OGOPA: Kama umezoea Kubet angalia alichosema Rais Magufuli

  Рет қаралды 245,218

Mwanzo TV Plus

Mwanzo TV Plus

Күн бұрын

Пікірлер: 268
@makoyeamosi4705
@makoyeamosi4705 5 жыл бұрын
Asante mungu kwa kutupa kiongoZi mzuri
@amirinestory
@amirinestory 4 ай бұрын
😢huyu ndio kiongozi... Apumzike salama peponi...Ameen
@dtalentboy813
@dtalentboy813 5 жыл бұрын
kamari ni hatari kwa maisha yako kwa maelezo zaid endelea kucheza
@munakassim3521
@munakassim3521 6 жыл бұрын
Mungu akùpe maisha marefu rais wetu
@JuslayNzayiBig.talent
@JuslayNzayiBig.talent 3 ай бұрын
Magufuli John Rais mkuu sana mfano wa afrika
@starboychyner3458
@starboychyner3458 6 жыл бұрын
KAMA UMEFURAHI BAADA YA JPM KUTAKA TATU MZUKA PLZ GONGA LIKE WE MCHIZI WANGU...
@ayubujackson5782
@ayubujackson5782 6 жыл бұрын
Hapo sawa mheshimiwa
@hassanturky7511
@hassanturky7511 6 жыл бұрын
Masha Allah mheshiwa .wewe kweli unastahiki kuitwa mheshimiwa. Allah akupe imani.
@gospelsmusic2555
@gospelsmusic2555 6 жыл бұрын
asante sana viongozi wa didni kwa kulitambua hili kamari ni dhambi
@kitotaabdillahi4609
@kitotaabdillahi4609 6 жыл бұрын
Mungu siyo mtu wewe, kua makini. Usilete masiara kwa Mungu.
@islamomara7380
@islamomara7380 5 жыл бұрын
tamani ungekuwa rahisi wetu hon. jpm
@rajabomary5280
@rajabomary5280 6 жыл бұрын
Anzeni kufunga leo tutahamia 1x bet na betwinner makampuni ya kimataifa ambayo hamtaweza kuzuia
@janesuma2193
@janesuma2193 6 жыл бұрын
ur the best President I love u Baba Magofuli
@bonifasiemanueli2708
@bonifasiemanueli2708 6 жыл бұрын
Hongera sana mh,Jpm wewe ni Tunda la inchi yetu ya Tanzania,wewe umetoka kwa Mungu ndo,maana mda mwingi umekuwa na viongozi wa dini,hii inaonyesha ndani yako Roho wa Mungu yumo ndani yako ,mimi binafsi nina taka uwe Raisi wa kudumu ktk jina la Yesu,ndo maana mafsadi,na wapiga madili hawakupendi,mimi niko na wewe oyee!!!!
@bjzee1981
@bjzee1981 6 жыл бұрын
Kuhusu nguo fupi yesss mzee. Hata wanaume wavae nguo Za heshima sio suruali nusu makalio
@JninjaH2R
@JninjaH2R 3 ай бұрын
Kweli redio na tv ni matangazo ya KAMARI tu nchi imekuwa ya wacheza kamari tu
@raybirry3816
@raybirry3816 5 жыл бұрын
Magufuli sio mungu,ni dikteta anayependa kuogopwa na kusifiwa,watanzania wanaishi kwa hofu!
@AmanHaonga-y9b
@AmanHaonga-y9b 9 күн бұрын
😂😂😂Unakemea kamari wakati unachukua kodi umo umo😢😢!!!
@mustafaabdallah822
@mustafaabdallah822 5 жыл бұрын
Angalia kwa upande huu wa kina Dada kuvaa vibaya yaani kuvaa vazi linalo onesha maungo yao simama sana weka shelia mkuu
@liverpoolfootballclub9985
@liverpoolfootballclub9985 Жыл бұрын
Tatu mzuka😅😅🇰🇪
@WizzyPrince-i8w
@WizzyPrince-i8w 12 күн бұрын
😢😢😢😢
@rashidalshaidhani765
@rashidalshaidhani765 6 жыл бұрын
Huyu ni raisi bora kabisa Tz. Tumuenzi na tumpe ushirikiano hasa. Kwani wapinzani wanataka rais yupi zaidi ya huyu asiependa maovu
@othmanalsherem7313
@othmanalsherem7313 6 жыл бұрын
Mungu sio MTU
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 жыл бұрын
Lakini umeelewa point yake
@allykigatta7564
@allykigatta7564 6 жыл бұрын
Exactly...!!!!...hata mimi iwas a shock sana!!!!MUNGU c mtu..
