MAKONDA NA SAKATA LA WANANCHI WA NGORONGORO KUONDOLEWA NA KUHAMISHIWA MSOMERA

  Рет қаралды 11,489

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Пікірлер: 26
@AlHamra-k4u
@AlHamra-k4u 2 ай бұрын
Kweli kabisa Mh Makonda usiingilie kikao cha Rais. Hayo ya ngorongoro umeyakuta wasikutwishe lawama wapo wakuu wa mikoa watangulizi wako mbona hawakuwa piga maswali haya ya ngorongoro
@williamkeko9244
@williamkeko9244 2 ай бұрын
Congratulation kwa maswali yako mazuri 🎉🎉
@tajirilmole3092
@tajirilmole3092 2 ай бұрын
Mwandishi safi kabisa kwa maswali ajui kujibu maswali
@valenakomba7686
@valenakomba7686 2 ай бұрын
HAPO WAJIHAZALI , HAO WALIOBAKI UCHAGUZI UKIISHAA TUU , WATAKUJA KUTOLEWA HAPO MTUTUMTUTUU.
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 2 ай бұрын
hakuna cha uungwana wala nini kama siyo ndugu zetu Wamasai kukomaa hadi raisi akalazimika kukubaliana nao
@odoieriasmonga6591
@odoieriasmonga6591 2 ай бұрын
hapo Siza nimekusoma na Makonda asikutishe mpige maswali kwa niaba ya ndugu zetu Wamasai
@oneandonly9816
@oneandonly9816 2 ай бұрын
Yaani ngoja nikupongeze mwandishi wa Habari Makonda ana majibu yeye yupo tuu kitu kizuri leo wandishi mmefanyakazi!!
@newgarden8036
@newgarden8036 2 ай бұрын
Mwandishi wewe ni kichwa. Hongera
@mungholomakalanga8958
@mungholomakalanga8958 2 ай бұрын
Roho wa Bwana akuongoze❤
@JuliusTluway
@JuliusTluway 2 ай бұрын
Mwandishi mungu akulinde
@MiliarySingira
@MiliarySingira 2 ай бұрын
Pongezi kwa mtangazaji uko sahihi
@victorjames3730
@victorjames3730 2 ай бұрын
Mwandishi MUNGU akulinde, Makonda kachemka kujibu maswali 😂
@martinsokoi397
@martinsokoi397 2 ай бұрын
Majibu mazuri kutoka kwa mheshimiwa analinda pia heshima ya aliemteuwa tutakutana 2025 .
@JoshuaOrikilulus
@JoshuaOrikilulus 2 ай бұрын
Uchaguzi wa 25 ikimalizika hali bado itakuwa vile vile
@oneandonly9816
@oneandonly9816 2 ай бұрын
Yaani ngoja nikupongeza mtangazaji huyo makonda anaongea tuu lakini ajibu swali hilo ndio Tanzania!!
@NeemaGumbo-k5n
@NeemaGumbo-k5n 2 ай бұрын
Uyo mwadishi ninoma 😂😂😂😂😂😂
@evaemil856
@evaemil856 2 ай бұрын
Huyu mwandishi asijepatiwa shida. Msimuuwe au kumpoteza.
@ElinaNzaly
@ElinaNzaly 2 ай бұрын
Watz ni wakuburuzwa tu,Tidu lisu angekufa wangedai Maiti itoe ushahidi?
@ElinaNzaly
@ElinaNzaly 2 ай бұрын
Majibu mepesi,majibu yasiyoridhisha na kwa sababu Watz wengi ni Washabiki basi,Zinzibar nzima ina watu milioni moja na laki nane,ni sawa na mkoa wa manyara,kwanini Wazanzibari wasihamiswe tukaweka wanyama pale kama ni vizuri tu,kwani Bara huku tunaardhi ya kutosha
@JuliusTluway
@JuliusTluway 2 ай бұрын
Kumbe nchi ni rais waeleweshe wtz
@JuliusTluway
@JuliusTluway 2 ай бұрын
Chawaa
@ElinaNzaly
@ElinaNzaly 2 ай бұрын
Kwanini Wauziwe waarabu?
@MunirAbdullah-sy8ks
@MunirAbdullah-sy8ks 2 ай бұрын
Siza siza siza nimekuita mara 3
@StanleySewando-nb4xm
@StanleySewando-nb4xm 2 ай бұрын
Swali gumu Hilo
@AbdullahKilindo
@AbdullahKilindo 2 ай бұрын
Wewe kwenuvipi? Wadzabe vipi?
@OlemoruaiS.Kereto
@OlemoruaiS.Kereto 2 ай бұрын
Duu?
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
The evil clown plays a prank on the angel
00:39
超人夫妇
Рет қаралды 53 МЛН
Luhya Nation, Tell Ruto the truth
16:09
Herman Manyora
Рет қаралды 36 М.