RC DODOMA AFUNGUKA SAKATA LA ASKARI KUMVAMIA MKUU WA SHULE CHAMWINO KUMPIGA AKIDAI AMEMUIBIA MKEWE

  Рет қаралды 23,407

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 40
@EliasKasomi-db4io
@EliasKasomi-db4io Ай бұрын
Mwalimu Mimi ningempga vilevile kama police we Sheria itanisaidia nn
@yilodhasunga3967
@yilodhasunga3967 Ай бұрын
Kama mkeo malaya utagombana na watu wangapi😂😂😂😂😂
@EdiltrudesMbonde
@EdiltrudesMbonde Ай бұрын
Jiulize kwa nini mkeo ana ku-cheat. Wewe mwenyewe ni cheater unamshangaa mwenzio??
@ChristinaOberto
@ChristinaOberto Ай бұрын
Pongezi kwakamanda kazi nzuri
@ZainabuMsangi-gx1fe
@ZainabuMsangi-gx1fe Ай бұрын
Hayo mambo ya police kujichukulia sherea mkononi ifike mahali yakomeshwe maana ni upumbavu apambane na mke wake huko
@DicksonLugora
@DicksonLugora Ай бұрын
Ukijua kupenda jua na kuacha
@FrancisSarwad
@FrancisSarwad Ай бұрын
Huyo askari afukuzwe mean anachukua mamlak vibaya
@aminimushi6945
@aminimushi6945 Ай бұрын
Atafukuzwa na nani,mbona hayo ni madogo!!!!wapo wanao Fanya mazito kuliko hayo,hawachukuliwi hatua yoyote,na ndiyo sababu tunasema wenzetu hawa hawajui taratibu na sheria,mwl ana wakubwa zake wa kazi(afisa elimu)alitakiwa aende kwake,mwl anatakiwa kumpeleka mahakamani amshikishe adabu,na kama kuna vifaa vya shule vimeharibika ni shtaka lingine,Watanzania sijui tunapelekwa wapi,kila kukicha hatuna Amani.
@MichaelCosmasi
@MichaelCosmasi Ай бұрын
Huyo mwalimu ilibidi avunjwe mkono, mke wamtu ni sumu
@CulbertFaustin
@CulbertFaustin Ай бұрын
Piga kabisaa wasenge kama hawa.... mke ana uma
@RamadhaniKiduba
@RamadhaniKiduba Ай бұрын
Kweli mke anauma angetafuta namna nyingine lakini sio maeneo ya kazi huyo askari afukunzwe kazi amejichulia sheria na wakati anajua ni kosa la jinai iwe funzo kwa wengine mwenye tabia kama hizo
@Mjeda-q1m
@Mjeda-q1m Ай бұрын
Msisikie kwa mtu kugongewa kunauma sana
@neemansasu9761
@neemansasu9761 Ай бұрын
Kabla hujaoa fuatilia tabia ya unayetaka kuoa
@ChristinaOberto
@ChristinaOberto Ай бұрын
Amekipiga kidogo nani asiye juwa maumivu ya mapenzi.
@Snipperthebabslow
@Snipperthebabslow Ай бұрын
Et mahusiano yakimahaba ❤😅😅😅
@yohanakateko
@yohanakateko Ай бұрын
Kama mkeo malaya unagombana na watu
@ZawadiMbwana
@ZawadiMbwana Ай бұрын
MKE MTAM SIO MUME TU AHAHA
@FrenkMushi-i7f
@FrenkMushi-i7f Ай бұрын
Mi naona ni Kama kujichukulia atuwa na madaraka na ubabe usiyo kuwa na maana yoyote ili kisa tu wee ni afisaa wa polic sheria ifate mkondo sasa acheni maneno mengii
@Tg.7_7
@Tg.7_7 Ай бұрын
Madam asilaumiwe, jamaa kwa sura wanafanana sana, kwa mfanano huu madam akiwa shule anahisi yuko nyumbani!!
