Pambana Raisi wetu tuna Imani nawewe, tuvushe mama.
@meshajoni56622 жыл бұрын
Hamna kituu hapoo tumepigwa,nakitu kizitoo ,,,,,uyu mama atatuacha vibayaa sanaa,,
@saxannjo61733 жыл бұрын
JPM alifanya makubwa bila kuombaomba, na kujipendekeza hivyo. Fanya umalize muda wako UTUACHIE NCHI YETU
@hasnuumakame92193 жыл бұрын
Thubutu, kakopa hela nyingi tu sema hakua akisema tu hadharani.. Tofauti ya Mzee wenu marehemu na Mama ni kwamba mama muwazi sana anakwambieni kila pesa anayoipata na matumizi yake ni yepi... Watanzania hawakuzoea kuambiwa ukweli juu ya pesa zao hasa za mikopo na mikataba ya uwekezaji wa makampuni ya ulimwenguni..
@saxannjo61732 жыл бұрын
@@hasnuumakame9219 Huyu anajipendekeza sana. JPM alikua anakopa, ili baadae alipe, bt huyu anaenda kuomba hela, matokeo yake atashawishiwa asaini mikataba ya kipuuz ya kuwanufaisha hao wazungu
@issarashidiferuziferuzi92012 жыл бұрын
Roho zenu mbaya tuuuh ataendelea kuwa raisi mambo yatakwenda vizuuri mungu yupo nae Hasidic Hana sababu
@hasnuumakame92192 жыл бұрын
@@saxannjo6173 Kuna mkataba wowote wa kipuuzi aliousaini umeuona wewe? Au unadhana tu juu yake? Dhana ni mbaya na ni chanzo cha shari na hasad, huwezi kumdhania mwenzako maovu na mabaya wakati huna ushahidi juu hayo......Nyinyi ni waleee wenye roho mbaya juu ya huyu mama na hamkutaka awe Rais wakati alietaka awe Rais ni Mola wa ulimwengu mzima... Acheni choyo na roho mbaya mwacheni mama afanye kazi yake.. Mbona hamsemi JPM kenda katumia mapesa tele kwa kujenga kiwanja cha ndege kikubwa Chato kwao wakati hakuna hata mgeni wa kitalii atakaeacha zake ende Chato... Jee huo sio mradi wa kipuuzi?
@kabogeof95972 жыл бұрын
Hata familia zetu mzazi anaekopa deni kwa uwazi na malengo ya mkopo husika huwa haisumbui kulipwa na familia. Mshua alikopa kimyakimy akasema pesa za ndan. Mficha mardh kf hutoa mlio
@murattywamuratty97782 жыл бұрын
Sijaona Raisi anotaja pesa pindi anapo rudi safari yake kama wewe Asante mama
@ulaweboy34793 жыл бұрын
Mama kiukweli Mimi sikisuport hata kidogo kwani magufuli aliwezaje kuunda nchi .usidulaghai huo ni mkopo tuache ujinga watanzania kwani hata kwenye familia zetu Aya mamb ya ajabu yako kauli aitendi ila iko siku.unatamanije kuwa Kama ulaya na wakati wenzako walitumia zaidi ya Kati ya miaka 1600hadi Sasa usiforce we Mama
@boybony51033 жыл бұрын
Mpuuzi ww
@fredyona57803 жыл бұрын
Mpuuzi wa mwisho kabisa,we unajua magufuri ameiacha hii nchi na madeni kiasi gani ambayo yalikuwa hayasemwi,we unajua alikuta deni la taifa ni sh ngapi na mpaka anaondoka kulikuwa na deni kiasi gani?tafuta report ya CAG ya mwaka 2015 halafu na report ya mwaka 2019 ndo utajua hujui
@ulaweboy34793 жыл бұрын
@@boybony5103 we niite mpuuzi uwenda kwenu auna hata mbuzi wa kisingiziw nyie ndo wale watu ambao atuwataki
@binhussain34453 жыл бұрын
@@ulaweboy3479 Wewe nani anakutakaa
@binhussain34453 жыл бұрын
@@ulaweboy3479 Kwanza tuomba kufahamu Elimu yako isijekuwa tunabishana na Chekechea
@amourmattar7733 жыл бұрын
Ahsante mama shukraan mama na wewe ni muelewa MASHAALLAH
@machaggechacha34223 жыл бұрын
Omba omba amerejea nyumbani.!!!!! Aibu.!!!! Tz ina kila kitu lakini mazwazwa maraisi wanaenda kuomba omba pesa na misaada kwa mabeberu.
