Tanzania like ziko wapi 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 Natabiri Tanzania izidi kuwa Nchi ya Amani Yesu azidi kuongezeka Amina.
@frankelshivers22575 ай бұрын
Natabiri utajiri wa kiroho maishani mwangu
@mohamedlegacy2555 ай бұрын
Amen! Na iwe hivo.
@joshualugendo5 ай бұрын
Natabiri kila kilichokufa kwa maisha yangu kipate kufufuka tena na kuish tena
@elizabeth.uwimana5 ай бұрын
AMEN!!!!!!!
@cheptoophylis5 ай бұрын
❤Kama mifupa mikavu, natabiri ntaishi na kurejeshewa vyote vyangu vilivyo liwa na nzige. Amen Amen 🙏 🙌 🙏 🙌 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@winniemaingu3885 ай бұрын
Natabiri sitakufa mm wala mume wangu kabla ya wakati wa Mungu 🙏
@raphiaomary-ri3hc20 күн бұрын
Mwaka 2025, natabiri juu ya ndoa yangu, watoto wangu, kazi yangu (career) biashara yangu, afya njema, uchumi wangu, maisha yangu ya kiroho, chochote kilochokufa maishani mwangu kikafufuke tena na kustawi ❤❤
@daisypamela50413 ай бұрын
natabiriiiiii💯🙌🙌🙌aah,nimebarikiwa sana na huu wimbo
@MillicentJepchumba-b4v25 күн бұрын
God am tired of poverty, early death, premature pregnancies, abortion alcoholism that leads to severe fight that leads to blood shading in my family members, God may this situation change.Amen.
@gloriawafubwa50813 ай бұрын
I prophecy over my marriage, my children, My family,my health, my career/job and My spiritual life, God let your will be done in Jesus name amen 🙏 thanks 🎉❤
@michaeljohnjmalonja64345 ай бұрын
tz nikiwa kenya natabiri kesho yangu nimebarikiwa🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@PurityKerema5 ай бұрын
Amen natabiria kila kitu changu kilicho haribiwa na adui kiwe na uhai tena,Amen nimebarikiwa,peace,happiness, nd long life is my portion,AMEN
@ireneassenga5 ай бұрын
Prophesy son of man! Call those things that be not as if they were. 🙌🏼
@SakinaMuhangala-ur6br5 ай бұрын
Natabiri kwajili ya Maisha yangu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏,mimi ni Nuru ya ulimwengu,mimi ni kichwa,mimi nimbarikiwa wa bwana,mimi nimeteuliwa na mwana, Natabiri ku sogenzwa mbele tena katika uduma kwa jina la yesu Christ ❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
@Sindayigwanyaaline3 ай бұрын
Karamahizo mnaziharibu kwamapambo rehema mungu akufunguwe macho maana ya mapambo
@juliethmangale81085 ай бұрын
natabiri yote mema 2024🙏
@EverlynMwikaa4 ай бұрын
I prophecy success and prosperity in my new business in Jesus name,,AMEN 🙏🙏🙏
@valerieakoko48494 ай бұрын
Asante Yesu 🙏🏽🙏🏽🙏🏽❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
@kizittohescary12135 ай бұрын
Minister devota wew ni mtu mkubwa mno ,ur confidence is international more grace WOG❤
Leo natabiri mambo yangu🙌... My God natabiri uzima wa kristo kwenye kila kona ya maisha yangu na my family. AMEN❤
@victoriajanira66685 ай бұрын
Nimekufuata uku rehema 🎉
@graceamnon55535 ай бұрын
@devotha Joseph and @rehema Simfukwe God bless you WOMEN OF GOD. ❤🔥🔥🔥 naitabilia Amani and development East Africa in Jesus name.
@AgathaProsper-q9m5 ай бұрын
i see you Devotha my college class mate, Yesu azidi kukuinua for his Glory🙌
@ble9134 ай бұрын
Natabiri kwa jina la yesu chochote kilichokufa ndani yangu kinapokea uhai kwa jina la yesu
@johnmwanjiku83915 ай бұрын
Ooh halleluja what a masterpiece.Grory be to God allmight.
