No video

DC MAGOTI AMTAMBULISHA MKEWE WAKATI AKIPEWA WILAYA YA KISARAWE | RAIS SAMIA HALALI SISI TUNALALAJE

  Рет қаралды 119,584

RAI TV

RAI TV

Күн бұрын

Пікірлер: 141
@TumainiNjema
@TumainiNjema 2 ай бұрын
Nimependa hotuba nzuri ya DC magoti, Kwa kumsikuliza tu nimegundua ni mtu mwenye hekima Sana, DC magoti mwenyezi MUNGU akubariki Sana na akuinue ktk viwango vingine ktk uongozi wako. Nimependa pia ulivyomtambulisha vema mkeo, hakika umempa thamani kubwa Sana. Umeinyesha mfano wa kuigwa. Ubarikiwe kaka.
@LUNGWEWILLIAM
@LUNGWEWILLIAM 12 күн бұрын
Jembe hilo. Magoti. Mkuu Wa wilaya.
@user-jh1dn7cy6p
@user-jh1dn7cy6p 2 ай бұрын
Asee mungu anajua nmemsikiliza uyu kaka hakika mungu campania kipaji kikubwa na yote mwenyez mungu aendelee kuwalinda yeye na mkewake pa1 na timu yake nzima❤
@MichaelKingazi-wm7xj
@MichaelKingazi-wm7xj Ай бұрын
Good And talented speech. God blessings you.amen
@jumaigoti7541
@jumaigoti7541 16 күн бұрын
Mungu akujalie sana
@kitejamayunga7645
@kitejamayunga7645 2 ай бұрын
Dah! Nimekoshwa sana na DC magoti. I wish angekuwa ndugu yangu. He has a sense of solidarity. Chapa kazi bro
@tanzaniasociallightfoundat9053
@tanzaniasociallightfoundat9053 2 ай бұрын
Mh. Magoti anaongea na kwa hekima sanaaa. Yafaa kuigwa hivii. Ni maombi yetu Mungu amsaidie achape kazi kumsaidia Mh Rais Katika eneo lake.
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 2 ай бұрын
Hongera sana Mhe.Mungu akuwezeshe utekeleze majukumu yako kwa ufanisi na kwa weredi... in'shaAllah 🤲🙏
@user-sc2ze2rn6n
@user-sc2ze2rn6n 2 ай бұрын
Mungu aendelee kukuinua zaidi na zaidi
@faustinombilinyi9809
@faustinombilinyi9809 Ай бұрын
Uko vizuri kaka magoti nafurahia sn kazi zako ..
@charleshaule4008
@charleshaule4008 Ай бұрын
Hongera sana Mh DC Mungu aendelee kukusimamia!
@janethcharles6943
@janethcharles6943 2 ай бұрын
Mungu akutangulie Muheshimiwa Magoti
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Kaka ongera kaendelee kuchapa kazi. Kaka kawe kama makonda❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Kweli kabisa,akatengeneze timu yake kama Makonda,wanasheria na sekta zote wawemo... Mungu awatangulie watu wa Kisarawe wakajivunie kama cc wa arusha na Makonda wetu.
@dorahmushi-we6ts
@dorahmushi-we6ts 2 ай бұрын
Mungu azidi kukutangulia na kuwalinda.
@odiliacharles3512
@odiliacharles3512 2 ай бұрын
Hujui Hata Kuandika Vzr!!!!Ni Hongera Cyo Ongera.Unataka Awe Kama Makonda Kivipi????!!!!!
@hassanmfaume4522
@hassanmfaume4522 2 ай бұрын
​@@dorahmushi-we6tskwani makonda ana nini mimi nilimpelekea tatizo langu hakuweza kutatua mpaka leo ninavyokomenti hapa hajaweza kama mnakumbuka makonda aliitisha wananchi pale wenye kesi mbalimbali hakuna hata moja aliyotatua ikiwemo mama mmoja alikuwa na offer akaenda mhaya mmoja kuchukua hati ardhi huu mgogoro wa kweli wa kutatuliwa kwa sekunde tu lakini hakuna alichofanya zaidi ya kuwasumbua wananchi wale..!