@rukiyatajir80643 жыл бұрын
Pole na safari hongera kwa juhudi zako, kubwa wafuatiliye hao watendaji wako Mhe. Wako waliokuwa bado ubinafsi na ulafi umewa tawala. Nchi inakubalika kila pembe hatuwezi kuwa ni kisiwa lazima tuwe pamoja na nchi nyingine. Nenda kampumzike Mama yetu.
@abdallahally8423 жыл бұрын
Huyu mama nimeanzaa kumuelewaaaa sanaaa nampendaaa mama samiaa anavision ya haliyaju shee genius ♥
@marikbakali39202 жыл бұрын
Kwaiounataka zoezilakunyan'ganyana hela nakufungiana acount zawatu bank liendelee?
@htx18733 жыл бұрын
Excellent. , Hongera sana mama . Wanaobeza Wataona kazi na itaongea ye yewe
@getitdoneright19383 жыл бұрын
Akitokea alikoenda kuuza nchi
@benedictmrisho59473 жыл бұрын
Wahenga husema "umekuja umenono tukoke moto". Yaani umerudi vizuri sio mikono mitupu tupate zaidi kutokana na ziara zako. Hongera Mh si haba umekuja umenona kiuwekezaji.
@machaggechacha34223 жыл бұрын
Siyo hela ya bure. Kumbuka Ndugai alisema nini kuhusu hizo pesa anazokwenda kuomba omba?
@issarashidiferuziferuzi92012 жыл бұрын
Ndugai wivu ulimzidi alitala kuwa raisi tu hatakuwa raisi milele
@sallygrace14953 жыл бұрын
Minister wa France ndio Shetani wakubwa, na Belgium sindio huyo Tundu lissu akampa plan mama na wakaenda kwaiyo meeting na kupewa tena Pesa.. Mungu have mercy upon Tanzanians.. Na mnashindwa hata kuwasaidia watoto wenyeshida waliogongwa miguu yao na kukatwa na hawana hata huduma ya kuwapele Shule ili wapate elimu zao!!
@saxannjo61733 жыл бұрын
UNATIA AIBU SANA.... Uombaomba tulishaanza kuuacha,,, ila unaturudisha huko. WaTz wazalendo wa kweli, hatukuelewi.... JPM We Miss U
@antonnadenade45973 жыл бұрын
Tuko hoi kweli Kila siku unasafiri
@frednjau56622 жыл бұрын
Uko vizuri sana
@peterstivin46392 жыл бұрын
Hakuna haja ya kuwa Kama ulaya kwa njia ya mikataba na mikataba hiyo no ipi,watanzania no matajiri tutajenga taifa letu wenyewe hayo mavuno hayana maana kwetu Tanzania bila mabeberu inawezekana,tunapaswa tu tujiamini tu inatosha,maendeleo ya mikopo Haina maana nimizigo kwetu na kwa vizazi vyetu.
