RAIS SAMIA 'MIMI NI MAMA,UKINIZINGUA NITAKUZINGUA, KILA ANAYEZINGUA ZUHURA ANAFANYA YAKE USIKU"

  Рет қаралды 34,481

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 116
@MRPRESIDENT-w4l
@MRPRESIDENT-w4l 9 ай бұрын
DAAH aisee HAPA nimejifunza kitu kikubwa sana Maishani mwangu kuhusu Uongozi 🇹🇿🙌 Asante sana mama SAMIA nimeipenda hii sanaaaaa☺️☺️😍😍
@deogratiusdonald5123
@deogratiusdonald5123 9 ай бұрын
Rais bora sana ubarikiwe sana mh SSH.
@noelmusa3502
@noelmusa3502 9 ай бұрын
Mama kapendeza mmmmmmmh kumbe beauty hivyooo❤❤❤❤❤❤❤❤
@user-to6up4hg2w
@user-to6up4hg2w 9 ай бұрын
Mashallha she's beautiful may Allah protect you ❤
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 9 ай бұрын
Umependeza sana mamangu.
@issakawaya8315
@issakawaya8315 9 ай бұрын
AllAh akuifadhi akuzidishie maarifa na hekima
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 9 ай бұрын
Kwakweli raisi samia ni kiongozi mwenye maono makubwa sana anaongoza nchi kizalendo kuwa nchi ni yetu sote tuzungumze namna nzuri ya kuendesha nchi kwa pamoja bila kubaguana nadhani ni jambo kubwa na zuri sana hakuna haja ya kuchukiana kufinyana.
@SilaMinanda
@SilaMinanda 9 ай бұрын
Acha uchawa fanya yako, ana maono gani?
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 9 ай бұрын
@@SilaMinanda nadhani kuwa na adabu bro maoni ya mtu ni mtazamo wake maadamu hajatukana mtu nimekomemti kumhusu raisi wewe inakuuma nini
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 9 ай бұрын
@@SilaMinanda ni fanye yangu au mambo yangu yanakuhusu nini sio kila kitu uchawa ninauwezo wa kukuajiri nikakulipa mshahara wacha ujinga
@MatandiMatandi
@MatandiMatandi 9 ай бұрын
Tumepata rais makini na muelewa sana pia ni msikivu.Hongera sana mama.Tupo pamoja na wewe daima.Ccm safi,mama samia safi
@veratemu9450
@veratemu9450 9 ай бұрын
Kwakweli bila unafiki Mimi Nabarikiwa sana na Mama. Unafanya kazi nzuri sana kwa historia ya Tanzania hapi nyuma umeibadili hakika. Kazi iendelee. Barikiwa sana Rais wangu.
@LuisAgostinhoMonteiro
@LuisAgostinhoMonteiro 9 ай бұрын
Mama mwenye buscará sana mungu akuwezeshe mama
@jacksonmbonea7411
@jacksonmbonea7411 9 ай бұрын
Raisi wetu makini sana
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 9 ай бұрын
Mama siku zote nasemaga NAKUPENDA SANA Mwenyezi Mungu akujalie ,akutie nguvu akupe Afya na yote ufanyayo Akupiganie love so much
@janemwakapesa5569
@janemwakapesa5569 9 ай бұрын
Nimeipenda hii speech barikiwa super one Tanzania
@MatandiMatandi
@MatandiMatandi 9 ай бұрын
Mama tunakukubari,mungu akulinde sana.
@geofreyidebe1216
@geofreyidebe1216 9 ай бұрын
Hongeraa Mama, Samia uko vzur,
@salomewandya7257
@salomewandya7257 9 ай бұрын
Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote❤🇹🇿🙏🙏
@zaharamsafiri825
@zaharamsafiri825 9 ай бұрын
M.Mungu akuongoze zaid na akusaidie mama
@PaulRPaul-z1q
@PaulRPaul-z1q 9 ай бұрын
Isaidie HAKI itapakae kila upande Quran (4:135)
@DpN-rk8xz
@DpN-rk8xz 9 ай бұрын
Mungu hakusimamia kwa kweli atakulinda na taifa zima kwa kweli kweli unapambana si kazi Raisi Watanzania wote tusimamame pamoja tukinde nchi amani
@hawa6052
@hawa6052 9 ай бұрын
Allah atuongoze na akusaidie inshaa Allah Subra nimuhimu na tumtangulize Mungu mbele na tufanye KAZI kwa bidii
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY 9 ай бұрын
KWA MARA YA KWANZ TANZANIA NAONA MAANDAMANO TOKA NIZALIWE NA YANASIMAMIWA NA POLISI. ASANTE SAANA MAMA
@OmanOman-dd5qk
@OmanOman-dd5qk 9 ай бұрын
Asalam alaikum mamaupo sahihi piga kazi mama tusongembele ramadhani kareem
@WhitneyWilliam-vx6oc
@WhitneyWilliam-vx6oc 9 ай бұрын
Samia suluhu hassan YOU HAVE THE BEAUTIFUL SMILE MOM!
