JIUNGE NA GROUP LETU LA WHATSAPP UWE MWANAFAMILIA WA GLOBAL TV chat.whatsapp.com/Kh8n9Xk0OWJ0bE75nzavlm
@AngelaHaule-y7dАй бұрын
Sabina Mungu atakulipia mtazame Mungu hao waache Dunia itawadundisha hawana safari ndefu
@FatumaKilongoziАй бұрын
Huyu Dada ni Kabila Gani jaman duuh! Pole sana pia Hongea sana kwa Imani nakumtegemea Mungu
@AnndishoniАй бұрын
Asijali mungu awezi muacha na mimi namini tasima tena wala asikate tamaa dada hakika mungu yupo hawezi kuacha
@doreenshangaraiАй бұрын
Kabisaaa....Mungu wetu ni Mungu WA HAKI!!!
@patriciacarlo7236Ай бұрын
Mungu yupo,can you forgive and move on with God,it will end up in praise IJN
@julianapeason6254Ай бұрын
mali za dunia hazina maana, usihofu wanaume ndivyo walivyo.Nimekutana na wanaume 2 wa tabia hizo ila nikashtuka mapema sikupoteza hata m30. Pole sana kweli ukiwa mshamba wa hela wewe unatoa tu huwazi .Pole mshamba mwenzangu wa Sanya
@VisentJohn-r3rАй бұрын
Nawanawake ndio chanzo
@AnatolyMassaweАй бұрын
Mm nimempenda ukweli
@ireneshao7950Ай бұрын
Mungu akusaidie ukae sawa naamin utapata zaidi ya ulivyopoteza Mungu ni muaminifu na wa haki
@yukundapeter8200Ай бұрын
Ni kweli hixo co akili xa julius,hilo dada ni lichawi ndo lilimloga Julia's,wewe malaya wachia nyumba ya watu, hiyo mipaka yako uloleta huko nje itakufa mchana kweupe.
@marykennedymarwa1641Ай бұрын
Duu pole sana ,
@gracemashauri7Ай бұрын
Usiogope sabina tunakupenda Jamii hao walipenda nyota yako ungewatajirisha.njoo tupambane
@GisellaLukasАй бұрын
Uyo mwanamke mwingine kuna kitu kafanya siyo bule Mungu akusaidie duh mh mwenyewe atakama si makubwa sana ila tukanunua kiwanja tulipo maliza kulipatu deni la mkopo akabadirika nikaachana nae
@edwardlukumay9314Ай бұрын
Au naserikal imelogwa vitu vina majina ya mtu had tra anaenda mahakaman kufanyaje
@hanifamziray277Ай бұрын
Ila wanaume hapana pole sn dada utapata vingne
@josephlorri431Ай бұрын
Huyu ameathirika sana na mengi..
@nuruleonard959Ай бұрын
May God heal this lady 🙏
@patriciacarlo7236Ай бұрын
Wanaume wa kibosho ni washenzi,labda awe na Mungu ndani yake
@AnatolyMassaweАй бұрын
Hapend ubishoo ila ni mzuri sanaaaaa
@MZIWANDAMSELLEАй бұрын
Asaidiwe gari watoto na mali zake.
@zebedayokatamaduni9676Ай бұрын
Upendo una nguvu kuumia lazima
@LeilaIddАй бұрын
Ivii unadhan had kesi ziishe lory zitakuwa na Hali gan.anasema aende mahakaman ili anufaike
@edinachami4318Ай бұрын
Ila wanaume 😭😭😭
@hildagabriel1003Ай бұрын
Dah maumivu haya😢
@LeilaIddАй бұрын
Unaachaje ushapotezewa muda kila mtu agaiwe mkaanze upya na mapenz mapya.miaka saba yy hana hisia
@julianapeason6254Ай бұрын
halafu kama hizi mali hukupata kwa halali lazima zitakutesa ila usikubali zikutoe roho hata kama ulimwaga damu kuzipata. Kama umeokoka okoka kweli Mungu atakusamehe hakuna dhambi isiyosamehewa, Hakuna cha dhamani zaidi ya afya na wewe mwenyewe gari ni mabati tu
@AdamLeyanАй бұрын
Ni dhambi kuacha mali Yako ipotee huwez pata ingine
@AdamLeyanАй бұрын
Achukue awape wahitaji awe na aman
@FreeGod368Ай бұрын
Warombo ni watu hatari sana
@emmanuellaniyakire6624Ай бұрын
😢😢😢
@LeilaIddАй бұрын
Hapo bwana kalogwa usipoteze hak za watoto wako pambana
@celinamosha9420Ай бұрын
Wakwe wakwe duh haya
@edwardlukumay9314Ай бұрын
Mm nawajua hawa wamelogwa na hawara huyu dada kateseka sana marazi na manyanyaso
@AdamLeyanАй бұрын
Anataka uende mahakaman aendelee kunufaika,akupe stahiki zako nitakuoa hadharan Mal utawapa watoto
@sifawilfred3 күн бұрын
Muongooo
@libeberuАй бұрын
Kweli juliasi alipata mke mjinga
@edwinalexander1170Ай бұрын
Kivip mkuu huyu kweli alikuwa mjinga ukifikiri?
@libeberuАй бұрын
@@edwinalexander1170 kabisa, ongea ya mtu tu unajua anaishia wapi kufikiri japo kwa sasa ana depression na anakoeleza public ndo kwanza anaharibu zaidi
@VivimediatzАй бұрын
@@libeberukweli we senge
@libeberuАй бұрын
@@Vivimediatz Hahahaha, mama anataka semi kwa nakala ya talaka, kweli ndoa ni mitaji ya wengine
@irenemlay9769Ай бұрын
Like u
@AdamLeyanАй бұрын
Apewe agaie wahitaj.apate aman leo hana nguvu ya kutfuta tena.
@edsonnelson4464Ай бұрын
Kubali kuolewa uke wenza
@jamesloshilunye414Ай бұрын
Usiwaamini wanawake wa kichaga,ni watu ambao ukiishi nao lazima utumie akili ya ziada maana wapo kwa ajili ya ela kwa kiasi kikubwa. Nimeishi nao hawa watu , nawajua tabia zao, kama unataka amani ya roho kuwa makini sana kwenye kuoa, usidhubutu kuoa mwanamke wa kichaga kama hujamjua vizuri
@irenemlay9769Ай бұрын
Pyeeeeeee😊
@LenJohn-th3xeАй бұрын
Umekosa chaku comment
@EvalineOnsmeoАй бұрын
Kwakweli bora anyamaze
@LeilaIddАй бұрын
Sasa arud kwao mikono mitupu itakuwa akili.humtak mpe vyenye majina yake