Rehema Simfukwe - Huniachi (Official Video Lyric)

  Рет қаралды 13,357

Rehema Simfukwe

Rehema Simfukwe

Күн бұрын

HUNIACHI ni wimbo wenye kutukumbusha UKUU na uweza wa MUNGU wetu na KWELI iliyo kwenye AHADI zake! Kwa mazingira yoyote yale YEYE amesema HATATUACHA. AHADI zake ni KWELI na ZIMEHAKIKISHWA.
Upitapo katika maji mengi nitakuwa pamoja nawe; na katika mito, haitakugharikisha; uendapo katika moto, hutateketea; wala mwali wa moto hautakuunguza. Isaya 43:2
Live Recorded at Jakaya Kikwete Convention Center -Dodoma Tanzania
Song Composed by Samuel Yonah
Soprano:
1)Sarah John
2)Anna Masero
3)Joyceline Kato
Alto:
1)Elizabeth Hange
2) Happiness Humbo
3)Hannah Malumbu
4)Maryline James
Tenor:
1)Joshua Lugendo
2)Hagai Ipyana
3)George Sangiza
MD/Arranger/MainKeys - Samwel Yonah
Aux1(Synth Lead) - Victor Daniel
Aux 2 (Brass/Synth Cord) - Alfred Yonah
Aux 3 - (Marimba/Bells/Synth) Nasamwa Mwangosi
Guitarists:
Guitar 1🎸 - Andrew Kaniki
Guitar 2 - Emmanuel Robert
Bass Guitar -Raphael Shayo
Bass Guitar - Emmanuel Materu
Acoustic - Bezalel Mwandete
Drums:
Charles Singano
Peter Kiondo
Hospitality: Lightness Rhody, Praygod Ulomi, Sadwel Grishael
Lyric Interpreter: Venisia Z Mzonya
Audio Mixed/Mastered by Samuel Yonah/Samyonstudios
Decorations/LED Screen: Simply Special Decor
FOH Sound & Backline Equipment & Stage & Lights : HaddyPro Company Ltd
Make-up: Shatafrica Beity Store
Designer: Jujustitches

Пікірлер: 25
@yorkshan
@yorkshan Ай бұрын
Sijawahi pata likes leo mnikumbuke nimewahi
@nimohmary1572
@nimohmary1572 Ай бұрын
For the person reading thz God will never leave u...hadi mwisho wa dahari...Luke 1.37..Kwa kuwa hakuna neno lisilowezekana kwa bwana...never give up,he will never leave u.Amen
@sidimasha6626
@sidimasha6626 Ай бұрын
Uko nasi katika nchi yetu ya kenya na katika moto hautatuteketeza ...
@MaryhannahMembe-ok4gu
@MaryhannahMembe-ok4gu Ай бұрын
Great job woman of God.......
@francesmpangwa8801
@francesmpangwa8801 Ай бұрын
My song Mungu akubariki saana sister Akee Nabarikiwa saana na nyimbo zako 🙏🙏🙏
@GeorgeEbong
@GeorgeEbong Ай бұрын
Always, inspiring and deep into the soul
@mwlamaninnko.25
@mwlamaninnko.25 Ай бұрын
Hallelujah!!! Barikiwa mno sista ake
@clarisokeyo5493
@clarisokeyo5493 Ай бұрын
Great declaration...yes Mungu Wangu Jehova aishiye huniachi
@GraceNyambura-ew6zo
@GraceNyambura-ew6zo Ай бұрын
Another banger❤❤ team Kenya 🇰🇪
@edwardmsuya8182
@edwardmsuya8182 Ай бұрын
Yesu Hatuachi 🙌🙌🙌
@habilmeshack9462
@habilmeshack9462 Ай бұрын
Unajua sana ❤
@samuelmwangi2048
@samuelmwangi2048 Ай бұрын
Kwa hakika huniachi 🇰🇪
@estherwanyonyi621
@estherwanyonyi621 Ай бұрын
❤Kenya 🇰🇪
@mildreddiera2984
@mildreddiera2984 Ай бұрын
Mungu hutuachi (Kenya) yetu
@doreenmukethi2111
@doreenmukethi2111 Ай бұрын
Hallelujah
@gloriavisongo2432
@gloriavisongo2432 Ай бұрын
Asante sana Mungu wangu
@Tumaini_bayu
@Tumaini_bayu Ай бұрын
Baba umesema huniachii❤
@GraceNyambura-ew6zo
@GraceNyambura-ew6zo Ай бұрын
Isaiah 43❤❤❤
@charleskisangani60
@charleskisangani60 Ай бұрын
Amazing 😍🤩🤩
@komissa3674
@komissa3674 Ай бұрын
This song is dope 💯
@sarahetcaleb
@sarahetcaleb Ай бұрын
Hallelluyaaaa
@davedukes0001
@davedukes0001 Ай бұрын
Wapi likes my fellow Kenyans,,,
@victorcephas3618
@victorcephas3618 Ай бұрын
Tunaosubiria video Kwa hamu tujuane hapa Kama tulivyokubaliana video ikitoka tu views 1m day one. #Huniachi
@jameskenny1808
@jameskenny1808 Ай бұрын
Kwa nini nyimbo zenu hazi seme habari za zambi na hukumu? Chunguzeni huduma zenu ziko kwenye misingi gani
@rwachurch
@rwachurch Ай бұрын
Hallelujah Yesu ukonami ❤❤❤
Rehema Simfukwe - Huniachi (Live Music Video)
10:44
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 279 М.
THE BEST OF REHEMA SIMFUKWE | PRAISE AND WORSHIP SONGS
1:06:16
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 80 М.
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
The CUTEST flower girl on YouTube (2019-2024)
00:10
Hungry FAM
Рет қаралды 43 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 12 МЛН
Neema Yako
12:49
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 890 М.
Malayalam Christian Worship songs with lyrics
33:17
Saxan Rappai
Рет қаралды 9 МЛН
Sunmisola Agbebi Live Worhip
30:20
Acoustic Worship Experience
Рет қаралды 7 М.
Rehema Simfukwe - Ndio (Official Video Lyric)
9:23
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 602 М.
Niseme Nini (Baba Ninakushukuru) LYRICS - Dr. Ipyana
15:42
Dj Marita
Рет қаралды 2,2 МЛН
Rehema Simfukwe - Chanzo ( Official Video Lyric)
9:19
Rehema Simfukwe
Рет қаралды 566 М.
Israel Mbonyi - Nitaamini
12:58
Israel Mbonyi
Рет қаралды 26 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН