RAIS WA JAMHURI YA GUINEA - BISSAU ASAFIRI KWA SGR, DAR - PUGU, AIPA HEKO TANZANIA

  Рет қаралды 10,653

TRC RELI TV

TRC RELI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 37
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 3 ай бұрын
Sema John Joseph pombe magufuli ❤ ukweri utabaki parepare
@mkutamajuto1549
@mkutamajuto1549 3 ай бұрын
Hayati magufuli azungumzwe kwenye hili pia maana yeye ndy alie Anza.... Msimpuuze
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 3 ай бұрын
Yani magu ndo wakutajwa na sio alie sasa
@fransicmushenyera9302
@fransicmushenyera9302 3 ай бұрын
nyie mawaziri msimgombanishe rais samia na wananchi kwakudhani labda anawatuma mnapotaja miradi aliyoinzisha magufuri bila kumtaja kwa kumtaja bado rais samia alikuwa makamu wake hivi mnajua wananchi hawapendi mnavyojipendeza
@katemachanda7035
@katemachanda7035 3 ай бұрын
​@@ahmedronga7583Haikatazwi Rais wa Sasa kutajwa kwa mambo yake, lkn kama Kweli we ni raia wa Tanzania kinachofanyika Sasa ni kama Rais wa Awamu ya tano alikuja na akaondoka tu. Ziko juhudi za dhati na za makusudi wataje mambo yaliyofanywa na Marais wote waliopita lkn ya Magufuli hayatajwi kabisaaa, yanatajwa kwa jina la Rais aliyepo Sasa. Kwani wewe hilo hulioni ndugu???
@josephambrose2215
@josephambrose2215 3 ай бұрын
Haswaa, Samia ameendeleza tu. Kama siyo kifo Cha Magufuli, hiyo treni ingeanza kazi kitambo na maendeleo mengine yangefikiwa. Hayati Rais JPM alikuwa na uchu wa maendeleo ya Tanzania🇹🇿 na mzalendo haswaaa, RIP🇹🇿🙏
@GodlivenMaximillian-ot7mg
@GodlivenMaximillian-ot7mg 3 ай бұрын
Hongereni TRC ila tunawaomba sana sana msituwekee manyimbo ya ovyo ovyo kama yaliyopo Kwenye mabasi, manyimbo hayo ya watu hawajavaa nguo, wanaimba matusi tu yanaharibu vizazi. Ndio maana vijana wa leo hawana umakini. Chonde chonde TRC Tunawapa mawazo kama mtaweka TV humo wekeni MAKALA mbalimbali za wanyama na nyingine nyingi za uzalendo.
@yesesalambwe9420
@yesesalambwe9420 3 ай бұрын
Hii ni hoja ya msingi sana. Izingatiwe! TV zioneshe mbuga za wanyama, maendeleo ya miradi yetu mbali mbali, mipango ya nchi na mambo mengine ya kujenga nchi ma jamii. Sio filamu za kichawi, mapenzi na mabongo fleva
@hemedrashid2921
@hemedrashid2921 3 ай бұрын
naongezeee hususani na nyimbo za uzalendo na vidio za tanzania kuchangia ktk ukombozi wa bara la africaaaa
@abasiabdallah6067
@abasiabdallah6067 3 ай бұрын
That's the real meaning of Magufulification of Africa.
@KamardinTebe
@KamardinTebe 3 ай бұрын
Fikra na alama za jpm pumzi kwa amani jpm tutakumbuka daima
@emmalexrelaxingsounds7403
@emmalexrelaxingsounds7403 3 ай бұрын
Tumrekebishe ndugu masanja kidogo. Guinea Bisau iko West Afrika. Haiko Sadc. na Wanaongea Kireno sio Kifaransa. Guineas iliyo walau karibu na sisi ni Equatorial Guinea. Wao wanaongea Kispanyola. 😇
@jebace
@jebace 3 ай бұрын
Guinea Bissau,Guinea Conakry na equatorial Guinea
@ibrahimally8073
@ibrahimally8073 3 ай бұрын
Labda we ndio tukurekebishe.. maana masanja hajasema unachotuambia.... kasema lengo la serikali ni SGR ifike mpaka mataifa ya jirani ya sadc.. Wala hajasema kuhusu eti guinea IPO sadc.. hapo umemsingizia..
