yenye giza nene sana.
@Werema3760
@Werema3760 Күн бұрын
Fact
@ZainabuBakari-yb4vj
@ZainabuBakari-yb4vj Күн бұрын
@@Mboemo kapungukiwa Nini?ukuchukia,
@JumanneGibson
@JumanneGibson Күн бұрын
Daah mizimu
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 18 сағат бұрын
Kwanini Tanzania tusingekuwa na viongozi wa upinzani miamba kama marehemu Jonas Savimbi wa Angola?
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Күн бұрын
Rais anasimama anaongea ujinga kama ule tumeshangaa Leo tumehakikisha kuwa yeye ndo anawatuma polisi kuteka watu ila siku yake itafika huyu bibi
@ferouzkeis6994
@ferouzkeis6994 Күн бұрын
Kivipi
@SalmaAthuman-hp3en
@SalmaAthuman-hp3en Күн бұрын
@@ferouzkeis6994 mpaka siku ndugu zako watakopotekwa na kuawa na watu wasiojulikana utapata jibu lako la kivip
@swahibal-karama145
@swahibal-karama145 Күн бұрын
Unaongea ukiwa Wapi?.
@Robert-p7c1k
@Robert-p7c1k Күн бұрын
@@SalmaAthuman-hp3en yaani ujinga mtupu, ukifuatilia vizuri huyu rais uwezo wake wa kuchanganua Mambo na kufanya maamuzi sahihi ni mdogo Kwa kweli, Kwa Hal hiii ni rahisi kushauriwa vibaya na hichi ndicho kinacoendea. Yani Kifo Cha Ally amekichukulia kawaida tu, inashangaza kabisa.
@Clex-f5s
@Clex-f5s Күн бұрын
@@Robert-p7c1kdah kifo ni kifo😢🤔
@fadhilimoshi5754
@fadhilimoshi5754 Күн бұрын
Huyu mama anaenda kwa remote ajitafakari sana ajue yuko kwenye kiti kwa ridhaa ya wananchi co kuwasifia police watuue.
@dassustephen731
@dassustephen731 Күн бұрын
Intelligentsia itumike kuleta maendeleo ya nchi na kuwabaini Adui WA Nje ya nchi na siyo intelogensia ya kufuatilia upinzani .
@mbelechimakobola8835
@mbelechimakobola8835 Күн бұрын
Kuna mtumishi wa Mungu aliyewahi kusema kwamba intelligence ya tanzania huwa Ni ya kufuatilia Chama fulani cha kisiasa tu na si vinginevyo, watu wa kiuawa haijiui ila Chama fulani kikifanya mikutano inajua, yooh ni hatari, nimenukuu mtumishi huyo tu na kuamini aliyoyasema mtumishi huyo tu!
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko Күн бұрын
Ni kweli kabisa
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm Күн бұрын
Raisi anawachamba wananchi. Mswahili, kiuswahiliswahili. Hii si hotuba. Ni kuchamba watu kwa kiswahili cha mitaani. Anamsema Mbowe, Lisu, na waliozweka ndani kinyume cha sheria na mwenda zake. Yuko wapi mwendazake?
@monicamwita7865
@monicamwita7865 22 сағат бұрын
Tumwachie Mungu Baba Atanibu maombi2 yetu.
@juliuskitaluka1206
@juliuskitaluka1206 Күн бұрын
Usiku umeendelea Sana asubuhi imekaribia sana
@Flaviosafari
@Flaviosafari Күн бұрын
Kule kwetu kuna watu wanaitwa makhulukutabu. Wapi huko kwetu?
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Күн бұрын
Tanzania
@philemonsnyanda9450
@philemonsnyanda9450 Күн бұрын
Zenji
@boxdad
@boxdad Күн бұрын
Samia umepanic. Relax
@philemonmagesa5548
@philemonmagesa5548 Күн бұрын
Kweli naona amepanic sana yani ametumia hasira sana na nguvu kubwa ya maneno mazito sana nadhani ni Bora angenyamaza akafanya vitendo akawaacha jeshi la polisi kusema tu
@LucyNgowi-m5z
@LucyNgowi-m5z 12 сағат бұрын
Yaani samia asiwe anaongea akiwa amepanic wananchi tumepatikana😢😢😢
@RamadhaniMbena-p9h
@RamadhaniMbena-p9h 3 сағат бұрын
Wewe kumbe chadema
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 Күн бұрын
WEWE mama Samia umelewa madaraka na uovu
@leokamil6284
@leokamil6284 Күн бұрын
Hatupo salama Mungu tulinde
@safiaothman5175
@safiaothman5175 Күн бұрын
Aamiin Yaa Rabbal 'Alaamiin
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 18 сағат бұрын
Kesho tuingie magotini siku nzima
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 Күн бұрын
Huyu ni RAISI KWELI?
