Hongereni jeshi la polisi kwa kazi nzuri kwa hilo tunawaunga mkono kwa kweli naombeni msikubali kurubuniwa na wanasiasa au wenye mamlaka mkatumia vibaya nafasi zenu
@PvpmediatanzaniaАй бұрын
Safi sana jeshi la polisi kwa kazi nzuri, tafsiri ya jeshi la polisi sasa naiona katika kulimda raia wake.
@richardmercio3855Ай бұрын
Hongeren sana kwa kaz nzuri na ngumu JAMBAZ KWAKUA ANAUWA NAE AUWAWE TU
@kelvinnjawike1808Ай бұрын
Dawa ya wezi kuua ,,msileee wezi hongera sana
@PaulinaKaheshiАй бұрын
Jeshi letu la polisi Mme Fanya kazi nzuri
@SalahSalumАй бұрын
Safi sana police nawapongeza
@GdFf-ik2eoАй бұрын
Jamani Mzee WA watu anaumwa amepata na dharura badala ya kumsaidia inampiga na panga Mzee anaanguka chini huku anaumwa kisha mnamwuibia Hayo ndiyo malipo ya dhuruma Kwanza rasta mungu mungu amekataza anayesuka rasta na n msukwaji wote mungu amewalaani Sasa inaondoka ktk dunia huku unalaanab Mtihani Mungu tuongoze ktk haqqi
@AbubakariBausi-zd6xfАй бұрын
Siwapendagi kwajili ya uonevu lakin kama mmeuwa mwizi salute wazee kwa leo uweni kabisa wezi hawastaili kuishi
@SaiminiUrioАй бұрын
TUNAPAMBANA SANA TUNAJITAFUTA TUNAPATA KWA JASHO SANA WENGINE WANAKUJA KUTUDHURU WAVICHUKUE SAFI SANA JESHI LA POLISI MUNGU AWATANGULIE PIA MUNGU AWALINDE ❤👏👏👏👏👏👏👏👏
@MwanahamisZuberiАй бұрын
Kazi nzr Afande barikiwa sana
@MwanaNgurumoАй бұрын
Hongera afande kwa kazi safi
@aloycemeela2607Ай бұрын
Kwakweli napongeza sana polisi mkoa wa pwani kwa KAZI nzuri endelee kurudisha matumaini kwa watanzani
@modricseif1018Ай бұрын
Fresh tu, kubwa msiue raia wema
@yohanalikwawa1171Ай бұрын
Kazi nzuri Jeshi la polisi, mpaka hao panya road waishe.
@SaumuSaidi-z2vАй бұрын
Yn toka aondoke magufuli hali si shwali
@samwelmwangi9185Ай бұрын
Ni vizuri pia hao wengine wakapatikana maana wakati huu hayo matukio yameanza kurudi tena hapa Kibaha, hasa wakati wa alfajiri na usiku. Mungu ibariki Tanzania. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@babajay3445Ай бұрын
Kazi nzuri police waongezwe vyeo hao askari hawa majaa huwa wanatuibia sana flat screen zetu majumbani
@EliaHilukaАй бұрын
Kwann kama alikuwa na panga polisi watumie bunduki hamuoni hapo mlitumia nguvu kuliko sheria inavyo wataka?
@ramajuma5620Ай бұрын
Daah kwan lazima kutaja jina langu nimeshtuka hujui to wew Askar halaf majin yoote yamefanan aisee😂😂 ila Me nashukur nipo hali
@husseinkonz5192Ай бұрын
Hatar
@delsonandrea5223Ай бұрын
Safi Sana ndo Kaz hiyo tuna itaka wahuni wahun wote wauwawe
@smstore5535Ай бұрын
Safi sana
@MwendeshaMwendesha-i6hАй бұрын
Ww jamaa unafanana na siro
@masoudalriyamy62989 күн бұрын
Hawa marasta ni balaa kubwa
@hamzakimaro3764Ай бұрын
Ni jambo la kuhuzunisha mno,wengi ktk wenye biashara ya bodaboda ni majambazi!!
@athanasmasmami5389Ай бұрын
Inahuzunisha kweli yan😢
@HASSANBAKARI-q9cАй бұрын
Safi sana,,
@fidelnkurunzizaАй бұрын
mngefanya hivo nakwawat wasiyo julikana
@abdulrahmansalim9773Ай бұрын
😮WEWE UMEUWA NA WEWE UMEJERUHIWA SASA NANI ALO ATHIRIKA 😅😅
@DavidMgimba-z8oАй бұрын
Nitawasifu mara tu Deus na wenzake pia walio muua mzee wetu kibao wakipatikana
@MichaelPaulo-k1cАй бұрын
Polisi Tanzania kuwa nikawaida. Ata Kama Hana hatia
@yukundapeter8200Ай бұрын
Safi sana! Majambaxi yanatesa sana.
