RC MAKONDA AWAFUTA MACHOZI VIJANA WENYE DENI LA ZAIDI YA MILIONI TATU (3,000,000)

  Рет қаралды 93,778

Adil TV

Adil TV

Ай бұрын

#AdilTV

Пікірлер: 172
@masilingimbilinyi5589
@masilingimbilinyi5589 Ай бұрын
Huyu mama wa hovyo sana kwanza hana adabu anajibu jibu tu wala hafikirii kama anamjibu mkuu wamkoa tena Rais mtarajiwa
@onesmomalifedha4709
@onesmomalifedha4709 Ай бұрын
Mh Makonda nchi hii ilishaoza utachoka sana.Kurekebisha haya ni hadi chama chetu kijisafishe ndani kwanza ili kiisafishe serikali kwa wananchi.Matatizo hayo yako hivyo hivyo nchi nzima.
@mandileykiritokangai3042
@mandileykiritokangai3042 Ай бұрын
Makonda mungu akubariki akulinde pia na family yako
@user-br7sf6ey9t
@user-br7sf6ey9t Ай бұрын
Mwamba wamaicrofon 🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤ vzuri sana yn umuduniani kunavitu vingi vinapotea bilaufumbuzi
@user-qi2uv5zr3l
@user-qi2uv5zr3l Ай бұрын
Mtumishi RC Makonda mkuu wa mkoa arusha, mwanzoni nilikuwa sijakuelewa, ila kwa sasa nimekuelewa sana. Mungu wa mbinguni awe pamoja nawe katika uongozi wako.
@BeatriceKitembe-gs9si
@BeatriceKitembe-gs9si Ай бұрын
Makonda fanya kazi.. MUNGU yu pamoja nawe🙏🙏🙏🙏Mungu atakusimamia,na kukulinda.
@lukomanomaliki5442
@lukomanomaliki5442 Ай бұрын
Makonda utapata sana msala kwa huyo dada.Maana hawakawii kukwambia unamdhalilisha.
@Christianben-xf4ch
@Christianben-xf4ch Ай бұрын
Huyu n zaidi ya mwambaa aseh mungu amlindee 🙏🇹🇿
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb Ай бұрын
Ubarikiwe mh makonda mungu akubariki kwa kazi unavofanya kwa mkowa wa Arusha
@wekesapeter9361
@wekesapeter9361 19 күн бұрын
Amen bwana makonda yupo vizuri kiongozi WA mkowa kazi unazozifanya ila mungu atakuripa
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o Ай бұрын
Rc Makonda ni jembe la ufisadi kwa wananchi kupatahaki zao mungu mubariki Rc Makonda maisha marefu
@yessesamsom961
@yessesamsom961 Ай бұрын
Safi sana makonda unatufurahisha sana kwa matendo yako na utandaji wako tuko pamoja mahali popote
@ndagijimanakibibi7381
@ndagijimanakibibi7381 Ай бұрын
Wewe Nihan’a wawanyinge Mungu sendele kulinda tanzania mukifanya hi yo namkumbuka baba wataifa Magufuli mungu amlaze mahalipema
@user-qv8qo3ff3q
@user-qv8qo3ff3q Ай бұрын
Huyu mama ni mbabaishaji sana
@onesmomwakasege5215
@onesmomwakasege5215 Ай бұрын
Uyo dada alie kula za uso siku zile ameludi tena duh!!!