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 9 ай бұрын
MashaAllah ❤❤❤ tano tena mama🥰 lnshaAllah
@jamesukombozi5216
@jamesukombozi5216 9 ай бұрын
Mama dkt Samia Suluhu Hasani UNAWEZA KUONGEZA nchi ❤❤🎉🎉
@J4UPro
@J4UPro 9 ай бұрын
Pole sana mama na hongera kwa ujasiri
@stevensenghana1593
@stevensenghana1593 9 ай бұрын
Hongera sana
@hamzanangameta6243
@hamzanangameta6243 9 ай бұрын
Mama Allah yuko nawe na inshaallah utafika kwenye malengo na umeweza ❤❤❤
@GRACERICHARD-g9o
@GRACERICHARD-g9o 9 ай бұрын
Kweli kiongozi utengenezwa kazi nzuri mama umetuheshimisha wanawake kila nikifuatilia historia yako naona kuvuka
@irenekayombo5509
@irenekayombo5509 9 ай бұрын
Unaweza sana,hongera sana Mama yetu
@AffectionateCap-fk8tx
@AffectionateCap-fk8tx 9 ай бұрын
Umependeza sana my mom jamani hd raha,Mungu akutunze tena na tena.
@OmarJuma-og4kd
@OmarJuma-og4kd 9 ай бұрын
maji ya kizimkazi siku zote ni mazuri ndio Mana mama atakupa na ubeuty wake inn shaa Allah
@lunangabenjamin3121
@lunangabenjamin3121 9 ай бұрын
Ndio mama unaweza kweli,kweli .haukupewa madaraka yalijita yenyewe njo maana unayamudu.juu tukirudi nyuma kidogo rarikali ya marehemu ilikuwa na speed kubwa mno.miradi ilikuwa mikubwa janga la coronna.lakini vikakuangiya vyote.na ukaweza mpaka leo!unastaili taji kama mwana mke mpambanaji maharufu.tena bora sio tanzania tu barani africa.ongera mama unaweza.👏👏👏
@blessingmuyambo908
@blessingmuyambo908 9 ай бұрын
Mom you’re looking so good ❤
@musa-v3f
@musa-v3f 9 ай бұрын
mama nchi imemshinda umeme shida maji shida na sukari bei haifai na leo wamepandisha bei ya mafuta maisha yanazidi kuwa magumu yeye na familia yake wanazidi kupendeza
@kombidin..2583
@kombidin..2583 9 ай бұрын
Jaribu ku manage akili yako​@@musa-v3f
@Mumewangu
@Mumewangu 9 ай бұрын
@@musa-v3f mpeleke mama yako aobgoze
@mandyfitnesstv6738
@mandyfitnesstv6738 9 ай бұрын
Mitano tena kwa mama!
@mshuatv6547
@mshuatv6547 9 ай бұрын
😢😢
@veratemu9450
@veratemu9450 9 ай бұрын
Mimi naona awe kama Uganda
@magomakabanja480
@magomakabanja480 9 ай бұрын
Kabla ya Wewe Kumzingua Tutaanza Sisi Kumzingua ili Uwe Salama Zaidi Mama yetyu we Unatupa Amri tyu Vijana Wako Tutawajibika Wewe Ndio Mama wa Taifa Watake Wasitake
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Mungu atakujalia mama wewe ndiyo Rais mpaka 2030 japo wanakuchomekea mengi kuhusu Bandari na Bima ya Nhif kunekuwa usumbufu
@ZainbAbubakary
@ZainbAbubakary 9 ай бұрын
Umeweza mama
@shabanigenya4708
@shabanigenya4708 9 ай бұрын
Mama yuko smart saana kichwani…. Anajua. Sina mengi ya kusema.