@davidrweyemamu938
@davidrweyemamu938 2 ай бұрын
Magufuli tone!
@aliceudoba3672
@aliceudoba3672 2 ай бұрын
Mungu baba awe nawe siku zote za maisha yako
@TharcissCiza
@TharcissCiza Ай бұрын
Heshima kubwa sana kwako, ninaamini katika uwezo wako . Nakupenda bure mhe. DC
@user-jf1yd4oi4w
@user-jf1yd4oi4w 2 ай бұрын
Hongera sana kaka,Mwenye enzi Mungu akuogoze
@JeremiasikilianiJeremiasikilia
@JeremiasikilianiJeremiasikilia 2 ай бұрын
Indeed, may god bless you DC Magoti and your family in Jesus name Amen 🙏🙏
@johnsimba
@johnsimba Ай бұрын
Magiti ulimurume na Mungu akulinde ata cheo chio bakuyaye nkitoto achikusabhira bakongeshe ubhe Mkuu wa Mkoa, karibu mwanza Nyagezi, Mungu akubariki sana DC Magiti umetulia sana.
@user-gb6us5xt1p
@user-gb6us5xt1p 2 ай бұрын
Hongera sn mh. ALLAH akusimamie kila hatua
@hamisaramadhan-ft9mi
@hamisaramadhan-ft9mi 2 ай бұрын
MH.magoti mungu akutanguliee ktk utendaji wako wa kaz🤲
@user-oy9wr2zc6x
@user-oy9wr2zc6x 2 ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa kapige kazi.
@JoseHaule-tx7lu
@JoseHaule-tx7lu Ай бұрын
Mh magoti pongenzi sana ni mtu ambaye hujikwezi ni mnyenyekevu pia sio mtu wa majivuno Bigup bro
@lerakalaita6909
@lerakalaita6909 Ай бұрын
Nimemsikiliza MH.DC MAGOT yaani hotuba yake namuona MAGHUFULI ndani yake ❤❤❤🎉🎉🎉
@salimkhamis3638
@salimkhamis3638 Ай бұрын
Kumekucha amka usije ukajikojolea! Bado una ndoto za Magufuli tu
@josephminja7953
@josephminja7953 2 ай бұрын
Hongera sana unaonyesha una unyenyekevu
@jacklinelusekelo4842
@jacklinelusekelo4842 2 ай бұрын
Duuu akili mingi kama JPM had sauti Mungu akujalie Dc
@user-th6mr7sq2k
@user-th6mr7sq2k 2 ай бұрын
Be bless dada naomba umlee huyo mume kwa upendo sawa mama
@NdayiragijeJeanclaude-cj7om
@NdayiragijeJeanclaude-cj7om Ай бұрын
Binafsi MANENO urio tumia KIONGOZI munguu akuongoze ubalkiwe nafamilia Yako ❤❤❤😮😮🎉
@christinadominic980
@christinadominic980 2 ай бұрын
Hongera sana kaka kwa kazi hii mungu akusimsmie popote ulipo
@chikujuma18
@chikujuma18 Ай бұрын
❤❤❤ mashallah hongera kwa hotuba nzur
@nurumwinyi796
@nurumwinyi796 Ай бұрын
Masha Allah mola azidi kkusimamia,uko na busara sana🎉❤
@aminaomary5567
@aminaomary5567 2 ай бұрын
Hakika kaka una mke mzuri sana na mpole🎉🎉🎉🎉
@tielyelibariki8958
@tielyelibariki8958 2 ай бұрын
Mama Samiha nimefurahi sana kumuweka huyu baba ktk uongozi anastahili. Mungu akulinde sana ❤
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Mashaallah tabarak ❤❤❤upo vzuri kiongozi
@RichardAmaro-pv8po
@RichardAmaro-pv8po 2 ай бұрын
Mh. DC Magoti, hongera sana kwa nafasi uliyoipata. Hakika umempata kiongozi mahiri (RC Mh. Mhandisi Kunenge), historia ya utendaji wake unajidhihirisha kwa vitendo na ueledi. Ni Mtendaji mahiri, mwelimishaji na mlezi mzuri sana. Siyo kiongozi wa mtandaoni hata siku moja, na kazi zake zinaendelea na kupimika vizuri sana. Hongera sana Mh. Magoti, hongera sana Mh. Mhandisi A. Kunenge kwa uchapaji KAZI wako uliotukuka.