@anuaryally61772 жыл бұрын
Asante sana mzalendo mwenzangu
@imranijuma69552 жыл бұрын
Hiyo dubai imejengwa KWA mikataba seuze sisi mbulula 🤣🤣🤣🤣🤣
@zahiribrahim74182 жыл бұрын
ahsante mama piga kazi
@revocatussebastian24272 жыл бұрын
Musifieni uyo mama madeni anayokopa ulaya watayalipa wajukuu zeno.. # hakuna vya bure mzungu ana akili kuliko wewe muafrika misaada na mashariti na wengi wanaomsifu wanashiba matumbo RIP magufuli
@emanuelmlowe68542 жыл бұрын
Ivi inamaana anazunguka nchi za nje kukopa? Aisee anatuaibisha,lkn bila magufuli tungekuona unafanya chamaana kukopa lkn magufuli ametufanya tujijue kwamba nchi yetu sy yakutegemea mikop .magufuli alifanya mengi sana namakubwa bila kutegemea mikopo iweje samiia hakujenga darasa nihela yakukopa?.hela zandani magufuli aliondoka Nazi au ameachia mafisafi? Kwann mama usisimamie uchumi wetu?
@nappekiliakiliasalimu3463 жыл бұрын
Hizo ela unazo safirinazo ndo ungemalizia mwendo kasi.. mzungu awezi kupa ela zabure. Mama...
@hasanimikeyo88932 жыл бұрын
Nikweli kwa mzungu akuna cha bure bro
@kibasamohamedi80292 жыл бұрын
Pamoja Sana , nakuelewa mama,
@ayubutwalbu65942 жыл бұрын
Salamu yako nzuli ila penda kuanza salamu ya mwenyezi mungu wewe ni muisilamu sema asalamu alaykm Kisha bwana yesu asifiwe kwa wakrsto
@raysambala12482 жыл бұрын
Acha udini ww
@mbelwapaschal63203 жыл бұрын
Kama Hatujipangi Kujenga Kwetu ,usitegemee Mzungu akujengeaa utobaki salaama , Mpka ukarabati watufanyie jmn Dah ,Tunafeli wapi sisi
@bajagihaji89233 жыл бұрын
Hatujui kutunza wao ndiyo walojenga sisi ni wizi tu na maneno
@mudyguy74412 жыл бұрын
Ongera mama kwa kazi mzuri.
@abuuthauran99333 жыл бұрын
Wanadamu hawana wema, piga kazi mama, wenye chuki wajinyonge
@athumanially9063 жыл бұрын
Safii mama endelea kupiga kazii
@Jonasmemruti3 жыл бұрын
Kazi iendelee MAMA
@allyhotti37773 жыл бұрын
Pambana mama tukonyumayako tumekuunga mkono kwajitihadazako!🙏👍
@kashindisimukindje1423 жыл бұрын
Ongereni sana watanzania kupata raisi anaye angaikia wananchi wake , na kupenda taifa lake la Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan Oyeeeee..... Juuuuuu ...... Juu sana Kazi inandelea kweli Ongereni sana wa TZ wakongomani wenzenu tunateswa sana nchini mwetu kongo, serekali yetu ya kongo ndo adui wa raia yake
@grederoperater79702 жыл бұрын
↩️ Kazi iendele 🇹🇿💪💪💪💪💪💪💪
@antonnadenade45973 жыл бұрын
Mikataba mama mpaka unatoka madarakani tutakuwa mkopo mkubwa sana
@thomasnyakisho50932 жыл бұрын
Yani huyu mama kwa makamba ameferi
@saidimtame2320 Жыл бұрын
Uta safir sana kwa njaa zako kupitia wananch wako
@kabwelasutiviraka47653 жыл бұрын
Safi Mama karibu nyumbani na sisi wa Ughaibuni tunasubiri mtupe hiyo hadhi maalumu ili tuwekeze nyumbani bila wasiwasi na tununue ardhi ya kutosha tu
@maishamazuri98972 жыл бұрын
Wamejaa watoto wa shule as audiences
@husseinkakanga40823 жыл бұрын
Mama dhana ya kujitegemea huna kabisa tumekuwa dhalili ombaomba kwa kiwango hicho. Kuomba kwako ni fasion sio hatutaki unatukera Sana .Umerudi mbona umepoa Sana kimekusibu Nini huko hutokako? Wanaokusifu wanajari matumbi yao ukitaka kuamini tuma watu wako waingie mtaani waulizi watu juu ya wewe wakulete majibu kamwe 2025 huwezi gombea urais nakuambia ukweli hajuna chuki Wala roho mbaya huo ni ukweli
@abuyizedon3 жыл бұрын
????