@medsonulendo4221
@medsonulendo4221 9 ай бұрын
🎉Mama maua yako kuna kitu umenifunza na taifa kwa ujmla
@annabubelwa4543
@annabubelwa4543 9 ай бұрын
Mama umeweza sana
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Mama chapa kazi bila kujali maneno ya wakosaji.4R zime eleweka.ila Ukweli unafichwa serikali imejaa mchwaa pesa nyingi za miradi zinapotea,eneo hili piga full umulike.Aidha mitano5👏👏🤝
@danielmathias7369
@danielmathias7369 9 ай бұрын
MAMA 😭😭😭TUNAKUOMBA SANA SISI WANAO UTUSIKILIZE JAPO KIDOGO KUHUSU UPANDE WA MAENEO YENYE MIGOGORO HASA HUKU MAGWEPANDE KUNA WATU TUMELIPA NA TUMEGENGA KWA KUUNGA UNGA LEO HII TUNAVUNJIWA BILA KUJALI MTU AMETUMIA NGUVU GANI DAAH! MAMA WEWE NI MAMA WA WOTE TUNAKUOMBA MAMA YETU TUSAIDIE KTK HILO
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 9 ай бұрын
Kweli mama nakuaminia hata ndugai alizingua ukamzingua😊😊😊
@stevensenghana1593
@stevensenghana1593 9 ай бұрын
good twende pamoja tukianguka woote tukishinda wote
@galluskanenge4898
@galluskanenge4898 9 ай бұрын
Sawa sisimizi wanaendelea kula wanachokula na kujenga vitundu chini ya magome ya miti na kutambaa katika mazingira yanayoendana nao !😊
@HenryCastuli-jz3cx
@HenryCastuli-jz3cx 9 ай бұрын
Mama tuambie tatizola umeme tunapatasana shida kwenye umeme
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 9 ай бұрын
Mama yetu kwer umeweza kwamana uwongozi sio kitu rahisi hususan uwongozi wa juu kama raisi naniungozi ambao hujajipanga nao sio kitu rahisi...mungu akutie nguvu raisi Wang na akuongoze katika kuongoza nnchi yetu..kila la heri katika safari yako hii ya uraisi wa Tanzania na mitano tena inshallah..mungu akutie nguvu..mama umeweza
@TheGothaman
@TheGothaman 9 ай бұрын
Our Focused minded President ever.Happy Super Women Day Her Excellency Dr Samia Suluhu Hassan ,A President of Tanzania. I appreciate your uncondtional governance ,love and care to our Country of Tanzania.
@lolymkongo4721
@lolymkongo4721 9 ай бұрын
Maman anapeneza sana safi sana.
@salomewandya7257
@salomewandya7257 9 ай бұрын
❤❤🇹🇿🇹🇿
@faudhiasalum7279
@faudhiasalum7279 9 ай бұрын
Samia naomba kazi
@StevenKingu-gi4pf
@StevenKingu-gi4pf 9 ай бұрын
Mama mama tunakupendaaaaaaaa
@stevensenghana1593
@stevensenghana1593 9 ай бұрын
😂Hongera sana Mama Samia umejitshidi inchi ni moja unajitahidi sana hakuna mabaya mengi unapambana sikio lako ni kubwa nakupongeza sanaaana hata majeshi yetu ususani polisi kiukweli wanatenda haki asante sana kwa uongozi wako mama
@MsomalialijumaMsomalialljuma
@MsomalialijumaMsomalialljuma 9 ай бұрын
Mama nakukubali
@THEQUILLSTORY
@THEQUILLSTORY 9 ай бұрын
MII NASHKR SAAN MAMA . MAANA KWA SASA NCHI IPO HURU SAANA , DEMOKRASIA JUU NA KILA MWANANCHI AMAUWEZO WA KUTOA MAONI YAKO . ASANTE SAANA MAMA
@Kabwela776
@Kabwela776 9 ай бұрын
Tanzania 🇹🇿 haitaji mama mambo ya mama Na mtoto peleka kwa familia yako Na wajukuu zako tunahitaji rais atakayefokea maovu Na kuchukua hatua hatuhutaji rais mwenye vijembe vya taarabu Na uswahili! Tanzania inahitaji rais imara kama marehemu JPM ambaye kazi zake zote zinaonekana Na ambapo Samia anatembelea upepo wa JPM!
@KIDORBOYS
@KIDORBOYS 9 ай бұрын
Sema hii nchi haijui hata kidogo hata taarifa unaxoletewa cy za ukweli munapoteza Pato la taifa RUSHWA nyingi kwenye sekta zako kuhujumu UCHUMI miradi mingi imesimama kwasababu ela zinakuja lakini unaibiwa sana alfu hujui mm naona Kwa mtazamo wangu usigombee Tena maan naona nchii hii insporomoka Kila sekta
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 9 ай бұрын
Mhuuuu tunachoomba Amani tu njaa kila lona rushwa imetawala kila Sekta hovyo kabisa mama una wanafiki wengi wanaokupiga vita sanaaaa
@Tanafa-j9q
@Tanafa-j9q 9 ай бұрын
Tafta hela ule na watoto wako hayo mngn hayawz
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Pole fanya kazi😂😂
@davidsika5292
@davidsika5292 9 ай бұрын
Hivi ni Kwa nini tukifeli maisha tunalaumu viongozi??