@frankjohn8706Ай бұрын
Ukakaso kufurahia mtu kuuawa
@MichaelPaulo-k1cАй бұрын
Hawa damu za watu zitawalilia,nyinyi na family zenu uwe tu,
@rogerabdallah439Ай бұрын
Awa waongo sana wanajitete wanapoua
@rogerabdallah439Ай бұрын
Wewe acheni kupotosha raia nyinyi mna bunduki iweji mpambane na mtu mwenye panga kuma nyinyi
@jumapilimakondo4250Ай бұрын
Nahisi hata wewe ni mmoja wa majambazi pia @@rogerabdallah439
@jumapilimakondo4250Ай бұрын
Nahisi hata wewe ni mmoja wa majambazi pia @@rogerabdallah439
@yohanakananika3586Ай бұрын
Sasa unategemea nini unapokuja na panga kuniua halafu mimi nipo na bunduki,siwez kwenda kutafuta panga natumia bunduki we jichanganye@@rogerabdallah439
@dianaleo6067Ай бұрын
Hii nchi polisi hatuna😢
@yohanakananika3586Ай бұрын
Nenda ambako kuna polisi
@dianaleo6067Ай бұрын
@yohanakananika3586 kwa mamako
@yohanakananika3586Ай бұрын
@@dianaleo6067 Ndo uje sasa
@acariusamos6228Ай бұрын
Hawa akuna kuwalea
@yohanamjema5121Ай бұрын
Ndugu wanachelewa chomeni moto huyo.
@nikodemmwahangila3334Ай бұрын
Kazi njema afande tunawaombea
@YangabingwaofficialАй бұрын
Ndo inavyotakiwa mwizi akikamatwa auwawe aina haja ya kumpeleka polisi
@SmilingCityMap-xb9mdАй бұрын
Kila mtu skifuata shelia bila shlti tutabaki na amani yetu
@ZuhuraAthuman-u2iАй бұрын
Mapigano ya raia mwizi na police lzm mwizi uende ahera baba😭
@angelanaftael7965Ай бұрын
Barabara ya morogoro eneo la kibaha kuna vichaka sana
@magigesabai8674Ай бұрын
kibaha gani yenye vichaka ? ungesema chalinze Moro hapo ila kibaha uongo huo
@allymohamed2724Ай бұрын
HAPO TATIZO LIPO WAPI. KAMA NI KING WA KUJERUHI NA MWISHOWE KUUWA, HURUMA GANI INATAFUTWA HAPI.
@tinnahagustinolyelu4247Ай бұрын
We nae ungekuwa wewe ni askari ungakaa tu ukatwe mpaka ufe na au usiombe ukutane nao sikia tu kwa mtu
@king_King-4029Ай бұрын
Mie siungi mkono saana kuua, baada ya siku chache utasikia alieua hakuwa jambazi, hapo itakuaje?. Ilitokea 2023 kule Kusini na Kuna polisi waliwekwa hatiani kwa Hilo.
@bonifacegasper9508Ай бұрын
Kwahili police,siwapingi mmetimiza wajibu wenu,maana anae diliki,kupambana mpaka napolice nakujelui askari,wetu,nivyema auawe maana anaonekana mzoefu kumwaga dam zawatu.
@RenaldaZeramulaАй бұрын
Yale mapori yajengwe nyumba, hata ukitoka bank pale maliasili kuna majambazi wengi mchana mchana
@bonnymsd8116Ай бұрын
Sio majambazi ni vibaka hao
@king_King-4029Ай бұрын
Lakin hata humu KZbin fanya search kuna story ya mwanajeshi aliingizwa kwenye stori ile ya majambazi ya ubungo, yeye hakuua ila alipata msukosuko mkubwa katika maisha yake, lkn anakataa hakuhusika na huo msala.
@farajiissa560Ай бұрын
Chek lile la nyuma ukute ndo liliuwa
@jostamzxkaole3113Ай бұрын
😂😂😂mtinted😎😎
@dianaleo6067Ай бұрын
Nawatekaji jee? Mmewakamata?
@mustaphahassan589Ай бұрын
Ndugu yangu sqlim morcase hongera sana
@AmaniMathodАй бұрын
HAWA JAMAA UKIKUTANA NAO USIKU UKILETA UBISHI WANA KUKATA KWELI NA PANGA.....BOLA WAPUNGUZWE SAFI POLISI ..
@lovegodmunisi1006Ай бұрын
Kama mwiz afe
@EmilyNegoАй бұрын
Sasa mnachunguza Nini wakati kafa kamfukieni aende na laana zake
@PeterDaudi-z2zАй бұрын
Polis wa bongo bwana bola angekuwa na silaa sasa panga tu adi mumuuwe kunashida hapo Kwa jeshi la polis
@EmmanuelMlowe-u1vАй бұрын
Mkundu wa mmamako kila Jambo linalofanuwa na polisi mnaona kosa,hamuoni makosa ya marehemu?
@EmmanuelMlowe-u1vАй бұрын
Mtu yeyote anaejifanya kupambana na na polisi is tu. Kama anapambana na polisi he akimtokea mtu wa kawaida je?
@OscarGregorymoshaАй бұрын
Kama anapanga na ana pambana na askari police wamwangalie? Ndio maana alipigwa mkono na mguu ili kumtuliza sio kumuua Lego nikumshikilia na kuupata mtandao wote walio nao kwa hili nawapongeza police Mungu awaongoze katika kutulinda wa Tanzania wote kwa haki bila Upendeleo
@GervasMalimiАй бұрын
Sinapeanda afande anavyo jieleza hana ukakamavu
@user13375Ай бұрын
Ebu toa mfano, ebu kakamaaa😮😮
@mayungarichard7443Ай бұрын
Hivi Police hamna njia nyingine zaidi ya kuua???
@SylvesterKameoАй бұрын
Njia gani kwa mfano, ukawafundishe polisi?
@PvpmediatanzaniaАй бұрын
Nenda kawaelekeze wewe ukiwa unashambuliwa na mapanga ubgetumia njia gani ???
@barakamachard1944Ай бұрын
Shuleni walipkua wanasema soma habari kisha jibu maswali walikua na maana kubwa sana