Mungu akusimamie sana mkuu Wa kituo.nimeumia kwa udhalishaji huo.kila mmoja ana mapungufu Yake.umekamata umepeleka mahakamani ,walitegemea ufanye nini.kwa hili lililokukuta naamin ndio fursa ya kufika mbali ,Mungu atakupandisha mbali
@mahamoudmakotaperfumes87885 жыл бұрын
Paul Makonda hongera sana kwa kusimamia haki.. IQ..100+ (G)
@kechbowkech91386 жыл бұрын
Daaaa safi sana mkuu wa mkoa Paul Makonda,,,,,kweli unawapigania wananchi. ....umeweza hadi kumtumbua mkuu wa kituo,,, Sadie Sana..... Bora iwage hivyo,,, askar watafanya kazi kwa mujibu wa Sheri's, yamezoea Sana kuvunja Sheri's,,,, wakati sisi wanansheria tunafuata Sheria...
@azizauledi41086 жыл бұрын
Mnaonea watu kupita kiasi mpaka imefikia liwalo naliwe km kufa kila mtu atakufa safiiii sana mama mungu akulinde
@jumamwatanda14786 жыл бұрын
Dah! Asiyekupenda Mh. Makonda, siyo bure ana chuki zake binafsi. #Chapa kazi Mh. @I'm really appreciating you
@yahayamaulana82156 жыл бұрын
Mw. RC Makonda big up kwa juhudi na busara juu ya majukumu yakazi unazozifanya hongera
@denismasawe25746 жыл бұрын
Nakubal mkuu wa mkoa tangu nime kujua Leo ndo umenifurahisha zaidii piga kaziiiii mkuu
@emmymkonyi93096 жыл бұрын
Big up mama kwa kuwa jasiri na Mkuu wa Mkoa kwa Kukusikiliza
@nataemsuya6 жыл бұрын
Tungekuwa na wanawake wenye uwezo wa kujieleza km huyu mama,basi Tanzania Tungekuwa mbali sana. Mwanamke kujiamini bwana.
@lulyehomadale90096 жыл бұрын
Hawa Madiwa propaganda tu hapo
@joviyhajoseph47226 жыл бұрын
lulyeho madale z see ß a za zß CCC CCC x
@hanspophassan56696 жыл бұрын
Nikweli kabisa
@kaisarimkuu36856 жыл бұрын
Iko siku tunaweza.juta kwa huu ushabiki wa ajabu ambao unadhohofisha morali za makamanda wetu wa ulinzi na usalama. Wisdom is an integral component of good leadership.
@saleheluvanga99299 ай бұрын
Wewe ni Magufuli kabisa yaani nakupongeza kabisa Mheshimiwa makonda MUNGU AKURINDE 📖📖📖📖🙏
@waziriislam24556 жыл бұрын
Makonda uko poa sana mungu AKUONGOZE sana kaka
@VictoriaMahewa2 ай бұрын
Daily naomba mungu kazi hii ni ngumu sana eeh mungu tusaidie
@nyerere12596 жыл бұрын
Afande upo vizuri...... Achana na hao politicians
@mussasaleh67126 жыл бұрын
Mungu akulinde mkuu wa mkoa wetu
@mosesboniphace47336 жыл бұрын
makonda safi sana hongera kabisa. nashangaa ukiona koment wanaokataa niwalewale wanataka ushahidi gan tena juu yahuyo mama? ukiwa na akili timamu huwezi kuacha kumwamini huyo mama. maaskari wengi wao ndowalivyo bana.
@smwakaglobaltv40105 жыл бұрын
Hongera saaana mama, sina cha kukupa isipo kuwa tu kukushukuru kwa ukakamavu wako.
@tumpaleluhanga13966 жыл бұрын
Kwa hili, nitatofautiana na Mh. mkuu wangu wa mkoa. Sidhani kama haki imetendeka. Ingawa hatua iliyochukuliwa sio kubwa sana ila nadhani mkuu wa kituo ameabishwa mbele ya wananchi bila sababu. Majibishano ya bimkubwa na mkuu wa kituo hayakuwa na umuhimu wowote. Nadhani mkuu wa mkoa alipaswa achukue taarifa ya mama, pamoja na maelezo mafupi ya polisi halafu akalishughulikie hilo suala baadae. Kwanini polisi waing'ang'anie nyumba ya huyo mama tu bila sababu? Mama angesema huwa wanaomba rushwa tungemuelewa. Pole sana kwa mkuu wa kituo cha Buguruni.