@allymbwambo2383
@allymbwambo2383 6 жыл бұрын
Dah asante sana kiongoz wetu yaan hawa wapuuz futa wote Aza na Tatu mzuka Njoo sijui biko yaani sukuma ndan wanaibia watu tena ikiwezekana wawatudishie ela zao au ziende serekalin sikafanye kaz
@geraldsoka1523
@geraldsoka1523 6 жыл бұрын
Kwani kuna mtu anakushika mkono anakulazimisha ucheze acha abari zako
@allymbwambo2383
@allymbwambo2383 6 жыл бұрын
Najua mnateseka San
@mussahussein3583
@mussahussein3583 6 жыл бұрын
Hahahhaahhaaaa ikiwezekana wawarudishie hela zao sio?
@allymbwambo2383
@allymbwambo2383 6 жыл бұрын
Lakini kama wanakumbuka niliwaambia kama na wew nimmoja wao lajua utakumbuka kwann muibie watu simfanye kaz mmekaatu kuuza sura mbavuuu saiv mtapata tabu sanaaa kwan unateseka?
@allyshilombwe9968
@allyshilombwe9968 6 жыл бұрын
Ally Mbwambo Kunapombe na Guest vyenyewe mashekh na mapadri hawaviongelei au kwasababu kunadini nyingine zinafanya biashara hizo? Pombe imeharibu vijana wengi mpaka sasa vyote ni upuuzi
@Kijazi1132
@Kijazi1132 6 жыл бұрын
The perfect father of our nation.
@GabrielMitsanze
@GabrielMitsanze 4 күн бұрын
Memories
@tabusalum1318
@tabusalum1318 6 жыл бұрын
Kweli kabisa mkuu
@mackbmichael415
@mackbmichael415 5 жыл бұрын
nice
@officialmroso6925
@officialmroso6925 6 жыл бұрын
Kubeti ni hiari ya MTU...binafsi siachi kubetiiiiii...nabeti mpaka kielewekeee
@angelalaizer3013
@angelalaizer3013 6 жыл бұрын
official mroso hahahahahahaha!wacha weee
@mosesmuinde821
@mosesmuinde821 6 жыл бұрын
au sio mwanaaa
@khamismaulidi4562
@khamismaulidi4562 6 жыл бұрын
mashekh kimya mna mtizama mtunakufuru mbeyenu mwambieni mungu sio mtu.
@tegezdomin8363
@tegezdomin8363 6 жыл бұрын
Uko sahihi Mr president
@franknaigisa9352
@franknaigisa9352 6 жыл бұрын
Ukosefu wa ajira ndo chanzo kikubwa cha kamari ..mtu akiwa bize na kazi hata kumbuka kucheza kamari ..so mh raisi jaribu kwanza kutengeneza ajira sio kuzipunguza kwa sababu makampuni ya kamari imeajiri watu wengi kuliko hata makampuni ya za serikali....kuna viwanda vingi mfano sunflag ,a to z na kampuni nyingi za wahindi imetengeneza ajira kwa sababu ya wahindi sio watanzania ..ndo maana hata labour wa kawaida analipwa 80,000/=tsh mpaka 120000/= kwa mwezi jambo ambalo ni la kifedheha kabisa ,haiwezekani plant engineer ,na expert wengine wote ni wahindi au wametoka abroad sasa hawa ma experts tunaowazalisha tanzania je tunapeleka wapi?...mh raisi unafanya kazi nzuri lakini huwezi ukatengeneza barabara za kwenda nyumbani bali inabidi utengeneze barabara za kwenda kiwandani kuzalisha....mh raisi kuna mambo mengi sana ya kufanya na kuifanya nchi hii iwe kama Qatar ,kuwait na nchi nyinginezo zenye kutegemea rasilimali...vile vile mh raisi unahitaji watu speacial wa kukupa idea tu ambao sio viongozi kazi yao ni kukupa idea ambazo zinatekelezeka ww kazi yako ni kutoa order itekelezwe kupitia sector husika.asante sana.mimi ni frank m naigisa mwanachuo katika taasisi ya technologia dar es salaam
@FoxManTZ
@FoxManTZ 6 жыл бұрын
Unataka ajira uletewe nyumbani kachome mihogo
@emanuelmwaiguluka5345
@emanuelmwaiguluka5345 6 жыл бұрын
Hilo neno
@khalifaahmed7864
@khalifaahmed7864 6 жыл бұрын
Kamari sio ukosefu wa ajira!!nakataa hii ni tabia na unapojiendekeza huko hutakaa uache hata km ww ndo HR, wapo wafanyakazi wengi ambao wamekua addicted na kamari na wanashindwa kuacha, wafanyabiashara wengi tu wakubwa pia unawakuta casino mana kamari sio kubet tu na wanashindwa kuacha, sio kukosa ajira ndo ukacheze kamari no!!kamari ni kitu cha kukemewa kabisa sio kusingizia chochote kile ndo kimekufanya ucheze kamari!!
