Bwana Yesu fanya njia pasipo na njia, umefanya mengi na hili utatenda Bwana
@MwanaishaShattry3 ай бұрын
Weee bibi kaa kimya huna cha maana. Kama hawana uzoefubona mlitoa kibali. Nyie mliotoa kibali mnamakosa hamkuzingatia idadi ya watoto na walimu wasiamamizi pia. Kama kulikuwa nanusimamizi mtoto asingepotea.
@officialmanji44383 ай бұрын
Amina
@khadejakhadeja97133 ай бұрын
Ameen Ameen
@AverinaShirati3 ай бұрын
Shule za private mtoto akipata matatizo hawana ushirikiano
@Kutaila993 ай бұрын
Badala kumuomba mungu ety yesu fanya yesu atafanya nini
@SalhaRamadan3 ай бұрын
Mungu amlinde mtoto huko alipo,, nimependa huyo mama uongeaji wake anaongea kwa hekma sana na upole, unyenyekevu ,, kingine hawezi ruhusu walimu waliopoteza mtoto wawepo anajua amani hawezi kuepo wanaweza kupigwa,, subhanallah mungu amlinde mtoto😢😢😢😢
@JosephatMassae3 ай бұрын
Kwa kweli
@jemimabakari3 ай бұрын
Imani yangu inaniambia huyu mtoto ametoka kwenye huo msitu,yupo mahala na Mungu amlinde tu awe salama.
@PendoMatemba3 ай бұрын
Inaumiza 😢
@paulajoho22233 ай бұрын
Ameeen! Ameeen! Hallelujah!
@moriskadungula93533 ай бұрын
Kikubwa waendelee kujituma wamtafute ili kama amepotea wanusuru na njaa.
@winnievincent90633 ай бұрын
Amina, hata mimi naamini ivyo. Mungu asimame kwenye hili.
@magrethmollel10783 ай бұрын
Na iwe hivyo Bwana Yesu fanya njia
@ChristinaOnditi-el3xo3 ай бұрын
Mungu wetu ulie muaminifu sana hujawahi kushindwa,mie nisiewajua hawa watu wote mpaka mtoto simjui lkn naona naumia sana mungu, naomba tusaidie Mungu kijana apatikane salam
@zebedayokatamaduni96763 ай бұрын
Mama una hekima ❤ Mungu mkuu wa mbinguni aendelee kuongoza
@sanoureyaliwadoakaroyo16963 ай бұрын
Nimpenda Uyoo Mama Wa Ifadhi Wa Misitu Amejua Kuwatuliza Na Kuwashusha Pressha Inajulisha Uyuu Mama wa Ifadhi Ana Busara Sana
@yousuphnzira32093 ай бұрын
Inauma Sana Ila nashauri kwa wenye uwezo wa Kutoa DRONES zikatumika kusaidia kumtafuta mtoto zingetumika kwasababu zina uoni wa eneo kubwa.Niushauri tu sjui kama inawezekana kwasababu Sina uzoefu wa Drone.Millad ayo Anza na ya kwako.
@Jokha1Jokha3 ай бұрын
Pole sana wazazi mungu awape subra ktk kipindi hiki kigumu inshallah kwa uwezo wa mungu atapatikana akiwa mzima.jamani dini zetu zote mbili tumuombee huyu mtoto apatikane
@victormwageni15513 ай бұрын
Mtoto atapatikana salama kwa jina la Yesu
@reneemwenda73063 ай бұрын
Amen
@alicejones63823 ай бұрын
AMINA
@peninajohn47213 ай бұрын
Amen
@neemabundara53343 ай бұрын
Amen kubwa
@sylvianambeye69933 ай бұрын
Mzazi anaumia Mungu amsaidia
@coldkiller-73 ай бұрын
Mimi naona serikali iingilie hili swala waletwe wanajeshi wasambae mlima wote kwa uwezo wake mungu atapatikana akiwa hai inshhaallah
@NeemaSamueli3 ай бұрын
Wazo zuri maskin daaa
@bintalmasi23933 ай бұрын
Joel hayuko mlimani, kuna mama alimwona akishuka akiwa na backpack, kuna mahali kajificha pengine alikuwa hataki kurudi shule, watoto wa umri huo huwa na matukio sana
@twiseghekisilu88453 ай бұрын
@@bintalmasi2393Kuna mtu kaongea aliona mtoto anashuka na begi???km ni hivyo basi yupo sehemu salama
@coldkiller-73 ай бұрын
@@bintalmasi2393 mmh kumbe alionekana inawezekana unalosema mungu amuongoze jamani maana anawanyima usingizi wazazi wake.
