Rais wa TLS na sakata la kukamatwa kwa wakili Mwabukusi, Ndumbaro afunguka

  Рет қаралды 9,237

WAKILI TV

WAKILI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 67
@HosseaNII-um3tn
@HosseaNII-um3tn Жыл бұрын
Kwanini mnata kufanya wait waichukie serekali ya awamu ya sita
@lilotz-we7xq
@lilotz-we7xq Жыл бұрын
Kweli kabisa wale niwahaini Wala wasitoke ndani wanyongwe kwa kupanga njama zamapinduzi
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Acheni kuingilia mhimili wa mahakama . Imejuaje kama ni wahaini au sio wahaini . Pia usishabikie eti wanyongwe je ungekuwa wewe ungejisikiaje . Mimi nadhani tusubilie maamuzi ya mahakama ndio watoa majibu
@begukulemosobe9685
@begukulemosobe9685 Жыл бұрын
Muhaini kaachiwa huru? Stupid
@malackedson7706
@malackedson7706 2 ай бұрын
Chawa.
@alphoncembasa592
@alphoncembasa592 Жыл бұрын
Sasa hapo waziri hoja yako ni Nini kuja mbele ya jamii na kuelelzea Hilo ili iweje maana sijakuelewa . Pia unasema sio kwamba wameonea la hasha . Je wewe imejuaje kama wanakosa ili hali swala Liko mahakamani. Kwanini usiachie mahakama itoe ufafanuzi . Swali lingine je kwanini hujawakosoa wale wanaosema watuhumiwa Wana makosa maana wamejuaje Wana makosa ili Hali mhimili pekee wa kutoa haki au kujua Wana kosa au hawana kosa ni mahama. Naomba ufafanuzi wako lengo lako la kuja kwenye media na kuelelzea hili Lina maana Gani . Hata Amnesty nao wanasemaje kuwa hawana kosa maana mahakama haijatoa maamui
@MonicaMwakibwili
@MonicaMwakibwili Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😢❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@kubwaichebestfriend8673
@kubwaichebestfriend8673 Жыл бұрын
Hapa kwetu hayo yote sio hekima lakini kuiba uchaguzi na kulinda wezi waliotajwa na CAG ni hekima😅😅😅😅😅😅
@rebeccamsami4580
@rebeccamsami4580 Жыл бұрын
Ovyoo kabisa😢
@naqiahmad26
@naqiahmad26 Жыл бұрын
kumbe we ni msenge
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 Жыл бұрын
Huyu sijajua nafasi hii ya uwaziri anapataje,sijawahi kumuelewa. 1.Mkapa alitukana Kwa kusema Malofa,uprofesa uchwara nk 2.
@sindaslyvester1007
@sindaslyvester1007 Жыл бұрын
Wewe ni k
@StevenTambi
@StevenTambi Жыл бұрын
Wewe hujitambuwi
@mikaelkanamagali5462
@mikaelkanamagali5462 Жыл бұрын
Aisee cheki miwani
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
yan mnazima haki kwa mwamvuli wa Amani Mungu anawaona
@JosephinaLuoga-lo9os
@JosephinaLuoga-lo9os Жыл бұрын
Tumuogope mungu. Km ni uhuru ni Kwa matajir masikin ktk taifa hili Hana haki
@nicodemashaggite8429
@nicodemashaggite8429 Жыл бұрын
Hamna kitu hapa
@andreauisso3225
@andreauisso3225 Жыл бұрын
Nyie ccm mwisho wenu ni mbaya sana damu ya magufuli na machozi ya watanganyika hayawaacha salama
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Unajua unacho ongeakweli
@erastomwambeje9920
@erastomwambeje9920 Жыл бұрын
Hao ni ccm
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Nyamazeni mtaumbukaaaaa
@MosesMkupasi
@MosesMkupasi Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂 tusubili kwenda motoni tuuu😢😢😢😢
@rebeccamsami4580
@rebeccamsami4580 Жыл бұрын
Ovyoo kabisa😢
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 Жыл бұрын
Tunataka katiba tumechoka na ngo jera zenu
@fredymponji1423
@fredymponji1423 Жыл бұрын
Pasipo haki amani huanza kuondoka mioyoni mwa watu, na baadaye huondoka physically. Let's preach haki ili amani iwe automatic pasipo kutumia nguvu kuenforce amani.
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Huyu anabwabwaja nn? Kama mngekua mnatenda haki mngeanza mafisadi wakubwa mlionao huko
@NgoyoyiNgoyo
@NgoyoyiNgoyo Жыл бұрын
Unanimalizia MB tu
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 5 ай бұрын
Miwani kama ngedele
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Na hao waa rabu watanunua mpaka matako yenu,uhurh gani wakijingahuo?
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Жыл бұрын
Mungu anawaona jamani tumwagopen mungu
@jediokokoma8670
@jediokokoma8670 Жыл бұрын
Kuwa na aibu pandikizi na mchumia tumbo wewe aibu itakupata milele
@RaymondJeremiah-r9e
@RaymondJeremiah-r9e Жыл бұрын
Huo ndio ukweli sababu yabandari
@IvoFransis
@IvoFransis Жыл бұрын
Huna unachozungumza kilaza ww. Kafie mbali😢
@LazaroELucas
@LazaroELucas Жыл бұрын
Wewe ni mahakama?
@simonuronu1026
@simonuronu1026 Жыл бұрын
UKISHA KULA PESA HUWEZI KUJUA MAUMIVU YA WENGINE FALA WEWE