@rajabuwiliam585410 ай бұрын
wewe unajuaje kama mku wa mkoa hana talifa nyingne kumhusu yeye kwani yeye mjinga achukue hatua bila kufatilia et hapo lazma co xhida yakwanza alixhapata talifa nyingii t kumhusu
@jumakapilima729510 ай бұрын
Nimependa maelezo ya askari
@PasichalFrancis9 ай бұрын
Ilahuyujamaa .basitu hajuituanachokifanya
@RwegoshoraPatt-os2ik9 ай бұрын
Hata mama anamdomo kumbuka hilo pia
@robsonevarist58036 жыл бұрын
Kiukweli hiii nchii inapoelekea sii pazuriii siasa imekuwa fimboo kwa watendajiii na hata mtuuu afanyee mazrii vp kosa moja la funika mazriii yotee.hakika najuta kuajiliwa mora nipe nguvuu nitafute mtajiii nijiajili.amina
@TibihikaGerad9 ай бұрын
Kama na fisad dawa Yako inachemka
@shabanikombo63515 жыл бұрын
makonda safi sana Allah akujalie
@thabithamagnus638 Жыл бұрын
Hiyo ni kweli kabisa,maaskari wanashirikiana Sana na wauza madawa ya kulevya
@omarikessy23396 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa Makonda,Sio tu apangiwe kazi nyingine fukuza tu huyo askari ndo wailvyo hao kuonea Maskini
@bernardchibwana25646 жыл бұрын
Makonda mungu akupe maisha marefu kazi njema.
@furahamwajeka37086 жыл бұрын
ahsante mkuu makonda,sio huyo ocd tu baba wapo wengii,mwajili jeri muro afanye utafiti akupe repoti ni aibu trAfic ndo usiseme
@gloriousabraham1286 жыл бұрын
Kwakwel wew kaskana ulituonea sana mungu amejibu maombi Kwakwel
@lawrencekabende156 жыл бұрын
Hapa ipo shida nyumba toka 2005 wamenunua leo 2018 huyo askari ana miaka miwili hapo Buguruni atabebaje tatizo la miaka 13 kuna tatizo mtambuka lifuatiliwe suala hili toka wakati wa zombe hapa lipo tatizo mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.Hayo madirisha waliyatoa polisi aliyatoa nani
@soudbwaxtv38045 жыл бұрын
Ahsante mh mkuu wa mkoa paul makonda kwa uamuzi ulio ufanya
@aseelaaseela49136 жыл бұрын
By up mommy 😘😘😘 kujiamin ndo kuweza mekupenda bureee
@fredykephacy92306 жыл бұрын
tetea haki baba nakupenda sana makonda mungu akujalie afya njema
@maelezombwilo91296 жыл бұрын
shukrani sana mkuu wetu kwa kutenda haki
@kingwatabata42306 жыл бұрын
Mkonda mh ubarikiwe sana, awo wapo wengi sana nchi hii.
@saumuhassan63656 жыл бұрын
Safi sana mheshimiwa Makonda 👍
@jumakapilima729510 ай бұрын
Safi sana Askari!!!
@hamadshein9356 жыл бұрын
Salam kw maofsa.mcpo kuwa na umoja.mtasumbuliw n watu ambao.hawajui taratibu za majeshi.
@ugaboy47366 жыл бұрын
Jamani polis ngum tuulizeni sisi
@mariawilbrod97866 жыл бұрын
Hamad Shein taratibu Za majeshi zipi Hizo tufahamishe Au kuonea wananchi?
@fokasiinnocent34486 жыл бұрын
makonda wanaokuchukia walaniwe na tunamuomba mungu raisi akuache apo apo miaka mingi!!!akuna asosemwa ata raisi wetu anasema piga kazi usiogope!!!usiposemwa jua huna kitu.
@saidsuleiman52556 жыл бұрын
Huyu jamaa namkubali sana
@sampatrick9176 жыл бұрын
Buguruni ni Sawa kabisa atolewe uyo ocd kuna mambo ya kinyama Sana apo Buguruni
@djmarashimartin77075 жыл бұрын
itakuwa nyinyi Shelia amuijuw makonda anaweza akafanya lolote juu ya ocd yeye makonda yupo kwenye kamati ya ulinz nausalama ya mkoa
@madunaukovizuribabukazabut67636 жыл бұрын
Hongera mama kwakuongea ukweri
@faustinemasao56416 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa umekosa ethics za uongozi kabisa kuna uchunguzi gani uliofanya hapo. Muige ata kidogo Mh.Mtaka angalau awe lesson plan yako kidogo
@hindisaidi50976 жыл бұрын
Mkuu wa mkoa yupo sawa. Ili aweze kulinda mkoa lazima afanyekazi na watu anaowaamini. Si ajenda ya siasa.
@fatmamajuu52556 жыл бұрын
mama nimekupenda kwa ujasili wako💪💪💪💪💪
@fokasiinnocent34486 жыл бұрын
magu ameibadili nchi ss wananchi tunajua thamani ya nchi yetu ,akuna brabra tena nisheria tu,magufuli mungu akubariki uishi miaka mingi sn ,eeh mungu mrinde mtoto wako maguful
@nawihadj66746 жыл бұрын
yeah
@juliuskivuyo53846 жыл бұрын
Good
@fieldnews17334 ай бұрын
Makonda hongera,joo kenya utusaidie
@abdulhamidkagina14096 жыл бұрын
Makonda nakukubali sana hujawahi kukurupuka !! Kweli unafaa kuinyoosha daressalaam
@davidngatunga71676 жыл бұрын
Leo makonda umenikuna sana hawa jamaa siyo mungu akubariki sana
@kassimkingai5646 жыл бұрын
Unajua makonda ww ni msubutu sana jitoe kaka utapata malipo kutoka kwa MUNGU endelea kutetea wanyonge nakumbea heri insha'Allah
@xavierycelsus37516 жыл бұрын
Hongera sana mama.shikamoo,,
@ramadhansylvesta19526 жыл бұрын
kwakweli Mkuu wa mkoa ktk hili umekosea sana, kuvichonganisha vyombo vya ulinzi Na wananchi. Nimakosa makubwa
@mtanzaniamzalendo70016 жыл бұрын
Upo sahihi mkuu we Mkoa,polisi wengi maadili hakuna
@mayungarichard74436 жыл бұрын
Ila kusema kweli polis wanaonea sana. Mi mwenyewe waliwahi kunikamata wakanipa kes ya kuuza gongo yaani aisee😓😓😓😓
@priscahongerasanaabel98936 жыл бұрын
hahahahah jaman kweli
@mwanaidimtwiku99836 жыл бұрын
Mm mwenyewe kaka yangu amekamatwa saa tatu anarud kazini wamempa kes ya ukabaji ukiangalia hana tabia hiyo toka azaliwe, inauma sana na mpk bado yupo chang'ombe
@christinetimothy58056 жыл бұрын
Tanzania oyeeeeeeeeee!! Nakupenda nchi yangu.
@AlHamra-k4u7 ай бұрын
Asant sana Mh Makonda
@menikojohn27828 ай бұрын
Mama Ambaye Mwanae Ni Mtuhumiwa Wa Kesi Za Bangi Polisi Zaidi Ya Mara Moja Hawezi Kuwapenda Polisi, Na Hiyo Nyumba Itakuwa Ni kijiwe Cha Wavuta Bangi Tu, Ndio Maana Safari Za Polisi Haziishi Kwenye Huo Mji.
@usher_bambi946 жыл бұрын
Amenisisimua my RC😍😍😍
@flavian-augustino.pangah6 жыл бұрын
Hongera OCD wa polisi Buguruni kazi yako Mungu anaiona. Achana na political temper za rc
@mariawilbrod97866 жыл бұрын
Flavian Pangah hana cha hongera hapo ni jambo la aibu sehemu ambayo watu ingekuwa Tumaini lao inapotokea tatizo ndo inaonea watu, anasahau miiko ya kazi yake na kuweka tamaa mbele
@ahmednoor14126 жыл бұрын
Unasifia ujinga
@flavian-augustino.pangah6 жыл бұрын
Ahmed noor asante kwa jibu lako
@sharifasharifa76806 жыл бұрын
Polis wanakazi ngumu na raia wengi hawapendi polis wanafurah kutokezea tatiz ila ocd usijal pig kaz kawaida ya raia hat ufany jema gan hawawez kulisem hat viongoz wapime wao mbon wanatajw wanamakos na hawan
@MohdRashid-cu9qb6 жыл бұрын
Sio vizuri kumueka polisi kulumbana Na RAIA hadharani kama hivi haipendezi
@mpjackson95436 жыл бұрын
Haufai hata kidogo, nimesononeka sana Kwani nilitamani siku moja niwe askari but kwa style hii, umechafua jeshi mpumbavu kabisa, haiwezekan Kamanda Siro huyu Bashite ana mamlaka gani yakuingilia mambo ya jeshi, nakwann askamatwe yeye nnani wakufanya hayo, kaiba makontena tumemuacha, au kunakitu nyuma yake, maana sio bule, angekuwa Nape chapu kidogo.
@eliphaziamon87946 жыл бұрын
mp Jackson we nikipofu acha kutapika ko ulitaman uaskal ukanyanyase RAIA ,sio utawala wa magu,subilien msenge mwenzenu ajae mtese watu sio utawala wa baba magu
@gabrielresti17106 жыл бұрын
Angalia akili zako vizuri na ujipime kwa maneno yako
@yudithshayo40576 жыл бұрын
mp Jackson raisi wako wamkoa huyo ana mamlaka yote kwa Dar
@mohamedykabwanga16476 жыл бұрын
Ww huna akiri unasema mkuu wa mkoa anamamlaka gani ...unajielewa kweli www
@fransiskahaule33436 жыл бұрын
Wewe unaongea nini sasa polisi ndio yao hayo..
@lawmaina786 жыл бұрын
Duh mama alikua amejiandaa, yaani anazo taarifa zote.
@flownluvanda52636 жыл бұрын
Makonda we kweli ukovzr Sana baba
@fokasiinnocent34486 жыл бұрын
ckilizen watanzania wenzangu jeshi lapolice liache mambo Yale yakizamani yakuonea wanachi na kubambikizia kesi enzi zile akuna tena,makonda uko vizuri sn sn!!!!
@nawihadj66746 жыл бұрын
yeah bro
@wazirilugazo67466 жыл бұрын
Safi saaana kiongozi mkuu Wa mkoa
@lulanjamd38866 жыл бұрын
Makonda hongera sana
@edwinndege64325 жыл бұрын
Mama umetisha sana
@idrisasimha90296 жыл бұрын
Big up Mh Makonda
@furahamwajeka37086 жыл бұрын
respect noo,,tenda hAki i utaheshimiwa ukkiwa mbAdhilifu noo respect,hakuna haki sana toka polisi kuja wananchi..saafi mkuu makonda... hakii
@rugijofrey36856 жыл бұрын
Siasa mbaya sana, ukimsikiliza huyo mama anasema nyumba yake haiuzwi Bangi toka 2006 inamaana ina historia yakufanya hivyo kipindi cha nyuma
@paulomgan20646 жыл бұрын
Ee MUNGU tuludishe kwenye imani ya kuwa na uwoga na kuamini kuwa upo
@ericklyimo7316 жыл бұрын
Pongezi kwa Rc makonda
@dedememe27256 жыл бұрын
Kiukweli Buguruni police station kuna shida sana...Nimeupongeza uamuzi wa Makonda
@suleshmwakz83295 жыл бұрын
Heshima kwa maafisa wa usalama...
@sharifasharifa76806 жыл бұрын
Hakuna kiongoz hat mmoj akitend wema asitiwe kasoro mwenyez mung akusimamieee ocd
@azizauledi41086 жыл бұрын
Mungu acheni kuwaonea watu km mpo madarakini dhambi
@mkombozikiratv.97336 жыл бұрын
Japo kituo hiki cha buguruni hakifai kutokana na urasimu uliopo na ht kutumikia matajiri kama 92 hadware na mama wahenga kuwabambika kesi wananchi lkn sijapenda huu utaratibu uliotumika kumdhalilisha ocd
@mshobozikamgisha74965 жыл бұрын
Uko safi mkuu
@Tango6966 жыл бұрын
Mpaka polisi wanakupeleka mahakamani ,unasema wanakuonea,nimeumia sana kwa kauli ya kusema ocd njoo utudanganye,ni udhalilishaji mkubwa sana kwa chombo kikubwa.huyo ocd katoa maelezo ya kisomi na uweledi ila kama kuna insue pembeni Sawa.