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk
@ChristinaKilianNyoni-xb7lk Күн бұрын
😂😂😂😂
@KalicKaguz
@KalicKaguz Күн бұрын
Kumbe nani
@jafarimnaro704
@jafarimnaro704 Күн бұрын
Kinvuli cha nchi
@hajihassan5433
@hajihassan5433 17 сағат бұрын
Kwa Ibara ya 37(5) aliyesimama hapo ndie Rais wa Tanzania, na zaidi ya yote mitano tena.
@ritchiemuta1092
@ritchiemuta1092 Күн бұрын
Tanganyika ni LAZIMA ilindwe kwa damu ya Watanganyika
@NuruJuma-zv3yz
@NuruJuma-zv3yz Күн бұрын
Magufuli mnayemshutumu, alikua mzanzibar?
@georgewambura7695
@georgewambura7695 Күн бұрын
Kweli rais tunae , et kufa kupo tu
@bsmonline8482
@bsmonline8482 Күн бұрын
Mmmmmh! aisee hatari sana hii. Kumekucha tumwombeni Mungu ndiye refa anaenda kutoa majibu magumu ya watanzania yaliyo ndani ya mioyo yao.
@GodfreyJ.GMasunga
@GodfreyJ.GMasunga Күн бұрын
Muombe Mungu, lakini Mungu nae anakuangalia aone Kama utatenda na kujitetea au utamsubiri akusaidie hadi ufe.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 22 сағат бұрын
​@@GodfreyJ.GMasungaKICHWA HASARA PORE SANA
@marystambuli8045
@marystambuli8045 18 сағат бұрын
Mungu ingilia kati. Hakuna usiloliweza na hakuna aliye juu Yako. Baba tuokoe wanao tunateketea Ardhi imefunua kinywa Chake ikanywa Damu za wa Tanzania.
@ibrahimkibira9943
@ibrahimkibira9943 21 сағат бұрын
Kanichefua kusema kifo ni kifo tu huyo mama...😢..hii speech yk ya kipuuz mno bora angefunga mdomo wake mchafu
@ananiamwatebela3159
@ananiamwatebela3159 Күн бұрын
Mama jinga hili halijui nn linafanya hili yaan linathubutu kuongea haya maneno watu wanapoteza hiyo intelligence haipo
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Күн бұрын
Bibi yako anajua anachofanya? au Pimbi kama wwe tuu? Jaribu kuwa na Adabu.
@frankcharles3980
@frankcharles3980 22 сағат бұрын
​@@tanzanite9944KICHWA HASARA PORE SANA
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
​@@tanzanite9944inakera sana Wananchi wanatekwa na kuuwawa kisa wanaokosoa serikali yao. Watu wana hasira MUNGU atujalie hekima yake.
@robertphilip385
@robertphilip385 Күн бұрын
Hamna kitu hapa ccm waongo
@elibarikimeela2761
@elibarikimeela2761 Күн бұрын
Uchambuzi makini Sana!! Barikiwa Sana!!
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv
@SmilingFlowerBouquet-hs2hv Күн бұрын
Kwa hutuba hiii huyu raisi inatakiwa apingwe na kila MUTANZANIA mwenye akili
@tanzanite9944
@tanzanite9944 Күн бұрын
Labda nataahira kama wewe na sio wenye akili
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Күн бұрын
Mwenda zake Magu alikata mikia Mama akaja kuachia labda huenda watajielewa kumbe wanafuga mikia imeota mama kaiona
@sophiemsuya6507
@sophiemsuya6507 Күн бұрын
Usifurahi adui yako aangukapo wala moyo wako usifurahie ajikwaapo, Mungu asije akaliona hilo, likamkasirisha akakufyekelea mbali. Cha msingi tumwombe Mungu atuondolee hizi damu za Habili zilizomwagwa kimakosa zinazotulilia. Kumuua mtu ni kuua uumbaji wa Mungu wenye uungu ndani yake. Kuna wakati Mungu akijibu vilio vya hizi damu, tutaangamia sisi na vizazi vyetu vinne. Mimi naogopa Sana mambo haya jamani.