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 жыл бұрын
Sio kweli kamari zimeshamiri kwenye nchi zilizoendelea kuliko africa Tanzania bado sana ndio kwanza mnaanza sasa hivi
@mufasamufas6023
@mufasamufas6023 6 жыл бұрын
Ukijilegeza tu na kutaka vya bure bure ndio utajikuta hutaki kazi
@jonaslameck1563
@jonaslameck1563 5 жыл бұрын
safiiiiiii
@alsam4881
@alsam4881 6 жыл бұрын
Ni kweli kabisa swala la mitandao imeharibu sana kwa baadhi ya tabia za watu.
@DadialiDadi
@DadialiDadi 10 ай бұрын
😂😂😂 mzeeee wa kubetiii banaa muhind ataelewaa t
@raiswamasela7641
@raiswamasela7641 6 жыл бұрын
asante. rais.wangu .
@KhamisChaz-td4nz
@KhamisChaz-td4nz 3 ай бұрын
Mama Samia kama angekua anatizama hizi hutuba za mh hayati Magufuli angenufaika sana nchi imeharibika KWA kamari na kwenda uchi udhalilishaji umezidi
@aloycemwakatala2634
@aloycemwakatala2634 6 жыл бұрын
Safi sana mkuu wa nchi vinginevyo tutaisha maana serikali inakusanya 18% lakini wananchi tunachukuliwa 100%
@khalidmdotta3843
@khalidmdotta3843 3 ай бұрын
Mungu amekufa mtu tena
@pascalstaharabu4124
@pascalstaharabu4124 6 жыл бұрын
Mamb yako kila siku super√
@harounaswaleh6716
@harounaswaleh6716 6 жыл бұрын
safisan kwakwel watuwameharika sana namitandao
@AmanHaonga-y9b
@AmanHaonga-y9b 9 күн бұрын
😂😂😂😂majambazi kama yute, eti yanacheka😂😂😂😂!!!
@erentjohn6002
@erentjohn6002 6 жыл бұрын
KUNA FURAHA KUBWA NINAYOIONA KATIKA NCHI IKIWA MICHEZO YA KAMARI ITAFUTWA HATA LEO HILO LISICHELEWE, MIMI NILISHARIDHIKA NA UONGOZI HUU SIJUI NANI AMEBAKI.
@jackkimaro6937
@jackkimaro6937 6 жыл бұрын
I lov mgfl
@mwajumamtumweni5643
@mwajumamtumweni5643 5 жыл бұрын
Me too more than you
@abdulswai2168
@abdulswai2168 6 жыл бұрын
seeemaaah hiyooooooh
@evajohn6459
@evajohn6459 5 жыл бұрын
Pombe je!! Mbona zinatangazwa!!
