MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (IV) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 138,209

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Ndoto ni muunganiko wa picha na sauti ambazo mtu huona akiwa amelala.Ili ndoto kuja kwa mtu hupita kwenye lango linaloitwa LANGO LA NDOTO.Ni lango ambalo Mungu amelitengeneza maalum kwa ajili ya kupitisha taarifa zake kuja kwa mwanadamu.
Shetani naye hutumia lango hili kupitisha uharibifu.
Hata uote ndoto inayotisha kiasi gani,unatakiwa ujue kuwa una mamlaka juu ya hiyo ndoto.Ndoto huwa haiji kwenye uhalisia kama hujaikubali au kuikataa.
Katika ibada hii tumejifunza kwa upana kuhusu ndoto,kwanini ukiamka unajikuta umesahau ulichoota,kwanini kuna watu wengine hawaoti kabisa na nini cha kufanya ili uweze kukumbuka ndoto unazoota,nini unatakiwa kufanya unapopata ndoto kutoka kwa Mungu au kutoka kwa adui.Lakini pia watu walipata nafasi ya kuuliza maswali juu ya somo hili na Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando aliyajibu yote.
Karibu usikilize somo hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando na ufahamu wako kuhusu eneo la ndoto kwa ujumla utaenda kufunguka zaidi.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 119
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (V) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
55:51
Reality of Christ Church
Рет қаралды 18 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,8 МЛН
Watermelon magic box! #shorts by Leisi Crazy
00:20
Leisi Crazy
Рет қаралды 36 МЛН
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (MAOMBEZI) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
44:46
Reality of Christ Church
Рет қаралды 14 М.
FIKICHA MACHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
18:57
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 6 М.
ULIMWENGU WA ROHO NA UKWELI WAKE 1 - BIENVENU WANZIRE (Day16 prayer)
23:42
Bienve Ministries online
Рет қаралды 2,7 М.
JINSI YA KUSHINDA HILA ZA SHETANI - PASTOR SUNBELLA KYANDO
19:41
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 12 М.
MTUMISHI WA MUNGU NA UTEGEMEZI
32:13
Apostle Mtalemwa Bushiri
Рет қаралды 2,9 М.
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
52:39
Reality of Christ Church
Рет қаралды 25 М.
KANUNI ZA KUTAWALA ULIMWENGU WA ROHO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
23:25
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 31 М.
MWISHO WA UCHAWI BY PASTOR SUNBELLA KYANDO
56:45
Reality of Christ Mwanza
Рет қаралды 10 М.
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:07:06
Reality of Christ Church
Рет қаралды 65 М.
💩Поу и Поулина ☠️МОЧАТ 😖Хмурых Тварей?!
00:34
Ной Анимация
Рет қаралды 2 МЛН