Mh. Makamu wa Rais ISDORY FILLIPE MPANGO wew ni wiseman siku zote tangu nilipokufahamu busara zako zinaniingia sana kichwani kwangu kwangu Mimi wew ni miongoni mwa viongozi wa mfano Kwa wengine keep it up.
@hidayaswai31198 ай бұрын
My beloved politician Pres. Mwinyi. I Salute and appreciate,Mungu akutunze sana aisee kwa ajili yetu
@georgemaganga38048 ай бұрын
😂😂😂 Lowasa ni Kiongozi Shupavu,Mkweli,Na mpenda kazi Kilichomponza kuwa Tajiri.Walipenda awe Maskini.Sasa hebu tuone Kiongozi gani wa leo siyo Tajiri.
@saudaaddey74028 ай бұрын
Mwenyezi Mungu ampe kauri thabiti na amlaze pahala pema peponi
@lilianluhasi3118 ай бұрын
Pole wote kuondokewa na baba yetu mpendwa mheshimiwa Lowasa
@musa-v3f8 ай бұрын
Jakaya kikwete is a definition of hyprocrite person Yaani sijahamini macho yangu wala masikio yangu kumsikia Jakaya Kikwete akimuita Lowassa rafiki yake wakati alimuundia zengwe mpaka akamtoa uwaziri mkuu na bado akaingia na majina yake mfukoni kuakikisha hawi Rais wa Tanzania kinyume na matakwa ya wana ccm waliyo wengi na akatembea nchi nzima akimuita fisadi leo anathubutu kumuita rafiki yake??what a hypocrite!!
@CopperBelt8 ай бұрын
Wewe hujui siasa ya Tanzania lowasa ni mwiongoni mwa wanasiasa mashuhuri na wanafahamiana vizuri na ndo siasa ilivyo
@hidayaswai31198 ай бұрын
Rafiki acha siasa ikae ilivyo.
@samwelmatemu88738 ай бұрын
Mnafiki huyu awadanganye wajinga sio sisi.Huyu na mwanae ndio walikuwa kwenye ile kamati yao ya awali wakamkata jina lake lowassa.Wakati lowassa ndio aliye msaidia asilimia 100 wakiwa na rostamu akawa raisi.Kufanya deal na mswahili ni shida sana .waswahili wanaamini katika fitina na majungu
@samwelmatemu88738 ай бұрын
Ila Mungu yupo jk atajuta mpaka atakapo kufa.Kwani amebakiza muda gani kuondoka kihalali duniani.Sijawahi kuona mtu mlafi kama jk anatamani mkewe awe raisi na mwanae awe waziri mkuu.Anakubalije mkewake awe mbunge wakati alikuwa mke wa raisi hawatosheki hawa watu ni hatari sana.
@samwelmatemu88738 ай бұрын
Nyerere,mkapa,magufuli hawakupenda kabisa hata watoto wao wajiingize kwenye siasa.ila hawa waswahili wanafanya serekali kama ya familia it is shame .Nawaambia wanahatarisha kizazi chao siku inakuja watajuta sana.
@RahmaAbuubakar8 ай бұрын
INNALILLAH WAINAILAIH RAJIUN.
@benjaminreternyau308 ай бұрын
upumzke kwa aman mzee wetu ngoyai rowasa,mwendo umeumaliza
@valenakomba76868 ай бұрын
HIVI WATU MNAKUWAGA HAMNA HAYAA EEH?. JAMANI HAPA DINIANI TUNAPITA TUU. TUSIUMIZANE NA KUCHUKIANA. WEWE KWELI NI MNAFIKI.
@christinenyagiro66628 ай бұрын
Mm basi nashukuru siyo mwana ccm
@mataypanga52628 ай бұрын
Sasa alikuja mkuu wa majeshi kupambana na Mungu kuhusu ugonjwa,mbona ameshindwa
@QuraishAlly8 ай бұрын
Mungu ampe kauli thabiti
@rahabnkya82768 ай бұрын
SIASA NI KIATU CHA KUPANDIA JUKWAANI, UKITELEZA UTAANGUKA TU TOKA JUKWAANI. USIMLAUMU MTU YEYOTE NDIO JUKWAA LILIVYO. RIP MZEE LOWASA MEMA MENGI YAMEANDIKWA YATAKUMBUKWA TE YY HAYUPO LKN KAZI ZAKE ZITAENDELEA TU.
@HoseaZablon8 ай бұрын
Wasifu wa lowasa na kazi alizozifanya na msimamo wake hakika ameacha alama ndani ya taifa la tamzania
@dominicksangu89348 ай бұрын
Mnafiki tuu wewe
@khadejakhadeja97138 ай бұрын
😂😂😂😂😂
@AlfredMwaikwila8 ай бұрын
Zaburi 121:8
@WellnessJosephatMakusanya8 ай бұрын
Low asante kutuletea maji lakini saiz miundombinu inahumiwa maji hatupati