Wakili Mwabukusi Alalamikia Jeshi la Polisi Kushikilia Vifaa Vyake

  Рет қаралды 83,770

MAWIOTZ ONLINE TELEVISION

MAWIOTZ ONLINE TELEVISION

Күн бұрын

Пікірлер: 457
@ezekielmsamba9751
@ezekielmsamba9751 Жыл бұрын
Mwabukusa wew ni Kaka wa taifa salute to you my brother 🙏🙏🙏🙏
@annahockson1427
@annahockson1427 Жыл бұрын
Mungu Akulinde Sana Mtu Sana huyu jamaaa Watu wa Aina yako hawazaliwi Mara kwa Mara ❤️
@abeliantony7085
@abeliantony7085 Жыл бұрын
Watanganyika tunaona na tunaskia tunatakiwa kumsapoti huyu mzarendo wanchi yetu na asilimali zetu, hongela sana ndugu
@funnuelmwalukasa4506
@funnuelmwalukasa4506 Жыл бұрын
Hii nchi tuna mawakili wazuri badala ya kuwaweka serikalin wakatete ndege zetu zinakamatwa hovyo kumbe tuna watu makini kabisa hii bidhaa adimu sana katika taifa letu❤❤❤❤
@sheryphamwenevalley6124
@sheryphamwenevalley6124 Жыл бұрын
tatizo la nchi yetu wazalendo. hawatakiwa wanawahitaji wezi kwa faida zao, si umeona watu waliochwa mafisadi walio ltukana Rais.Magu wote ss wapo oazini ja awakus,htakiwa popote hii ndio nchi tulionayo 😭😭
@linusmmassy9730
@linusmmassy9730 Жыл бұрын
Mwenda zake tutamkumbuka haya yasingetikea,ndege ya rais imezuiliwa huko dubai? Bado wanaosema ukweli weka ndani!.Basi huruma ya Mungu imewatoka
@nestanesta5704
@nestanesta5704 Жыл бұрын
Much respect to you!!! Lissu ni mtata ila hapa nimekubali, big brain 🔥
@jamesmaurusss3612
@jamesmaurusss3612 Жыл бұрын
Hapo umeongea
@talents7934
@talents7934 Жыл бұрын
Kumbe MAGUFULI hakufa😢 Namwona MAGUFULI mwingine hapa❤❤❤❤❤❤MAGUFULI =MWABUKUSI ❤❤❤
@AlbertoMahenge
@AlbertoMahenge Жыл бұрын
Hongera Sana Kaka kwakuwa mzarendo hakika nihaki yetu mungu akutanglie naakulinde Asante kwakutetea watanzania
@MichaelMadusco
@MichaelMadusco Жыл бұрын
Mungu akupe maisha malefu kaka
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Жыл бұрын
Asante kaka.. wakumbushe na kuhusu Gess yetu ya kule mtwara, tunapata shida saizi kutokana na upumbavu huo huo wa mikataba ya kipuuzi
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
NILIWAAMBIA HUYU MWAMBA HABAHATISHI HAMKUNIELEWA SASA MTANILEWA. TUNAKUPENDA SANA UNATUWAKILISHA❤❤❤❤.
@PlatnamMogo
@PlatnamMogo Жыл бұрын
Safi sana Mwabukusi na Mdude nyie ni mfano wa kuigwa kwa vijana.
@saidiathuman-og6bc
@saidiathuman-og6bc Жыл бұрын
Nimepata furah ya moyo kupitia wew Kaka mungu akulinde leo,kesho na milele nakuombea wakili msomi*****
@Ambwene
@Ambwene Жыл бұрын
Kabisa broo 👊 🤜 🤛
@nkwabimayunga473
@nkwabimayunga473 Жыл бұрын
Elimu kubwa huyu jamaa alifudishwa vema na malimu wake tulio wengi tulitoka shule bila kujua mwalimu anasema nini nakupogeza kutuelimisha mkuu ❤❤❤❤❤
@maxwellmkandawire3162
@maxwellmkandawire3162 Жыл бұрын
Mwabukusi Mungu akulinde na akupe maisha marefu
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Жыл бұрын
Sichoki kukusikiliza mwabukusi!..mungu akulinde!
