No video

MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO

  Рет қаралды 24,960

Reality of Christ Church

Reality of Christ Church

Күн бұрын

Mathayo 13:24-26
[24]Akawatolea mfano mwingine, akisema, Ufalme wa mbinguni umefanana na mtu aliyepanda mbegu njema katika konde lake;
[25]lakini watu walipolala, akaja adui yake akapanda magugu katikati ya ngano, akaenda zake.
[26]Baadaye majani ya ngano yalipomea na kuzaa, yakaonekana na magugu.
Mpanzi alienda kupanda mbegu lakini adui alisubiri wakati wa usiku naye akaenda kupanda uharibifu.Adui huwa anasubiri wakati umelala(wakati ambao umetulia,hujui chochote kinachoendelea) ndipo wakati naye anakuja kupanda vya kwake.
Neno linasema kuwa majani ya ngano yalipoanza kumea ndipo wakagundua kuwa kuna magugu pamoja nayo.Ngano haioti kwa siku moja,mpanzi alikuja kugundua kuna magugu baada ya muda kupita.
Kumbuka adui alipanda magugu lakini hakusubiri yaote,alipomaliza kupanda akaondoka lakini madhara ya hiyo mbegu yalikuja kuonekana baada ya muda kupita.Ndio maana shetani anaweza kuzuia mwanamke kushika ujauzito toka akiwa mtoto mdogo lakini madhara ya hii mbegu inakuja kuonekana anapoingia kwenye ndoa na anapohitaji mtoto,hapa ndipo anakuja kugundua kuwa kuna ambacho sicho cha kiMungu kimepandwa.
Ni vizuri sana kutafuta kujua kama kila kitu kipo sawa kwenye maisha yako,unaweza kuona kuwa hakuna tatizo kabisa kwenye maisha yako kwa sababu tu bado magugu hayajamea.Kaa vizuri na Mungu naye atakuonesha mahali penye pando ambalo silo lake na atalitoa.
Katika ibada ya hii ambayo iliongozwa na Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando tulijifunza kuhusu namna adui ambavyo anatumia sana muda wa usiku kupanda uharibifu,na Jumatano ijayo tutakuwa na maombezi juu ya kuondoa kila pando ambalo silo la Mungu kwenye maisha yetu.
UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our KZbin: www.youtube.co....
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz

