Basaga Mp4 Ft One Six & Saigon - Kabla Sijafa (Official Video Lyrics) • Basaga Mp4 Ft One Six ...
Пікірлер: 112
@nasserm.nasser5087Ай бұрын
Mtu wangu mshikaji wangu sana, saleh saigon, tulikuwa pamoja almuntazir sekondari upanda na akina eliamani seushi, kwame ndulute, Hamis kika na imam Shafi Mimi ni mtu wako na nimefurahi kukuona ukiwa na afya na furaha pamoja na mitihani mingi uliopita Ukipenda nikontakt ndugu yangu. Mimi ni Nassor almaarufu donnas. Nimefurahi sana kukuona na furaha MashaAllah
@contempo_buildersАй бұрын
Ooooooi oooooiiiii................ Basaga ana nidhamu sana.
@FrankMbunaАй бұрын
Deplowmatz 'Dpt Crew' Founder's..shout out saigon,Dola Soul,Stiggo,Storm "Amour Shamte" rip to CrissMansa...
@gambajunior138Ай бұрын
Namna Saigon anavyosimulia, najifunza vingi hapo.. 🏆🏆
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
Jamaa ndo waanzilishi wa hiphop bongo miaka ya tisini saigon na Ana slang kali sana
@craftmediatzАй бұрын
Saigon my brother you need to make your own platform, you have a very strong background i can say rich background and one of the realest hip hop mc so make it happen youtube is one thumb away
@KalamuYaGalanaАй бұрын
in support
@juniorsonofgod5675Ай бұрын
Nilikua natamani sana muone huyu jamaa 😢... Nilijua atakua umezeeka na amechoka mbaya kweli... Kumbe Ndo kwanza kijana... Hongera sana broo Saigon🎉
@robertmalale9097Ай бұрын
Bring back Saigon tenaaa tunakuombaa sanaa kaka SKY yanii interview inaishaa na unaonaa kabisaaa bado ile kiuu ya kupata madiniii bado ipo
@Chelar_hauleАй бұрын
Umenikumbusha enzi za hip hope base kipindi icho! Watoto wa 2000 hawawez elewa ilo pindi oyaaa sio powaa kabsa! Ni real hip hop segment kibao za kinyama
@DavidMwakilembeАй бұрын
dah huyu jamaa yuko humble sana
@Basagamp4Ай бұрын
Thanks For the Looove❤
@ahmeddola4648Ай бұрын
Ujumbe umefika ma kamanda Basaga + Saigon ! Endelea kujinowa na kuboresha kazi. Uko na mwalimu Bora kuliko wote, Masta Saigon ! Big up Sagg represent the Real Hip Hop. Pamoja sana, Balozi Dola
@SimuliziNaSautiАй бұрын
Pamoja sana Balozi
@khanafrica22Ай бұрын
#Balozi🎉
@RaiderTube15 күн бұрын
Wengi walikuwepo sasahivi wako wapi, balozi bado nipo ninapanda kwenye chart...
@almaxmoviesАй бұрын
DAMN! WE NEED ANOTHER EPISODE FOR SAIGON
@Chemba67Ай бұрын
Great to see Saigon looks health and comfortable💪
@zulfikakalumba1977Ай бұрын
Sky,Saigon and Basaga good interview
@samwelmasssawe1767Ай бұрын
Ebhana Basaga nina tracks zako kibao, ikiwemo wanaume wa dar ila sijawahi kujua ndio wewe. keep goin bruh unajua sana oii
@EmbassyofTheStateofPalestineinАй бұрын
maandalizi yanahitaji kwa hakika tujiandae, katika kila mtu ambaye ajuae yupo mwenye anayejua juu zaidi yake yupo ambaye ajuaye
@peterchidemi7762Ай бұрын
Mama rudia
@peterchidemi7762Ай бұрын
Mama rudia
@Kiggy22Ай бұрын
Duh asante sana kumleta Saigon, is the best rapper mate
@brightvatta284Ай бұрын
Saigon respect brother
@omarysaid8725Ай бұрын
Huyu jamaa ni mwamba kabisa yan ooi
@kingnyamafutv8646Ай бұрын
Nimefurahi sana kusikia amepiga msamba
@nurdinkarata7985Ай бұрын
Huyo bro ni 🔥 tumemiss kazi zake
@ksonrapАй бұрын
Oiiiioii Legendary Fikra Pana 🫡💎🧠
@adamhashim3352Ай бұрын
Jamaaa alikuja msikitini kwetu mbezi beach na mashekhe katoa mawaidha ni balaa utafikir idhaa ya kiswahili ya DW
@DaudiSaid-bj7dhАй бұрын
Saigon kichwaaaaaa 🔥🔥🔥🔥🔥 🔥🔥🔥
@nasserm.nasser5087Ай бұрын
Hiyo finishing na freestyle ndio nimekukumbuka sana saleh Mzee. Nitafute mimi ni don Nas tulikuwa wote almis..Enzi hizo kila hatua ulikuwa ukipiga mistari kinoma
@abuunyalioto1752Ай бұрын
Oi oi Saigon namkubali sana huyu mwana
@mossesmungure8982Ай бұрын
Oooi.... Ajiiib
@Chemba67Ай бұрын
My dream collabo/Saigon ft. Brian Simba, Imam Abbas......