@Bmtstudiostz3 жыл бұрын
Sisi hatumkubali au wewe ndio humkubali mama? Tuachie mama yetu haukai moyoni mwa mtu
@babuloliondo59753 жыл бұрын
Mama uwekezaji unatakiwa shuguri Kia UMEME kwanza siyo porojo
@salumumakombo91363 жыл бұрын
kweli kabisa uwekezaji bila umeme wa uhakika ni bilabila
@abbassalum68243 жыл бұрын
Hajawai kua na Maajabu
@hosannaevangelisimoutreach12713 жыл бұрын
Mama yangu na rais wangu mpendwa samia suruhu ,shkamoo, Mi NAKUOMBA tuuu mama etu mpendwa ,uwe unawasalimia watu kwa asalaam aleykhum, alafu ndio usalimie Salam iyo ya jamuhuri, nayo ni ya heshma kwa jamuhuri yetu ya Tanzania, ila naomba umtangulize mungu kwa njia ya salaam, asante mama angu mpendwa
@istambuliahmedi82033 жыл бұрын
Hiyo NI salamu ya kiimani sio kilamtu anapenda hiyo salamu, na akiwa Rais mkirisyo Naye atasalimia kwa Imani yake sio kila mtu ataipenda salamu hiyo, kwahiyo anacho kifanya raisi wetu sija jua kosa lake NI lipi?
@Frankgamanuel3 жыл бұрын
Huyo ni Raisi wawote salamu inatakiwa ya kitaifa bila kuwatenga wengine. Hiyo ni protocol hawe Raisi mkristo au muislamu au dhehebu lolote lile itampasa kufanya kila kitu bila kumtenga mtu.
@istambuliahmedi82032 жыл бұрын
@@Frankgamanuel kwahiyo ndugu yangu salamu ya kitaifa NI ipi? Mimi bado siijui.
@fatmamunde55432 жыл бұрын
Mhh! Watanzania shida kwelikweli" Huyo mama ni Chif Hangaya" Hangaya Hana din jamani. Haaa!!!
@istambuliahmedi82032 жыл бұрын
@@fatmamunde5543 hakuna mtu asiye kuwa na dini! Nivema ukajua nini maana ya dini
@imeldabernard57282 жыл бұрын
Walio Eda kumpokea. Awanakazi zakufanya
@tibasmsenga24042 жыл бұрын
Asante
@emanuelmlowe68542 жыл бұрын
Mama anakopa tu lkn mipangp yakulipa mafeni haionyeshwi
@allyngogomi29892 жыл бұрын
Habari tz jamani ni shida
@salumsalum82742 жыл бұрын
Sisi tunakops kwasababu tunakopesheka na tunaouwezo wa kulipa. Hakuna nchi isiyokopa duniani. Mama tenda wema wende zako usingoje shukurani. Wasio kuelewa ipo siku watakuelewa tu.