@EmanuelApollo-th1tp
@EmanuelApollo-th1tp 23 сағат бұрын
Duhh nlkuw namwamin na kumkubali huyu mama lkn kwa hii hotuba hatuna raisi hapa ingekuwa ni uwezo wangu 2025 ingekuwa kura zote upinzani macc m wakae benchi kwanza😢😢
@EmanuelApollo-th1tp
@EmanuelApollo-th1tp 23 сағат бұрын
Hii hotuba ni maalum kwa police c cc raia bado inaonyesha watz wenzetu wanaouwawa ni kama wanyama tu kana kwamba cc binadamu
@danielmwanjali2449
@danielmwanjali2449 22 сағат бұрын
Umechambua vizuri kaka Ansbert
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 21 сағат бұрын
Mimi sielewi kwa kweli, SAMIA hana uchungu na watanganyika
@yusuphkichawele1009
@yusuphkichawele1009 15 сағат бұрын
This is a very well researched presentation, I wish the president angesikiliza ingemfungua kwenye mtego anaotengenezewa na vyombo vya dola.
@user-te1uk3ku8b
@user-te1uk3ku8b Күн бұрын
Rais wangu usitumie hasira .ebu angaria watu wanauwawa wanatekwa .sasa hasira.wewe ni rais
@mshindimshindi9120
@mshindimshindi9120 Күн бұрын
Slaa siyo WA CHADEMA madam president
@joejosca7594
@joejosca7594 Күн бұрын
Very sad😢😢😢
@helencyprian8745
@helencyprian8745 Күн бұрын
Kweli mama amepanic sana na anongozwa na hasira
@EREVUKATV
@EREVUKATV Күн бұрын
Ingekua kipindi cha mzee Magu uyu ama wale watu wanaotajwa kuhusika na utekaji angewaita waje wajibu mbele ya umma! Kiukweli kabsa alikua na mapungufu yake ila hakulidhihirisha hilo kwa jeuri namna hii ! Kauli hizi za kibabe hazina lengo la kujenga ni kibomoa
@Hamy1109
@Hamy1109 Күн бұрын
Wewe upo Tanzania au kaburini!? Jiwe alikuwa anakemea utekaji!? Tangu lini!? Kwa taarifa yako huyo Jiwe ndio alikuwa muanzilishi wa hayo madudu. Tena usiturudishie machungu kabisa kwa kauli zako za ovyo.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
​@@Hamy1109uko sahihi naona huyo sio mfuatiliaji wa siasa za Tz. Ben Sanane mpk leo hajulikani aliko.
@hadijasufiani6167
@hadijasufiani6167 Күн бұрын
Hii hutuba umeniumiza sana polisi wamepewa nguvu ya kufanya yanayoendelea Mungu tusimame hakuna jinsi mtihani
@MkonoZacharia
@MkonoZacharia Күн бұрын
NAshukulu kwa uchambuzi mzr safi sana ila lais anazingua sana tena sana kunawanawake mbonawanaweza kuiongoza hii nchi ila sio huyu
@xaixaiobrigado4846
@xaixaiobrigado4846 Күн бұрын
Nafikiri,kama ntu akiwa mwanaume ,akawa nbaya , basi ntu mwanamke akiwa mbaya ujue ni balaa!
@LeonardMkumbwa
@LeonardMkumbwa Күн бұрын
Good analysis
@ashuramuhammed3257
@ashuramuhammed3257 20 сағат бұрын
Inabidi we mama au wachunguzi wako wanachunguza vikao vya chadema TU wauwaji hawawaoni kama kwel unawachunguz na wapo chadema mbona wauwaji hawawataji na mnasema waiwaji wapo chadema 😂
@johnkaliwanje434
@johnkaliwanje434 Күн бұрын
hbr za kusadikika, hapana. taarifa unazo ww ss hatuna, ss tunataka taarifa ambazo ziko waz.(clear).