@bymb9868
@bymb9868 6 жыл бұрын
Mafundisho yote yanaenda kwenye mtu mmoja ambae ni mungu???.. Mungu sio mtu kasome bibilia yako vizuri
@nelsonwilson714
@nelsonwilson714 5 жыл бұрын
ASA BONANZA FUNGA KABISA KAYANGA LWAMBAIZI IGULWA FUNGA KABISA
@fauzhaji7149
@fauzhaji7149 3 жыл бұрын
Mtukufu rais ukienda kuzuru msikitini special on Friday. That's how muslim woman dress code..na wanatakiwa kufanya hivyo hata wakiwa katika shughuli zao za kawaida ..hata bi mariam ambaye ni mama yake Jesus alikuwa ni mvaa hijbab ...big up Mr president 👏 kwa ukumbusho wako .hopefully wamekuelewa ...
@RioIpo
@RioIpo 6 жыл бұрын
Na TRA kodi wasichukue kule mana kwenye laki 8 wanachukua laki 1 na nusu
@kadirikingwande1660
@kadirikingwande1660 6 жыл бұрын
Daaah nilishinda juzi2 million 6 kumbe nilifidia nilioliwa
@remistv94
@remistv94 6 жыл бұрын
mo years sir 🍻
@PESASungula
@PESASungula 8 ай бұрын
Safi sana
@reginaemmanuel8233
@reginaemmanuel8233 6 жыл бұрын
kakobe na ngwajima wamepangana wanacheka hatar, nani kawaona?
@jaypolpzpwhitelion4661
@jaypolpzpwhitelion4661 6 жыл бұрын
Nimewaona aiseee
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 жыл бұрын
Mungu ibariki tanzania
@millardyleonardy9766
@millardyleonardy9766 6 жыл бұрын
Zahra Munir nkupendaa Sanaaahh mke wngu
@gastonmaheng8256
@gastonmaheng8256 6 жыл бұрын
Ruhusu wanaovaa nguo fupi tuchape viboko
@godfreymchalo5267
@godfreymchalo5267 5 жыл бұрын
Haaaaahaaaaahaaaaa
@mbarakatv633
@mbarakatv633 4 жыл бұрын
Elimu inatisha kuwapa sio bakora
@ibnabou1886
@ibnabou1886 6 жыл бұрын
Uslam raha unakemea vitu viko waz ktk maisha vinawaadhir watu wakivifanya, na wakiviacha n faida kwao.
@khasammussa7718
@khasammussa7718 6 жыл бұрын
Hakika uislamu ndo dini ya hakki...mvae hijabu mnaambiwa...allhahu akbar.
@pastorvincent9851
@pastorvincent9851 6 жыл бұрын
Kwa kweli kamali ni mbaya
@richardgirgis4302
@richardgirgis4302 6 жыл бұрын
xio kamali ni kamari
@abuuashyam8417
@abuuashyam8417 6 жыл бұрын
mi namuomba allah ampe nuru ya uislam rais magufuli ..Aslimu
@destiny4life439
@destiny4life439 6 жыл бұрын
inshallah upo saaa
@dollyandthedoliganeloi3025
@dollyandthedoliganeloi3025 6 жыл бұрын
kwani yeye hana dini na anaipenda si ndio
@bakarizuberikambanga4531
@bakarizuberikambanga4531 6 жыл бұрын
Inshallah
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
@@dollyandthedoliganeloi3025 ilikua ni ombi akimuomba Mungu wake,na akijua kua Rais ana dini yake
@justindickson3530
@justindickson3530 6 жыл бұрын
we ni chizi
@issaahmed853
@issaahmed853 6 жыл бұрын
Rais Magufuli ni rais wa kipekee TZ kuwahi kutokea nakukubali sana fanya taratibu fungia zote watu wajitume tunaanza na kamari na nguo fupi halafu tutakuja huko kwengine mdogo mdogo ndio mwendo mpaka tuingie adabu watanzania tunyooshe mkuu upo sahihi 100% tutapiga kura ya maoni ubaki hadi kufa kwako ww niwakipekeee
@NinjaHackz
@NinjaHackz 6 жыл бұрын
😂😂
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 6 ай бұрын
Ila nchi hii imepotea.sanaa.viongozi wa serikali.kimya.viongozi wa.dini kimya.kwa ss.hakuna hapa kazi.Ni kuberi tu.kwa.ss nikipengele ktk taarifa ya.habari.Ibilsi.amemiliki nchi.Mungu akupumzishe JPM
