RC MAKONDA WACHUNGAJI NA MA SHEIKH ACHENI UTAPELI | TAFUTENI HELA | MNAWAPIGA SANA WATUMISHI

  Рет қаралды 55,579

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 144
@BrightShumbusho-i4y
@BrightShumbusho-i4y 10 күн бұрын
Makonda ni kiongozi ambaye nimetokea kumwelewa sana. Kiongozi muwazi sana na mara nyingi huongea ukweli. Asante sana mungu akubariki
@irenemichael
@irenemichael 9 күн бұрын
Muombee siyo wote wanampenda
@EdibiliSalum
@EdibiliSalum 10 күн бұрын
Ww ndio kiongoz 💪💪
@charlesmtae1725
@charlesmtae1725 10 күн бұрын
MH: MAKONDA UNA KIPAJI CHA UWONGOZI🙏
@paschalpaul3862
@paschalpaul3862 8 күн бұрын
Afadhali Mungu amekutuma na umekutana na Geodevie amesikia mwenyewe sauti ya Mungu
@binismail2029
@binismail2029 9 күн бұрын
Makonda Oyeeeeee. Makonda Kiongozi Boraaaa
@ahmadmahmoud6139
@ahmadmahmoud6139 10 күн бұрын
Ma shaa Allah nice bro
@Bongovillagex
@Bongovillagex 10 күн бұрын
Sasa viwanda si vifungwe ndugu zetu wawe salama❤
@madaiincubationcenter4947
@madaiincubationcenter4947 10 күн бұрын
Mwamba anakipaji cha uongozi, hongera sana nguvu kidogo matokeo makubwa
@mikdaadmabrouk7611
@mikdaadmabrouk7611 9 күн бұрын
MAA SHAA ALLAH baarek LLAH
@ZainabLol-wx7xf
@ZainabLol-wx7xf 8 күн бұрын
Kuna Imamu pale bakwata anapenda sana kula pesa za misaada,unakuta watu wanachanga za mtu asaidiwe anakuja kubeba zote anakupa mia mia 😢😢
@am2323tze
@am2323tze 10 күн бұрын
dini si kitega uchumi. Yesu alifurushwa na kusulubiwa na waisraeli wakuu wa sinagogi kwasababu aliwakataza kuwa kita muumini akienda kwenye sinagogi au kanisani lazima atoe sadaka ili wapate fedha. Hawakukubaliana nae wakamsulubu msalabani.
@user13375
@user13375 10 күн бұрын
Anayemwelewa hapo ni Go Dev tu😮😮😮
@dereva0
@dereva0 10 күн бұрын
prkeyake ndo anacheka tajir geodave wengne wamenuna
@dereva0
@dereva0 10 күн бұрын
TAJIRI GEODAVE NDO ANACHEKA NAKUFURAHI WENGINE WAMENUNA😂😂
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 10 күн бұрын
Ukiwa namesake raha sana
@rukundorwiza5223
@rukundorwiza5223 10 күн бұрын
Geodave tapeli
@user13375
@user13375 10 күн бұрын
@rukundorwiza5223 kakutapel 🤣🤣🤣
@binismail2029
@binismail2029 9 күн бұрын
Daah Makonda Zama izi ndio kaonesha UMAHIRI Zaidi
@aminaosman3315
@aminaosman3315 9 күн бұрын
,kweli makonda msema kweli mpeni WA mungum maneno yako kweli kabisa hapa tanga mashekh ndio wanaongoza kwa utapeli taasisi zote hasa za kiislamallah ikiongozwa na sheikh ujue NI utapeli mtupu taasisi moja inayoitwa Ansar NI mtihani mtupu zulma mpaka yatima na mjane wamezulumu na mashekh hawaati mafunzo mwenyezi mungu wala na kumfulia kesho mjane mashekh hao na zingine tutazitaja hivi waliowazulumu mjane na yatima WA marehem said janjira
@JoshuaMsaka-f5e
@JoshuaMsaka-f5e 4 күн бұрын
Nimeamini Mh. Makonda ana uwezo mkubwa sana
@paulopaani417
@paulopaani417 10 күн бұрын
Upo vizur broo
@AtaProTv
@AtaProTv 9 күн бұрын
Aisee Rc umeongea kitu kikubwa saana..katika Ulimwengu wa Roho ...watu wachache saana wamaweza kuelewa