@sophiaabukutsa57395 ай бұрын
Natabiri 🙌
@loycesamwel12295 ай бұрын
NATABIRI🙏🙏
@itikakanyelela91045 ай бұрын
Sikia kuomba kwangu ee Baba yangu
@DolaVlogs3 ай бұрын
Very nice ❤❤❤
@suzanaemanuel36215 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏
@elizabethmabula60445 ай бұрын
Natabiri mambo yanguuu😭😭😭,, Ameeen🙌🙌🙏🙏,, God will consign me toward his will🙌🙌😭,, God bless you my sister
@dinahadhiambo10955 ай бұрын
Natabiri uzima ya Yesu Kristo katika maisha yangu na nyumba yangu katika jina kuu la Yesu Kristo na upako lisilo na kifani..... NATABIRI!!!Sitakufa bali nitaishi.
@mobigo2mobigo4 ай бұрын
Haleluyah! Am Blessed This Song❤
@maikoisack1005 ай бұрын
❤❤❤AMINA
@ShadrackIsaya-k9m5 ай бұрын
Dada simfukwe chukua🎉🎉🎉 yako,mungu aendelee kukupa neema zaid,2 nimbo zako nabalikiwa sana ukiimba nyimbo za talatibu
@chrispinantabaye48665 ай бұрын
Kama mifupa mikavu ilivyoishi,natabiri uzima na afya katika roho na mwili wangu,natabiri kubarikiwa,kuishi,kibali ya Mungu juu yangu na vyote vyangu,heshima,natabiri kurejeshewa mara saba kila kilichoibiwa na mwovu......natabiri YOTE mema kwa mkono wa Bwana....Amina🙏Imekua❣️🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@gracemasanja20405 ай бұрын
Kama mifupa iliweza kuishi, natabiri afya ya kiroho na kimwili,natabiri ndoa njema uzao bora katika Jina la Yesu🙏
@ShukraniEbambeBeline5 ай бұрын
Sikia kuomba. Kwngu e yesu wangu 🙏🙏🙏🙏
@JosephChilemile5 ай бұрын
Natabiri hakika... hali ya kuwa mwana wa Mungu niliyoipokea kwa kupitia Yesu Kristo itadhihirika na kuonekana kutenda kazi .... ##AsiliYaUungu.... #Natabiri
@mossesmungure5 ай бұрын
Hallelujah Hallelujah natabiri zaidi Mimi ni Mkuu na Wajuu siku zote. Natawala vitu vyote namiliki natiisha ulimwengu na vyote chini na Jua 🙏🏽🙌🏽🙏🏽
@rosemakena82675 ай бұрын
Wow,I love it ❤❤❤❤❤
@joycehaule97175 ай бұрын
Mmenichanganya balaaa hapa nasikia upako tu....
@LucyKimani-i8f5 ай бұрын
Natabiri ❤❤❤ maisha yangu yatakua sawa
@Alex.T0625 ай бұрын
Au Nom du Père du Fils et Du Saint-Esprit Natabiri Mambo yangu Yote Amen❤
@joycellinekato11285 ай бұрын
Glory be to God🙌🏾🙌🏾
@rebeccavictor19905 ай бұрын
Natabiri Ndoa Yangu
@GraceNyambura-ew6zo5 ай бұрын
Natabiri kazi na urejesho maishani❤❤
@ambindwilemary30105 ай бұрын
Nice song, natabiri mambo yangu yatakuwa mema. Hallelujah.
@fideliswanguiwanjiku67394 ай бұрын
Kama mifupa mikaavu iliweza kuishi..leo natabiri mambo yangu yatakuwa mema..kwa jina la Yesu.
@enockmmali29923 ай бұрын
Great message to God be glory Amen.
@kibaelipateli29245 ай бұрын
We have given the authority to decree and declare na vitu vikatokea🙌🙌🙌🙌🙌❤️
@John-tn1ue5 ай бұрын
🔥🔥🔥❤️❤️
@NurdinSaleh-jf8so5 ай бұрын
Kama mifupa iliweza kuishi, ok mambo yangu Yana nini hata YASIIIIISHIIIIIIIIIII........!!!!? #NATABIRI
@moisenovich1034officiel5 ай бұрын
Tu es vraiment la source de bénédiction, parceque à chaque fois je t'écoute, tu me béni énormément Amen
@winniemaingu3885 ай бұрын
Natabiria watoto wangu watakuwa wema na baraka zitawafuata popote watakapokuwa watakuwa heri watoto wangu watakuwa na akili nyingi na watasoma maandiko na kuyaelewa ameeeeeen
@perisabebo19375 ай бұрын
Amina ye lord🙌🙌🙌🙌🙏
@straton375 ай бұрын
Ahsante saana...... MUNGU nimekuja natabiria mema maisha yangu