@RamadhanMohamedi-j3d
@RamadhanMohamedi-j3d Жыл бұрын
Mwenyezi mungu hatowi urinzi kwa watu mahasidi
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Жыл бұрын
Hasidi hyo hao wanaoapa eti kwa kushika sijui quran na Biblia halafu wanafanya kinyume !!Mungu hatawaacha waenjoy lazima wawajibike!! kabla ya kufa kwao
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Жыл бұрын
Hao watalindwa mpk kieleweke!! ndio wanaume hao wengine wamefyata mkia
@zabibumgina2222
@zabibumgina2222 Жыл бұрын
​@@RamadhanMohamedi-j3dmatako wewe hujitambui lione
@masumbukopindu1513
@masumbukopindu1513 Жыл бұрын
Jamaa ni anaongea point mwanzo mwisho, huwez choka kumsikiliza
@GodfreyWella-ip7ed
@GodfreyWella-ip7ed Жыл бұрын
Mungu awatangulie watumishi kwa kutetea lasilimali zetu.Amina
@Ambwene
@Ambwene Жыл бұрын
Watanganyika wenzangu nawaomba tumlinde na kumuombea saana Mwabukusi, tusije tukampoteza kizembe kama tulivyompoteza hayati Magufuli....
@FarhatSeif-p3t
@FarhatSeif-p3t Жыл бұрын
Yeye mwenyewe hayataki maisha yake. Wewe unamlinda nini?
@MelaniaDickson-o9j
@MelaniaDickson-o9j Жыл бұрын
​@@FarhatSeif-p3twewe ndie msenge usie jitambua kuku wa kisasa kweli wewe
@joycejackson2320
@joycejackson2320 Жыл бұрын
We mwenyewe msenge mbuzi wewe!! nyie ndio vibaraka msiojielewa kazi ya kukariri tu hapo shule tu ! sio kutafuna mihogo na kachumbari!!
@amosiabdulallh7965
@amosiabdulallh7965 Жыл бұрын
Chizi wewe
@Ambwene
@Ambwene Жыл бұрын
@@joycejackson2320 Kuma la mamaako kama mkundu unakuwa njoo uukalie uboo wangu nikutifue mavi mbwa weee
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
TATIZO WAKILI MSOMI HOTUBA ZAKO NI FUPI SANA UNAVYOMALIZA KAMA NDIO UNAANZA DUHH❤❤❤❤😂😂😂
@Satier47
@Satier47 Жыл бұрын
Kweri kabisa kaka❤❤❤❤
@AlfaSaa-j4h
@AlfaSaa-j4h Жыл бұрын
Bro we are all behind you. Your voice of majority. We are ready to help in any cost
@bahatikabungu7788
@bahatikabungu7788 Жыл бұрын
Mali safi kutoka Mwakaleli Tunakuombea sana bro we love you
@IvoFransis
@IvoFransis Жыл бұрын
It's true that Magufuli has raised up again. Thank you Lord. Mungu akulinde baba Mwabukusi. Long life beloved. You are a really person to release us from slavery.
@kawiche4911
@kawiche4911 Жыл бұрын
MWABUGUSI TUKO pamoja haki tutatetea
@ModestRitte
@ModestRitte Жыл бұрын
This is what we were looking for a right person who will go before us. This is a right person.
@martinmkoma-zl1iv
@martinmkoma-zl1iv Жыл бұрын
Magufuli spirit has born
@stephenmahenge4546
@stephenmahenge4546 Жыл бұрын
Uko smart sana bro, mungu yu pamoja na wewe.
@mosesmacha1080
@mosesmacha1080 Жыл бұрын
Yaani nimerudia hii hotuba mara nne Fantastic man
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 Жыл бұрын
🙏🙏🙏👏👏👏
@christopherfussi6302
@christopherfussi6302 Жыл бұрын
Kuna kitu nahisi, inawezekana Mungu amefanya kitu Kwa huyu mwamba au roho ya Magufuli inaishi Kwa huyu kiongozi sio Bure Yani anafanya haya yote bila malipo,ni roho tu ya Mungu
@dionisiajohn519
@dionisiajohn519 Жыл бұрын
Tuna piga magoti kuwaombea, Mungu awatunze, ninyi ni Nuru ya Taifa letu❤
@BensonMpete
@BensonMpete Жыл бұрын
Mutu ya tanganyika original napenda Sanaa mutu hiii ya kweli
@kingswebe3251
@kingswebe3251 Жыл бұрын
Umenifurahisha sana, eti IGP avue gwanda aingie kweye siasa.