@nishaabdula50153 ай бұрын
@@bintalmasi2393we nae ck zote ajifiche porini na kuna wanyama wkali ss nakula. Nn ck zote izo
@nasrahassan73463 ай бұрын
Dada anahekima sana nimempenda sana wazazi poleni sana mungu wetu aliye juu atamfanyia wepes mtt huyu apatikane awe hai mwenyezi mungu amrinde
@HalimaJuma-vd8xc15 күн бұрын
Daaaaaa! Mwenyez mung ni mwem na ni mtyu muhim san na pia tyumuomben allah kwa kil jamb ndug zangun
@mariamfataki80253 ай бұрын
Daaah! Hili jambo linaninyima usingizi mimi sina raha kabisa japo simjui huyu mtoto lkn imeniumiza sana. Eee Mungu mtetee mja wako😭😭
@MwanaHamis-y4e3 ай бұрын
Sana inauma kwelii aingii aiikilini kwann awakuwa makini walimu na walizi wa ifadhi
@RodaMaganga-ye6ye3 ай бұрын
Daaah inauma Sasa jamani kakijana kazuri kweli
@AlHamra-k4u3 ай бұрын
Yani walimu hapo inatakiwa muwe wapole msitake kujibizana na mzazi makosa mnayo nyinyi kwanini hamkuwa makini na wanafunzi. Heee uwiii Dunia simama
@gamgangweesechota35893 ай бұрын
Ukiwa mzazi lazima uumie tu
@HusnaMtitiko-yt4ru3 ай бұрын
Ila mm iman yangu Inaniambia yupo ni kapotea tu huko aliko yupo salama@@MwanaHamis-y4e
@basumegheMbotwa3 ай бұрын
Mama anaongea kwa hekima sana Mungu amulinde mtoto apatikane🙏🙏
@abbassalum68243 ай бұрын
We Mama Unahekma san ila umekutana na wazazi waliofurugwa lakin umeweza Kutumia hekma yako vzr mungu akuongezee
@SafiaOmar3 ай бұрын
Akili yangu inaniambia mtoto yupo sehemu salama. Allah amrudishe kwa wazazi wake akiwa salama
@JossephMsumeno3 ай бұрын
Huyo Mhifadhi ana hekima Sana
@lisokimecholobi94513 ай бұрын
Kabisa katumia ubinadamu amueke
@catherinelandas19383 ай бұрын
Sana
@ShabaniMsati-f9j3 ай бұрын
Ahsante mama mungu kakujalia hekima mungu atafanya njia
@PeninaMlaponi3 ай бұрын
Mungu wa mbinguni hakuna jambo gumu la kukushinda, wateteee wazazi hawa , tuokoe Tanzania yetu iwe na amani, turehemu Bwana Yesu Kristo uliye hai ingilia kati,
@jafarHasani-b2f3 ай бұрын
Mungu mwema atamjaliya mtoto atapatikana 2 ishalah
@FATHIYA0023 ай бұрын
Hongera mama Kwa hekma zako tuombe Dua apatikane mzima
@mtume_wa_wengi3 ай бұрын
Hili jambo nigum kwa hii familia hii Mungu awatie nguvu kwakweli
@WinnieKasambala3 ай бұрын
Ahsante Mwalimu❤,Atapatikana,tuwe na imani hiyo hiyo
@ChristinaOnditi-el3xo3 ай бұрын
Poleni wazazi, na feel mnavojiskia., unmeasurable pain so sad 😭
@lujekomtawa3283 ай бұрын
Eeeh Mungu,najaribu kuvaa viatu vya hawa wazazi nahisi machozi hadi ndani ya moyo wangu.Mungu awatie nguvu
@jenifermalyosi46833 ай бұрын
Huyo dada ana khekima jamani ana nyenyekea Mungu akuzidishie kauli njema wengine tuacheni tu
@monicakissoly36603 ай бұрын
Mungu mwenyezi muumba mbingu na dunia tunaomba ujidhihirishe kwa watu wote wanaomtafuta Joeli, mrudishe kwa wazazi wake akiwa safi na salama. Thank you Jesus.