@gerladmwakalambile8966
@gerladmwakalambile8966 10 күн бұрын
Uko njema sana mheshimiwa
@johnngassa1629
@johnngassa1629 10 күн бұрын
Ubarikiwe kiongozi wetu Mungu azidi kukupa busara na hekima
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 10 күн бұрын
Mhe.Makonda kwenye hii hotuba kwa watumishi wa Mungu ya kwamba watafute hela na kuwa na miradi ili wawe na nguvu ya uchumi hili nakuunga mkono. Umenema vyema sana. Kama kanisani katoriki wanafanya miradi mingi sana ya maendeleo na wanapiga hadi palizi masisters na mapdre. Hapo nakuunga mkono
@boychidu
@boychidu 9 күн бұрын
MAKONDA OYEEE 🎉🎉🎉TUNAKUPENDA BABA
@oscanyakunga
@oscanyakunga 10 күн бұрын
Tutatafuta pesa usijali mkuu wa mkoa asante.mbaka dunia itikisike
@yohanamuhambe9422
@yohanamuhambe9422 10 күн бұрын
Hiyo saf Makonda tunahitaji damu ya Yesu na jina la Yesu kuvunja maagano hayo
@MwanakomboNassor-bw3by
@MwanakomboNassor-bw3by 10 күн бұрын
Amina kaka nakuelewa sana❤❤❤
@RamadhanShaaban-b7d
@RamadhanShaaban-b7d 10 күн бұрын
Makonda hizi point yatakiwa tuziandike kwa maji ya dhahabu
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg
@HamduniAbdulrazaki-wl5lg 10 күн бұрын
Makonda we ni mwamba Allah akufanye ufe umesalimika Yani
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 9 күн бұрын
Mh Makonda umeongea ukweli mtupu 🎉❤
@silassaitoti7689
@silassaitoti7689 9 күн бұрын
Excelent🎉
@benedictomabula7577
@benedictomabula7577 10 күн бұрын
Nakupongeza kwa uthubutu huo wa kusimamia kurejesha eneo la kanisa katoriki huko Arusha. Kweli hapa ulitenda vyema ni alama nzuri ya uongozi
@lusekelojoseph5565
@lusekelojoseph5565 2 күн бұрын
Hatari sana
@YohanaMbizi
@YohanaMbizi 9 күн бұрын
Nakutamikia baraka tere kwa jina la yesu kristo siku baada ya Samia uwe Raisi wetu
@1961nungwi
@1961nungwi 10 күн бұрын
Nadhani karne ya 21 tuache kuongea waganga! Tuongelee Elimu, Sayansi na Teknolojia. Huo ndio ukombozi halisi wa kizazi hikin na kijacho. Elimu, Elimu, Elimu!!!!
@am2323tze
@am2323tze 10 күн бұрын
Makonda unatuchanganya. Yesu alifukuzwa na kusulubiwa kwa kuwakstaza makuhani na mayahudi kuchangisha pesa kanisani kwa wafuasi. Mbona leo unasema hivyo
@joshuandaki-g9s
@joshuandaki-g9s 7 күн бұрын
sijasikia akisema hivo😂
@kilimaentertainment1687
@kilimaentertainment1687 9 күн бұрын
Safi sana tunakupenda zaidi kama magufuri mfundishe chalamila kakittu kadogo tu aongezee kwenye kalia yake muwe wengi nchi iende mbali zaidi
@AllenMaganiko-k3s
@AllenMaganiko-k3s 10 күн бұрын
Makonda nakukubali sana
@Globalpeace123
@Globalpeace123 10 күн бұрын
Kwa hapo Nakubaliana na wewe kabisa Makonda
@JILBERTDaniford
@JILBERTDaniford 10 күн бұрын
GOOD. BAATHI YA VIONGOZI WA DINI NI NJAA KALI, WANASUBILI KUPATA MAHITAJI YAO KWA SADAKA. KAKA MMOJA MTANZANIA ANAEISHI AUSTRALIA ALIKUJA KUHUBIRI IJNILI NA VITENDO AKISEMA NIMEKUJA DAR KUANGALIA MAHALI PA KUWEKEZA PESA ILI NIZALISHE IPATE FAIDA . MHUBIRI MZURI HUYU ANAEJITAMBUA.