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Wanyooshe baba makonda wanatesa wanyonge
@bakarimuhibu602
@bakarimuhibu602 Ай бұрын
Allah akutunze Mzee makonda
@saidsuleiman1753
@saidsuleiman1753 Ай бұрын
Huyu engineer mpaka Makonda akiondoka Arusha na yeye hoi ila atajifunza mambo mengi kwa Makonda na yatamsaidia kwenye kazi zake
@nyiqatonyiqa7114
@nyiqatonyiqa7114 Ай бұрын
Kweli kabisa 🙏
@SamwelMtasiwa-ok2qz
@SamwelMtasiwa-ok2qz Ай бұрын
Machozi yamenitoka kiukweli ubarikiwe sana BABA
@RICHARDWAUSA-ep4xe
@RICHARDWAUSA-ep4xe Ай бұрын
The definition of real man❤ Piga kazi mwamba
@African511
@African511 Ай бұрын
Hawajui shida hawa watu wa ofisini,wangekua tunabadilishana nao mwaka mwaka, sisi tufanye ofisini na wao waje mtaani adabu ingekuepo.
@BeatriceKitembe-gs9si
@BeatriceKitembe-gs9si Ай бұрын
Fanya kazi.. MTETEZI wako yu Hai Mh Makonda... Wabane Sawa Sawa... MUNGU at akulinda na Familia yako🙏
@onesmomalifedha4709
@onesmomalifedha4709 Ай бұрын
Atafanyakazi peke yake while wenzake wote akili iko kwenye kura?.Tz kazi tunayo aisee 😊
@GwakisaMwaisanga-th7uz
@GwakisaMwaisanga-th7uz Ай бұрын
Aendee tu hata kwa hiki kichache
@BeatriceKitembe-gs9si
@BeatriceKitembe-gs9si Ай бұрын
MTETEZI wao Ni wewe makonda. Mungu kakuleta kwa sababu.... MUNGU azidi kukutunza na kukulinda 🙏
@meesvtcinstitute6568
@meesvtcinstitute6568 Ай бұрын
Kwa kweli makonda ni mtumishi kiongozi wa watanzania
@linahmacha370
@linahmacha370 29 күн бұрын
Ee Mungu huyu ni Makonda au ni Magufuli ndani ya mwili wa Makonda Mama Samia ubarikiwe sana kijana kazi wa nguvu tunaye kwa kweli 🙏🙏
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Hilo ni dili lak mkuu wa wilaya, engineer wanagawana
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Ай бұрын
Yaani huyu jamaa bora tu unyamaze yaishe😢 ukienda naye
@jitabojilala6162
@jitabojilala6162 Ай бұрын
Nchi hii mama samia imekuwa ya hovyo sana mama ,huyu kijana tutamuombea na akitoka arusha aende sehemu nyingine tena
@user-zx3he3lp3o
@user-zx3he3lp3o Ай бұрын
Watu wa jiji la Aruxha ni mataperi sana
@abelmbijima4324
@abelmbijima4324 Ай бұрын
Rushwa engineer
@adieljoshua640
@adieljoshua640 Ай бұрын
Hongera sana Mheshimiwa
@user-dx2zl1vo5s
@user-dx2zl1vo5s Ай бұрын
Msimloge tu makonda wetu
@chantalharakandi2576
@chantalharakandi2576 Ай бұрын
Makonda Mwenyezi Mungu akubariki baba unatetea wanyonge
@samsonhamery3809
@samsonhamery3809 Ай бұрын
Nimeamini mfumo wa Magufuri wa papo kwa papo ulikuwa mzuri sana unatibu shida za watu papo kwa papo Makonda anatumia mfumo huo
@user-gv8yn9lg1i
@user-gv8yn9lg1i Ай бұрын
Ndivyo inavyotakiwa, dawa ni kutembea na dawa wagonjwa wanatibiwa hapo hapo kama Jpm.