@border2bordercuisine168
@border2bordercuisine168 3 ай бұрын
Mnh. Huko nje mama anakubalika sana . Hongera sana mama. Mungu akupe nguvu zaidi.na sisi ndani wengi tunakukubali.❤❤❤
@nguruwekikwete1635
@nguruwekikwete1635 3 ай бұрын
Mama gani wewe fara
@ernestsinje9700
@ernestsinje9700 3 ай бұрын
Jpm uliona mbali Baba Mungu akurehemu
@ahmedronga7583
@ahmedronga7583 3 ай бұрын
Kongole kwa babu wetu JPM
@KS-iw7qv
@KS-iw7qv 3 ай бұрын
Mashaa-Allah Refu saaana
@athumaniabdi4122
@athumaniabdi4122 3 ай бұрын
Mungu wangu, nakuomba endelea kuibariki Tanzania
@GdFf-ik2eo
@GdFf-ik2eo 3 ай бұрын
Humo msiweke miziki na nyimbo za kupotisha vijana wetu wekeni mbuga za wanyama bs watu wasngalie msiwrje nyimbo kama kwenye mabadi wengine hatupendi hiyo miziki
@omarybakunda2554
@omarybakunda2554 3 ай бұрын
Mimi nadhani tujipongeze watanzania wote mana tunalipa kodi
@ROZITHOMAS-y4q
@ROZITHOMAS-y4q 3 ай бұрын
TV za train wekeni wanyama wa mbuga zetu
@HajiKlein-so1rk
@HajiKlein-so1rk 3 ай бұрын
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌹👏
@piusmapunda5900
@piusmapunda5900 3 ай бұрын
Naomba usimamizi uwe makini sana sana ili hii reli ya gharama kubwa sana iweze kudumu kwani tumeona si muda mrefu mradi wa mabasi ya mwendo kasi (BRT) uko hoi bin taabani kutokana na usimamizi na kutojali kutunza mali ya umma kunakpsababushwa na waliopewa dhamana kufanya kazi kwa mazoea na kulewa sifa. Ni hilo tu. Mungu ibariki sgr na Tanzania
@mashakabundala9955
@mashakabundala9955 3 ай бұрын
Kenya 🇰🇪 mpoo
@emmanuelmasanja6040
@emmanuelmasanja6040 3 ай бұрын
Wanajiona,hawaoni
@DeodatusiLyaruuu
@DeodatusiLyaruuu 3 ай бұрын
JPM ndo wakupongezwa
@ulimbombonaulindi5088
@ulimbombonaulindi5088 3 ай бұрын
Mbona hamjampa nafasi Mheshimiwa Rais kuzungumza tukamsikia?!
@mussamussa8181
@mussamussa8181 3 ай бұрын
KWAKWEL ALIPO KANYAGIA MAGUFURI NI PAZURI ,,MAGUFURI MITANO TENA MIE NITAMPIGIA KURA MAGUFURI...KATUTOA GZAN SANA
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 3 ай бұрын
Magufuli oyee ndiye alifanya haya
@mohamediomari1614
@mohamediomari1614 3 ай бұрын
Mchongoko lini jamn
@jameskapele441
@jameskapele441 3 ай бұрын
Kongole TZ
@raymondmichael8805
@raymondmichael8805 3 ай бұрын
kazi ya magufuli matapeli nyie
@HansChuma
@HansChuma 3 ай бұрын
Ruache Porojo naupumbavu wa maneno mengi na Media kusifia ujinga Inatakiwa tutunze malizetu vizur kwa maendeleo Shenzi
@killy_hoffman2698
@killy_hoffman2698 3 ай бұрын
sasa kilicho kukasirisha hapa ni kipi ? au ulimbukeni ndo unakusumbua
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 3 ай бұрын
wavita bang kama WEW n hasara KWA taifa
MADEREVA WA TRENI KICHWA MCHONGOKO WAIVA
6:44
TRC RELI TV
Рет қаралды 24 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН
Bike Vs Tricycle Fast Challenge
00:43
Russo
Рет қаралды 107 МЛН
My Daughter's Dumplings Are Filled With Coins #funny #cute #comedy
00:18
Funny daughter's daily life
Рет қаралды 13 МЛН
HII HAPA  SAFARI SGR  DAR HADI MORO, NDANI YA TRENI YA SGR
10:07
TRC RELI TV
Рет қаралды 40 М.
JULY 25 SGR KUANZA SAFARI DAR - DODOMA
5:32
TRC RELI TV
Рет қаралды 11 М.
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 4,7 МЛН