@ezekielsabiyumva8048
@ezekielsabiyumva8048 11 күн бұрын
Kuna wachungaji hawajafurahia ulivyosema watafute hela
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 10 күн бұрын
Watafute hela waache kukamia waumini,wengine kunawakat unaogopa hata kwenda kanisani kiss sadaka sina
@ErickJr-k5b
@ErickJr-k5b 8 күн бұрын
😂
@jedidahbintidaudi8241
@jedidahbintidaudi8241 9 күн бұрын
Makonda mkuu wa Mkoa nenda nunu BITCOIN boss wangu
@AlfredHaji
@AlfredHaji 10 күн бұрын
Maneno yanawagusa adi wengine wamenuna
@RoseMundembusyege
@RoseMundembusyege 3 күн бұрын
Ila wewe jama ungepata nafasi 2025 ningekupa kula zote za familia yangu unafaaa
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 10 күн бұрын
Makonda mimi ni mfuasi wa CHADEMA lakini ulivyokiongozi unayejali watanzania gombea urais baada ya mama kumaliza wakati wake
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
@@nelsonnyamle nimekuheshi maana chadema wanachuki na makonda hata afanye mema wao wanamvhukia, makonda anatoa misaada takurudishia maliza zawatu waliodhurumiwa bila kujali chama tunaona lkn utakuta mtu wa chadema anaponda.
@D-Man.B-Free
@D-Man.B-Free 10 күн бұрын
Tafuta hela 😂 pesa zenyewe wanazitoa waumini kwa upako 😂that’s why mzee wa upako kacheka😂😂😂
@JaneChissawilo-dr7nn
@JaneChissawilo-dr7nn 10 күн бұрын
Jamani MTU ambaye hajaitwa ana maneno mengi ambayo hajayaishi.
@Rawdha-y8t
@Rawdha-y8t 10 күн бұрын
mashekh sio wezi lbda hao manabii ukitoa sadka kidogo unafokewaaaa
@Ali.salimu
@Ali.salimu 10 күн бұрын
Wachungaji. Alio. Nuna.jua wanakeleka
@piusjuma7384
@piusjuma7384 10 күн бұрын
Hivi Arusha ilikuwa na wakuu wa mkoa?
@winygidarossa9472
@winygidarossa9472 3 күн бұрын
Hapana kwa kweli ndiyo wa kwanza huyu
@ChristopherK4
@ChristopherK4 10 күн бұрын
Baada ya Samia raisi ajae ni makonda
@zephrydanaromwanabhajamari2345
@zephrydanaromwanabhajamari2345 10 күн бұрын
Mbona wachungaji mmenuna inamana hayawaingii
@SamwelDaudi-qj7js
@SamwelDaudi-qj7js 10 күн бұрын
🎉
@thedriver.michael.3975
@thedriver.michael.3975 10 күн бұрын
Kumbe nawe mshirikina sema serikali hauamini uchawi ila wenyewe ni wachawi sana
@wilfredlukowo9476
@wilfredlukowo9476 9 күн бұрын
Tunakuelewa sana
@kaizamulinda633
@kaizamulinda633 10 күн бұрын
Makonda ni kiongozi wa asili
@am2323tze
@am2323tze 10 күн бұрын
Mtume hakuwa tajiri alikuwa ni maskini haswa. Kuna siku nyingi alikwenda nyumbani kwake akiuliza kuna chochote. Hamna anakula kokwa moja ya tende au maziwa. Na huo ndio uislamu. Anachanganya dini na siasa huyu.
