RC ACHAFUKWA, ATIMUA MAFUNDI WAKIWA SITE, AGUNDUA UDANGANYIFU BAADA YA KUSIKIA ANAKUJA

  Рет қаралды 17,451

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 85
@AminaMkumba-u3z
@AminaMkumba-u3z Ай бұрын
Yaan huyu Rc nampendaga sana,anaweza sana uongozi na kazi Kwa ujumla❤❤❤❤🙏🙏👆👆🪴🪴🪴
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl Ай бұрын
Maashaallah. Dada Mungu akulinde. Unambambamba
@nathanielshauri5135
@nathanielshauri5135 Ай бұрын
Tunaitaji viongozi na watendaji bora (VRT) MAGUFULI..💪💪
@graciousmgeni7249
@graciousmgeni7249 Ай бұрын
unaisimamia serikali vizuri sana. ila angalia mambo madogomadogo yasikuangushe kama la kuwashughulikia mafundi hao ambao hawatakiwi kuwa sehemu ya ugomvi huuu. HILO TU
@chakumabdallah9939
@chakumabdallah9939 Ай бұрын
Ndo maana kawambia kavaeni nguo zenu muondoke maana hayawahusu 😅
@rosamanjau6685
@rosamanjau6685 Ай бұрын
Tunapenda viongozi WA mfano wako,kufuatilia majukumu , hongera mama ,usichoke !! Kazi mbele kwa mbele
@Ushauri235
@Ushauri235 Ай бұрын
Mkuu wa mkoa uko vizuri huwa nakupenda sana mimi
@claratemba44
@claratemba44 Ай бұрын
Dada queren nakupenda sana kutoka ujerumani
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Mkandarasi kwann asichukuliwe hatua????? Mbna watzd hao wachache wasichukuliwe hatua??? Mnawadekeza sana
@ben_digital
@ben_digital Ай бұрын
Sasa kabla hujawashughulikia kwani mafundi wao wana kosa gani..mwenye makosa ni engineer aliewapigia simu waje Site
@brigiterrowland458
@brigiterrowland458 Ай бұрын
Viongoz wajitafakari sana Mara nyingi wanaoumia ni watu wa chini kama hapa wanaoumia ni mafundi swala lifatiliwe kwa undani zaidi unaweza kuta mafundi hata hawalipwi pesa zao na stahiki zao wanaishi katika mazingira magumu wanafaidi wanene tu wasimamiaji na wakuu wa miradi hio hao ndio wanaotakiwa kichukuliwa hatua tuwe wakweli tu hapa mafundi hawana makosa
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Fukuza hao wezi acha kuhubiria mama
@mayalayella9194
@mayalayella9194 Ай бұрын
Hahahahahaha mnaijua vizuri mereran wacha wapige hela
@ainessfoya4463
@ainessfoya4463 Ай бұрын
Mungu akubariki mama
@MudathirAli-i5g
@MudathirAli-i5g Ай бұрын
Safi sana mama kazi kazi i
@mohamedmarijani
@mohamedmarijani Ай бұрын
Hao ndio wa tz hawafanyikazi mpaka wasimamiwe.
@joojombi2341
@joojombi2341 Ай бұрын
Hao wafanyakazi wote watolewe tu hapo wahamishwe watolewe Mkoa huo. Wanarejesha nyuma jitihada ya serekali
@nicodemshello163
@nicodemshello163 Ай бұрын
SAWA mama hao ndio wanaokula fedha za serikali kijanjajanja
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Ай бұрын
Safi sana sendiga jembe letu yaani tanzania tukiwa na wakuu wa mikoa kama huyu hakika nchi itanyooka. Kwanza huyo mama anayejibizana na mkuu wa mkoa angekuwepo magufuli hapo japo angekuwa hana kazi. Mh sendiga umemlea huyo yaani mara moja ungempa mkono wa kwaheri kabisa anaonekana ana kiburi huyu
@WilliamIbrahim-dt5nb
@WilliamIbrahim-dt5nb Ай бұрын
Hongera mkuu kwakuwachangamsha vichwa vyao
@hellenmgonja6137
@hellenmgonja6137 Ай бұрын
Hongera madam kwa kazi nzuri
@samsonkusupa6809
@samsonkusupa6809 Ай бұрын
Tafuta source hao mafundi hawana makosa yeyote tafuta engineer na afisa manunuzi na mkurugenzi
@shabanponera2895
@shabanponera2895 Ай бұрын
Kwahiyo kuna watu wanaamini kuna kitu kitafanyika? Hapo kaongea mbele ya camera tu akitoka hapo na kesi imeisha.