@MonicaTimotheo
@MonicaTimotheo Күн бұрын
Mbona hotuba ya maaskofu ilikuwa clear sana and in a nutshell ilibainisha tatizo liko wapi na wapaswao kuwajibika hawajawajibika bali wamezidiwa maarifa na kushindwa na wahalifu wa utekaji lakini eti hotuba nyingine haioni utekaji kuwa tatizo bali inaona chadema, maandamano, baadhi ya mabalozi kuwa ndiyo tatizo inasikitisha sana nchi imegawanyika vibaya sana uonevu wa wanaojiona washika mpini unakithiri
@athumanisudi891
@athumanisudi891 Күн бұрын
Mie najua kuwa mungu yupo kazini muda wote na atatenda kitu
@samoskiyalo6095
@samoskiyalo6095 Күн бұрын
Kwa hotuba hii wapinzani acheni haya mandamano chonde chonde tafuteni njia salama
@AhmedAdan-po5ps
@AhmedAdan-po5ps Күн бұрын
Brother tanzania kuna intelligence gani
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
Ya kuchunguza vyama vya siasa especially chama cha CHADEMA
@Masudisengabo
@Masudisengabo Күн бұрын
Mmeshiba amani wa Tanzania tuulizeni Sisi huku Rwanda,mtajuta nyinyi,haujuwi kuchambua siasa
@thanksrjhood9508
@thanksrjhood9508 Күн бұрын
Rwanda hamna amani, mna bunduki ya Kagame. Ndio maana mnauwa viongozi wa upinzani. Ruhusu demokrasia muone.
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 23 сағат бұрын
Kwahiyo watu waendelee kupotea na kuuawa tu bila kushughulikiwa kwa kigezo cha kulinda amani?
@jifunzekuhusuwewe7475
@jifunzekuhusuwewe7475 23 сағат бұрын
Rwanda uoga umewajaa hawapendi Upinzani - kitakuja kuwalamba
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
Masudi Senga. Hayupo Rwandan wala nini yuko Bongo na ni chawa wake
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 17 сағат бұрын
Asante Mr ngurumo. Uongo siku zote huamka mapema ila ukweli hutangulia. Waache wahisi wanaweza
@SamwelMdamanyi
@SamwelMdamanyi Күн бұрын
Ukikutana na tatizo la kutekwa upige simu wapi utafute msaada?
@calistassenga6489
@calistassenga6489 Күн бұрын
Mungu akubariki baba!!
@CharlesMlaponi-h6z
@CharlesMlaponi-h6z 20 сағат бұрын
Kauli ya "kifo ni kifo" iko ktk silka au hulka. WATU WAFIKIRI ZAIDI. (Mwanadamu apaswa kutumia silka wanyama ndo hutumia hulka. WATU WANAPASWA KUFAHAMU.
@mselledamas9078
@mselledamas9078 Күн бұрын
Aisee sijawahi ona vituko kama vya jana😢
@clemencelisonga8261
@clemencelisonga8261 Күн бұрын
Sasa kama nchi hii inaintelejensia kwanini mnasubili mpaka matukio yanatokea halafu maisha ya watanzania yanapotea
@mr.yahzadochuno7914
@mr.yahzadochuno7914 15 сағат бұрын
Samia must goo
@Flaviosafari
@Flaviosafari Күн бұрын
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢TANZANIA TANZANIA🇹🇿
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 22 сағат бұрын
Kwa namna hii Mungu anusuru nchi hii,
@StanslausMashamba
@StanslausMashamba Күн бұрын
"End of Era"
@AnociathaChuwa-cb5nk
@AnociathaChuwa-cb5nk 19 сағат бұрын
NDIYO WATAWALA WANAYOYATAKA ILI KUVURUGA UCHAGUZI CHADEMA MSISDSIE UCHAGUZI WANANCHI TUMEPAMIA KULIBADILISHA BUNGE LIWE LA KITAIFA NA SIO LA CHAMA HICHO TUNATAKA KUWAPA VITI VINGI BUNGENI NA MADIWANI SERIKALI ZA MITAA
@MjumbeAgano
@MjumbeAgano Күн бұрын
Kwa maana hiyo viongizi wote wanaotuongoza ni giza maana yake tunaongozwa na shetani maana Mungu ni Nuru na giza ni shetani na mapepo waovu.
@MkingaJulius
@MkingaJulius Күн бұрын
Mimi kama mtanzania mwenye miaka ( 55) sijawai kuona nchi inaingia gizani kiasi hichi inabidi watanzania tujitafakari sana
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
Asante kaka kwa kuliona hilo.
@ALFREDMTUNDU
@ALFREDMTUNDU 21 сағат бұрын
Mh. Kwa hotuba hii ni kama unasapoti mauaji yanayoendelea, watanzania tunataka katiba mpya.