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Yaan hapo kuna shida enj . Kwanza huyu dada ni ndio yule aliyesemea Chitanda kuwa ulimtukana?😁😁❤❤❤❤
@f.a6043
@f.a6043 Ай бұрын
Haya ndio mambo tunayoyataka sisi sio siasa za kijinga
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 Ай бұрын
Kbsa
@GeraldLembris-jr3yz
@GeraldLembris-jr3yz Ай бұрын
Alaf uyu mwanamke atakipata kwa makonda, yan kila kona kwenye kaz zake anamapungufu
@mussanyamibara3321
@mussanyamibara3321 21 күн бұрын
Makonda mungu akipee umli mulefu
@yukundapeter8200
@yukundapeter8200 Ай бұрын
Mafundi hawalipi vbarua,ndo maana vbarua wanalalamika mafundi Mungu anayaona,km lilinoniibia cement,likaiba nondo,Mungu akulaani popote ulipo na wixi wako,utahangaika hutokaa ujenge mpaka kifo,uli2sababishia hasara kubwa mno.Mifundi yote inayothulumu Mungu ayalaani.
@mlipanolatifa
@mlipanolatifa Ай бұрын
Anabahati mbaya huyu dada na mkuu
@dickchambilo9138
@dickchambilo9138 Ай бұрын
Dada mwenyewe miyeyusho...hana majibu ya ufuatiliaji ktk kazi yake
@binismail2029
@binismail2029 23 күн бұрын
Adil TV. Tunaipongeza lakini tafuteni Camera unganisheni NA yollobox
@Aureliaghana-jl6me
@Aureliaghana-jl6me 23 күн бұрын
Amewafariji mungu amlinde
@user-qg9fi1uv5h
@user-qg9fi1uv5h Ай бұрын
Mungu akupe maisha marefu muheshimiwa wetu
@Kidotii
@Kidotii Ай бұрын
Future Magufuli!
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 27 күн бұрын
Kweli inauma sana Mkuu wangalie hao vijana wanafanya ivyo ili wasomeshe watoto na kulea familia lakini kwa vile wao wanapokea mwisho wa mwezi awajali saidia fundi wakati saidia fundi ndiye anaye umia kuliko ata fundi serikal iangalie hili kwaupande wapil
@farhannahomary5505
@farhannahomary5505 Ай бұрын
Dada mwongo huyu jmn anayaweza na miwani
@user-ew7xd1xu3s
@user-ew7xd1xu3s 13 күн бұрын
Makonda mungu akubariki lakin kunawatu wenye tamaa hatawatakuwinda pole baba
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Ай бұрын
Mifumo ya Chama changu tawala imeaanguka.Matatizo ni mchanga wa bahari.Watendaji tokeni ofisini,Muogopeni Mungu
@maureenmgeni
@maureenmgeni Ай бұрын
Injinia upo vizuri kwa maelezo kama ungepewa nafasi ya kusikilizwa.
@hopehealthcs3294
@hopehealthcs3294 Ай бұрын
Hakuna maelezo vizuri wakati wafanya kazi wamechukua mwaka mzima bila malipo
@Ambwene
@Ambwene Ай бұрын
Usiwe kama mpumbavu watu wamefanya kazi miezi kibaaao hawajalipwa unasema anajieleza aisee usitumie matako kufikiria tumia Akili 😅😅😅😅😅
@jamesmasome359
@jamesmasome359 Ай бұрын
Hujitambuwi ww...