@daimanyakunga62933 жыл бұрын
Ondoa tozo
@Tariqxxtenations3 жыл бұрын
Hawana la maana hao ukijichanganya tu wanakuletea vita. Vya bure vibaya
Mikutano inaendelea kwaiyo na safari zitaendelea kwenda ulaya
@mc-shaulinsingeristmsomi39032 жыл бұрын
Adi kuja kujielewa kwa baadhi ya waafrika Kuna kazi kubwa sasa
@mzeesuliman31583 жыл бұрын
Nchi imekushinda achia ngazi
@sallygrace14953 жыл бұрын
I agree
@MiaTheLathini3 жыл бұрын
Sio wengi hata, watu 10,000 tu ndugu zangu ! kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 Share the link na Ndugu/washkaji kwa Mitandao till we hit that ✊🏿 A new project will then be OUT ✊🏿
@kassimali22733 жыл бұрын
Hahahahahahhhaha kwann imemshinda ndugu ulitakaje labda ili awe mzuri kwako
@binhussain34453 жыл бұрын
Jina lako kwanza Mzee yaani umezeeka na Mzee ni kama mtoto so kalale
@salumumakombo91363 жыл бұрын
@@binhussain3445 falsafa yako ni ndogo sana ko wewe ukisikia mtu kaitwa mzee basii wajua kikongwe daaa yaani kuma kwelii wewe braza
@king-size81143 жыл бұрын
Wow
@abdulhamis98253 жыл бұрын
Karibu Mama Nyumban
@verdianabanabi22053 жыл бұрын
Kashibisha kwake nyinyi kalia kuachama
@sbboymkaliofficial91082 жыл бұрын
Karibu Sana mrembo wetu vp uko uliko toka naskia eti umetoka kudanga eti kweli 🤣🤣👇👇 kzbin.info/www/bejne/a3-TYZasqZyUpdE
@abuuthauran99333 жыл бұрын
Chuki binafsi haijengi, mtakufa na chuki zenu, Kazi iendelee mama
@issarashidiferuziferuzi92012 жыл бұрын
Ahsante saana ahsante saaana
@scorasticaclement63082 жыл бұрын
Mihela Kila Siku Unavuna Tu lkn vitu Kila Siku Vinazidi Kupanda Ndio Nini Sasa But mwenda Zakee Alikuwaa Havuni Mipesa Ulaya lkn Kila Kitu kilikuwaa kinaenda sawia Tuuu Hovyoooooooooooooo
@bekaashbai17812 жыл бұрын
Zanzibar ile uchumi wa blue
@MrTop-wj7no2 жыл бұрын
Mambo yenu ya kila mara mnakwenda ulaya Mimi sielewi kabisa ninavyokuona wew unaweza kuwa ulihusika na kifo cha JPM sababu kila alioyakataa yoote wew ndo wakwanza kutafanya ikiwemo hayo Mambo ya kuamini kwamba kila kitu kinaweza kujengwa na wazungu, safari za hapa na pale zinazo haribu pesa za nchi siku gani JPM alisafiri eti Ubelgiji, ufaransa na wapi na wapi?? Fala Sana we mama
@Elfordobokegillo-ne4jo Жыл бұрын
Akili yako imejaa maji,nasikitika kukuambia hivyo.Huyu Ni kiongozi wa nchi soma misaafu,kwann umtukane?au kwa sababu umemiliki kijisimu uchwara ukajua kuandika unaandika tu?
@Elfordobokegillo-ne4jo Жыл бұрын
Ukiambiwa ulete ushahidi wa unayoyasema utasimama na kutetea hoja yako,?
