THE CLASSIC DULLY SYKES EP 1: ZAIDI YA MIAKA 28 KWENYE GAME/SIPEWI HESHIMA YANGU /KING OF BONGOFLEVA

  Рет қаралды 11,356

KuviFacts

KuviFacts

Күн бұрын

Пікірлер: 33
@MackameHassani
@MackameHassani 5 ай бұрын
Dully tunastahili kumwita ndio King of bongofleva, anastahili kbs kbs.
@amisamaurid1882
@amisamaurid1882 3 ай бұрын
Kaka mkubwa asiyezeeka tunakupenda kaka yetu ## mkali wetu prince Dully Sykes Wana Tunduma border post tunakupa heshima zote👑👑👑👑👏👏👏👊👊👊
@asl6295
@asl6295 7 ай бұрын
Dully Sykes - Handsome ndiyo album ya kwanza kuinunua ilikuwa ni 🔥🔥🔥
@h.akarim
@h.akarim 7 ай бұрын
Nawakubali Sana🇨🇩from DRC
@njengadavy2981
@njengadavy2981 7 ай бұрын
Heshima sana Dully syke,dhahabu ilikua na itabaki kua classic,ila siwezi kusahau 2009 tulizinguana sana pale club colobus kijenge juu Arusha 🤣
@jilalamaligisa4854
@jilalamaligisa4854 7 ай бұрын
Napenda sana Dully anavyokuwa mkweli linapokuja suala la kukemea yasiyofaa, utoaji wa tuzo mara nyingi huwa sio wa haki, yaani Dully asipate tuzo? Yaani watu hawana hata aibu asee, hawana hata uzalendo, yaani ile tu kusema ngoja tufanye kazi kwa haki kwa ajili ya heshima ya muziki wetu na yetu tukumbukwe kwa mema tukifa, ovyo sana, hongera sana Dully Sykes kwa kususia matuzo yao, wenye akili tunakupa heshima ya dhati na tunatambua mchango wako katika muziki wetu. Ishi miaka mingi sana kaka hadi waliokunyima tuzo waadhirike na kujifunza kitu kadri itakavyompendeza Mungu.
@shadrackkikoti8813
@shadrackkikoti8813 7 ай бұрын
Beat la Paparazzi lipewe tuzo yake, nadhan liliongoza kwa kutumiwa kipindi kile na undergrounds
@latinochancy191
@latinochancy191 2 ай бұрын
Respect is not expected it's given cause it's real.
@blesspvocalist5392
@blesspvocalist5392 7 ай бұрын
A real king is here 💥💥💥
@ahadibuge5246
@ahadibuge5246 7 ай бұрын
sema boss analalamika sana.... malalamiko yote kwa wadau.
@allymbozu5167
@allymbozu5167 7 ай бұрын
Much respect
@ismailmshana2828
@ismailmshana2828 7 ай бұрын
Dulli wewe ni mzeee
@colinekonga8014
@colinekonga8014 7 ай бұрын
Umetisha sana mzee kibonge tozi
@TheDinhoDesign
@TheDinhoDesign 7 ай бұрын
Part 2 hakuna ya Dully vipi?
@FranklinMtei
@FranklinMtei 7 ай бұрын
Dully IS the KING
@johnphilipo6760
@johnphilipo6760 7 ай бұрын
Part 2 vipi hii big
@masongniima9217
@masongniima9217 7 ай бұрын
bro naomba interview ya hasheem dogo mwendawazimu
@salaita2829
@salaita2829 7 ай бұрын
Hasheem ni maalim saa hii sijui kama itawezekana
@Deussiyussuphu-jc8wi
@Deussiyussuphu-jc8wi 7 ай бұрын
Mr misifa na misifa yake ishi mwaya upo vizur
@mcyudasicqo9610
@mcyudasicqo9610 7 ай бұрын
Dury we 40 miaka inarudi nyuma duly 40 na point zake
@allymbozu5167
@allymbozu5167 7 ай бұрын
🫡
@salaita2829
@salaita2829 7 ай бұрын
Interview ya mtu muhimu kama huyu inafaa kuwa ndefu,tupate story nyingi
@oswardwenge2351
@oswardwenge2351 7 ай бұрын
Next time mlete belle 9
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 7 ай бұрын
Hiyo ni kwele jompaa
@MsangoDiesel
@MsangoDiesel 7 ай бұрын
Jamaa anaongea ukweli hatuwezi kwenda mbele baazi ya vyiombo vya mziki kazi yao kuludisha nyuma miaka nenda na ludi tutabaki nyuma Sana kwajili ya roho ya mbaya
@MTOTOWAvitoto
@MTOTOWAvitoto 7 ай бұрын
Kama alivosema chid ktk interview ya sns na Fredrick bundala kwamba watoto Wana roho mbaaya saaaaana Hawa waloko kwene chat for light now
@ramermohamedy4344
@ramermohamedy4344 7 ай бұрын
Ubunge ndio unamfaa bwana.... mimi kura yangu anayo
@stevewanga957
@stevewanga957 7 ай бұрын
Mbona fupi
@SabanaSipemba
@SabanaSipemba 7 ай бұрын
Natamanj uweke Ile squeeze
@KuviFacts
@KuviFacts 7 ай бұрын
Angalia nyuma hapo ipo
@SabanaSipemba
@SabanaSipemba 7 ай бұрын
​@@KuviFacts bado sijaiona ila poa usisahau na q chilla ila vip crazy GK
@reymekay1
@reymekay1 7 ай бұрын
We need a better interview than this from him, kuvi make it happen bro, tunataka ya kuhusu muziki wake woootee macollabo, misukosuko ... stori zte za studios, wasanii wadogo aliofanyanao wakubwa, mademu visa kibao vya hyu jamaa
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН
She's very CREATIVE💡💦 #camping #survival #bushcraft #outdoors #lifehack
00:26
Kluster Duo #настольныеигры #boardgames #игры #games #настолки #настольные_игры
00:47
Jay Moe performing at Hip Hop Asili Festival 2022
11:14
Hip Hop Asili Festival
Рет қаралды 4,5 М.
Dully Sykes - Handsome (Official Audio)
4:10
Dully Sykes
Рет қаралды 42 М.
ТИПИЧНОЕ ПОВЕДЕНИЕ МАМЫ
00:21
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 1,9 МЛН