RC CHALAMILA AWAPIGA DONGO WAKUU WA MIKOA WENZAKE MBELE YA RAIS SAMIA "ACHENI UBABE, NILISHAACHA"

  Рет қаралды 18,627

Uhondo TV

Uhondo TV

Ай бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 43
@Joseph-qp6qt
@Joseph-qp6qt Ай бұрын
Huwezi kulificha jina la magufuli kama ambavyo huwezi kumficha makonda kipenzi chetu watanzani wenye utimamu na wapenda haki na usawa,makonda wataenderea kukuonea wivu ila tambua idadi kubwa ya watanzania wanakupenda kuliko mtu yoyote nchi hii ya Tanzania
@OthumanOchu-dx6eu
@OthumanOchu-dx6eu Ай бұрын
Makonda ndio ndio kiongozi wa afrika kwa Sasa anae kubarika
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 Ай бұрын
Kuna mwamba wa Ouagadougou Burkina Faso Rais Ibrahim Traole. Juzi raia/wapiga kura wote wamempitisha bila uchaguzi.
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Huo upole utawaponza sana ...nchi zote Tajiri ni wakali sana kupitia viongozi au sheria zao ziko seriously...
@user-nr2ud1dm3y
@user-nr2ud1dm3y Ай бұрын
Ubabe uliyo na misingi ya kusimamia haki kwangu ni sawa. Ubabe utumike kwa kuzingatia haki.
@NeemaOmar-ou1sq
@NeemaOmar-ou1sq Ай бұрын
Wamuache Makonda afanye kazì. Amesaidia wengi kupata haki zao . Huo sio ubabe ni wajibu wake kama kiongozi kujua kero za wananchi katika mkoa wake sio kukaa ofisini tu unaletewa taarifa .
@obadiajuma436
@obadiajuma436 Ай бұрын
Wakuu wamikoa wengine wanajaribu kumuiga makonda lakini haliko ndaniyao
@user-ze6lx9ng6s
@user-ze6lx9ng6s Ай бұрын
Ni uchawa tu,iko siku nchi hii huu ujinga mnaotufanyia watanganyika,,mtakimbia hii nchi ninyi mafisadi,
@yordanyona1234
@yordanyona1234 Ай бұрын
Kwetu UZALENDO ni mdogo sana hivyo ni muhimu kufikiria
@user-qi7px6nb8r
@user-qi7px6nb8r Ай бұрын
Hii nchi tulipofikia viongozi hamutakiwi muwe Wapole..Muharibu nchi,nchi inatakiwa kuwe na viongozi kama akina makonda.Sio kuwa Wapole sana,wapinzani watawapa Kiki sana.
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 Ай бұрын
Wewe unayesema umeacha, mfuatilieni kijana mwenzenu mwamba wa Ouagadougou Burkina Faso Ibrahim Traole.
@Joseph-qp6qt
@Joseph-qp6qt Ай бұрын
Kwataarifa tu nikwamba hata wazazi wa watanzania wote wakiambiwa kuchagua Kati ya watoto wao na makonda hakuna asiye jua ka makonda ndio Chaguo la kila mpenda haki na mwenye akili timamu
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv Ай бұрын
Maneno yote hayo mnamtafuta Makonda, ili kumfifisha kwenye utendaji wake kazi ulio bora na kumfanya awe kimya natunaona kweli yuko kimya , ivi nchi hii niyenu pekeyenu kwani kama kusingekuwa na wananchi nyie mngekuwa viongozi wa nani, mbona mnaanza kuwa harati nakuwaziba midomo viongozi wanaosema ukweli, naongea kwa uchungu sana hii hali sio poa kabisa ,
@sylvanuskavindi2756
@sylvanuskavindi2756 Ай бұрын
Kuna baadhi ya maeneo usipokuwa rough mambo hayaendi. Anachofanya Makonda ni sahihi tu, kuna watu ktk halmashauri zetu wanapora sana haki za watu.
@IsackJoseph-jt3hk
@IsackJoseph-jt3hk 29 күн бұрын
Kijitabu kasome mwenyewe na chawa wenzako
@epifaniamilinga2848
@epifaniamilinga2848 Ай бұрын
Mmeanza.kumwekea zuio.Makonda.siasa shida.Makonda Fanya Mungu anavyokuongoza.wakikutoa ondoka.Mungu yupo.