@YasiniUrassa-ec3xt
@YasiniUrassa-ec3xt Жыл бұрын
Safi sana mabukusi yaani ww ni magufuli mtupu mungu akusimamie sana isiwe nguvu ya soda.kusimamia rasilimali za NCHI yetu
@johnnyjosephmonica286
@johnnyjosephmonica286 Жыл бұрын
Thenks mwabukusi Wewe noma Sana mkuu hakika unafaa kuwa kiongozi
@hildandumbalo5827
@hildandumbalo5827 Жыл бұрын
Mungu yuko nawe brother you are strong 💪🏻
@SATZ-news
@SATZ-news Жыл бұрын
We love Bro keep it like that💪💪💪🇹🇿🇹🇿
@husseinmucky829
@husseinmucky829 Жыл бұрын
Dah Mungu akuweke sana mzee!!
@amanimahamudu5118
@amanimahamudu5118 Жыл бұрын
Mungu akulinde mwabukusi taifa letu linaangamizwa na ubinafsi wa viongozi wa ccm.
@revmckenzie1503
@revmckenzie1503 Жыл бұрын
Najuwa viongozi WENGI SANA wa serkali hii ni WAFUGWA WATARAJIWA
@joycekidulile5546
@joycekidulile5546 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana na akutunze mwabukusi umetufungua kwenye gizaa
@wemakabuka9391
@wemakabuka9391 Жыл бұрын
Lazima tupambanie nchi yetu .mbeya ni moto wasomi wanaojielewa
@fadmwangosi1007
@fadmwangosi1007 Жыл бұрын
Alafu anakuja mwanamke mmoja eti wanambbeya tumemtuma kumwambua raisi Tupo pàmoja katikat huu uhuni...?
@emanuelpiniel5277
@emanuelpiniel5277 Жыл бұрын
Watu kama akina mwabukusu wanahitajika katika nchi nchi hii,tulipofikia haihitaji lugha laini
@aminahkhuzwayo-iv1wl
@aminahkhuzwayo-iv1wl Жыл бұрын
Sisi kama watanzania tunamuona mchochezi tu! Na tupo makini na vilaza kama nyie!
@williamgeorge-hd2tn
@williamgeorge-hd2tn Жыл бұрын
Mungu akubariki sanaaa
@athumaniyshehoza2252
@athumaniyshehoza2252 Жыл бұрын
Mungu akuzidishie umri mlef zaid mwabukusi wewe ni mmoja mwenye uthubutu unasimamia haki
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Tukipata watu 100 kama huyu jamaa ujinga na unyanyasaji utaishaaa kabisaaa Asante sana mwabuksi
@timboxlee919
@timboxlee919 Жыл бұрын
Safi Sana mtanganyika mzarendo,ur true wakili, hata me nakeleka Sana na huu utawala wa huyu Mama, Rip JPM
@nghabingagaja2127
@nghabingagaja2127 Жыл бұрын
❤❤mwabukus unafaa kua mwanasheria mkuu
@barakajuma-g6s
@barakajuma-g6s Жыл бұрын
Mungu akufanye kuwa nguzo yachuma nakuta zashaba nausiogope mungu yuko pamoja nawewe,
@manethmwiyanja2452
@manethmwiyanja2452 Жыл бұрын
wabunge karibia wote weziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
@hezronimwesigwa1271
@hezronimwesigwa1271 Жыл бұрын
Bro nakukubali sana sisi tuko nyuma yako na mungu yuko upande wako
@GodfreyWella-ip7ed
@GodfreyWella-ip7ed Жыл бұрын
Mwabugusi watu kama wewe wanaozaliwa ni wachache mungu akulinde uishi milele
@AseyDada-cq9ju
@AseyDada-cq9ju Жыл бұрын
Mungu akutunze mwabukusi wetu
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 Жыл бұрын
Asante sana Mwabukusi Kwa kujitolea kulitetea Taifa letu
@hamisombali8545
@hamisombali8545 Жыл бұрын
❤❤❤❤❤❤ mwambukus Big up brother
@revocatuspaul42
@revocatuspaul42 Жыл бұрын
Pole Mungu awe nanyi katika hilo, Mungu ibariki nchi yetu Tanzania
@frumencmsonga5217
@frumencmsonga5217 Жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu . Kuwainuawa watu wenye uchungu na nchi . Kama Nehemia alivyo hakukubali watu wake kwa wtu. Mungu amesikia maombi ya Watanzania.