@AyubSimchindo3 ай бұрын
Pole baba mungu nimwema mutoto atapatikana tutazidikuombea mungu atenda by ayubu simchind ktk mkowa wa Rukwa sumbawanga tuko pamoja
@ireneshao79503 ай бұрын
Mungu unaona vile wazazi wanavyo ummia baba wasaidie Joel apatikane akiwa mzima
@UpendoAkirwa3 ай бұрын
Amina
@yuahahmad66513 ай бұрын
Nimependa huyo dada anaongea kwa upole sana ❤
@neemamsuya60983 ай бұрын
Wazazi mungu awaongoze unaweza kuwa mtoto kaamua maisha mengine asijewatia aibu tu muweke akiba ya maneno anaweza kuwa karudi mtaani huko
@aliciamwalimu5823 ай бұрын
Nikweli kabsa
@user-fredrickmtei2 ай бұрын
Mungu wetu ni Mwaminifu amepatikana
@ERICAHMWAKILUNGU3 ай бұрын
Mungu amfichue huyu mtoto Kwa jina la Yesu...Mungu utusikie
@ansigar19973 ай бұрын
Pole sana Wazazi, inasikitisha sana na inauma kupotelewa na mtoto.,mwenyezi Mungu ajalie mtoto apatikane akiwa mzima kwa kupunguza machungu.
@Aida-w8i3 ай бұрын
Polen sana wazazi kwa hilo najua inauma sana 😢😢Mungu awasaidie mtoto Joel apatikane akiwa mzima 🙏🙏🙏🙏🙏.Mungu ni mwema kila wakati.
@AnnaFelix-p1z3 ай бұрын
Safi sana dada imani yako itawaponya tuwena imani
@JosephNyamhanga-f5v2 ай бұрын
Mtafuteni nabii wa kweli, mtoto atapatikana.
@mr.yahzadochuno79143 ай бұрын
Mwalimu Ka ongea vzr jamn nimempenda ❤
@paulmafuru72833 ай бұрын
Huyo n afsa misitu
@hawaelymaricca76023 ай бұрын
Mama unajibu kwa hekima sana sana unafaa kua kiongozi
@latifakamzania42993 ай бұрын
Naamini mtoto atapatikana akiwa salama kabisa amina
@EshaKoshi2 ай бұрын
Mungu ajalie apatikane
@HbabbyhusnahАй бұрын
Mungu alinde watot wote
@FatumaRashidi-z4s3 ай бұрын
Mwenyezi mungu wambinguni mlinde joely popote alipo na kwa uwezo wako mwenyezi mungu umrejeshe salama
@stephanokanyika63213 ай бұрын
Eee Mungu wa Rehema na Upendo tusaidie mtoto apatikane akiwa hai, tunajua wewe unaweza kufanya njia pasipo njia, Yesu jitukuze ktk hili ili jina lako litukuzwe, Amen
@veromwanji3 ай бұрын
Mwenyezi mungu awafanyie wepesi wazazi na ndugu.maumivu wanayoyapitia kiukweli hayaelezeki
@aranyaelimafie9293 ай бұрын
Mungu simama Joeli apatikane amen.
@kwayaviwawaparokiayabashne92812 ай бұрын
Shukuruni Sana Ndugu zangu kwa kila jabo amepatokana wapi similimani
@HyasinthaMosha3 ай бұрын
Mama yupo vizuri ana hekima kubwa sanaaaa mtoto apatikane kwa uwezo wa mungu
@pillykinabo87223 ай бұрын
Amina baba uliekamata chupa, imani yako inakwenda kumrejesha Joel amina
@dorahmushi-we6ts3 ай бұрын
Wapendwa, hebu tuamini huyu moto yupo mahali, watu huko alipo hakuna mawasiliano, tumuombe Mungu amlinde...wazazi jipeni moyo huku mkiendelea kuomba.
@AgnelaMapunda3 ай бұрын
Poleni sana wazazi ,walimu na jamaa wote , lakini tumuombe sana mungu maana kwake hakuna jambo gumu ,mungu amsaidie sana mtot huyo popote alipo aonekane
@gloryleonard15633 ай бұрын
Ooh! Mungu saidia watoto wetu shirikisheni pia watumishi wa Mungu waombe jamani inauma.