@user-fs4bu4cu6k
@user-fs4bu4cu6k Ай бұрын
Hongera kaka yangu unaekima Sana magoti
@FmYiu-vx2cs
@FmYiu-vx2cs 2 ай бұрын
Mungu akutangulie
@mohamedmhando8548
@mohamedmhando8548 2 ай бұрын
#kazi Iendelee 👍
@CharlesMwita-sl1jf
@CharlesMwita-sl1jf 2 ай бұрын
Umeongea vzr kaka,nakutakia majukumu mema,mungu akulinde
@user-hp7rx4zk4t
@user-hp7rx4zk4t 2 ай бұрын
Jmn mzee magu uyu ...nmeckiaa kweli kweliiiii
@matridamwalyoyo1735
@matridamwalyoyo1735 2 ай бұрын
Mbn anaongea km magufuli
@user-jm8ij5xy4t
@user-jm8ij5xy4t 2 ай бұрын
Mungu akujalie hekima zaidi 🙏
@user-cd8ge8mx7p
@user-cd8ge8mx7p 2 ай бұрын
Mungu akutangulia mhe.magoti
@user-eh5ss4dw1c
@user-eh5ss4dw1c Ай бұрын
Kama Magufuli❤
@BlandinaKahuru-ur5el
@BlandinaKahuru-ur5el Ай бұрын
Mwenyezi Mungu akulinde
@yohanampangule8817
@yohanampangule8817 2 ай бұрын
Hongera Mkuu Wa Wilaya.Mh.P.Magoti.Kaa kwenye Sheria ,Be Strong.
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Hongera sana mheshimiwa magoti
@user-oj3lv6et4n
@user-oj3lv6et4n 2 ай бұрын
Huyu ndiye mkuu wa wiraya zote Tanzania 🇹🇿
@HinohiatHidoCo
@HinohiatHidoCo Ай бұрын
Wilaya na siyo wiraya.
@kilogreekachananawatuwasio4054
@kilogreekachananawatuwasio4054 2 ай бұрын
UBALIKIWA KIONGOZI MAGOTI PAMOJA NA VIONGOZI WENZAKO NA FAMILY YAKO ❤❤❤
@RachelMwakitalu-db2vj
@RachelMwakitalu-db2vj Ай бұрын
Kwa kwl Mungu kaweka kitu ndani yako ningepewa nafasi ya kumpendeza ungeteuliwa kuwa kisha ukapewa wizar nyeti ya ........