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Ай бұрын
Mla rushwa mwenzako nadhani maana unatetea maovu watu wamefanya kazi na hawajalipwa
@samsonmgaya4306
@samsonmgaya4306 28 күн бұрын
Mnamlaumu Injinia mnaacha kuilaumu kamati inayolipa....injinia hata mkataba hasaini yeye
@lukumanisharifu
@lukumanisharifu Ай бұрын
Njooo mtwara inshu km hizo zipo nyingine sana
@AliJuma-ub6gw
@AliJuma-ub6gw Ай бұрын
Mungu akubariki sana kwa kazi hiyo
@DevothaKimaro-ng3pg
@DevothaKimaro-ng3pg Ай бұрын
Khaaaa huyu dadaa kiswahili kingi jmn unaenda mbele na kurud nyuma kweli
@raymondkihaka1827
@raymondkihaka1827 Ай бұрын
Makonda safi
@rashidilibuka4132
@rashidilibuka4132 4 күн бұрын
Mungu plz endelea kulinda afya ya huyu makonda
@user-se9no4rg3k
@user-se9no4rg3k Ай бұрын
Kumbe uyu amekytana na muheshimiw@ tenaaaaaaa
@florencemeza6540
@florencemeza6540 Ай бұрын
Frankly speaking yaani sasa hivi halmashauri wanakula pesa mnooooooo
@janechengula2833
@janechengula2833 Ай бұрын
Mungu akulinde makonda 🎉🎉🎉🎉🎉
@aminaomary5567
@aminaomary5567 Ай бұрын
Mwanangu:mtan wangu🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤
@FaswihuKilahama
@FaswihuKilahama Ай бұрын
Upo sahihi 🤝 brother
@songeza
@songeza Ай бұрын
Huyo ni mwanetu RC makonda endelea gonga Kila Kona safi baraka kwako
@siamollel6051
@siamollel6051 Ай бұрын
Huyo Dada yeye anauhskika ,,Haurumii wengine
@mustaphapeshuty6233
@mustaphapeshuty6233 Ай бұрын
Mkuuu nakukubali
@MoinaminaAmina-qh1jb
@MoinaminaAmina-qh1jb Ай бұрын
Mama injinia ????mbona hujielewi ????Mara unasema hiki Mara unasema mengine unabadilisha maneno ukiulizwa suali !!
@nathanaeledward5613
@nathanaeledward5613 Ай бұрын
Hongera sana makonda kwa kaz nzr unafanya baba
@AgnesEphraim-jw6dv
@AgnesEphraim-jw6dv 27 күн бұрын
Mungu amlinde na maadui Kila iitwapo leo
@FATUMAPASKAL
@FATUMAPASKAL 28 күн бұрын
Mungu akupe maosha marefu
@Elizabethelikana-j3o
@Elizabethelikana-j3o 19 күн бұрын
Jamani makoda sijui much akulipe nini mugu . tu binadamu wakawaida awezi Ila mugutu
@mathewlive1372
@mathewlive1372 Ай бұрын
Huyu mama anabananishwa mpaka anashindwa cha kufanya , ila anajitahid kutetea dona🤣
@samuelmiryango3524
@samuelmiryango3524 Ай бұрын
Alafu kunakuja mtu anateteya wafanyakazi kisa tu anamakato ndani
@esteromary2102
@esteromary2102 Ай бұрын
Mungu akulinde na mabaya yote mh, Makonda zab 121
@user-qj2fz8uq3j
@user-qj2fz8uq3j Ай бұрын
Hyu anafaa kua rais
@fredrickipembe8188
@fredrickipembe8188 Ай бұрын
Huyu dada hajitambui hata kidogo
@Fadhilimwamlima
@Fadhilimwamlima Ай бұрын
Hiyu dada inaonyesha nini jeuri nainaonyesha amewaumiza wengi.
@godblessluvanda9808
@godblessluvanda9808 Ай бұрын
Haya yoteee Chanzo ni SISIEMU 😢😢😢😢
@rosematabula8537
@rosematabula8537 Ай бұрын
Acha zako. CCM imeingia wapi?
@martinabayyo9982
@martinabayyo9982 Ай бұрын
Ccm kvp tena, kwan huyo engineer ni ccm?
@nathanaeledward5613
@nathanaeledward5613 Ай бұрын
Very nice makonda
@anethmollel6564
@anethmollel6564 29 күн бұрын
Huyu dada anajichanganya hovyo kabisa sipendi maelezo yake
@user-qv8qo3ff3q
@user-qv8qo3ff3q Ай бұрын
Rais wangu makonda Mungu akulinde na akupe hichi kiti cha juu
@johpixel4108
@johpixel4108 Ай бұрын
Makonda ananimalizia bando zangu 😀
@charlesjohnjohn7953
@charlesjohnjohn7953 Ай бұрын
Yaani mimi kwa Makonda hacha bando ziishe tu maana ananifurahisha sana jinsi anavyotatua changamoto za wananchi.