@MrTop-wj7no Жыл бұрын
@@Elfordobokegillo-ne4jo manyangau kuna siku wanakosa mashabiki?? Sishangai kuona mtu kama wew una reply comment imekaa mwaka mzima sijapingwa na mtu ila wew boya flani unakuja kutetea km
@merekwangujati1583 жыл бұрын
Amekutana na wafanya biashara Ulaya, kuwatoa ngorongoro co nyingine
@barakanestory35213 жыл бұрын
Umeme wakisema hautakatka Tena,, zamu imeisha, lakini chakushangaza bado umeme unakatika hovyo, mbona enzi za Magu,haikuwepo,Mama msimamie waziri wa nishati hajakuwelewa, kwanini wanatangaza hakuna mgawo halafu bado wanakata
@valentinetesha85362 жыл бұрын
haswa waziri wa nishati wa saahv ndio hana analo lijua
@dominicksangu89342 жыл бұрын
Fisad ww tozo zote hizi bado unakopa mikopo na baazi ya w tz wlv watumwa mnampokea mkicheka hamjui kesho yenu ktk hao anao jinad
@suleimanbakar34292 жыл бұрын
Mlienda shopping mtuangamize raia
@yasiniSwedi-qg5oc7 ай бұрын
Nakomenti bilahata kutazama wlakusikilizi
@otmanmbwilo67892 жыл бұрын
Mama kaz yako haionekan propaganda tuuu fanya mambo ya msingi mufumuko wa bei VP
@oceanstar88902 жыл бұрын
Mama ukweri umechemka sio sili nakukumbuka baba
@revocatussebastian24272 жыл бұрын
Waulizeni Zambia wameuza nchi yao mpaka Polisi wachina....wameshindwa kulipa deni walilokopa uko uchina
ina maana hao wafaransa wanakuja kujenga hizo terminal bure tuu?? ama kweli tumepigwa
@taagiza11592 жыл бұрын
Huyu mama mfupi ana matatizo
@mariammmbaga9763 жыл бұрын
Dada kwa mwezi mmoja Nakuomba tuonane
@adiliwasanga45212 жыл бұрын
Mbona mbeya huisemei kwenye barabara unazungumzia tuu dodoma dar ,mwanza daa ,huku ndiyo kusema sisi siyo watanzania au
@dominicksangu89342 жыл бұрын
Wewe jifanye mjanja mbelegiza lna kuhusu
@mzalendomzalendo25672 жыл бұрын
Umeme wenyewe wa mgao
@kaengelemuseba26192 жыл бұрын
mama kumbuka kama wa filisti wa ngali naendelea na kazi zao.
@kwisa48993 жыл бұрын
Tuwape mafuta Zay Zanzibar
@mwanagwakyala32132 жыл бұрын
Kuna hotuba ya Nyerere inahusu kujifananisha na ulaya ikapelekea serikali yake kukwama Kwa kufanya ulaya Kama ndio mfano wa kipimo cha maendeleo ya Tanzania au Afrika Kwa ujumla,tufike wakati tusijikatae wenyew kwann tujishindanishe wenyew ktk jumuiya zetu za afrika ,mbna Mambo mengi tunashirikiana ya kimaendeleo ,Kisha tuone miaka mitatu tutafika wap ,japo itahitaji msimamo mkali Sana make tutachonganishwa wenyew tugombane na tuchukiane .hyo ulaya inapenda isifiwe yenyew tu ,kibao kikigeuka kidogo tu wanatafuta mbnu za kutuvuruga , mtoto anajengwa Toka mdogo kimaadili ,mpaka anafikia umri wa kujitambua na kuamua kujitegemea ,kwann suala la maendeleo lisiwe Kama malezi ya watoto hauwezi mfananisha mwanao mdogo na mtoto wa jirani aliyemtangulia kuzaliwa wawe sawa wakati kila maendeleo Yana mbinu zake Kama ilivyokuwa ulaya sisi ndio mashamba yao ya mahitaji ya sehemu kubwa ya viwanda vyao yanategemea afrika
@imranijuma69552 жыл бұрын
Ww NYERERE ndo katuchelewesha emu usitukumbushie
@mwanagwakyala32132 жыл бұрын
