No video

RECAP: UCHAMBUZI SHOW YA ALIKIBA CANADA, UONGOZI UNAMUANGUSHA, RAYAVANNY WAANDAAJI WANAMUANGUSHA

  Рет қаралды 8,986

Bongo5

Bongo5

Ай бұрын

Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny

Пікірлер: 63
@user-ix8kb1co9q
@user-ix8kb1co9q Ай бұрын
Tmkiba oye yaaa❤❤❤❤❤
@Mariam-fm8vq
@Mariam-fm8vq Ай бұрын
King kiba King 👑 ❤❤❤
@Mbaley
@Mbaley Ай бұрын
Guy unaupenda mziki wa bongofleva elmando
@user-il6rm7cj1g
@user-il6rm7cj1g Ай бұрын
Kiba unyama sana❤❤❤❤❤❤❤❤
@jastinedaudi-qi9vr
@jastinedaudi-qi9vr Ай бұрын
Ww tok lin rayvanny akaw International artist
@user-dy9tg3bp4w
@user-dy9tg3bp4w Ай бұрын
Ko unataka kusema 😢
@PhilimoniLangeni
@PhilimoniLangeni Ай бұрын
Wewe mutohe alikiba huko unasikia wewe uyo ndo msani namba Moja Tanzania hiiii umeona show hiyo mzee kaonesha ukumwa Sanaa alikiba wangekua wengine apo tungeongea mengine
@donbrighter
@donbrighter Ай бұрын
So why would Alikiba afanye show yabure kama haowatu. Kwani ashakuomba hela yakula bro
@abcdefghijklmno59466
@abcdefghijklmno59466 Ай бұрын
Wewe ndie mtangazaji TZ, wengine wote wapambe.
@user-uf5eo9vy3d
@user-uf5eo9vy3d Ай бұрын
Kiba ni fundi kitambo Sana aongeze bidii kweny kupush mbele mziki wake kimataifa
@blackchinaworldwide8292
@blackchinaworldwide8292 Ай бұрын
Sasa nawewe music wake umefika wapi 😂😂😂😂 ile tamasha ujue
@HakizimanaFiston
@HakizimanaFiston Ай бұрын
Alikiba nini sasa Alikiba hapo walikuja kamakumuona R Kelly ao Nelly ivo
@WendoJuma
@WendoJuma Ай бұрын
Show za kiba nizakibabe...sio upige pige vishow mchwara..afadhali akae miaka minne lakini akitangaza Show.. inakua kubwa
@SuleAmber-lw2tx
@SuleAmber-lw2tx Ай бұрын
Bro KingKiba ana heshima yake sema n msanii asieh na makuzi imagine alikiba na yeye angekuwa na mbwembwe kama hao wanaojikuta wakubwa 😂 ingekuwa ni balaaa
@user-jd6vr9xw1o
@user-jd6vr9xw1o Ай бұрын
Kweli broo ,Kwa Rivanny inatia huzuni kuona show haikufanyika
@KipampeMedia
@KipampeMedia Ай бұрын
😂😂😂 apo kwenye kupafom bure ndio kasheshe
@RahelYohana-xw5ve
@RahelYohana-xw5ve Ай бұрын
Chizi huyu show bure yeye angeweza hajui kuwa hiyo ni kaz
@Anwar_khan-
@Anwar_khan- Ай бұрын
Sema huyu jamaa anatafuta kiki t 😂😂ila ache maneno yasiokuwa na ushahid ajitahid huenda kuitwa pale next level
@chodohbbway2843
@chodohbbway2843 Ай бұрын
sanaaaa manejment zinaua wasanii
@user-ki2wo7us1b
@user-ki2wo7us1b Ай бұрын
❤❤
@tomsijohni
@tomsijohni Ай бұрын
Ndo shids za media za Tanzania kukandia Wasanii wengine ili wengine wakue juu miaka yote
@james-lx6rf
@james-lx6rf Ай бұрын
umeongea kweli kuhusu alikiba anatuangusha saaaana sana sana anafanya vitu kwa kujiskia
@malishjimmy9529
@malishjimmy9529 Ай бұрын
Hey Bomgo5, Afrofest is a free Afro-Canadian music event promoting African musical culture. Maybe Alikiba just came for the event to promote his fan base. There has been no gate collection at the event always. Lots of Bongo Flava artist are gonna lose their saving if they tyrina fake shows to match up Simba.
@user-zt1vu4ho2y
@user-zt1vu4ho2y Ай бұрын
Hizo mambo intkw kufnywa na msanii undr ground na co lv aliyonayo kibao au mond
@davidsika5292
@davidsika5292 Ай бұрын
Alikiba hajui mziki wa kisasa bado yupo na nyimbo za akina seya
@bizmaterial594
@bizmaterial594 Ай бұрын
Na anakubalika kuliko kina dadamond
@ISSASHABANI-sw7lx
@ISSASHABANI-sw7lx Ай бұрын
Mbona haja post huwo ubishi ili tukaona na tukaamini kama ni kweli muongo muongo muongo show yake asinge pata watu mbwa huyu sehem alie kuwepo king hao wasenge wote hawawezi kutamba
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 Ай бұрын
Alikiba kiboko
@davidsika5292
@davidsika5292 Ай бұрын
Mziki wa kiba hauwezi kuingia afronation
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 Ай бұрын
Hao wakina Ali, Rayvany, wakina Mario, konde hawanaga Ménagement ni washikaji zao wabeba begi na camera tu 🤣🤣
@Mbaley
@Mbaley Ай бұрын
Are you serious ?
@kitunganolwebo7570
@kitunganolwebo7570 Ай бұрын
@@Mbaley 100%
@victorguapo7827
@victorguapo7827 Ай бұрын
@@kitunganolwebo7570acha uongo