@GABRIELBAHANGARWA
@GABRIELBAHANGARWA Күн бұрын
MUNGU si mnafiki asilani tuliomba tunaomba tutaomba hii nchi itabaki salama vizazi vyetu vyote hili halina ubishi mtake msitake
@MichaelMatiku-v7o
@MichaelMatiku-v7o 22 сағат бұрын
Msimraum uyu mama Kwa sababu wanaomshauri wanaitaji kiti chake ,na yeye bila kujua anaingia mkenge ..sasa vitabu vitukufu vya mwenyez mungu Kuna kifungu kinasema MUNGU ALIUFANYA MOYO WA FARAO KUWA MGUMU ILI APATE KUJITUKUZA MBELE YA WANA WA IZILAELI.... Kwa ivyo ili ni anguko lake. mumuache moyo wake uendelee kuwa mgumu ...
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
Mimi na wewe tunahisi hivyo. Kinachowauma Wananchi ni kule kuruhusu kuwauwa wapinzani wanaokosoa serikali na hilo zengwe tuliambiwa anawasukia viongozi wa Upinzani. Inasikitisha sana
@daviddsouza735
@daviddsouza735 23 сағат бұрын
Serikali yetu haifuatilii na imeshindwa mambo madogomadogo na mengine ya kila siku sasa makubwa je? Huko juu na hewani ni rahisi kuongea na kusema tunafanya hivi na hivyo lakini chini ardhini na mitaani tunaona ukweli ulivyo. Tusiseme nchi inaenda vizuri tu kwasababu kuna amani na utulivu. Tusiseme wanaotaka mabadiliko hawana hoja zozote.
@Sunplazaduara
@Sunplazaduara Күн бұрын
Nakubaliana na wewe kabisa sk media
@nasramusaro
@nasramusaro Күн бұрын
Leo huyu mama ndio nimeamini niliyoyafikiria kuhusu mtazamo wake na leo kathibitisha kitu live bila chenga kweli uislamu haujakosea kupiga marufuku mwanamke kuwa kiongozi ni haramu na huyu anajua maana ni muislamu
@frimatuslupimo2031
@frimatuslupimo2031 Күн бұрын
Usiite wenzako wahuni. Uhuru wa kuongea ulio nao ndio huo huo kina msiba wanao
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Күн бұрын
Tatizo mama kapaniki na katumia ubabee bila kujali icya za watu na maoni ya watu yeye anatetea polic unge kemea cyo yani hapo uchunguz ndo umeishaaa
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 Күн бұрын
Tatizo ni Chadema walipovamia mazishi ya mzee kibao nakufanya ndio agenda yao akawa kama vile yule marehemu ni raia wa chadema sio raia wa Tanzania
@nitumesokoni3164
@nitumesokoni3164 Күн бұрын
​@@maftahmusa9513Wew nawe mwehu tu, yaani auwawe Msaidizi wa Katibu Mkuu wa Chama na Mjumbe wa Kamati Kuu kisha wasilibebe kama suala la Chama? Kama hujui mambo ya siasa bora uwe msomaji tu.
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
​@@maftahmusa9513Wao ndio wafiwa na waandaaji wa Mazishi yale ya Kiongozi mwenzao. Sasa waluvamiaje hapo??? Je Mbowe adingetuliza hasira yule waziri akaumizwa au kuuwawa pale ungesemaje?? Tafakari kwanza kabla ya kuandika
@maftahmusa9513
@maftahmusa9513 20 сағат бұрын
@@upendoeliya9329 wafiwa sio chadema wafiwa ni familia ya mzee Kibao hao ndio waliofiwa na ndugu yao
@user-sl1ko9me7u
@user-sl1ko9me7u 12 сағат бұрын
INAFIKIRISHA SANA SANA.....HIVI KWELI MH. RAIS WETU ANA WASHAURI WAZURI WA 'KISIASA' PALE IKULU!
@GabrielOmassawe
@GabrielOmassawe Күн бұрын
Mimi sijaelewa maana ya wapiga makofi jamani kwani jeshi la police kazi yao ni nini?
@FrankMwakatundu-cu6bd
@FrankMwakatundu-cu6bd 16 сағат бұрын
Hawezi kukomesha UOVU huo, anajaribiwa sana na TAMAA YA URAIS!!! Inawezekana tu Mungu amuondolee TAMAA hiyo na huo utakuwa ni MUUJIZA(NEEMA KWAKE)!!!