@jescajohn5034
@jescajohn5034 9 ай бұрын
Kagombee na ww utoe hoja zako nazo tuone kama ni rahic ivo,uongoz sio kaz rahc na huwez elewa paka uupate
@hilaliabousalim2715
@hilaliabousalim2715 9 ай бұрын
Aliyekuwa anamuhoji rais wala haongei kiswahili
@Mwiny-w4x
@Mwiny-w4x 9 ай бұрын
Mama utunukiwe umri urefu wenye siha Aaamin
@manumeni5057
@manumeni5057 9 ай бұрын
Milard ayo,mtafuteni raisi samia aende kumsaidia hawa plz ,mwenzenu anaumwa xana,akatoe msaada kwa familia wamechoka xana
@hilaliabousalim2715
@hilaliabousalim2715 9 ай бұрын
Aliyekuwa anamuhoji rais wala haongei kiswahili fasaha
@andrewkissava9184
@andrewkissava9184 9 ай бұрын
Nchi imeporomoka kiuchumi miradi mingi imesimama kwa busara achia tu madaraka waongoze wengine wewe mwenyewe jitadhimini hali halisi ya maisha ya watanganyika ni ngum tukuombe usigombee tena achia madaraka
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 9 ай бұрын
Unaumia ukiwa wapi chooni au gesti?! Toka nje utembee uone miradi inavyotekelezwa bwege weeee.... treni za kichwa cha nyoka zimeshakuja hukooo
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Fanya kazi maisha magumu ni matokeo ya uvivu wako😏🤏
@jescajohn5034
@jescajohn5034 9 ай бұрын
Being a leader isn’t easy tena yy ni kiongoz wa juu kabsa aisee usipokuwa kiongoz huwez jua mziki wake,she has tried her best coz hata yy hakuwah kutegemea kuwa raisi.
@Jackson-n2c
@Jackson-n2c 9 ай бұрын
Hapana ukweli.... WANAMZINGUA TU. ila mwakani tunaomba mawaziri.... Wasomi wapo wengi, tunaomba sura mpya hao kina nape, makamba, rizi etc hamna kitu
@janephermwami6348
@janephermwami6348 9 ай бұрын
Mama mimi nakukubali sana piga kizi mwanamke wa nguvu
@mathewmatemu9204
@mathewmatemu9204 9 ай бұрын
Cjawah wapa ccm kura yng ila sasa mama una kura yng ila mbunge na diwan hawalambi kitu
@MekaLB-qs7bn
@MekaLB-qs7bn 9 ай бұрын
😅
@omaryyusuph7877
@omaryyusuph7877 9 ай бұрын
Mama nakuomba usitusaau sisi madereva wa malori tunanyanyasika sana kwenye nchi yetu wakati tupo huru familia zetu zinateseka sana wewe ni mama yetu tunateseka.
@mathewungani9724
@mathewungani9724 9 ай бұрын
Myself I appreciate what you are doing MAMA....Kukubishia ni Ujinga ndani ya Nafsi zetu....
@msabahaali758
@msabahaali758 9 ай бұрын
mm nadhani bi samia ungeacgia tu ngaz kiukweli hali imezidi kua ngumu mfumko wa bei na umeme nchi haina
@rayisadesigns2646
@rayisadesigns2646 9 ай бұрын
Kwa sababu sio msukuma mwenzio au vipi?
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Fanya kazi kwa bidii😂😂
@HashimHaji-p4l
@HashimHaji-p4l 9 ай бұрын
Kwaiyo akiachia ngazi vitu vitashuka bei, tujitume ndugu
@johnstambuli5275
@johnstambuli5275 9 ай бұрын
Mama umeme shida
@najmamussa
@najmamussa 9 ай бұрын
Huna. Habari yaliotokea bwawa la Nyerere rufiji
@PartySekemi
@PartySekemi 9 ай бұрын
Natamani ningekua ni ndio nauliza maswali hayo huyu jamaa hajui maswali ya kuuliza
@lyrics_forum
@lyrics_forum 9 ай бұрын
Nilichojifunza ni kwamba Mama Anaongoza Nchi kwa Kuhofia Uhai wake, Anaongoza Nchi kwa Kutaka Amani kutoka kwa Kila Mtu. Anaongoza Nchi kwa Kuwaogopa Vigogo. Aisee, Hapa Tumepigwa hapa! 🙌
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 9 ай бұрын
Ana hofu ya MUNGU.