@abdallahathuman9493
@abdallahathuman9493 10 күн бұрын
Upo sahihi makonda
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 10 күн бұрын
Hapo umeboronga hata nabii elisha alizarsuliwa na wenye uelewa kama wako lakini alifanikisha wengi na kuponya wengi
@saidmabanga388
@saidmabanga388 9 күн бұрын
Elisha ndo nanii kuwa na hakili wewe
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 9 күн бұрын
@@saidmabanga388 kama hujui nabii elisha we si msomaji wa bibilia wala msikilizaji injili hivyo wewe sii mkristo huelewi wala hujaelewa anachoongelea
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 10 күн бұрын
We unataka watu wamungu wasiokuwa na pesa wazarauliwe waheshimiwe wapigaji tu kwAkua wanachambo ya pess?
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 10 күн бұрын
Gidio mtu wa mungu aliokoa taifa kwautajiri?
@goodluckjohnuiso-gt1fg
@goodluckjohnuiso-gt1fg 10 күн бұрын
Makonda unafundisha na kuhamasisha wizi na utapeli!!!!!
@alphoncewilliam4325
@alphoncewilliam4325 5 күн бұрын
👍🙏🙏
@JohnsonBagambi
@JohnsonBagambi 10 күн бұрын
Uyu jamaa inatakiwa akili kubwa kugundua kuwa uyu ni magumashi wa kisiasa
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 10 күн бұрын
Acha udaku wew mwandishi mkuu wa mkoa hakuwatukana viongoz wa dini eti achen utapeli hilo neno umesema wewe.
@charlesmtae1725
@charlesmtae1725 10 күн бұрын
Mwamba akuwai kufeli popote salute MH MAKONDA MKUU WETU WA MKOA WA ARUSHA
@froma3732
@froma3732 10 күн бұрын
Huyu amebadilika kutokana Alomchaguwa hataki mazuzuwa Kichwa kikiwa kizuri basi inafuata inakuwa Mambo meupe
@CopperBelt
@CopperBelt 9 күн бұрын
Makonda kijana mrithi wa wazee waliopita ktk msimamo wa kuilinda Tanzania kwa imani zote usilamu na ukristo na wasioamini dini lakini Tanzania 🇹🇿 iwe ya kwanza na watanzania wasibaguane kwa dini zao na makabila yao
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 10 күн бұрын
Mtaji wao ni waaumin
@SamNankunda
@SamNankunda 6 күн бұрын
Nakuelewa kiongiozi mimi binafusi unanibariki xana.
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 8 күн бұрын
SASA HAPO KUNA LUGA GONGANA, MAANA MAANA TUNAVYO UELEWA ULIMWENGU WA ROHO HAPO NI TOFAUTI KABISAA, HAPO HAPO KUA VIONGOZI WA DINI NA NI WAGANGA😂
@AndreaNzunda-f7o
@AndreaNzunda-f7o 10 күн бұрын
Viongoz w dini hawaruhusiw kufanya biashara Makonda hao n Makuhan
@josephkostans9128
@josephkostans9128 9 күн бұрын
Makonda MTU na nusu stay where you are
@songombingo108
@songombingo108 10 күн бұрын
Hakuna Kiongozi hapa. Tapeli tu. Janja nyiiingi.
@BarakatiSalumu
@BarakatiSalumu 10 күн бұрын
Bado ujazijuwa sifa za kiongozi au unachuki binafsi
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
@@songombingo108 Nani tapeli makonda au viongozi wadin?