@gnmbiАй бұрын
Oii oii kalinye kalinye episode
@Vichuda_TzАй бұрын
Kabsa Yani, Malejendi Tukutane hapa
@justcruizeАй бұрын
noma sana kkmk this is real hip hop
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
Sijui Saigon nini kilimuangusha alitakiwa awe mbali sana kama mwenzie balozi dola soul
@ce-08Ай бұрын
#ahmeddola4648
@adamhashim3352Ай бұрын
Sahv ni amekuwa mtu wa ibada
@eddytheblayze3810Ай бұрын
Skiza Tena pale alipoongelea familia utapata picha flan
@HaikaFredrickАй бұрын
Kwani Balozi yuko wapi?
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
@@HaikaFredrick marekani kitambo sana
@SululuZunguАй бұрын
Bg time my g saigon
@omarysaid8725Ай бұрын
Ebhana daaah kalinya kali
@ubuntubantu2404Ай бұрын
Arudi Saigon kwa ajiri ya historia ya kundi lao, itapendeza
@SuddyElite-pq5urАй бұрын
We saigon si ulisema umeacha mziki na umahamia kwenye dini mpaka ukawa tunakuona tv imaan ukitoa da'awa maeneo mbalimbali nchini kama bukoba na kwingineko?. KIMEKUKUTA KITU GANI TENA???!!!!!
@fauzishabani2622Ай бұрын
😂😂😂😂😂😂
@ayk20Ай бұрын
Umemsikiliza vizuri?ana rap nn?kwan kwenye dini hakuna kuimba?inategemea unaimba nn
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Hujumaaa noma hanashobo na kiswakinge
@SelemanianАй бұрын
Mi nilijua labda ana miaka 60 something kumbe bado kijana tuu
@aligomatumla2930Ай бұрын
Oioiooooi shikamo bro
@alisaid5392Ай бұрын
Huyu ndio msanii.
@GREATESTHITSREPLAYАй бұрын
mi sio mzee asee lakini kusema ukweli leo ndo napata picha kwamba SAIGON na BALOZI walikuwa kundi moja DIPLOWMATS dah asee jamaa hawa wameanza rap mi sijazaliwa
@user-do2id6pp4gАй бұрын
Huyu kuna kipindi nilisikia kwenye kuitumikia dini vp..
@Mawe156Ай бұрын
Namkubal sana ungemuuliz Jin lake Lina maana gan. Jamaa namkubal sana
@AdamCharles-cc8vrАй бұрын
Diplomats.... Ana slaing imenyoooka sanaaaa
@shabanponera2895Ай бұрын
Childhood yake aliishi nigeria huyu
@PeterMalima-fc4tfАй бұрын
Kaishi UK
@mohamedhamisi9766Ай бұрын
Shule anayo halafu mhuni freestyle zinakuja tuu
@AdamCharles-cc8vrАй бұрын
Hatari sana huyo mtuu
@majaliwaandulile8379Ай бұрын
Ooiii ooiii
@EmmanuelChrispin-bo5xhАй бұрын
Lakini angekuwa mwenzangu namimi yes no you no zakutoshaaa
@augustinojohn9481Ай бұрын
👊👊👊
@SipeKatoАй бұрын
Saigon Karne Karne dooh ulikuwaa mkali kipindi Cha nyumaa uliendaa wapi uonekanagii
@mlamytzАй бұрын
Ooi kuna ile rudia ile ngoma noma sana
@webstersinje7712Ай бұрын
Simulizi na Sauti zimepata msimuliaji yaani burudani na maarifa mengi....Kunta...Kinte.
@saidulaya7308Ай бұрын
EBWANA DAAAH OIIIII😂😂
@nicholouspaschal3586Ай бұрын
Oooooooi...... oooooooi
@fauzishabani2622Ай бұрын
saigon
@aaronjohn416Ай бұрын
Brother sky kama itakupendeza mpe ajira Saigon kwenye SNS awe na session yake arudishe kipindi cha hip hop Base
@mohamedhamisi9766Ай бұрын
Daah umeongea kikubwa sana kweli tunamiss sana hip hop base itafanya hata hip hop iwe still
@webstersinje7712Ай бұрын
Jamaa pekee kuhusu Saigon sijawahi kumuona kichwa wazi lazima ukute kafaa kofia,kitambaa n.k kichwani mwake....Kunta...Kinte.