@furgencejustinian7283
@furgencejustinian7283 Ай бұрын
Dhuuuh mkuu fundi wamenyesha ushirikiano kukupa taarifa afu unawafukuza namna hiyo.Afu unawashughurikia wana kosa gan???Pia kitendo chakusema wamevaa nguo chafu nikuwaondolea utu nakuwafedhehesh.hao wana familia bhana
@PrinceHendry-hp8vv
@PrinceHendry-hp8vv Ай бұрын
Mafundi wanakosa gan na wameitwa sasa uwashuhulikie kwann
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Fukuza wote hao
@godwingobe1887
@godwingobe1887 Ай бұрын
Tunataka viongozi kama Hawa , usikatishwe tamaa na wapigaji hao we chapa kazi
@godfreysimoni4270
@godfreysimoni4270 Ай бұрын
Piga kazi mama na mungu akubariki kwa kusimamia iran ya chama
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Unachekesha tata
@rahimgwotta68
@rahimgwotta68 Ай бұрын
Iran au Iraq !?! Kiswahili ni kigumu sana kwako !!!
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
@@rahimgwotta68 huyo atakua ni mkurya
@johannesishengoma1232
@johannesishengoma1232 Ай бұрын
Maneno mengi, gubu, mbwembwe nyingi na mihemko si uongozi bora. Leo umewafukuza mafundi (vibarua) na kuwatishia kuwaweka ndani, kwa kosa gani? Kwani hiyo wilaya haina mkurugenzi au mhandisi? Maswali yako hayapaswi kuelekezwa kwa vibarua.
@zainabumartin9520
@zainabumartin9520 Ай бұрын
Hawa ndotunawataka wachapa kazi
@andreashayo6266
@andreashayo6266 Ай бұрын
Umetisha sana mkuu nimependa hapo mwishoni kesi ndo kwanza mbichi
@RichardMatey-v8c
@RichardMatey-v8c Ай бұрын
Hapo uchukiwi unaupigamwingi uko ndio kupiga mwingi sina chama kwanzia chama changu maendeleo
@claratemba44
@claratemba44 Ай бұрын
Watoto wetuuuu wote
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Ай бұрын
Safi sana
@furgencejustinian7283
@furgencejustinian7283 Ай бұрын
Mi na hisi hasira zako zingeenda direct Kwa Eng na so Kwa vibarua bhana ss vibarua wanajua nn mwenye huo mradi Zaid ya kusogeza tofari??? Mbona hela ulikuwa unamuita Eng mnapeana cheque huko saahiz unawafukuza vibarua This is not right bhana
@JosephKangungu
@JosephKangungu Ай бұрын
Dada wewe ni makonda na 2 hongera sana .
@brigiterrowland458
@brigiterrowland458 Ай бұрын
Mafundi hawana makosa shugulikeni na wasimamiziiii Msifanye maamuzi kuonekana bali mnawaonea wananchi wenzenu mmewasikiliza wanachangamoto zipi??????? Deal na wasimamizi pengine hata hela zao hawajalipwa au wanapewa pungufu na kazi wanafanya ni ngumu
@EliaHiluka
@EliaHiluka Ай бұрын
Wanakudharau kwakuwa wewe ni mwanamke
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Mafundi hawana makosa tena wakati mwingine hata hawalipwi pesa zao woneeni huruma nawao wanaweza kusema ukweli kuhusu huyo eng mafundi wanazulumiwa sana ila hawana wakuwatetea ,shida ipo kwa mnao wapa usimamizi wa miradi ya serkal ,wameshindwa kusimamia familia zao wataweza kusimamia familia ya mwingine? Ebu tutafakari hii na mafundi naombeni like zenu zote
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Ай бұрын
Ni kweli kabisa abanwe injinia na kama kuadabishwa abebe yeye.
@T_Darius
@T_Darius Ай бұрын
Amewafukuza hao kwasababu waliitwa kwenda kumzuga siobkwamba walikuwa wanafanya kazi
@hatibbaraka3956
@hatibbaraka3956 Ай бұрын
@@T_Darius Kama ni hivyo sawa sawa,lazima awatoe
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Sawa wao mafundi kosa lao lipi kama wameitwa wafike kazini, kwasababu mwenye dhamira yakumzuga rc ni eng
@loner_wolf
@loner_wolf Ай бұрын
Sasa hao ni watanzania, umewasikiliza wanachangamoto gani ? Kwann usipate chanzo hata ufukuze vibarua au mafundi wkati wao wanasimamiwa na Eng.
@ShufainaAhmad
@ShufainaAhmad Ай бұрын
Sasa fundi anamakosa gan asukumwe😂😂
@amedeusmmanga8043
@amedeusmmanga8043 Ай бұрын
Makini sana huyu Mama
@festohaule9716
@festohaule9716 Ай бұрын
Hivi kwanini Hatuwezi kujenga Nchi yetu pasipo dosari..kwanini kwanini!!!!!
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Mama sendiga niit3 nije nifanye hiyo kaz chap au wameshakula hizo pesa?
@MnubiMm
@MnubiMm Ай бұрын
Kumbe hata wanawake wakipewa kazi wanaharibu awa wasomi wa nchi hii wakiwa hawana kazi lawama wakipewa ndio ujinga huu
@MathayoMagavilo
@MathayoMagavilo Ай бұрын
Fukuza takataka hao
@hawaelymaricca7602
@hawaelymaricca7602 Ай бұрын
Fukuda hao ndo wanachelewesha miradi ili watu wajuu waonekane hamjui kaz makusudi tuu .fukuza wote hap au hamisha leta wengine .sasa pesa wanakaa nazo wanataka nini?