@petermgosi5111
@petermgosi5111 2 ай бұрын
Mungu akutangulie katika majukumu yako
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Mkuu wa wilaya mkubwa sana anatembea na Prontoko kabisaa
@petermgosi5111
@petermgosi5111 2 ай бұрын
Yani nimesisimuka kusikia hotuba fupi au maelezo ya shukrani ya DC magoti kumbe inchi hii inahadhina kubwa ya viongozi wenye busara na hekima soon your going to be Rc trust me one day you remember my expectation
@Zubaiba
@Zubaiba Ай бұрын
Mashaallah mashaallah 🎉🎉
@wemakanka3171
@wemakanka3171 2 ай бұрын
Hongera DC magoti mungu akutangulie
@kiondoshaghude4966
@kiondoshaghude4966 2 ай бұрын
Mh magoti Kuna watu wamekusubiria muda mrefu sn na Leo umefika ,,Tembelea Kijiji cha Tondoroni chemchem watu Hawa wametafuta kujua hatima yao muda mrefu nenda uwaambie kati ya Mambo mawili wabakie na eneo lao ,,au Waondoke walishalipwa ili maisha mwingine yaendelee..mgogoro ule ufike mwisho ...mm toka mdogo mgogoro upo Kijiji kina hati ya halali 1992 unaambiwa kilitasminiwa kiondoke 1984-86 aliyetoa hati ya 1992 ni nani?...hebu wasaidie Hao wanyonge sio washinde isiyo haki yao waambiwe Waondoke,,,kama ni haki yao wapewe ...wanasumbuliwa na Viongozi wao wasio waaminifu kuchangia kila siku Kesi na haiishi ...nenda mungu akuongoze mgogoro huo ufike mwisho...sijajua waliokutangulia walikua wanatishwa na nn ila najua na nazifahamu kwa kusikia KAZI zako unakwenda kumaliza huu mgogoro kabisa ,,mungu akutangulie sn na kukupa maisha mrefu barikiwa sana Mh DC Magoti
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 2 ай бұрын
Kweli kweli nimemkumbuka uncle magu r.i.p
@loishiyesamwel1374
@loishiyesamwel1374 2 ай бұрын
Mungu akutangulie ktk utendaji wako
@Mojabo-qi7sv
@Mojabo-qi7sv 2 ай бұрын
Karibu kwetu mkuu utusambazie maji kwa mwingi vijijin kwetu mungu aku baliki🎉🎉🎉🎉
@user-px3po9lt8g
@user-px3po9lt8g 2 ай бұрын
He is good
@princesaha3262
@princesaha3262 2 ай бұрын
Kachero mkongwe
@user-gm4qi3nn9n
@user-gm4qi3nn9n 2 ай бұрын
❤❤❤❤mke mtiifu,mume hekima karibu kisarawe
@SelemaniMajengo-fg7nv
@SelemaniMajengo-fg7nv 27 күн бұрын
Uwezo wake unadhihirisha wazi wazi anapoongea
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 27 күн бұрын
Anamke chuma kweli.
@merrynancesimon1562
@merrynancesimon1562 2 ай бұрын
Na mkewake ametulia mnoo Mungu awasimamie kwenye mapenzi Yao Daaha love is beautiful ❤❤❤❤❤❤
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 2 ай бұрын
Maashaallah
@PeterMshali
@PeterMshali 2 ай бұрын
Duuuh.... Mbona wengi wakikosolewa wanakupoteza😮
@ezekieltate4877
@ezekieltate4877 2 ай бұрын
Mr.Magoti nikiongozi wa busara sana,hakika wanakisarawe mtafaidi sana tena sana
@huldamichael4445
@huldamichael4445 2 ай бұрын
😂😂Magoti Magoti Magoti nimekuita mara tatu😂😂😂...Baba mkwe wako ni handsome
@MossesAlly-lo4ub
@MossesAlly-lo4ub 2 ай бұрын
Hongereni
@francoismalenge1373
@francoismalenge1373 2 ай бұрын
Amen Amen 👏👏
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j 2 ай бұрын
Ana ababu ana maono pia mungu akusimamie akupe afya tele
@mackbossofficial5537
@mackbossofficial5537 2 ай бұрын
Hongera sanaaa
@bensonmgaya5693
@bensonmgaya5693 Ай бұрын
Tatizo mwenye akili kubwa anapewa nafasi ndogo mwenye akili kidogo anapewa nafasi kubwa tutafikaje ?
@sabinuskomba2535
@sabinuskomba2535 2 ай бұрын
Watu wa maana kabisa, magoti Mhe. Upo vizuri piga kazi
@jtheophil5499
@jtheophil5499 2 ай бұрын
Hongera sana DC You are the best.