@michaelmathayo25826 жыл бұрын
makonda upo sahihi
@titosindei60166 жыл бұрын
watu wanashindwa kutofautisha mamlaka na taaluma unaeza ukawa mkubwa ukawa huna taaluma husika kwahyo hizo ni kiki na misiifa isiyo na sababu
@adamsclassic93066 жыл бұрын
sisi ndo tunaishi Buguruni na ndo tunaojua Mapolisi zetu Alichosema Uyo Mama ni kwel Mtupu Mapolisi Wa kituo kdogo hadi kikubwa Wanawatesa sana Wananchi na Kuwapa kesi Ambazo sio na Hao Hao Mapolisi Ushilikiano Hawatoi wao Wanachojua n kupiga Pesa tu
@maxmbotta57346 жыл бұрын
RC makonda nakukubali sana ila kwa hili umechemka .
@mpjackson95436 жыл бұрын
Utaleta shida xana kwatabia hii sijaipenda Makonda hao ni police mzee acha Uzuzu, haifai kabisa tena haifai, uongozi wako ni Ubabaishaji, kunautaratibu wake,hupaswi kufanya judgement za namna hiyo who are you, my bro, jeshi lako la polisi lipi, au haujui tafsiri sahihi ya neno jeshi la polisi, naamini leo ubashite unao brother.
@selemansaid92955 ай бұрын
police ni malaika kwamba akosei? kwamba yeye ninan Hadi asihojiwe pale ambapo anakosea
@abdulkadir98145 жыл бұрын
Mama nomaa aisee
@danielwilliam33486 жыл бұрын
Jeshi haliwezi kuingiliwa na siasa katika utendaji kazi wake hata siku moja askar atafanya kazi yake na kwa kujiamini daima na mkuu Wa Mkoa atafanya kazi yake kulingana na mamlaka yake
MAMA INSHAALLAH LEO NI SIKU AMBAYO PEPO NI HAKI YAKOOOOOOOO
@chidybwax80806 жыл бұрын
Raia wanapenda kushangilia
@amrimavara20426 жыл бұрын
bigup mkuu Wa mkoa
@unclesamtz60486 жыл бұрын
Hapo sawa sasa
@barnabastanford35006 жыл бұрын
Mh makonda katika harakati zako leo sasa ndo nimekuelewa hakika chapa kazi kama ulivyoambiwa na rais wa nchi makonda chapa kazi
@rashidngwawile90626 жыл бұрын
Hapa kazi tu
@Lenardmazoya-u3k9 ай бұрын
Jamani kasikana ni mbaya muno MUNGU ni mukubwa nimefulai muno kama munakataa waulizen MAGUFURI TEMINAL alikua anakamata watu na kuwapeleka MAHAKA yajiji na kisha kuto sh 50,000
@janejoseph46006 жыл бұрын
Safi sana mama
@AbdallahAnuari8 ай бұрын
Mungu mkubwa kwakweli
@beatusjosephat65946 жыл бұрын
Very safi huo ndo uongozi mpaka mkuu wa kituo hana majibu kwa bibi .aibu mkuu wa kituo???
@AlexKweka-j6p5 ай бұрын
Waonezi sana
@jerryexaud62416 жыл бұрын
Yaan siasa ukiiendekeza ni mbaya sana,
@petermponzi4116 жыл бұрын
Human right is very important for the citizen.
@stukiaally46906 жыл бұрын
Blabla kushneiiiiiii huu utawala sio wa kuogopana hongera mama
@emmanuellaston54466 жыл бұрын
Kweli Siro anaona huyu mtu anavyolidhalilisha jeshi la polisi. Makonda leo hii wakutaka kuhoji nani mkweli kati ya OCS na Mama? Kweli mnaendeshwa na political temper. Lakini polisi mkome si huwa mnatetea huyu mpate sasa
@aishadevid54636 жыл бұрын
Makonda ww ni mwanasiasa tu na hivyo haupo juu ya majeshi na huna uwezo wa kumpangia kazi askari yeyote
@issahamza68206 жыл бұрын
Huku ni kusutana sasa kati ya OCD na huyo mama. Sijajua ni sheria ipi inatumika mpaka maamuzi ya kupangiwa kazi nyingine hapo? Yaan huyo mama anaonekana wazi kabisa anatetea maovu. Sijaona kosa la OCD ila Mkuu wa Mkoa umeamua kumuonea huruma huyu mama.