@Snipperthebabslow
@Snipperthebabslow Ай бұрын
😂😂😂😂 acha basii
@FrankSamson-r6s
@FrankSamson-r6s Ай бұрын
Mbona mnatumia picha za watu bila ridhaa zao na hawahusiki na tukio?
@sabasmichael7553
@sabasmichael7553 Ай бұрын
Tena mwalimu Kwa wakimu je Kwa wanafunz ambao hawawez kusema akiambiwa anaweza kupewa majibu y mitiani? Hvyo mkuu w shule kasea sana
@piusmusigula3512
@piusmusigula3512 Ай бұрын
Kama kweli, kafukuze huyo mke, Huyo mwalimu pia achukuliwe hatua za kinidhamu kula uroda kwa walimu wenzake
@wazirimakua8769
@wazirimakua8769 Ай бұрын
Hapo lililo bayana na lipi, kipigo, kuchuliwa mke uthibitisho ni wa hisia.
@faidamuhamed3011
@faidamuhamed3011 Ай бұрын
Supper kaz nzuri aiseee mimi ninaomba contact zenubnina jmbo langu
@JosefuSwai
@JosefuSwai Ай бұрын
Mkuu Sheria zinachelewa MTU kasha mkojolea mkeo alafu usubiri Sheria unaona unachelewa na ukikumbuka mkeo anavyo kupaga ukiwa ndani unazudi kuchanganyikiwa kabisa Tena mwizi anamkunja saba na mapigo ya hatari tamu hiyo
@memesnamatukiomuhimu8453
@memesnamatukiomuhimu8453 Ай бұрын
Ss utagomban na wangap km mkeo kaamua kukigawa
@majaliwaandulile8379
@majaliwaandulile8379 Ай бұрын
Miuno miuno miuno
@edenmoshi6664
@edenmoshi6664 Ай бұрын
Huyo mwalimu kaletazarau make anauma hakuogopa ata jez app fundisho Kwa wanaoleta zarau pot typo sawa hajauwa ilo ni onyo na walim walio baki
@richardhosea8827
@richardhosea8827 Ай бұрын
Huyu mkuu wa shule mwonekano tu hafai kiongozi hasa wa kiume unavaa mkufu huo ni mhuni apigwe tu
@mwanakhamisimwinyimatano1185
@mwanakhamisimwinyimatano1185 Ай бұрын
Mtihani
@HussenMadimbwala
@HussenMadimbwala Ай бұрын
Muche tabia za wake za watu
@memesnamatukiomuhimu8453
@memesnamatukiomuhimu8453 Ай бұрын
Cjui wanajikuta nan hawa
@lisawilliam2491
@lisawilliam2491 Ай бұрын
Mke wa mtu sumu
@ZenaUsangi
@ZenaUsangi Ай бұрын
MTU KAMA HUYU ANAWEZA KUTEMBEA HATA NA WANAFUNZI.MAMA ULISEMA ANYWE MAJI HASIRA ZIISHE NIKWAMBA HAYAJAKUKUTA.HUYU MLM SIO SAHIHI KUNA WANAFUNZI WA KIKE JE ATAWAACHA SALAMA?
@kirsteinmedia
@kirsteinmedia Ай бұрын
Sio kweli usimtuhimubmwalimu inasemekana na sio kweli
@rwezaulafrugence
@rwezaulafrugence Ай бұрын
Alitakiwa amshushie kipigo cha mbwa koko hadi ajinyee ofisini
@GiftMariam-w2q
@GiftMariam-w2q Ай бұрын
Dunia ina mambo hii😅
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 Ай бұрын
Sasa mkuu police ndomtuhumiwa unazani mwalimu atapata haki kweli???
@selemansaid9295
@selemansaid9295 Ай бұрын
😂😂😂
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 38 МЛН
Perfect Pitch Challenge? Easy! 🎤😎| Free Fire Official
00:13
Garena Free Fire Global
Рет қаралды 69 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2,9 МЛН
MAGIC TIME ​⁠@Whoispelagheya
00:28
MasomkaMagic
Рет қаралды 38 МЛН