@FridawoyaAgustini3 ай бұрын
Polen sana dada unaelewesha vizur sana mungua awape wepisi apatikane kwa wakati
@GastoMlwafu3 ай бұрын
Mungu afanye njia kwakweli mtoto apatikane pia mungu akubar sana mama kwahekima hiyo kupitia hekima yako mungu atafanya
@Chettymlambalipsi-lb9km3 ай бұрын
Hili jambo limenigusa sana mungu awafanyie wepesi
@Zaburi-3 ай бұрын
Mungu/MUNGU sio mungu
@officialmanji44383 ай бұрын
Amina
@elizabethmassi73273 ай бұрын
Huyu mzee pamoja na anaimia lakini ana asili ya hasira,hiki sio kipindi cha kukasirika ni cha kushirikiana ,si kwamba waalimu hawaumii hawawezi kuwa na furaha kwa kitendo kama hicho hata kama wasingekuwa nae akapotea kivyake wangeumia tu.Maneno ya hasira hayasaidii baba mshirikishe Mungu acha kuwalaumu waalimu haisadii na wala hawana makosa wana uchungu pia
@CosmasErnest-i3t3 ай бұрын
Walimu kutokuwepo ni njia y usalama unafikiri kw hasira Hy c watawapga. Baba acha hasira mungu akusaidie
@zamzanimakundi25463 ай бұрын
Walimu wana uchungu kuliko wazazi
@bintmrisho35263 ай бұрын
Hapana hata ingekua ni wewe kwa kipindi cha sasa hivi hali ilivyo weeh unweza sema wamesha muuza mtoto wako hali ni mbaya sasa hivi
@isackkimaryo86373 ай бұрын
Mara paap mtoto yupo Ngulelo anajifunza Ku raap. Kizazi cha sasa kimebadilika sana tuombe kijana apatikane
@rahema19923 ай бұрын
Jmn kupotelewa kwa mtt ckilizieni tu huyo mzee lazima awe na jazba anaumia jmn
@rosediria73063 ай бұрын
Mungu anataka washindwe kwa akili zao ili ajitukuze kuwaonesha mtoto yupo na watampata akiwa Hai kwa uwezo wake Mwenyezi Mungu
@ubuntubantu24042 ай бұрын
Maneno yako yametimia
@ReginaMsoka-pj4jc3 ай бұрын
Mungu wetu mtakatifu wewe ni baba yetu unayejua hata hesabu za nywele zetu kichwani, tunakuomba baba ukaweke shuhuda ndani ya vinywa vyetu ili ulimwengu ujue kwamba wewe ni Mungu hujawahi kushindwa na jambo lolote tunaamini mtoto wetu atapatikana akiwa hai, namfunika na kumtakasa na damu ya Yesu, Ameen🙏🙏
@hidayaswai31193 ай бұрын
Mungu wangu nakuomba uwasaidie huyu mtoto apatikane. Fanya baba kwa utukufu wako baba. Tunaomba malaika wako aende popote huyu mtoto alipo wamrejeshe
@ajonline79943 ай бұрын
Poleni sana wazazi wa Joel na walimu wa Bagara najua mnapitia kipindi kigumu sana sana sana. MUNGU atusaidie sana kufanikisha kijana huyu apatikane
@hadijastevenhart56762 ай бұрын
Walimu walifanya tour kwa wema tu lakini leo wanaonekana hawafai, mwenyezi Mungu tunakuomba Joel apatikane kwa uwezo wako🙏
@lovenessbazili3 ай бұрын
Daaah,imeniuma mnooo tena sana
@HanifaOman-oo4pl3 ай бұрын
Hawawasingeenda mlimali wote.ilibidi wazunguke huwomlima kilakona ndiyowatampata napengine hao wanaoenda pia waoga nawao. Allah msitili mtoto wetu arudi akiwa hai lnshaallah
@maryaugustino87163 ай бұрын
Ee Mungu na mwombezi wetu, tunakuomba Mungu baba umlinde huyu mtoto na aweze kupatikana akiwa hai, ee Mungu wewe hakuna linalo kushinda Mungu itetee familia hii yenye uchungu mwingi, mtoto mpendwa apatikane akiwa hai. Mungu sikia kuomba kwetu Amina
@SalhaRamadan3 ай бұрын
Nahofia asije kua kamezwa na chatu yarrab😢😢😢😢
@GraciuosGeofrey3 ай бұрын
Wengine si wamerudi jamani ina maana walikuwa hawaongozani
@SalhaRamadan3 ай бұрын
@@GraciuosGeofrey kuna maswali mengi ila natamani mwalimu au mwanafunzi au rafiki zake waeleze walimkosa wakiwa wapi?? Kwenye huo mlima wakati wanaanza safari wale waongoza mlima walihakiki kwa majina watoto?? Ndugu naona kuna uzembe umefanyika afu hiyo shule inasifika kwa ukali walimu wakali iweje walishindwa kutumia ukali wao kulinda watoto kwenye mambo hayo,, mwaka juzi mtoto wa anko alichelewa lisaa limoja kufika shule kafika saa 11 jioni akarudishwa hawakujali katokea mkoa wa mbali au wanamrudisha huyo mtoto atalala wapi wanauupuzi mwingi mtoto alilala guest kungoja mzazi ili ampeleke shule na wakatozwa faini elfu 30 kisa kachelewa mwalimu mkuu anaambiwa ni sababu ya usafiri lakini hakuelewa kabisa,,, shule la ovyo sana
@salmamlokela19873 ай бұрын
Yaan wewe una mawazo mazuri kwa huyu mtoto unamuwazia tu mawazo mabaya..