@kichenjewillian5720
@kichenjewillian5720 Ай бұрын
Tofauti yao ni kwamba makonda ana stara na hekima...ila mjomba uyu matusi hasira na kujipa madaraka ya kiungu.
@AbdulmujibAhmed
@AbdulmujibAhmed Ай бұрын
Wemwenywe wa kwanza mbabe
@BeniJohn-xd3cn
@BeniJohn-xd3cn Ай бұрын
Wacha uoga ubabe uendelee
@RevocatusRuttechura
@RevocatusRuttechura Ай бұрын
Uchawa tu hakuna jipya hapo
@msafiriomary893
@msafiriomary893 15 күн бұрын
Huyu kasha ungana na wapiga diri
@RichardKilepo-xj1sy
@RichardKilepo-xj1sy Ай бұрын
Hakuna jipya
@OthumanOchu-dx6eu
@OthumanOchu-dx6eu Ай бұрын
Hatuwezi kuachana na makonda mbaka mwisho wa dinia
@JohnMakongo-tg3ms
@JohnMakongo-tg3ms Ай бұрын
Chalamila mnafiki huyo
@mufaddalmoawalla8522
@mufaddalmoawalla8522 Ай бұрын
Acha kudanganya mhe raisi,hakuna usalama haoa kariakoo
@saidmabanga388
@saidmabanga388 Ай бұрын
Uyuu nae unafkii umemjaaaaa
@mudhihirugara8845
@mudhihirugara8845 Ай бұрын
Ndomaana inchiyetu hatuenderei kiongozi akisimamia haki anaonekana mbabe asiyesimamiahaki anaonekana yukosawa huoniupuuzinauji ga
@ChristerKoku
@ChristerKoku Ай бұрын
Hayo mavazi yanadaidia nini?
@aliakrabi8321
@aliakrabi8321 Ай бұрын
haha, badala ya kusema humour, anasema hummer.. Dar muna RC
@user-xc5tv9dl5k
@user-xc5tv9dl5k Ай бұрын
Hao ote wakuu wa wilaya ya ubungo na kinondoni hawafai kuwa kiongozi
@NeemaOmar-ou1sq
@NeemaOmar-ou1sq Ай бұрын
0:21
@FrankTemba-c6g
@FrankTemba-c6g Ай бұрын
Chalamila ameshindwa mkoa acha makonda apige kazi
@user-gc1ez1yv4k
@user-gc1ez1yv4k Ай бұрын
Mnaomfagilia makonda usiku na mchana ,mtajamkataa mchana kweupe,mna roho za mkomoeni kama ya makonda.mnafurahi mtu akiwa kwenye shida,eti tukose wote.
@molenicharles9107
@molenicharles9107 Ай бұрын
MNAFIKI MKUBWA WEWE...NA VIJEMBE VYAKO...NA BAAADO...HADI MTEME BUNGO KWA MAKONDA
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Mhmhmhmh
@OthumanOchu-dx6eu
@OthumanOchu-dx6eu Ай бұрын
Makonda anaweza kuitibu Africa sio mtu mwingine
@dominickrukokelwa1284
@dominickrukokelwa1284 Ай бұрын
Kuna Rais Ibrahim Traole mwamba wa Ouagadougou Burkina Faso. Anatumia Land Rover 110. Anajenga viwanda kila kona ya nchi.
@abelnikolas
@abelnikolas Ай бұрын
Acha kuvunja moyo watendajj wetu waadirifu. Cyo kama wewe. Unayesema huwezi kuzuia wauza mkaa. Wwwe elimu yako n ndogo. Hv hujui Wanawake wanajiuza kwa sababu soko nilauhakika??.
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Mpango wa Mungu hauzimwi kinafiki ,mtaumbuka 2025
@jimonmwakalebela9470
@jimonmwakalebela9470 Ай бұрын
Huna jipya wewe
@emmanuelbernard9552
@emmanuelbernard9552 Ай бұрын
Wivu tu,hakuna kungne zaidi ya wivu kwa Makonda maana anawafunuka wote.
Kauli za Chalamila zilizowaacha watu hoi
4:32
EastAfricaTV
Рет қаралды 18 М.
Опасность фирменной зарядки Apple
00:57
SuperCrastan
Рет қаралды 9 МЛН
HAPPY BIRTHDAY @mozabrick 🎉 #cat #funny
00:36
SOFIADELMONSTRO
Рет қаралды 18 МЛН
Preparing for war against China, Russia and North Korea | 60 Minutes Australia
26:06
60 Minutes Australia
Рет қаралды 2,4 МЛН
RC CHALAMILA APIGWA SWALI TATA NA MDADA, SAKATA LA MADANGURO
8:57