RC MAKONDA:'Mimi sichaguli, Nawazidi kwa vitu vingi sana''

  Рет қаралды 36,567

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 46
@haroldtarimo3115
@haroldtarimo3115 2 жыл бұрын
Kuna Cha kujifunza hapa hasa kwa hawa viongozi vijana kuwa cheo ni dhamana Bali utu na heshima ndio tunu katika uongozi Sasa Tambo majivuno na kiburi mwisho wake ndio huo pole sana bashite
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Mliona Tanzania ni mali ya wasukuma na kila Msukuma aliona watanzania kama ng'ombe kwa dharau na kufanya lolote alitakalo
@gracejonh4022
@gracejonh4022 2 жыл бұрын
Limkundu lako
@yasinomary2147
@yasinomary2147 Жыл бұрын
@@gracejonh4022 mmmh jaman Grace!🤪🤪🤪🤪🤪🤪
@godfreymlay6069
@godfreymlay6069 2 жыл бұрын
Sasa ndiyo utajua kuwa ulikuwa ujui segerea inaweza kukuusu wakati wowote
@ramadhanmsangi4676
@ramadhanmsangi4676 2 жыл бұрын
Kiongozi himara katika sehemu zote tz🤲🤲🤲🤲
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 2 жыл бұрын
Kama ulikimbia umande akili utaitoa wapi.
@khamisali5978
@khamisali5978 Жыл бұрын
​@@meddyyassin4741 Kwani akili ni kusoma tu? Na ambao hawakusoma ndo hawana akili?
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Wananch na wafanyabiashara waungane huyu afungwe miaka 70
@collineedson9964
@collineedson9964 Жыл бұрын
Hatuhitaji viongozi wa hivi Huyu Ccm mmemrudisha lakini ni bomu hili
@manjaruu1575
@manjaruu1575 2 жыл бұрын
Kila kitu kina mwanzo na mwisho
@filberthabashi2870
@filberthabashi2870 2 жыл бұрын
Et we baki na cheo chako lakini mambo yangu yataenda
@abdulmillanzi7355
@abdulmillanzi7355 5 жыл бұрын
Bashite
@edsonerasto3951
@edsonerasto3951 Жыл бұрын
Ivi makonda Bado ni mlezi wa Wcb?
@allythabit5175
@allythabit5175 5 жыл бұрын
kiburi ni kibayaa sanaaa na kina mwisho wake
@Tee-King
@Tee-King 2 жыл бұрын
🤔🤔🤔 ujafa ujaumbika
@machachehardware5975
@machachehardware5975 2 жыл бұрын
Nikweli makonda yuko juu sana
@christinanyoni937
@christinanyoni937 2 жыл бұрын
Leo analia lia mtandaoni Mungu ni mkubwa sana 😂😂😂😂
@abuuramadhan8093
@abuuramadhan8093 2 жыл бұрын
Huyu afungwe miaka 70 jmn
@emmanuelakutulaga9756
@emmanuelakutulaga9756 3 жыл бұрын
Hamonize unavuta Bangi au sigara?
@josephinegravasiano8860
@josephinegravasiano8860 2 жыл бұрын
Nidhamu na siyo nizamu mkuu mmmmh!!!
@mbwanarajab4756
@mbwanarajab4756 2 жыл бұрын
Ulimtegemea Jpm ukaona watu wote kama wajinga na kiburi kikubwa Mno kuzidi maelezo
@saidsemainda1005
@saidsemainda1005 2 жыл бұрын
Daah mungu huyu sasa ukowap tena
@JeanMuzaliwa-bs6qh
@JeanMuzaliwa-bs6qh 2 ай бұрын
bado mwamba yupo!
@officialjclever9879
@officialjclever9879 2 жыл бұрын
Malipo ni hapa hapa
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Mbna mnamzum diamond wanapomtaja harmonize
@kephasmillar54
@kephasmillar54 2 жыл бұрын
Dah kwel kubenea jembe
@musason1680
@musason1680 2 жыл бұрын
Daahh na wat wanapga makofi kwa kwel huyu jamaa namkubali ila kna kauli alikua akisema sometime znaboa kwa kwel
@jumannehamadi2282
@jumannehamadi2282 Жыл бұрын
kaka yangu makonda naomba uwe unaludia kilp zako uone dunia nimzunguko we jamaa hufai hata kidogo ulitakiwa uwe jera hivi mama hajaona hizi kilp? daaah huyu jaman sijawahi kupenda hata kidogo wacha Rana ikutafune Kama ulipanda mahindi utavuna mahindi
@deokessy6596
@deokessy6596 2 жыл бұрын
Hii rabish
@songorogaddafi9320
@songorogaddafi9320 5 жыл бұрын
Kabra yakuitwa shaytwani aliitwa ibilisi au rusifaa ufahari na ukiburi vikamfanya akalaaniwa.
@mubarakashoo762
@mubarakashoo762 2 жыл бұрын
mjingaa saana wewe
@muuu9505
@muuu9505 2 жыл бұрын
Sijui alijionaga nani yaani🤣
@dansonmtambi4824
@dansonmtambi4824 2 жыл бұрын
Kwa kweli hao waandishi wa habari nao walikosa kazi ya kufanya 😂😂😂😂😂
@fredjoel1350
@fredjoel1350 2 жыл бұрын
Huyu mjinga anaamini tanzania ipo hivi kwa sababu ya kutawala kimabavu hajui busara za waanzilishi zinaifanya misingi kuwa imara.
@simbawateranga7020
@simbawateranga7020 2 жыл бұрын
HAPA ALIJIKUTA MUNGU MTU' DADEQ ZAKE
@wilsonwafulachebokati4933
@wilsonwafulachebokati4933 2 жыл бұрын
Jeuri sasa iko wapi jeuri yako
@Mozline1
@Mozline1 5 жыл бұрын
Zero brain itaendelea kuwa zero brain.
@salomemchewa5187
@salomemchewa5187 2 жыл бұрын
Sifa, za kijinga, haya leo unatafutwa na polisi ,
@abasmalik643
@abasmalik643 2 жыл бұрын
jamaa alikua na kibri
@filberthabashi2870
@filberthabashi2870 2 жыл бұрын
Haha kidogo uwe na nidhamu na wakubwa zako wananitambua.. Leo unalia et wanataka kukuua
@meddyyassin4741
@meddyyassin4741 2 жыл бұрын
Hakika hili nalo limepita.
@facebmzeewakimba1546
@facebmzeewakimba1546 2 жыл бұрын
Kitanzi
RC MAKONDA: KABLA SIJASHUGHULIKIWA MIMI NAANZA NA NYIE''
8:35
Millard Ayo
Рет қаралды 18 М.
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 10 МЛН
Osman Kalyoncu Sonu Üzücü Saddest Videos Dream Engine 275 #shorts
00:29
бабл ти гель для душа // Eva mash
01:00
EVA mash
Рет қаралды 6 МЛН
Human vs Jet Engine
00:19
MrBeast
Рет қаралды 179 МЛН
RC MAKONDA ATAJA ORODHA YA MASHOGA
9:07
Global TV Online
Рет қаралды 40 М.
MAKONDA APATA KIGUGUMIZI MASWALI YA MWANDISHI/ABANWA UTEKAJI
29:36
CCM WAMECHELEWA SANA KUMCHAGUA MAKONDA
6:14
Wasafi Media
Рет қаралды 61 М.
Wait for it 😂
00:19
ILYA BORZOV
Рет қаралды 10 МЛН