@jescajohn5034
@jescajohn5034 9 ай бұрын
Hukujua wala kupanga atakua raisi siku moja.,so ata alipofikia amejitahid jmn leadership isn’t easy as u think.by the way it’s God’s plan for her to be a president not her own.tujifunze ku appreciate someone’s efforts na kushaur kistaarabu without judging.hata ww ni wa kiume ungepewa hiyo nafasi usingeweza turidhisha wote
@jescajohn5034
@jescajohn5034 9 ай бұрын
Hakuna kiongoz au raisi ambaye hata laumiwa.magufuli mlimlaumu kwamba hamna pesa nchini,kikwete mkasema rushwa nying,mwinyi mzee wa ruksa,huyu nae mnalaumu so no one atakalia hicho kiti awapendeze wote
@PhilibetLadislaus
@PhilibetLadislaus 9 ай бұрын
Nchi imebaki makasha kwa sasa anaongoza watumwa kwenye soko huria
@josiacharles2778
@josiacharles2778 9 ай бұрын
Hii nchi akuna Rais asiyeweza akiwa madarakani mfumo uliopo inaonesha mazuri tu ukiwa madarakani, Baada ya kutoka ndo ukweli usemwa.
@alanusrespicius1796
@alanusrespicius1796 9 ай бұрын
Nchi imeshakushinda tayali
@hassanadam2708
@hassanadam2708 9 ай бұрын
Kutoka rohoni. huyu ndie kiongozi ninaempenda zaidi ktk historia ya taifa.
@YustoMlay-cv4zb
@YustoMlay-cv4zb 9 ай бұрын
Hata mim nampenda sana uyu mama
@SimonKasato
@SimonKasato 9 ай бұрын
Wapinza watakukumbuka siku ukiomdoka madarakani
@jadenmsafi
@jadenmsafi 9 ай бұрын
Mama mitano tena
@AnjelaMdegela
@AnjelaMdegela 9 ай бұрын
Resiliency Reconciliation Rebuilding Malizia..... Re.........................!
@solomondanny-1507
@solomondanny-1507 9 ай бұрын
Reform
@sylvestercameo6263
@sylvestercameo6263 9 ай бұрын
Kama unakosea kuandika hayo maneno, unayefahamu gani wa kutosha juu ya maana ya ulichokiandika? Acha akili ya kukaririshwa
@AlouiseNgenDanDumwe
@AlouiseNgenDanDumwe 9 ай бұрын
Mbona hujamuzinguwa makonda kwanza umechaguliwa na nani
@KiongoziMwandamizi
@KiongoziMwandamizi 9 ай бұрын
Kasome katiba km hujui alie mchagua😏👋
@FloraPetro-y6i
@FloraPetro-y6i 9 ай бұрын
Magufuli wetu jmn ,sisi hatukukuchagua ,kikweli moyo wa mtu ni siri kibali hauna na watu wengi ,sisi tuko huku chini minong'ono mingi kwa wananchi
@jescajohn5034
@jescajohn5034 9 ай бұрын
Hakutaka kuwa raisi imemtokea bila kutegemea it’s not hee fault Mungu kampenda zaidi aliechaguliwa
@user-sr9js6rj5v
@user-sr9js6rj5v 9 ай бұрын
Mama, vitambulisho hadhi maalum mbona havitoki? kia siku ahadi mpya.
Lamborghini vs Smoke 😱
00:38
Topper Guild
Рет қаралды 66 МЛН
小丑教训坏蛋 #小丑 #天使 #shorts
00:49
好人小丑
Рет қаралды 23 МЛН
HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWA UKEREWE - 04/09/2018
59:24
Azam TV
Рет қаралды 812 М.
JANGAN sambut tahun baru 2025, UBAH DIRI AKIDAH ANDA - USTAZ AUNI
15:34
Meet My Malaysians
Рет қаралды 85 М.
Dr MAZA Berbicara Tentang Kejatuhan Bashar Al- Assad
23:22
Dr. Maza Channel
Рет қаралды 99 М.
NAMNA YA KUTOKA KATIKA MSONGO WA MAWAZO (STRESS) KATIKA FAMILIA " PASTOR MGOGO
1:12:10