@rosemarysweya28753 ай бұрын
Anammeza na nguo?
@HabibuHoseni-sv8hd3 ай бұрын
Me najiuliza pia kama uyu dg hana rafiki ama ni vip
@muhidinally34603 ай бұрын
Poleni sana wazazi mungu atafanya wepesi.mtoto wetu atapatikana angali mzima..
@IddyMarriam-z7r3 ай бұрын
Kuweni na subira wazazi jambo inauma mungu amulinde mutoto huko aliko in sha Allah
@SALOMESEKIJA3 ай бұрын
huyu mama wa hifadhi anaongea kwa ustaarabu sana jamani
@lisokimecholobi94513 ай бұрын
Kwel
@KabulaKebby3 ай бұрын
Si anaona camera?
@KabulaKebby3 ай бұрын
Anaona camera mkute pekeake 😂😂😂😂
@putilegamagama60493 ай бұрын
Kwa ushauri tu, kwa kuwa Ayo tv mmeweka kambi hapo basi mungerusha ndege nyuki(drones) pengine MUNGU akatenda jambo hapo. Kwa ushauri tu. Upendo Daima❤
@RahimaMwita3 ай бұрын
Mungu amlinde mtoto apatikane mungu wetu wambinguni simamia hili
@Aminahlamranl420-hw2ie3 ай бұрын
Jamaniii mnanikumbusha. Rebecca wetu alipotea , kishule hivyo hivy😢😢
@kobylwaho31913 ай бұрын
Nimejikuta nalia tu 😢😢😢😢eeee Mungu msaidie huyu mtoto popote alipo mfunike kwa damu ya yesu 😢
@victoriapatrick98403 ай бұрын
Jamani msibishane tuendelee kutafuta na kuomba Mungu kitu kibaya kisimpate mtoto afu watembee na kipaza sauti sio kuzunguka tu mbuyu😔😔
@johnmalley48873 ай бұрын
Huyu Mama Mungu ambariki mana huu ukarimu alonao wa kuhakikisha shetani hawezi kuteka akili za watu hawa 👏🏼
@Juliusmganga47343 ай бұрын
Mungu ahusishwe, mtoto atapatikana
@Jane-h1f6s3 ай бұрын
Kweli mama wa hifadhi unahekima sana
@ChristinaHabiye-el3ni3 ай бұрын
Mwenyezi mungu fanya uwepesi was hili jambo ,fungus njia mtt apatikani
@allyahahmed10913 ай бұрын
Now this is getting serious aseee💔💔upatikane mtoto mzuri jamani
@johnsangida51583 ай бұрын
Jambo gani uziloliweza Ee Mungu mdgo wangu Joely upatikane😢
@MRPRESIDENT-w4l3 ай бұрын
MILLARD AYO WAANDISHI WAKE WAPO VIZURI KWELI KWELI YANI. YANI WAME TRAINING WA VIZURI SANA safiii sanaa Millard 🙌🙌
@TunauzaSimu-fn2ff3 ай бұрын
In shallah atapatikana. Mm nipo znz lkkn ni machozi. Inaumiza lkn tusubiri
@pendopaul15153 ай бұрын
Serikali ijalibu kuwasaidia ili swala inauma sana sana jamn ten kupotea mazingira magumu kias hiki ee mungu kafanye kitu juu ya joel baba kawape moyo wa aman wazazi wa joel
@Magelaizerlaizer3 ай бұрын
Mungu tunayekuamin Fanya jambo juu ya mtt wako awe salama apatikane ukarejeshe furaha yetu tukuaminio Yesu
@shanifesto90373 ай бұрын
Mwenyezi mungu amsimamie jam an I🙏🏻
@coldkiller-73 ай бұрын
Mimi naomba serikali iingilie hili swala waletwe askari jeshi wasambae mlima wote kijana atapatikana kwa uwezo wa mungu.