@juliusisack4090
@juliusisack4090 Жыл бұрын
Magufuli mwingine huyo mmepewa.... Aisee ilaa mungu akulinde Mzee
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 Жыл бұрын
Mwabukusi uko sahihi unaongea point wewe ni mzalendo uko muazi Watanzania tunakupenda sana tatizo mkataba tunajua.
@samwelingosek6933
@samwelingosek6933 Жыл бұрын
Mungu akulinde baba ili uingomboye wanyonge kwani sisi wengine tunawazindikisa tu watanzania atuna haki
@allyally9238
@allyally9238 Жыл бұрын
Mungu akulinde endelea kupambana
@BensonMpete
@BensonMpete Жыл бұрын
Hiii mutu ikiungana na tundu lisu ni fireeeeeee
@aggreyenock1221
@aggreyenock1221 Жыл бұрын
🤣🤣🤣💥💥🙌🙌
@leonardleonard6164
@leonardleonard6164 Жыл бұрын
Big up brother❤❤❤❤❤❤
@jesuinababili2280
@jesuinababili2280 Жыл бұрын
Bravo Bravo Bravo Mwabukusi ... Baba wa Mbinguni akufunike kwa damu yake .... wewe una UPAKO... tupo nyuma yako hadi kieleweke
@birigitasilayoagustin2345
@birigitasilayoagustin2345 Жыл бұрын
Kaka nakupenda sana Mungu akutunze
@yohanabogohe3147
@yohanabogohe3147 Жыл бұрын
Haki yake Mungu huinua taifa, wote wanaoipotosha haki Mungu ashugulike nao hata kama wanatumwa tu Mungu piga hao kama farao ulivyompiga
@thomaskiponda6079
@thomaskiponda6079 Жыл бұрын
RAIS AMUANGALIE SANA MTU HUYU NI MTU MUHIMU SANA KWA TAIFA HILI ❤.
@hadimznz
@hadimznz Жыл бұрын
Atamuangalia vp wakati hana busara, hata kama una elimu ukikosa busara unakuwa mjinga, kwa nyinyi wa kristo mnaweza kuelewa, utawala haujaribiwi, Yesu alipojaribiwa na watawala wa Roman alijibu ya Kaisari mpeni Kaisari na Mungu mpeni Mungu, hata hivyo hakusalimika, mama Samia ni msikivu sana na ametoa uhuru wa kutosha, Sasa kama Mwambukusi ana akili ya kuyasoma mazingira basi angetumia style ya busara badala ya kuropoka, amekaa siku tatu tu ndani anasema afya yangu sio nzuri, akili haipo sawa, neno Tanganyika alikuwa halisemi anasema Tanzania na watanzania, utawala hautishiwi nyau, Samia ameshatoa kauli ataendelea kunyamaza ila taifa lisichezewe, hakuna mwenye ubavu wa kufanya hivyo, ushauri wangu kama anahisi ana hoja ya msingi aendelee katika utaratibu wake wa rufaa wa shauri lake, mbele ya Mahkma ya rufaa, akishindwa tena, basi avae magwanda ya siasa. Chama atachuagua mwenyewe, ikibidi hata kuingia huko huko CCM.
@godyzem0101.