@georgewambura7695
@georgewambura7695 Күн бұрын
Tuambie na Sheria inayosema , watu watekwe na wauawe
@cyprianmgogo7625
@cyprianmgogo7625 13 сағат бұрын
POLE SANA KWA MAMA ,MAMA ANAHITAJI MSAADA MKUBWA,RAIS SAMIA ANAYUMBISHWA NA WAHUNI WANAOTAKA MKATE WA KILA SIKU. WAHUNI WANAMJAZA JAZBA RAIS...RAIS OMBA HEKIMA TOKA KWA MWENYEZI MUNGU.. WEWE NDIO NAMBA MOJA YA TAIFA...OGOPA MUNGU RAIS SAMIA..
@yaronaWilliam
@yaronaWilliam 22 сағат бұрын
Ni ukweli mchungu umeongea Ngurumo,!
@neemanziku5403
@neemanziku5403 14 сағат бұрын
Bibi kasema mauwaji yapo kila nchi kwa hiyo tusiwetunaona ajabu
@RahimMallya-fh9zc
@RahimMallya-fh9zc Күн бұрын
Mwenyezi Mungu naomba utusaidie watanzania, mana tunanyanyasika na viongozi tulio wachagua, kweli,,,,,
@FikiriniMwaluko
@FikiriniMwaluko Күн бұрын
Hakuchaguliwa hawa mbona si walikuwa wanapita bili kupigwa!!!!
@DanielKea-o8u
@DanielKea-o8u Күн бұрын
Nampongeza sana Rais Samia kwa ujasiri wake, ndivyo mamlaka kuu ya Nchi ipasavyo. Huyo jamaa uwaga simwelewi kabisa, wazaalendo anawaita wahuni. Rejea uongozi wa kuigwa wa Mwl Nyerere, unadhani serikali ilikuwa wakuchezewa? Unadhani angeruhusu upuuzi wa watu kumtukana? Jamani acheni Samia afanye kazi
@janemwaipopo
@janemwaipopo 19 сағат бұрын
Eee Mungu tetea Nchi Yetu Maana tunaangamia Hatuna Mtetezi wewe Uwe Mtetezi wetu Mungu🙏
@Mosmwampa
@Mosmwampa Күн бұрын
Kweli "The beautyful ones are not yet born "
@ThomasGai-kz5cu
@ThomasGai-kz5cu Күн бұрын
Wapo watu hata kwa macho yakawaida hawana uwezo wa kuongoza hata kundi la watu 5. Lakini ni mabingwa wa kukosoa na kuchonganisha wananchi.
@user-jc8el6je5e
@user-jc8el6je5e 22 сағат бұрын
Michambo ya nini
@upendoeliya9329
@upendoeliya9329 21 сағат бұрын
Ukweli siku zote unauma na ni dawa nzuri
@EliasOwilly
@EliasOwilly Күн бұрын
Rais badala ya kujenga nchi hutuba yake imejaa lawama na vitisho ,hiyo ni dalili za kuleta fujo na uadui nchi i
@dassustephen731
@dassustephen731 Күн бұрын
Ni ishara ya collapsing regime
@wahurumasibale6155
@wahurumasibale6155 Күн бұрын
Hotuba imejaa vitisho kwa wapinzani na mabalozi. Hakuna faraja kwa wanyonge wasioweza kujitetea. Intelijensia ni kubwa lakini haijaweza kutoa uchunguzi unaoeleweka hata kwa tukio moja la utekaji. Ee mwenyezi Mungu tusaidie.
@AyubuChacha-u6u
@AyubuChacha-u6u 17 сағат бұрын
Aliyekufa hana haki tanzania mama samia hapo umefeli na kuwanguka sana.
@simbarajabu4157
@simbarajabu4157 23 сағат бұрын
Toka hapa tuachieni nchi yetu
@YohanaMwakaje
@YohanaMwakaje Күн бұрын
Mbona sisikii wauwaji hawa kemewi ila tuna sikia utovu wanidham Shelia zanchi ni kutekana au?
when you have plan B 😂
00:11
Andrey Grechka
Рет қаралды 61 МЛН
Apple peeling hack @scottsreality
00:37
_vector_
Рет қаралды 126 МЛН
DOTTO BITEKO ALIPITIWA AU ALIPUUZA KAULI YA MAASKOFU?
15:58
SK Media Online TV
Рет қаралды 18 М.
UTEKAJI NA MAUAJI, JE RAIS SAMIA NA MBOWE WANAHUJUMIWA?
7:38
Wasafi Media
Рет қаралды 19 М.
This is the Richest Family in Tanzania...
22:59
The Billionaire Chronicles
Рет қаралды 110 М.