@@imranijuma6955 inwezekana Kwa kuwa siku hz vijana wengi mnajiangalia nyie sio vizazi vyenu ,haujiuliz juu ya hao wanao wataishije miaka kadhaa ijayo ,hongera
@isayamapolu39043 жыл бұрын
haya bwana
@barakambasile26512 жыл бұрын
Toa huyo wazili makamba Kwanza kwenye umeme tunaumia Sana huku chini weka hata jafo namuonaga nimpambanaji Sana huyo dogo
@mzalendomzalendo25672 жыл бұрын
Ushuzi mtupu, tukutane2025
@lilianmakwati52282 жыл бұрын
2025 mama unatosha
@ramadhanihamisi55962 жыл бұрын
Siri 5 Kuhusu Tatizo La Upungufu Wa Nguvu Za kiume Kwa Wanandoa... ... Je, upo kwenye ndoa lakini huna amani na ndoa yako? ... Je, tendo la ndoa kwako ni tatizo? ... Je, umehangaika kutafuta mtoto au umeambiwa unazalisha mbegu pungufu? Je, unahisi ndoa yako ipo hatarini kuvunjika kwasababu unahisi mke wako anachepuka? Kama majibu ni NDIYO, basi ujumbe huu ni muhimu sana kwako usipuuze kusoma hii makala... Tafiti Zina Sema ndoa 3 hadi 4 kati ya kumi zinavunyika kila mwaka... kwasababu ya mwanaume kushindwa kushiriki tendo la Ndoa barabarani.. wanaume wengi wanapenda sana kupuuzia vitu hasa ushauri kuhusu afya zao pia kuhusu lishe... Kama ni wewe unapitia hizi changamoto hapa chini basi Soma makala hii hadi mwisho... 1)Kuwahi kufika Kileleni mapema sekunde chache au baada ya kugusa tu mlango wa uke na uume kuwa legelege. 2)Kuhisi harufu mbaya, kichefuchefu mara tu baada ya Kumwaga mbegu za Kiume. 3)Mwili kuchoka sana baada ya tendo la Ndoa huambatana na usingizi mzito. 4)Kuhisi maumivu kwenye korodani baada ya kumaliza tendo la ndoa. 5)Mwili kukinai na kuhisi ganzi mwili nzima. Hizo ni baadhi ya dalili za upungufu wa nguvu za Kiume kama umeziona moja ya dalili hizo usipuuze, na Kama unamfaham mtu mwenye Changamoto hizo usipuuze mpatie taarifa hii atakushukuru, kumbuka hilo tatzo likiwa sugu utapata shida Sana kurejea ubora wa mwanzo itakuwa ngumu sana na utadhalilika. Jenga Afya yako sasa hivi kwa nini usubiri kesho? NITAKUPATIA USHAURI WA JINSI YA KUTUMIA FORMULA MAALUM YA KUTATUA CHANGAMOTO YA NGUVU ZA KIUME KWA NJIA ASILIA PASIPO. KUTUMIA DAWA YOYOTE. Jaribu kuangalia performance yako ya tendo kwa miaka mitatu iliyopita.Alafu lingalisha na performance yako ya sasa, utagundua tofauti kubwa. Tuma Ujumbe neno AFYA NJEMA kwenda wassap 0784161431 au piga simu usaidiwe haraka.
@petermalia72243 жыл бұрын
³
@daimanyakunga62933 жыл бұрын
Ama kweli bila wao hatufiki kweli
@kassimali22733 жыл бұрын
Ndiomana yake hatuwezi kufika pekee ye2 lazima tushirikiane na wao na ndo waswahili husema kaa karibu na uwaridi ili unukie
@j.c.maxima8163 жыл бұрын
Ndio maana Magu kawapigia magoti kisirisiri (kwa kuficha) na kuchukua mikopo ya kijinga kwenye Benki zao za kibiashara!
kzbin.info/www/bejne/fnLJmqSZdtRgnqM KATAZAME. HAJI MANARA ALIVYOSEMA BAADA YA SIMBA SC KUPATA SARE UGENINI
@humoudmohammad31253 жыл бұрын
.
@MiaTheLathini3 жыл бұрын
Sio wengi hata, watu 10,000 tu ndugu zangu ! kzbin.info/www/bejne/b6OuZGxvmdqkga8 Share the link na Ndugu/washkaji kwa Mitandao till we hit that ✊🏿 A new project will then be OUT ✊🏿