@mackjohn4684
@mackjohn4684 Ай бұрын
Hotuba zur sana nimemkubali
@josephminja7953
@josephminja7953 2 ай бұрын
Hongera sana MH magoti,kaifanye vyema KAZI uliyoaminiwa na MH RAISI
@khadijayusuph2634
@khadijayusuph2634 2 ай бұрын
Kanda ya ziwa hiyo""ujasiri Kama wote
@SalamaNauthar
@SalamaNauthar 2 ай бұрын
Mashaallah❤❤❤
@musakasingo594
@musakasingo594 13 күн бұрын
Magoti ni kifaa
@serafinamalecela4728
@serafinamalecela4728 Ай бұрын
Nakumbuka anapomuoa huyu dada watu Wali Ongea maneno mengi saanaaa
@MenelusCzar
@MenelusCzar 27 күн бұрын
MAGOTI🔥❤️
@eliasthomas1547
@eliasthomas1547 2 ай бұрын
Amina ni chombo cha maana kabisa.
@francisgituti2494
@francisgituti2494 2 ай бұрын
Weldone magot
@princesaha3262
@princesaha3262 2 ай бұрын
Naona wale makachero wa ikulu wanatolewa nje Sasa hvi kimsaidia mama. Bado Warsam
@user-kg9uz2hh1y
@user-kg9uz2hh1y 2 ай бұрын
YES YOU CAN
@amedeusmmanga8043
@amedeusmmanga8043 2 ай бұрын
Good
@marygregory7566
@marygregory7566 2 ай бұрын
Sijawahi jua Kama magoti Ana hekima kiasi hiki
@FIDELISMfugale
@FIDELISMfugale 2 ай бұрын
Mkitaka kujua tabia za huyu anajfanya mpole muulizeni kigogoo😢
@albertkadyanji9722
@albertkadyanji9722 2 ай бұрын
Ukimuuliza wewe uyo kigogo inatoshaaaaaa
@alexandermuhubiri6476
@alexandermuhubiri6476 2 ай бұрын
Kwani kigogo si zuzu na huwa anawapenda mazuzu wenzie lakini watu wenye kujielewa kama hiki chombo ni maadui kwake. Muacheni Magoti apige kazi hawezi kuwanyamazia watu wasio waadilifu
@erickwanjarajr5707
@erickwanjarajr5707 2 ай бұрын
Jamaa akili kubwa sana awakukosea kuwa ikulu, amejaa hekima, unyenyekevu, nazani Raisi kumteuwa mkuu wa wilaya ni hili amsaidie tumtazamie zaidi kwenye field kama yeye alivyo sema.
@rabsonchisumo6640
@rabsonchisumo6640 2 ай бұрын
Mtu wa system
@yusuphmkapa934
@yusuphmkapa934 Ай бұрын
❤❤❤❤❤
@AshaNdoweka
@AshaNdoweka 2 ай бұрын
Aah mvungi huyoo
@realbeda2880
@realbeda2880 2 ай бұрын
❤❤
@maase2023
@maase2023 2 ай бұрын
Jamani ??????
@anatholwannah9815
@anatholwannah9815 2 ай бұрын
Ni KISARAWE sio KISALAWE
@fortunatahulilo8411
@fortunatahulilo8411 2 ай бұрын
His Mother tongue
@edgarmazyeta9129
@edgarmazyeta9129 2 ай бұрын
Uyu alikuwa usalama ikulu
@user-qk2wu5wm1f
@user-qk2wu5wm1f Ай бұрын
Yaani ccm hovyooo
@EddyAdam-w5q
@EddyAdam-w5q 28 күн бұрын
Oy
@glorified6045
@glorified6045 2 ай бұрын
👏👏👏
@fatumahossein754
@fatumahossein754 Ай бұрын
🙏🙏🌹🌹🌹🤲
@PetroIbrahim-ds9ml
@PetroIbrahim-ds9ml 2 ай бұрын
Kaka umeongea mpaka machoz yamenilenga , hakika saut kama mwamba wetu alyelala chato kat ya maneno ya hekima na busara ndo haya tunayoyataka ,maneno yasyokuwa na ufisadi Wala vijembe kama wengne
WHO CAN RUN FASTER?
00:23
Zhong
Рет қаралды 46 МЛН