@SamwelMollel-br9md
@SamwelMollel-br9md 10 күн бұрын
Umeongeya maneno yahekima mno,
@HashimYahaya-hd3zm
@HashimYahaya-hd3zm 10 күн бұрын
Wambieeee
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 10 күн бұрын
❤❤❤❤🎉🎉🎉
@MOVIEINSWAHILIRECAP
@MOVIEINSWAHILIRECAP 10 күн бұрын
Makonda Rais ajaye
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 9 күн бұрын
Kweli lakini mwisho ya yote dini ya kweli ni uislamu wahi mapema
@samwelmtasiwa9892
@samwelmtasiwa9892 2 күн бұрын
Acha uongo wewe Yesu ndie njia kweli na uzima na mtu haji kwa BABA isipokuwa kwa njia hyo
@mashaurimvungi2232
@mashaurimvungi2232 2 күн бұрын
@samwelmtasiwa9892 njia kwa Wana wa israil maana ametumwa kwa kondoo wa israil
@selemankishema5780
@selemankishema5780 10 күн бұрын
Yaambie hayo matapeli yoote hayo maongo tu
@MtanganyikaTanganyika
@MtanganyikaTanganyika 10 күн бұрын
Kweli kaka
@Boniphaceshayo5
@Boniphaceshayo5 10 күн бұрын
Imewachoma kinoma wale wajanja😂😂😂
@deniccgabriel6153
@deniccgabriel6153 10 күн бұрын
Uyu anajisafsha lkn nimuovu
@ShedrackFaustin
@ShedrackFaustin 10 күн бұрын
sasa wakiacha pombe selkar itapataje mapato
@mmassyferguson4959
@mmassyferguson4959 10 күн бұрын
Waambie ukweli hao
@MfiriFulgensi
@MfiriFulgensi 10 күн бұрын
Baba mchungaji anaeongea hivyo hana roho ya uchungaji hio kaz awaachie wenyewe
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
@@MfiriFulgensi wewe pekeako nizuzu anagalia unatofautiana na koment zote
@am2323tze
@am2323tze 11 күн бұрын
Unawaxhanganya viongozi wa dini zote. Dini haiendani na pesa. Mtume alikuwa maskini sana.
@MkoiTvTz
@MkoiTvTz 10 күн бұрын
MAHUSIANO BILA KUMSHIRIKISHA MUNGU YANAKUUA HIVI HIVI, MTOTO WA BILIONE NCHINI AMBAE ANAMILIKI KAMPUNI ZA USAFIR WA MAJINI, NA KAMPUNI MBALIMBALI ZA VYAKULA PAMOJA NA TIMU YA MPIRA ALIVYOFANYA UMAFIA NA KUMPORA MCHUMBA KIJANA HUYU ALIYEMPENDA KUPITA KITUCHOCHOTE. NI TUKIO LA KUSISIMUA SANA NA LENYE MAFUNDISHO SANA HASA KWA VIJANA MNAOINGIA KWENYE MAHUSIANO TAMBUA KUBWA HUYO ULIYE NAE HUENDA SIO ADAMA WAKO AU HAWA WAKO. TAZAMA VIDEO HII HADI MWISHO, UNAWEZA KUWASILIANA NA CHUMBA CHETU CHA HABARI KWA SIMU NAMBA +255713575718. kzbin.info/www/bejne/Z5zaaHScgcpmqsk
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 10 күн бұрын
Watafute hela waache kutukamua waumini
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 10 күн бұрын
Wao wenyewe hawataki muumini masikini hata akifa mapadre hawaendi mazishi,wakijitahid watutuma kateksita, mazishi ya tajiri wanataka kwenda wote Hadi masisita. Kweli watafute hela
@bujashidaniel5537
@bujashidaniel5537 10 күн бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂​@@EmmanuelMlowe-u1v
@stephenmsanzu9850
@stephenmsanzu9850 10 күн бұрын
​@@EmmanuelMlowe-u1vwewe usitoe hakuna aliye kulazimisha
@MiriamAziz-z5t
@MiriamAziz-z5t 10 күн бұрын
BWANA MAKONDA .....UNAPENDA SANA 'KUJIFAHARISHA'....NCHI YETU IKO KWENYE MSIBA MZITO WEWE UNAITISHA MIKUTANO YA WAANDISHI WA HABARI NA WATU WENGINE AICC...UNAITISHA VIONGOZI WA DINI NA WENGINE....KWA NINI USINGESUBIRI HILI JANGA LA TAIFA LIPITE!