@user-zt1vu4ho2y
@user-zt1vu4ho2y Ай бұрын
Wewe upo tayr kufnya kazi bila kulipwa?
@natureboy972
@natureboy972 Ай бұрын
Uyujama anakwama wapi ivi unadhani kiba anaweza kupiga show yabule ? Acha upumbavu kijana kwani wew hutaki kua mutangazaji mukubwa mbona huendi inje
@rutimarlon
@rutimarlon Ай бұрын
Ni kweli ilikuwa bure ndo tuliingia
@user-zl6hg9so6s
@user-zl6hg9so6s Ай бұрын
Uyu kiaz kweli eti afanye kazi bule 😂
@iddysonyo1356
@iddysonyo1356 Ай бұрын
Mando please naomba unijbu je Africa hiii ni msanii gani levo ya alikiba ambae bado ananguvu kama alikiba pia usisahau alikiba nimiongoni yawasanii waliofanya show nyingi nje zaidi kwahiyo pialazima kiwango kishuke
@barekebavugemasudi3436
@barekebavugemasudi3436 Ай бұрын
Vany boy tatizo watu wanamsimamia ni wandugu zake njo shida hana chakuwafanya
@Hassanmoreno07
@Hassanmoreno07 Ай бұрын
Leo umeongey ukweli
@Anwar_khan-
@Anwar_khan- Ай бұрын
Broo ndio ujue huo ni uongo hapana ukwel yaan mtu mpk afike kwenye show alaf ndio pana ugomvi
@user-km4om6bw1j
@user-km4om6bw1j Ай бұрын
Km
@FadhiliKato
@FadhiliKato Ай бұрын
Kiba afanyi show za bure bro hayo mambo ya wale wasafi ya kufanya bure
@SokoroboyNdend-iv1js
@SokoroboyNdend-iv1js Ай бұрын
Teem kiba sema yebaba
@pilimwanza8117
@pilimwanza8117 Ай бұрын
Huyu jamaa hajijui hajitambui anabadilika kama kinyonga
@vanjay8685
@vanjay8685 Ай бұрын
tatizo lenu ni kumpa rayvanny ukubwa asionao..show zote za international kadandia,,,show ya mtv ilikua ya maluma ,show zote mbili za albania kadandia dakika tatu na anatolewa,india kaenda harusini,dubai show ilikua ya norah fateh..sikumbuki show ya rayvanny yeyote yake mwenyewe aliyofanya maana hata london juzi aliitwa tu kama opening act...alafu huku mnamuita international
@rajabdibwa6415
@rajabdibwa6415 Ай бұрын
Jamaa anaongea ukweli wasanii wavivu kwenda kimataifa wanangojea watu wawafuate
@bakarisalim6482
@bakarisalim6482 Ай бұрын
Hakuna ya KAZI ya bure
@yfhff5268
@yfhff5268 Ай бұрын
Sasa si awafukuze hilo ndio tatizo la kubebana
@ShabaniMussa-o4e
@ShabaniMussa-o4e Ай бұрын
King kiba uko kasha yokakufany show za bure we kuweza wenziy wana ingiza pesa we upig show bule kisa uwonekan ume piga show nchi za nnje apo nime kupinga king hana shobo izo kk
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 Ай бұрын
Inaonyesha apo rayvann ndo Kila kitu ray yeye ndo management ndokila kitu ..iyo manegment sio professional haawapo kikaz
@opsbunhalisi
@opsbunhalisi Ай бұрын
Apana uyo ni Big brand anafanya biashara bro. Hawezi kwenda for free. Kunawa wasaani wangapi hawaendi huku bro Yani ni wasaani wadogo?
@HassanMussa-vk3tj
@HassanMussa-vk3tj Ай бұрын
Tz tukobado
@user-qz8gn6bn6r
@user-qz8gn6bn6r Ай бұрын
Ww uko fala acha utangazi br hujuw
@ankalmzito254
@ankalmzito254 Ай бұрын
Management tupo ila Rayvanny alikataa kutupatia simu yake ili tuandikie mashabiki msamaha.....ikabidi yeye mwenyewe aandike
@mahmoudmihanjamu669
@mahmoudmihanjamu669 Ай бұрын
Kila kitu kingekuwa simple kama kuchukua camera na microphone then life was going to be easy😂😂😂
@maxozone3762
@maxozone3762 Ай бұрын
Jamaa ni mkweli na Hana cha utimu anaongea ukwel ..ingependeza wasanii wa eleke kimataifa zaidii ..management wengine sio wa kimataifa ndipo wanakwama bingo pekee
@ShabaniMussa-o4e
@ShabaniMussa-o4e Ай бұрын
So Kwa alikiba kufany show bite sas
@juliuskafula-ee3yb
@juliuskafula-ee3yb Ай бұрын
Yani msanii atengeneze brand yake na mziki wake kwa gharama kubwa alafu apige show Bure. Ebu na wewe nenda MTV Ukatangaze ....Kaa ukijua alikiba sio msanii wa kupiga show Bure brother msanii hawezi kula followers ..
@user-td4le3xf7h
@user-td4le3xf7h Ай бұрын
Ivi wewe unaelewa nini kuhuss mziki na show
@alexshabani2012
@alexshabani2012 Ай бұрын
Show ya bure ao tunaitji pesa
@user-rp5fe7ie7t
@user-rp5fe7ie7t Ай бұрын
wewe nimpumbavu
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 32 МЛН
Викторина от МАМЫ 🆘 | WICSUR #shorts
00:58
Бискас
Рет қаралды 6 МЛН
Magic trick 🪄😁
00:13
Andrey Grechka
Рет қаралды 32 МЛН