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf 5 ай бұрын
ACHA IPOTEE. AKUNA AMANI. WENGINE WANASHIBA WENGINE WANANJAA MSIDANGANYE
@egdldm4981
@egdldm4981 Жыл бұрын
Kwa nini viongozi wa kisiasa mnatumia amani kama kinga kwenu kuficha ufisadi wenu mkisemwa mnatumia vyombo vya dola ?....Kumbukeni sisi ndio tunaowawekeni nyie madarakani, hivyo msivimbiwe kiasi hicho.
@LazaroELucas
@LazaroELucas Жыл бұрын
Ukiwa na pesa mfukoni hauwez kukumbuka kama kunawatu wengine hawana ipo siku sheria zitafuatwa ipasavyo twendeni
@obadiajumamkaria2568
@obadiajumamkaria2568 Жыл бұрын
Kusoma simwisho waujinga
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Bado tu mu une na wakezenu unawageukaje wenzio,
@christineaimtonga1787
@christineaimtonga1787 Жыл бұрын
Tuyaache hayo mungu ni mwenye hukumu ya kweli
@israelkisserei524
@israelkisserei524 Жыл бұрын
KWANI KATIBA YA NCHI INASEMAJE KUHUSIANA NA HAYO?
@anitasita6299
@anitasita6299 Жыл бұрын
Kupinga mkataba FEKI NI UHAINI? KUUZA BANDARI ZOTE ZA NCHI NDIO UHAINI
@charleslukumai7875
@charleslukumai7875 Жыл бұрын
Amani bila haki? Uvunjivu was amani hutokea pale haki inapoporwa. Kutukana ni kosa kisheria. Waliotukanwa, wamechukua hatua gani?
@yawepetro2049
@yawepetro2049 Жыл бұрын
Ata yeye ametutukana kwann wazili mbalawa azain kote dubai na Tanzania, hauon selekari imetutukana kwa mkataba gan
@robhvathempoki5981
@robhvathempoki5981 Жыл бұрын
We Waziri una matatizo acha kuongea upuuzi
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Nibandari acha kubwabwaja maneno tupo watu wazima hapa
@michaelbachubira7197
@michaelbachubira7197 Жыл бұрын
Ivi sisiem ukiwakosoa kwa sitaa wanakusikiliza?
@robhvathempoki5981
@robhvathempoki5981 Жыл бұрын
Mtunatumia nguvu kubwa kupinga watetea haki badala ya kupambana na umasikini
@IsayaSosolo-nx8zk
@IsayaSosolo-nx8zk Жыл бұрын
Ccm wakifanya yasiiyo haki sawa Mkuu was mkoa Jana katukana happ no sawa kwa hiyo wengiene hawaruhusiwi?
@VailettyShigerla-fw2sg
@VailettyShigerla-fw2sg Жыл бұрын
Mtoen
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Raisi ametukanwa je? Uvunjifu wa amani utavunjwa na viongozi ambao si wazalendo
@anitasita6299
@anitasita6299 Жыл бұрын
AMANI ITAKUWEPO MKIFUTA MKATABA FEKI
@ostenmwakasita6960
@ostenmwakasita6960 Жыл бұрын
Hivi kuwekeza mikataba ya milele ni hekima kuwekeza Mbuga ambazo tunauwezo wa kuziendesha sisi wenyewe ni hekima tuwambia wasiotaka kulipa kodi wahamie Burundi ni hekima ni nani ashitakiwe na kupewa kesi ya uhaini ninani
@suzysam6002
@suzysam6002 Жыл бұрын
Ndugu yangu ndio maana maandiko yanasema tunaangamia kwa kukosa maanarifa kunawengine wanafurahia ,hawaelewi tuwaonee huruma to
@zakabonifas2144
@zakabonifas2144 Жыл бұрын
Ovyo kabisa
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Toka kumbe n'a wewe ni walewale,umekula pesa ,toka msaliti mkubwa wewe
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Hizo pesa za mwarabu zitawatokea puant wajinga wakubwa
@AbelyElito
@AbelyElito Жыл бұрын
Hivi hawa jamaa wanaakili kweli
@gallegalleson4427
@gallegalleson4427 Жыл бұрын
Pesa za mwarabu hizo zinamwagwa kila mahali, watanganyika hatutaki waarabu .
@aliabdallah8456
@aliabdallah8456 Жыл бұрын
Wewe unasema utaki wawekezaji waarabu wataka wawekezaji wazungu ili muowane mume kwa mume au mke Kwa mke uwe na akili usiburuzwe kwa chuki binafsi
@clemencemkondya8561
@clemencemkondya8561 Жыл бұрын
Tatizo watanzania wajinga ndiyo wanaowasaidia wahuni hao .Acha matusi na dharau zao ziwasaidiye. Bado Tundulisu tu
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Ungekua na akili ungesema mafisadi ndo waanze kuwekwa ndan
@eladiurassa123
@eladiurassa123 Жыл бұрын
Huyu kala fungu.
@EmmanuelMagadula-f1y
@EmmanuelMagadula-f1y Жыл бұрын
Kumbe wewe pia nimjinga sana bana
@hamidabarraball3162
@hamidabarraball3162 Жыл бұрын
Mpumbavu wewe shut up
Wakili mwingine aiburuta TLS kortini
5:48
Mwananchi Digital
Рет қаралды 1,5 М.
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
coco在求救? #小丑 #天使 #shorts
00:29
好人小丑
Рет қаралды 120 МЛН
Wakili Mwabukusi Alalamikia Jeshi la Polisi Kushikilia Vifaa Vyake
16:45
MAWIOTZ ONLINE TELEVISION
Рет қаралды 83 М.
How did Turkey change Somalia's fate?
23:42
TVNET X
Рет қаралды 654 М.
Mahojiano Maalum na Boniface Mwabukusi Miaka 70 ya TLS
24:00
99.9% IMPOSSIBLE
00:24
STORROR
Рет қаралды 31 МЛН