Mwendo umeumaliza baba iman umeilinda pumzika kwa aman mzee mkapa
@Aisha-om9go4 жыл бұрын
Mungu akulaze mahala pema pepon
@nyanda4279 жыл бұрын
Ha haaa nilimiss sana sauti ya Ben. live long kiongozi
@nelsonimtaturu81154 жыл бұрын
wagapi leo hii tuko huku R.I P
@makingamasanja24614 жыл бұрын
RIP
@mejamakorosho1211 Жыл бұрын
Kweli tulichelewa sana kwasasa basi
@regamtz9 жыл бұрын
Wale wote wenye nia ya kuikomboa nchi hii kutokana na umaskini, ujinga, ni wapumbavu na malofa. Wazazi waliokombolewa huzaa watoto waliokombolewa. Hii kauli inaumiza sana. Nachelea kuamini kwamba, kumbe ndio maana viongozi walio madarakani wanaamini hakuna mtu yeyote anayeweza kuiongoza nchi hii zaidi ya watoto wao. Mie pia naamini bado sijakombolewa katika umasikini na kwa maana hii mie ni mpumbavu na lofa! so painful.
@shekhekassim64026 жыл бұрын
Mkapa sisi tuliambiwa nchi yetu sio masikini masikini ni wewe uliekula nchi yetu kama keki
@albertjames68455 жыл бұрын
Gombea na wewe ukale
@rehemaradhid57164 жыл бұрын
@@albertjames6845 😃
@rajabusimba91604 жыл бұрын
Gombea na wewe ukale Pesa za nchi
@mamboshepea8888 Жыл бұрын
@@rajabusimba9160 Hana ubavu huo😂😂
@flavianbonaventura98609 жыл бұрын
magufuri oyeeeeeeeeeee
@flavianbonaventura98609 жыл бұрын
magufuri oyee
@danielaloicy79603 жыл бұрын
Kiongozii boraaa
@rehemaradhid57164 жыл бұрын
Kweli Magufuli jembe rato halesh kila kitu
@aldoba28265 жыл бұрын
Hawa ndio walio juu ya sheria sasa.
@saddyahya40749 жыл бұрын
hahahhaaaaa..... magufuli...... aisee no one like ww bhana in tz piga kazi.... hapa kazi tu
@rehemaradhid57164 жыл бұрын
Hakuna cop
@shekhekassim64026 жыл бұрын
Huyu pia alinunua ndege na rada kwa bei ya ajabu . Utapeli. Mtupu na ufisadi Leo twashangaa Magu kununua ndege
@michaelgideon6254 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa dunian,,, mzee kumbuka cheo ni zamana tu huwez ukamwita mwenzako ROFA!!
@thegreatsource29534 жыл бұрын
Kwahiyo umefurahi kifo cha Mkapa? Zaga zako😡😡😡
@rajabusimba91604 жыл бұрын
Kwaiyo umekasirika
@thegreatsource29534 жыл бұрын
@@rajabusimba9160 Mapumbu yako kama 🐖 Pori, idiot!!!
@rajabusimba91604 жыл бұрын
Msenge wewe mbwa
@benjaminmkinga80804 жыл бұрын
Apumzike kwa Amani
@vconnecttheworld9 жыл бұрын
C.C.M Number 1 EVER
@gastonealinda74942 жыл бұрын
Siasa ya namna gani kutukanana kwa mtu unayetakiwa kuheshimika!!!! Hii ni aibu kubwa. Kwa nchi za kidemokrasia huyu alitakiwa kuchukuliwa hatua za kisheria.
@jumamiraji30814 жыл бұрын
Duh
@ernestmichael43154 жыл бұрын
Kumekucha
@fadhilimgohamwelu18917 жыл бұрын
Huyu mzee anastahili kuwapa neno ili la upumbuvu hawa jamaa wa ukawa chadema
@silverrichard29754 жыл бұрын
Rest in piece Our president
@DjohnSkills4 жыл бұрын
tip
@rehemaradhid57164 жыл бұрын
R.I.P
@shekhekassim64026 жыл бұрын
Kakasirika Mkapa
@lucasjacob97334 жыл бұрын
Nenda bwana mungu akakuweke mahari panapo sitahili sisi marofa bwana umeshidwa kutengeneza kwenu wameambulia dalaja tu mambo yote umefanya tanga