@geraldmbhosy7046
@geraldmbhosy7046 6 жыл бұрын
vifungeni hivyo vya kubet wewe ndo mwenye mamlaka
@sheluizonola6890
@sheluizonola6890 6 жыл бұрын
Watanzania kwann huyu rais magufuli asipewe nchi atawale miaka 60 ijayo? Maoni yng jaman
@chrismushendwa334
@chrismushendwa334 6 жыл бұрын
Shelui Zonola unamatatizo ya akili
@onesmomwacha4610
@onesmomwacha4610 6 жыл бұрын
Shelui Zonola fikiri kabla ya kuandika utumbo
@safiakhamiss1528
@safiakhamiss1528 6 жыл бұрын
😆😆😆😆😆wanzania wanaroho mbaya kama waarabu
@mwanaidiothumani2414
@mwanaidiothumani2414 6 жыл бұрын
Akili nyingine Mmh eti 60years mmh
@wilbertcharles9129
@wilbertcharles9129 6 жыл бұрын
Shelui Zonola ,katiba hairuhusu
@nasoroshedafa9856
@nasoroshedafa9856 6 жыл бұрын
Diamond mpya
@shaabanimasoud5686
@shaabanimasoud5686 6 жыл бұрын
na mabaa pia yafutwe
@shaabanimasoud5686
@shaabanimasoud5686 6 жыл бұрын
kamar inaangamiza nnchi mheshimiwa rais chukua htuwa
@zahramunir8596
@zahramunir8596 6 жыл бұрын
Kamari michezo ya shetani...
@memorykayuki7666
@memorykayuki7666 6 жыл бұрын
Nimefurahi sana kuongelea swala la kamari bora ifutwe
@sabaschiwangu371
@sabaschiwangu371 6 жыл бұрын
Kila kitu mnamsingizia shetani du binadamu bwana akosi sababu
@kingswebe3251
@kingswebe3251 6 жыл бұрын
Mnasaini wenyewe mikataba na makampuni ya kamali halafu mnawambia watu wasicheze kamali, huko nikuharibu biashara za watu.
@ramadhanikessy7581
@ramadhanikessy7581 5 жыл бұрын
NDIYOOOOoooooo !!!!
@kushahalabani7878
@kushahalabani7878 5 жыл бұрын
Shelli atawalale miaka sitini utakuwepo wewe
@mnawalahabdull3006
@mnawalahabdull3006 4 жыл бұрын
Nitafulahi Sana Kama kamali zitafungwa
@hamisiiddi3173
@hamisiiddi3173 6 жыл бұрын
Nimependa style ya boardgurd.hachekagi kwa baba yetu hata kicheko kiwepo
@ritakahurananga9866
@ritakahurananga9866 6 жыл бұрын
Sema Baba!! Tumbua na hizo sport Pesa, kamali za kila aina. Vijana wanapotea.
@stanleymsomba9441
@stanleymsomba9441 6 жыл бұрын
Magufuli namkubali sana
@DesdelboniphasJohn
@DesdelboniphasJohn 2 ай бұрын
Tunaenda wap ss kama madili yamepotea😢
@alfajirothumani3087
@alfajirothumani3087 6 жыл бұрын
Very very very good good good president
@rashidimayaula5383
@rashidimayaula5383 6 жыл бұрын
Mungu hafanani na kitu chochote
@hamoudabdallah1789
@hamoudabdallah1789 6 жыл бұрын
Kamali sio nzuri,jamaa wanawaibia wanachi kweli kweli,tena kwa michango makundi kwa makundi huku wakihamasishwa na kupewa shauku kubwa,watu wanapiga pesa na kisha kurejesha kidogo,hovyo sana,tafakarini kwa kina.
@ediphoncekabunga6057
@ediphoncekabunga6057 6 жыл бұрын
Ifungwe tu inarudisha nyuma maendeleo hasa kwa vijana ndio wamepata kazi wakikosa fedha za kuchezea kamali matokeo yake ni wizi kuongezeka
@noelimollel5503
@noelimollel5503 6 жыл бұрын
Bwana awe nawe rais wetu
@doctor_fazi
@doctor_fazi 6 жыл бұрын
Sipati picha betting ikifutwa bongo ! Maana ishakua ajira mpya ya wabongo em futa mzee tupate ona utam mpya
@luluamri370
@luluamri370 6 жыл бұрын
Hakuna mtu anaeendelea kwenye kamali ,kamali ni mwanzo mkubwa wa umasikini
@ibrahimchatila4945
@ibrahimchatila4945 6 жыл бұрын
Sipati picha wakikurupuka hapa nn kitatokea !!