@jonaskilomba4094
@jonaskilomba4094 Ай бұрын
Na mimi kwakweli
@papysadiki5947
@papysadiki5947 Ай бұрын
Salomon anarudiya iyi tu tanzaniya
@nicebeautyfragrance6575
@nicebeautyfragrance6575 Ай бұрын
dad mimi nakuombea na Mungu akubariki sana na namuona mtu mkubwa sana sana sana naomba namba yako baba
@MarlinNdagiwe
@MarlinNdagiwe Ай бұрын
Congratulations RC Makonda
@shamslukumay2627
@shamslukumay2627 Ай бұрын
Aiseee
@zuhuramuhanga5400
@zuhuramuhanga5400 Ай бұрын
Mwanamke usibabaishe jibu swali unalo ulizwa
@FaswihuKilahama
@FaswihuKilahama Ай бұрын
Nchi hii bira kuwa Siriasi kazi hakuna
@CikeTanzania
@CikeTanzania Ай бұрын
Washurumaji hao.
@mlewamlewa976
@mlewamlewa976 Ай бұрын
Fact Dc
@dennisezakiel3380
@dennisezakiel3380 Ай бұрын
Tamani sana ningeingia serikalini ili ningewanyoosha sana hao wajinga wajinga,
@edisonemmanuel-
@edisonemmanuel- Ай бұрын
We mtumishi jitahudi upige kazi tu kwa makonda utapata kazi ngume aseeeeh 😂
@ebenezermariki9338
@ebenezermariki9338 13 күн бұрын
Data kaka ukovizuri jamani mtetezi wawanyonge.
@MohamedMrija
@MohamedMrija 2 күн бұрын
MAKONDA WEE ZAIDI YA RAIS
@evansmoshi1923
@evansmoshi1923 Ай бұрын
Huyu siyule mama walie sema amedhalilishwa.
@rehemakanyere4188
@rehemakanyere4188 Ай бұрын
Ndio yeye
@kareem1182
@kareem1182 29 күн бұрын
Makonda makonda makonda Nimekuitaa mala 3
@rukiaiddyyahaya9506
@rukiaiddyyahaya9506 Ай бұрын
Huyu ndiye kiongozi mzalendo
@binismail2029
@binismail2029 23 күн бұрын
Camera yenu Pixel YAKE ni ndogo sana
@JohnMungwana-te4rm
@JohnMungwana-te4rm 22 күн бұрын
nahaya matangazo yamikopo yanakera bwana
@emmanuelsitayo1977
@emmanuelsitayo1977 Ай бұрын
Mheshimiwa mkuu wa mkoa Makonda una kazi.
@damaschosen
@damaschosen Ай бұрын
Wewe ni Fundi makonda
@user-kg3cr9gg1h
@user-kg3cr9gg1h Ай бұрын
Hawa mainjiniaa wamchongo
@eddytheophil7626
@eddytheophil7626 Ай бұрын
Piga chini Hao ng'ombe
@marthaswai1185
@marthaswai1185 Ай бұрын
Huyo dada yuko right,ila mpe nafasi ajieleze
@user-qo6qv6mc5p
@user-qo6qv6mc5p Ай бұрын
Dah rais wa nchi
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН
1 or 2?🐄
00:12
Kan Andrey
Рет қаралды 52 МЛН
Me: Don't cross there's cars coming
00:16
LOL
Рет қаралды 15 МЛН
MAKONDA AAMURU OCD BUGURUNI APANGIWE KAZI NYINGINE, WANANCHI WASHANGILIA
11:59
Alat Seru Penolong untuk Mimpi Indah Bayi!
00:31
Let's GLOW! Indonesian
Рет қаралды 16 МЛН