@didaspaints2001
@didaspaints2001 9 күн бұрын
Nakuunga mkono
@JohnJoseph-qq7ow
@JohnJoseph-qq7ow 10 күн бұрын
Siku zote wakiristo huwa tuna akili waisilamu kazi kuuza bandari tuu
@richardcastromzena5136
@richardcastromzena5136 10 күн бұрын
Usilete udini fikiria kama mwana wa afrika
@MrmanKaskas-q1t
@MrmanKaskas-q1t 11 күн бұрын
Pesa
@kisaujibabou9436
@kisaujibabou9436 4 күн бұрын
Mmakonde bumahela bwamshahara bushakuchanganya unawahaibisha wa kristo mbele ya waislam sio powa nazani unajuwa waislam wanamtumikia Allah na WA kristo ni matapeli umezungumzia Siri zao zote Hadi chumba chasadaka unavyoitwaga 😂😂😂😂
@yohanabandoma9337
@yohanabandoma9337 6 күн бұрын
Huyu mjinga anaongea utumbo, wanaofurahi ni wale wajinga wenzio.
@hashimuuhehwa4252
@hashimuuhehwa4252 10 күн бұрын
Kibaka huyu
@allbrightsteven2764
@allbrightsteven2764 9 күн бұрын
😂😂😂
@GabrielSky64
@GabrielSky64 10 күн бұрын
Khaaaa😂😂😂😂
@nanguniMtaita-hz4zt
@nanguniMtaita-hz4zt 10 күн бұрын
Hivi Watanganyika, ndugu zangu, Nini hapo kinachowafanya mupige makofi? Makonda kawaroga au? Huyu, huyu ndiye munampigia makofi, kwa lipi? Bado tuna safari ndefu ya mapambazuko. Rais mteule wa Marekani Trump amesema kweli kwamba Bado tunastahili kutawaliwa na Wazungu, haswa Watanzania wa Leo.
@saidmabanga388
@saidmabanga388 9 күн бұрын
Ulitakaje sasa
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 10 күн бұрын
Alafu Corona ikirudi Mnarudi kuomba waliombee taifa😂😂
@veterinarytips8059
@veterinarytips8059 10 күн бұрын
una kaza fuvu ila sindano imeingia ipasavyo
@brianbrayoo1590
@brianbrayoo1590 10 күн бұрын
@@veterinarytips8059 imewapata wahusika, lakin sheikh namaanisha viongozi wadini walio wakweli wana umuhimu sana kwenye maendeleo ya nchi na siasa kwa ujumla. Sisemi hivi kwa ushabiki, lakini nasema kila upande unatakiwa kuheshimu upande mwingine. Kama wazee waliotutangulia hawakuheshimiana leo tusingekua hapa. Ngoja janga litokee kwenye nchi ndio utanielewa. Lakini sawa boss, TZ inawenyewe, sisi ni wengine ni wasindikizaji tu boss, kwa upande mwingine nakuelewa, endelea kushabikia boss
@SylvesterMakenzie
@SylvesterMakenzie 10 күн бұрын
Makonda unaongea pumba kwa sababu kumulizisha tapeli jo devi aliye hapo anacheka kama zuzu
@barakamachard1944
@barakamachard1944 10 күн бұрын
Mbona kaongea vizuri au wewe unasikilizaje
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 10 күн бұрын
@@SylvesterMakenzie lisu na makonda man anaongea pumba?
@salimkingu2108
@salimkingu2108 3 күн бұрын
Mtu kama wewe ilie kopa bando Geor Davie atakutapeli nini sasa
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
@@SylvesterMakenzie wewe utakuwa chadema tu bila Shaka, mazuzu ambao saivi mnajikamatisha kwapolisi tu kutengeza Stori.muwe mnauli lisu kwann alimkimbiza dereva wake pia kwann mwenyekiti chadema Nimbowe tu manake wengine nimazuzu au nivhama chambowe
@EmmanuelMlowe-u1v
@EmmanuelMlowe-u1v 2 күн бұрын
@@barakamachard1944 nichadema huyo uliona hivo wanachuki tu namakonda
@johnngassa1629
@johnngassa1629 10 күн бұрын
Ubarikiwe kiongozi wetu Mungu azidi kukupa busara na hekima
@stanleymanya438
@stanleymanya438 3 күн бұрын
Unajua unawagusa pabaya hao😂😂😂😂
How Much Tape To Stop A Lamborghini?
00:15
MrBeast
Рет қаралды 248 МЛН
Lillian Mwasha: SIFA ZA KUOA WAKE WA TATU
13:01
Lillian Mwasha Tv
Рет қаралды 55 М.