@christopherkimario5059
@christopherkimario5059 Ай бұрын
Hongera yako mama sendiga
@zainabwage4658
@zainabwage4658 Ай бұрын
Kimewalamba 😂😂😂😂 hongera muheshimiwa
@ericamkwena7736
@ericamkwena7736 Ай бұрын
Mafundi unawaonea
@israelkisaila8401
@israelkisaila8401 Ай бұрын
Hata Mimi naona,hao ni vibarua tu hawaelewi chochote,siku zote hufanya wanachoelekezwa,aende adili na wakubwa mwenzake na si hao mafundi maskini kama mimi😢
@MabindoMaguzu
@MabindoMaguzu Ай бұрын
Umefanya sahihi kosalako umekurupuka kufukuza mafundi navibarua wakati hakizao hawajalipwa badala kukuza wasimamizi na wakandarasi
@MabindoMaguzu
@MabindoMaguzu Ай бұрын
Fukuza wakandarasi nawasimamizi
@fedmiradaf3141
@fedmiradaf3141 Ай бұрын
Sasa wakae hapo wafanye nn
@smarteventtv232
@smarteventtv232 Ай бұрын
usitishie watu boss
@mathewnemes5469
@mathewnemes5469 Ай бұрын
Nenda ukawe mkuu wa mkoa acha kuingilia kitu usichokijua.
@MaulidHimili-vq5df
@MaulidHimili-vq5df Ай бұрын
Tia makof hào
@maryaugustino8716
@maryaugustino8716 Ай бұрын
Mama samia rais wetu msikivu tunajua umeiona hii clip mwangalie huyu dad's aliyevaa nguo ya dark blue anakiburi sana toa huyo yeye ndio anafanya mchezo kwenye pesa za miradi ondoa kabisa anakiburi huyu
@mweyoms5548
@mweyoms5548 Ай бұрын
Hii nchi inavyonuka uzembe,wizi,rushwa na urasimu,inahitaji kujitoa mhanga na kuwa mkali.Magufulification ndio pekee ya kunyoosha mambo Tz. Shika mkandarasi wa huo mradi atataja wahuni wenziwe
@StevenLyimo-u4y
@StevenLyimo-u4y Ай бұрын
Naomba uniajiri Mimi niwe mkuu wa wilaya waone Cha mtema kuni
@storytownTv
@storytownTv Ай бұрын
Serikali ya chra kiziwi..😂 naona shetani la Uncle magu limeanza kuitekenya Tz upya..saaafi😂
@KenedyMboma-zb4cq
@KenedyMboma-zb4cq Ай бұрын
Mipekazi mkuu
@robertphilip385
@robertphilip385 Ай бұрын
Serekali ya kitapeli tu
@jamesmasome359
@jamesmasome359 Ай бұрын
Mnawachekea hayo ndiyo matokeo yake...
@stevenlugojeremia2323
@stevenlugojeremia2323 Ай бұрын
Siku zote alikuwa wapi huyu Kiongozi?
@StevenLyimo-u4y
@StevenLyimo-u4y Ай бұрын
Rc wengine wafanye hivyo wanalala sana
@EmanueliWildausoni
@EmanueliWildausoni Ай бұрын
We mkuu wa mkoa na ww ni kama chiz maana hao mafundi unawashuhulikia wana kosa gani hv nyie wanawake mkipewa madarak mna shda gani? Mwngne anasema mmeota mikia mh
@mathewnemes5469
@mathewnemes5469 Ай бұрын
Kwaiyo ulitaka waendelee kumdanganya ndio furaha yako.
@deonicemollel4205
@deonicemollel4205 Ай бұрын
😂😂😅 mbn Kila mwanaume ana mkia sema Iko mbele 😅😅
@kainimlowe9646
@kainimlowe9646 Ай бұрын
Mbona mafundi wanatembea kama mashoga
@ibrahimhodabaksh3939
@ibrahimhodabaksh3939 Ай бұрын
SASA NI UPIGAJI TU
@NtamamiloGibson
@NtamamiloGibson Ай бұрын
Mnaingea sana sijasikia mtu kaliwa kichwa. Kazi iendelee😂😂😂😂
@claratemba44
@claratemba44 Ай бұрын
Nahenden maswali yako
@jacksongidione-yo8vg
@jacksongidione-yo8vg Ай бұрын
😢
@johnmadec3199
@johnmadec3199 Ай бұрын
Mkandarasi kalipwa?
@renatusblandes1131
@renatusblandes1131 Ай бұрын
Engineer 😂😂😂😂
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 14 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
This dad wins Halloween! 🎃💀
01:00
Justin Flom
Рет қаралды 68 МЛН
СОБАКА ВЕРНУЛА ТАБАЛАПКИ😱#shorts
00:25
INNA SERG
Рет қаралды 3,4 МЛН
BONIFACE JACOB ATOBOA SIRI JINSI SERIKALI INAVYOTEKA NA KUUWA
3:03:03
Chadema Media TV
Рет қаралды 17 М.
Amazing remote control#devil  #lilith #funny #shorts
00:30
Devil Lilith
Рет қаралды 14 МЛН