@doctor_fazi
@doctor_fazi 6 жыл бұрын
@@ibrahimchatila4945 vitu vingine vinachukuliwa kwa udogo but kuna raia wanategemea hiz mambo wangeiacha tu
@richardgirgis4302
@richardgirgis4302 6 жыл бұрын
@@luluamri370 sema kamari sio kamari
@luluamri370
@luluamri370 6 жыл бұрын
@@richardgirgis4302 sasa umenirekebisha nini kamari sio kamari🤣 kiherehere
@peterjohn1969
@peterjohn1969 6 жыл бұрын
mzee mimi napata shida sana nawasomi vyuono na benk nk
@msambalamjukuu5758
@msambalamjukuu5758 6 жыл бұрын
Apo Anna kitu anazuga 2 kamal awez kuifuta yy anpenda pesa
@ibrahimmahimbo8799
@ibrahimmahimbo8799 5 жыл бұрын
nimejenga kwa ajili ya kubeti magufuli unatupotosha
@darioonesmo8119
@darioonesmo8119 6 жыл бұрын
Sawa mkuu
@johsimon5500
@johsimon5500 6 жыл бұрын
sipat picha kamari ikifungwa bongo
@abdulrahmansaliumalbry2615
@abdulrahmansaliumalbry2615 5 жыл бұрын
Kamari ni game mbaya sana mwisho wake itakuangusha tu.
@fetymwamba8685
@fetymwamba8685 6 жыл бұрын
Kweli magufuli asivaa nguo zaheshima asiingie popote
@richardgirgis4302
@richardgirgis4302 6 жыл бұрын
Sa umeongea nn mbn huelewek
@immamlowe7151
@immamlowe7151 6 жыл бұрын
Jpm umebarikiwa sana
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 6 жыл бұрын
Wewe mbona hueshimu sheria ya vyama vya siasa?
@saadsalum3253
@saadsalum3253 6 жыл бұрын
Mungu sio mtu mzee hafanani nachochote hapo umechemka
@abaskhatoon9425
@abaskhatoon9425 6 жыл бұрын
Keep it up.na bado seehemu za malls kujidai kupiga picha za nguo na show za kujionesha hku biashara za bangi na madawa ya kulevia ichunguzwe has a wasichana ndio wanatumika na kujidai kuna show za nguo.wtt wanaharikiwa wa kitanzania shulikieni hizi
@nellywizzy7034
@nellywizzy7034 6 жыл бұрын
Mabonanza ndo yanaarbu vijana na maisha yakitanzani kimtazamo yatakua duni cku zote sababu ya kamari mbya tena za wagen
@JustineFred-t7t
@JustineFred-t7t Ай бұрын
R I P baba
@Tariqxxtenations
@Tariqxxtenations 6 жыл бұрын
kweli baba
@assengajoseph8825
@assengajoseph8825 6 жыл бұрын
Truth
@shedrackboniphace7755
@shedrackboniphace7755 6 жыл бұрын
Sawa JPM naomba pia TRA w nirudishie kodi kwny mikeka yote niliokula
@esterkenedi4256
@esterkenedi4256 6 жыл бұрын
shedrack ndanzi p
@kevinjohn4507
@kevinjohn4507 6 жыл бұрын
Kwenye Kamari tunapata KODI, watu wamepata Ajira, kwhy tusiangalie tu Ubaya pia Uzuri upo.
@estheroscar6520
@estheroscar6520 10 ай бұрын
Mimi hd sasa nachukia sana kumuona mwanamke amevaa nguo fupi ndo maana wanapakwa wanavaa nguo za watoto cjui watoto watavaa nini pumbavu sana wanaovaa nguo fupi
@maryammsellem7427
@maryammsellem7427 4 жыл бұрын
Sasa huja abolish mpaka leo haman8 viongozi wa serikali acheni unafiki fungia makampuni ya kubeti
@westonmbuba6421
@westonmbuba6421 6 жыл бұрын
we JPM unakufuru, Mungu si mtu.