@mohamedhamisi9766Ай бұрын
Oiiiiii
@editorfrank7471Ай бұрын
Huyu ndoaliyekuwaga anasemaga eee bwanaa daah
@mohamedhamisi9766Ай бұрын
Yeah ni yeye
@khalidiberoАй бұрын
Saigoni anatakiwa awe na account za mitandao ya kijamii ili angalau mashabiki zake wawe karibu nae.
@peteremmanuelymatwimatwiem3258Ай бұрын
Ningumu sana ila Tuombe mungu
@user-hi8le2vb7zАй бұрын
kwani uyo saigon azeekagi??
@timothymikola2317Ай бұрын
Sasa hivi ana miaka 48
@seifmiraji43Ай бұрын
Hehehe hii comment ndo nilokua naitafuta kweli huyo mchizi toka mm niko dogo yy yuko hivyo hivyo hadi saiv niko na 33 yy bado yuko hivyo hivyo
@ikabako2454Ай бұрын
Mtu akifa anaweza akazikwa na amapiano pia 😅
@alexanderhaule7667Ай бұрын
Saigon akutanishwe na zombie , kuna kitu nakiona.
@SalimSalim-ls9lgАй бұрын
Ajeeb sana
@makukamakaveli6581Ай бұрын
Bro mtafutie session huyo jamaa ana madini mengi sana ya kutupa...Diplomat and Kwanza Unit natamani sana kusikia story zao na wapo wapi kwa sasa...very interesting to hear abt them
@lovenessvisent9408Ай бұрын
Hahahaha Saigon ukiongea tu naona kama unarap tu
@stanslauschatata3483Ай бұрын
watt wa buku mbili hawawezi kusikiliza hii interview
@kingtoldipset7050Ай бұрын
😂😂😂😂😁😁😁 kabisaa hawaelewi na hawataelewa hadi waeleweshwe
@josephdonald6199Ай бұрын
Rudia...😂😂
@trex6661Ай бұрын
Huyo msanii mwengine ni motivational speaker 😂😂😂😂
@timothykaiza327Ай бұрын
Huyo jamaa wa kikofia cha yanga linasifa 😂😂😂
@bongomastory791Ай бұрын
Watoto WA 2000 hamumjui Saigon
@mutaji5454Ай бұрын
Saigon uyo ebwana dah ebwana oi oi😂
@emmanuelmchomvu2676Ай бұрын
Huwez kumjua kma umezaliwa buku 2
@FrankMbunaАй бұрын
Uyo ndo miongoni mwa walioweka msingi wa hii industry..so pay some respect..soigon yupo so knowledgeable sio sifa mdogo wangu..soma,jifunze..ktk maisha yako..
@seifmiraji43Ай бұрын
Huyo ni miongoni mwa waanzilishi wa hip hop miaka ya 90
@bakarikilangilo5197Ай бұрын
Huyu dogo mbona Kama miyeyusho flan hivi. Yupo very slow Hana michakato ya ki Hip Hop, Hana zile swags Kama bro ake
@jacksonmsendo3478Ай бұрын
Na ukweli uyo si ndugu yake wanafamiana tu
@abuubaqr5808Ай бұрын
Michakato ya kihiphop ni ipi?? 😂😂msela anaheshima na nidhamu unataka afanye fujo?
@trex6661Ай бұрын
Jamaa Jamaa ni motivational speaker speaker kuna kitu hakiko sawa kichwan😂😂😂
@peteremmanuelymatwimatwiem3258Ай бұрын
@@trex6661una matatizo sana wew Huyu mpole tuna Ana eshima sana
@josephjohn8363Ай бұрын
Tbway360 role model wake atakua ni huyu jamaa aisee yaani nikimsikiliza Broo Saigon na sauti ya Tbway naona zinafanana sana.
@magnuslunyungu4894Ай бұрын
Kuna kipindi walifanya kipind kimoja, ilikuwa kutafuta vipaji vya makundi kwahyo upo sawa kabsa
@justinesonga926Ай бұрын
Yeah uko sahihi
@ShedrackSylvester-yl6beАй бұрын
Dance miamia hy oiii ebwana daah
@pesaspy_tvАй бұрын
Basaga anaongeaje huyu
@eddytheblayze3810Ай бұрын
Dance mia mia alianza Saigon alikua anakichafua mbayaa