Пікірлер: 45
@halmashekalage2318
@halmashekalage2318 Жыл бұрын
Be blessed mtumishi
@naominoel9333
@naominoel9333 Жыл бұрын
God bless u Pastor 🙏🏿
@Besmile27
@Besmile27 3 жыл бұрын
Am going to be good mapenzi ya Mungu yatimizwe🙏🏻
@lazarouscheyo8558
@lazarouscheyo8558 6 ай бұрын
Thanks jesus😢🙏
@samwellwiza1098
@samwellwiza1098 3 жыл бұрын
One of the best teacher....
@saramtei4371
@saramtei4371 2 жыл бұрын
Pasta mungu akupe haja ya moyo wako ili tuendelee kujifunza hakika toka nimeamuamua kukufuatilia nimemuona mungu ktk maisha yangu amen
@happymushi8197
@happymushi8197 3 жыл бұрын
Mungu akubariki sana mtumishi
@jerubetjoan20
@jerubetjoan20 2 жыл бұрын
A good teacher through him I have learned alot
@everlineeva594
@everlineeva594 3 жыл бұрын
Ameeen mtumishi be blessed ,nauliza hivi ,mimi huwa napenda kupeana sana mtu akihitaji msahada kwangu ,,,,,but me kupata mtu wa kunisaidia huwa sipati ,,,so nashindwa sana naomba unielimishe hapo
@tsg1136
@tsg1136 3 жыл бұрын
Mmh. wewe n Mtu Mzuri Sanaa
@jaffarijembekali2684
@jaffarijembekali2684 3 жыл бұрын
Nabarikiwa sana na mafundisho ya Reality Christ kupitia KZbin, Mungu ibariki Madhabahu ya Reality Chini kiongozi Mtushi Sunbella na wengine wote Mungu na awatie nguvu jamani kabla sija sahau naomba Ratiba yapo Kanisani.
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Amen.Tuna ibada kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni, Ijumaa kuanzia saa kumi na moja jioni na Jumapili kuanzia saa tatu kamili asubuhi.Pia tuna ibada Dodoma kila siku ya Jumatano kuanzia saa kumi na moja jioni pale ukumbi wa Dear Mama, Area C njia panda ya kuelekea Arusha. Karibu sana.
@happymathew7414
@happymathew7414 2 жыл бұрын
Uko sahihi mtumishi nashukuru kulifahamu hili kuna nyakat mchana napata hofu sana lkn sikujua kama spiritual situation ucku nkiwa nmesinzia tu nkasikia kama jitu kubwa limeingilia dirishan likanikalia mgongon nkajaribu kupiga kelele saut haitoki nakemea haliondoki baada ya mda ile hali ikaondoka nkashtuka usingzn pastor huwezi amin ilikuwa halisia nlijawa na hofu San kiasi kwamba nlishindwa kulala tena, nashukuru sasa najua mamna ya kudili navyo
@anisertnjuka
@anisertnjuka Жыл бұрын
Mtumishi nina shida ya kuongea na wewe niko mtwara nimeokoka nampenda yesu nimesikiliza mafundisho yako nikaona naweza pata msaada kupitia wewe, hivyo kama nikipata kibali machoni pako na kwa bwana naomba msaada wa mawasiliano yako nikueleze matatzo yangu, asante sana mtumishi wa bwana mungu akupe mafunuo zaidi
@graceoisso3238
@graceoisso3238 3 жыл бұрын
Amen, asante baba kwa mafunuo haya, asante MUNGU kwa kutupa mtumishi Sunbella. Jina lako litukuzwe milele Jehova.
@elishasoka6692
@elishasoka6692 2 жыл бұрын
napata maarifa kila sku kupitia mafundisho yako Mungu akuinue zaidi
@JoyfulGod
@JoyfulGod Жыл бұрын
Amen ,God bless you man of God I have learned so much from you.
@rhodakisena6428
@rhodakisena6428 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana na mafundisho yako , naimani Mungu atanisaidia
@lucasgasper5235
@lucasgasper5235 2 жыл бұрын
Aaaamen
@starluzenja9861
@starluzenja9861 2 жыл бұрын
Woow!!!Jamani this man is blessed.I am learning so much
@martinakemunto7785
@martinakemunto7785 11 ай бұрын
Wapenzi wenzangu wale hatuko tanzania tuna wasiliana vipi na hii kanisa
@patriciamwenge1821
@patriciamwenge1821 3 жыл бұрын
Mtumishi ninakuelewa Sana,napokkea kufunguliwa
@josephmtatilo2326
@josephmtatilo2326 3 жыл бұрын
Amina baba
@happymushi8197
@happymushi8197 3 жыл бұрын
Mtumishi naomba no yako kama hutojali. Ubarikiwe sana.
@Besmile27
@Besmile27 3 жыл бұрын
Amen
@aramudaudinkeyemba2574
@aramudaudinkeyemba2574 2 жыл бұрын
Amina
@violethkibwana7855
@violethkibwana7855 3 жыл бұрын
Uko sahihi kabisa baba
@emmymatigula4870
@emmymatigula4870 2 жыл бұрын
Amen Halelujah
@lovedotmusicproduction4727
@lovedotmusicproduction4727 3 жыл бұрын
Mungu wetu akubariki sana baba. Kanisa lipo wapi kwa Dar?
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Kanisa lipo Sinza Mori karibu kabisa na ofisi za TAMWA.Karibu sana.
@josephnganga2334
@josephnganga2334 3 жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana
@breezy9398
@breezy9398 3 жыл бұрын
Njoo mpk sinza mori ukitokea shekilango mkono wa kulia kuna barabara inanyoosha mbele utakutana na geti jeusi imeandika tamwa pemben ake utaona kanisa
@christinesavai884
@christinesavai884 2 жыл бұрын
AMEN
@danstonecool1734
@danstonecool1734 2 жыл бұрын
tuned
@violethkibwana7855
@violethkibwana7855 3 жыл бұрын
Hallelujah
@irenengina233
@irenengina233 3 жыл бұрын
Niulize unapo tuma sadaka nilazima mtu aweke code ukituma ukiwa Kenya..
@breezy9398
@breezy9398 3 жыл бұрын
Sio lazima ila ikikataa jaribu kuanza code ni +255
@yustinmbilinyi671
@yustinmbilinyi671 3 жыл бұрын
Mtumishi samahan naona kama imerudia ile ile ya kwanza au
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
Zipo mbili, sehemu ya kwanza na sehemu ya pili.
@yustinmbilinyi671
@yustinmbilinyi671 3 жыл бұрын
dah ahsante sorry mtumish kumbe zote nliziona ila nikasahau leo nukawa nmeona kama hii yote nimoja kwasababu nlikua naham sana kuiona inayofuata hii nmeifuatilia yote juzi nlipoona leo nikadhani ndo iliyofuata baada yapale nlipoishia ubarikiwe mtumishi
@yustinmbilinyi671
@yustinmbilinyi671 3 жыл бұрын
nnacho mshkuru Mungu kuhusu huduma yenu nikwamba kwaupande wangu naona nimuujiza sana kwasababu kipindi chanyuma baada yakuokoka nliwah kufunga nikimsihi Mungu anijaze Roho mtakatifu nipate wepesi kwenye wokovu lakini mpaka mwisho wamfungo sikuona nlichokua nakitafuta ila wakati napita pita KZbin nikaona mafundisho yako nikakuta nayaelewa isivyokua kawaida yani kutoka hapo haziwez kupita siku mbil sjafuatilia mafundisho yako wala sijadownload video zako yani ukifundisha kilasomo linanigusa sana na ndivyo lilivyo katika maisha yangu ubarikiwe saana sana mtumishi neema uliyonayo izidi kuwa hivo hivo isipungue mpaka hapo nmeamini kua Mungu ili atende kazi anatumia watu hashukagi yeye kama yeye kutufundisha kikubwa tu sisi nikumuomba kama vile mimi niliomba Roho mtakatifu awe mwalimu anifundishe sir zaufalme wa Mungu hakika sasahivi namimi pia naenjoy sana wokovu hata nikiskia jehanam na mbinguni hatuendi lakin siwez kuacha wokovu kupitia mafunzo yako misuli yangu yaimani imekua imara sana Sunbella mwalemi sana 👏👏👏
@realityofchristchurch
@realityofchristchurch 3 жыл бұрын
@@yustinmbilinyi671 Amen Amen,Mungu azidi kukubariki sana na kukufanikisha.
@pispaakim5123
@pispaakim5123 2 жыл бұрын
@@realityofchristchurch ubarikiwe mtumishi kwa Mara ya kwanza nimekusikiliza leo najuta kwa nini sikukusikiliza mapema, ushuhuda wako umenigusa natamani kuongea nawewe nakupataje
@emilianajoshua2391
@emilianajoshua2391 3 жыл бұрын
Amen
NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:00:35
Reality of Christ Church
Рет қаралды 8 М.
MALANGO YA NDOTO YANAVYOTUMIKA NA ADUI (IV) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:13:04
Reality of Christ Church
Рет қаралды 137 М.
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 12 МЛН
Dad Makes Daughter Clean Up Spilled Chips #shorts
00:16
Fabiosa Stories
Рет қаралды 1,9 МЛН
Pool Bed Prank By My Grandpa 😂 #funny
00:47
SKITS
Рет қаралды 20 МЛН
MAMBO MANNE YA KUFANYA KILA ASUBUHI UAMKAPO Sehemu ya Kwanza - Innocent Morris
42:19
MAARIFA YANAVYOWEZA KUKUSAIDIA KUZISHINDA NGUVU ZA GIZA -PASTOR SUNBELLA KYANDO
49:26
SADAKA NA FUNGU LA KUMI
48:56
RGC-TOANGOMA
Рет қаралды 20 М.
NYOTA YAKO INAKUTAMBULISHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
27:08
Pastor Sunbella Kyando
Рет қаралды 5 М.
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA  - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:07:06
Reality of Christ Church
Рет қаралды 65 М.
NGUVU ZA GIZA ZILIZOJIFICHA - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:20:36
Reality of Christ Church
Рет қаралды 90 М.
NAMNA NGUVU ZA GIZA ZINAVYOFANYA KAZI (II) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
43:57
Reality of Christ Church
Рет қаралды 15 М.
Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris
1:11:14
Holy Spirit Connect
Рет қаралды 112 М.
NAMNA YA KUSHUGHULIKIA UCHAWI BILA KUPATA MADHARA (III) - PASTOR SUNBELLA KYANDO
1:03:52
Cute kitty gadgets 💛
00:24
TheSoul Music Family
Рет қаралды 12 МЛН