@godyzem0101. Жыл бұрын
Hawezi kumwangalia. Si unaona anaharibu kitumbua chao
@BensonMpete
@BensonMpete Жыл бұрын
Chuma kimepata moto 😂😂😂😂
@isayaanthon7063
@isayaanthon7063 Жыл бұрын
Kaka mkubwa makubali kuliko unavojikubali. Nakuelewa kuliko unavojielewa. Aluta continue
@EzekieliKatigizu
@EzekieliKatigizu Жыл бұрын
Mimi nilihisi wafalme tunawapata baada ya miaka 30 kumbe hamna huyu ni mfalme tena kama magufuri
@masumbukopindu1513
@masumbukopindu1513 Жыл бұрын
Lisu ni Akasome. Hivi vichwa ndo vinapaswa kupewa title ya UPROFESA hizi zambagaza zingine zikalale
@anselmoonolius
@anselmoonolius Жыл бұрын
Nilitamak kuongea kitu lkn nimeishia kulike comments za wadau hakika tz imeamka ❤❤❤
@simonIbrahim-hc8vm
@simonIbrahim-hc8vm Жыл бұрын
Hakika hata mimi siogopi hii nchi ina viongoz wa hovyo sanaa daah😢😢 mbwa hawa
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Yaani mwabukusi unaongea mpaka nataka kulia🤣🤣🤣🤣🤣❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
@RichardKassanga-w7n
@RichardKassanga-w7n Жыл бұрын
Huyo Wakili Mwabukusi ndiyo watu wanaotakiwa nchi hii safi sana tupo nyuma yako endelea baba.
@annajohn5176
@annajohn5176 Жыл бұрын
Jamii tumeisha jielewa hao wanao watisha Wenda walisomewa hawakusoma wenyewe mungu akulinde kaka
@nabimanyafesto5014
@nabimanyafesto5014 Жыл бұрын
Asante mtanzania halisi
@rabansamwel3547
@rabansamwel3547 Жыл бұрын
Mungu akusimamie mpiganaji wetu
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Wambie wavaa magwanda hao wanatumia nguvu kuliko akili hawajui kama Sasa ivi watu wameelimika tukana mbwa hizo❤❤❤❤❤
@wemawamungu9866
@wemawamungu9866 Жыл бұрын
Mungu akutie nguvu kaka yangu
@lucknessmazula2974
@lucknessmazula2974 Жыл бұрын
Hakika huyu mtu ni hazina ya Taifa.
@fanuelkatoto8913
@fanuelkatoto8913 Жыл бұрын
Naomba Mungu anipe spirit kama hiyo kusemea watu bila kuogopa
@rashdiyange7758
@rashdiyange7758 Жыл бұрын
Mi nashangaaa ih nchi iv. Wakili ni moja tu duuu seee
@florencemwanansao834
@florencemwanansao834 Жыл бұрын
We baba mungu akubariki
@oliviaseth4652
@oliviaseth4652 Жыл бұрын
Well done Mwambukusi
@ChristopherMayanga
@ChristopherMayanga Жыл бұрын
Mungu akubariki mzarendo sisi watumish wa mungu tutakuombea naamin mungu atakusimamia kwa jina ra yesu
@Udindigwa
@Udindigwa Жыл бұрын
Yani Ujasili Wa Uzalendo Ujasili Wa Kuwa Na Msimamo Wa Kukubali Kupoteza Vyote Kwa Sababu Ya Nia Njema Na Safi Yani Naamini Mwenyezi Mungu hato Kuangusha milele kuna Wakati Ubebe Msalaba Ili Upate Utukufu Wa halali Kuliko Vingine Ambavyo Sio HAKI Mungu Ni Mkubwa SANA Heshima Yako Baba
@obedwilliam5906
@obedwilliam5906 Жыл бұрын
Utakumbukwa wewe baba❤️❤️❤️❤️🙏🙏🙏💪👍👍👍👍
@lameckbalekere1962
@lameckbalekere1962 Жыл бұрын
Mungu akulinde tupiganie tutakupa uraisi
@zefamange7281
@zefamange7281 Жыл бұрын
Ningekua mimi ndio nateua maraisi huyu MWABUKUSI ningempa uraisi ili awe badala ya MAGUFULI.