@elizabethmassawe6943 ай бұрын
Mungu mlinde kijana wa taifa la kesho ee munguu
@EmanueliWildausoni3 ай бұрын
Dada anaonyesha ana busara sanaa japo kweli mzazi lazima awe na uchungu na mtoto lakn huyu dada anahekima sanaaa
@AsiphiwePhilemon3 ай бұрын
Joeeeliiiiiiiiiii njooo baba ako anateseka na mama Yesu Fanya muujiza
@pendomariki3 ай бұрын
Jaman familia inaumia Mungu tusaidie Joel arud
@modestamodesta39403 ай бұрын
Dada mungu akulinde unahekima na mungu mlinde joeli aliko jmn wazaz wanateseka
@happyhappy-ym2su2 ай бұрын
Ila huyu Mama anahekima ya ki Mungu ndani yake. MUNGU akutunze mamaangu
@HusseynSingano3 ай бұрын
Musimuombe yesu muombe I mungu yesu nikiumbe
@Shafikimanga73 ай бұрын
Poleni wazazi, study tour Kuna mengi yanaweza tokea. Tuwe na subra tumtafute atapatikana tuu.
@marykimambo18503 ай бұрын
Huu umri wa form two Miaka 13 mpaka 15 kuna tabia nyingi zinaibuka. Inawezekana yupo mahali anaogopa kujitokeza. Poleni sana wazazi tunaomba usalama wa mtoto kwanza kipenzi Moyo na Mungu akawaonekanie.
@neemamasimba29813 ай бұрын
Hii Ni kweli Kuna mtoto was kike alifanya hivyo akajificha Karibu wiki mbili ,alipojitokeza akasema analikuwa Na mapepo yakawa yanampelekesha akawa hajielewi ,akafika mahali akasikia kama anaitwa Na wazazi wake ndio akapata ufahamu akarudi
@sabteectanzaniaLimited3 ай бұрын
Huyu mama very smart anaongea kwa busara iliyo pitiliza nazani wazo lake la kupambana kuendelea kutafuta waendelee kutafuta mwisho atapatikana akiwa salama
@marymariki-m5w3 ай бұрын
Mungu tunakulilia katika hili kama ndugu inaumiza jaman nyie sikien tu joel joel joel tunaomba Mungu akulinde uje vema
@agerpithswai35133 ай бұрын
Huyu mtoto ananikumbusha zile feeelings alizopata mariam na joseph pindi walipompoteza Yesu !!
@IssaJulius-x3v3 ай бұрын
Ni wakati mgum sana kwa pande zote mbili walim, wazazi niombe sote muwekitu kimoja kushilikiana kumtafuta kijana wetu na tumtangulize mungu mbele tuwe na subra
@musamusa63742 ай бұрын
Hatimae dogo kapatikana
@AnethElias-s9r3 ай бұрын
Jamani Maoni yangu serikali ituongeze nguvu na jicho laziada kwakutumia Helcopter, wawakilishi wa serikalini waliopo apo wasaidie kufikisha ujumbe katika kitengo husika helcopeter ipatikane izunguke mlimani na maeneo jirani ata kama niwanyama wamemjeruh basi ataonekana na kama afya ilienda vibaya akadondoka pia anaweza onekana kisha helcopter izunguke maeneo hatarish zaid kubaini kama kuna lolote linaonekana, lakini pia tangazo la serikali zamitaa watangaze mtaa kwa mtaa na kipaza sauti endapo kuna yyt amepata fununu kuusu habar ya mtoto Joel.. asanteni na poleni sn kwayalio wakuta. Inauma sana Mungu awatie nguvu