@deniwisdomsanga6561
@deniwisdomsanga6561 6 жыл бұрын
Mkuu ameteleza hapo ingawa hamaanishi Mungu ni mtu na ikumbukwe hiyo ni live neno likikutoka ndio limetoka.
@abubakaridarus732
@abubakaridarus732 6 жыл бұрын
Ama kweli huyu rais sijui kama tutapata rais kama huyu ahsante makufuli hongera mimi nakuungamkono
@minskbelarus7255
@minskbelarus7255 6 жыл бұрын
Kama ilivo kwa MUFTI mpaka kufa, kwa Mh. MAGUFULI pia mpaka kifo kimtenganishe na watanzania
@yanayojirimitaaniTV
@yanayojirimitaaniTV 6 жыл бұрын
MSEMA KWELI KIPENZI CHA MUNGU .angalia yanayojirimitaani TV vipi magufuli anavo chukia
@deogratiusnjau6056
@deogratiusnjau6056 6 жыл бұрын
sheria itungu yakudhibiti uvaaji wa nguo za hovyo, sio wakina dadatu, hata wanaume. Uhuru wa mavazi umeharibu utamaduni wetu kama Tanzania. raisi magufuli toa kibali anaekamatwa apelekwe mahakaman nakufungwa mwaka mmoja jela bila dhamana na adhabu ya kazi ngumu. nadhan tutajirekebisha. na nguo za utupu zisiruhusiwe kuingizwa tz.
@diltondilunga9915
@diltondilunga9915 6 жыл бұрын
Ni jambo jema sana kwa kukutana nao na kujua changamoto zao,
@davidkaguru9511
@davidkaguru9511 6 жыл бұрын
Mh hizo kamari umeruhusu mwenyewe Leo unajifanya unachukizwa nazo..hivi tunaenda wapi?
@mashakapeter9860
@mashakapeter9860 6 жыл бұрын
Rais hawezi kuruhusu lakini washauri wake ndio walimshauri kwa sasa kaona wizi unaofanyika kwa wananchi wake. Baba usiangalie mtu usoni tumbua bila ganzi huo no wizi tena wa waziwazi.Mkuu chapa kazi watz tunakuunga mkono.Angali idara ya kilimo ili ifanye kazi kwa ufanisi.
@makosafitina2573
@makosafitina2573 6 жыл бұрын
ofisin hamna kazi kaz zipomitaan agiza hao wakuu Wa mikoa wachunguze zaid kwer kamar ndozimekua kama viwanda vijana hawafanyi kazi nasio vijana 2 mheshmiwa
@rahmakishiwa8815
@rahmakishiwa8815 6 жыл бұрын
Dah rais mafufur kumbe hujasoma dini 😀😀 yesu alingia sinagogo aliwakuta watu wakifanya biashara na akapindua pindua meza zote akasema hiyo ni nyumba ya babayake SASA NDO MTAJAZA KUA SINAGOGI NIKANISA AU NINI😀😀😀😀 wenye Elim wanajuwa sinagogi nini. mim sisemi saiv povu ruksa 😀😀
"Hela ni Zangu, Nipe Nikafe Potelea Mbali" JPM- Ikulu
8:19
Global TV Online
Рет қаралды 201 М.
MADHARA YA KAMARI & KUBETI
6:25
Asadiqmedia
Рет қаралды 7 М.
1% vs 100% #beatbox #tiktok
01:10
BeatboxJCOP
Рет қаралды 67 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Maamuzi magumu aliyowahi kuyafanya Rais Magufuli katika uongozi wake
12:53
Mwananchi Digital
Рет қаралды 737 М.
OBAMA IN TANZANIA 2013
13:00
MUHIDIN MICHUZI
Рет қаралды 622 М.
Rais Magufuli afanya ziara ya kushtukiza Terminal One JNIA Mei 13,2016
17:24
Ziara ya Rais Magufuli kwenye Bandari ya Dar es salaam
5:57
Millard Ayo
Рет қаралды 981 М.
WAFAHAMU WAJUKUU WA  MWALIMU NYERERE
3:56
Mwanzo TV Plus
Рет қаралды 334 М.