@FatnaAlly-hm1xc
@FatnaAlly-hm1xc Жыл бұрын
Allah mola wangu jaalia kila la kheri
@samwelingosek6933
@samwelingosek6933 Жыл бұрын
Nakuombeya Kwa mungu ila hata sisi wanainchi tumejua nchi imeusua
@willibroadwilliam6798
@willibroadwilliam6798 Жыл бұрын
Tangu nimekuwepo duniani nakuanza kufahamu.Tanzania umekua NO. mbili NO moja Hayati Magufu watu wenye machungu na nchi yao asante
@goodlucknjau77
@goodlucknjau77 Жыл бұрын
Mwambukusi ni Nyerere mtupu ni mzalendo kama Raisi wetu wa kwanza mwalimu Julius kambarage Nyerere .
@fortyyellu9971
@fortyyellu9971 Жыл бұрын
Sawa kabisa ndugu mwabukus.. tutapaza saut mbaka mwisho Hatutishwi na mpuuz yoyote, Safari hii wameng’ata chuma hatutawaelewa hata kidogo.. wakabinafsishe majumba yao na mali zao binafsi na sio mali za TAIFA.. safari hii patawaka
@AthumanJuma-iw8fh
@AthumanJuma-iw8fh Жыл бұрын
Uko sawa kabisa
@catherinegimbika1545
@catherinegimbika1545 Жыл бұрын
Mungu amepanga mpango wa vizazi vijavyo hakika❤❤
@angelsgabriely3575
@angelsgabriely3575 Жыл бұрын
Mwabukusi mungu akulinde!..wanajidai kutaja dini ili watu waseme nimambo ya kidini waache kujadili hoja ya mkataba mbovu waanze kuleta udini!.
@jumamohamed994
@jumamohamed994 Жыл бұрын
Mbatia bana!!? Umefufuka kaka!! Naona umeoata jukwaa tena!! Hahahaha😅😅😅
@DanielSingano-m6l
@DanielSingano-m6l Жыл бұрын
Wakombozi huwa hawapendwi!Lakini maumivu Yao huleta ukombozi kwa watu! Ubarikiwe.
@ashelmichael4308
@ashelmichael4308 Жыл бұрын
Mwambukusi hongera wewe ni mwanaume unayejisimamia mungu akubariki akupe afya njema sichoki kukuangalia unanifurahisha Kwa msimamo
@egidusema6987
@egidusema6987 Жыл бұрын
K 3:04
@egidusema6987
@egidusema6987 Жыл бұрын
.p
@JoelyRaymond
@JoelyRaymond Жыл бұрын
Kupata mtu mwenye akili ya kizungu kama ni huyu mwamba baadhi yetu ngozi nyeusi niwatu wahovyo mungu akubaliki mwambukusi hakika tutafika nchi ya ahadi
@nancyjohnson6620
@nancyjohnson6620 Жыл бұрын
hizi cyo akili za kizungu ni akili za ki Africa kwan n wazunguu pekee ndo wanaakili ni akili za Africa waliochoka kukandamizwa ndizo zilikua za magufuli kuchoka kujipendekeza wa wazungu
@mtumwawabwanayesu7136
@mtumwawabwanayesu7136 Жыл бұрын
Eeeenh, pamoja sana makomandoo wa taifa, 💪💪💪💪💪 Wameyakanyaga mafisadi 😡
@stevendominic1844
@stevendominic1844 Жыл бұрын
Mh:Samia ungetuachia Tanganyika yetu kwa amani Kulinda heshima yako.
@FeisalDoctor
@FeisalDoctor Жыл бұрын
Halaf iwej untak njaa
@RoseShauri
@RoseShauri Жыл бұрын
Mungu akupe miaka mingi Magu wetu kumbe yuko hai.Tatizo bunge halijui wajibu wake kama ni watetezi wa wananchi wanasubiri posho tu
@leonardmayunganyamfanka9623
@leonardmayunganyamfanka9623 Жыл бұрын
Safi San Mungu atutangulie ktk ushind wetu
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.
How Strong Is Tape?
00:24
Stokes Twins
Рет қаралды 96 МЛН
Mfahamu Wakili Mwabukusi/Aeleza Historia Yake - Part 1
20:59
MAWIOTZ ONLINE TELEVISION
Рет қаралды 50 М.
IL'HAN - Qalqam | Official Music Video
03:17
Ilhan Ihsanov
Рет қаралды 700 М.