REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING ( Masanja)

  Рет қаралды 130,619

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Rev. Dr. Eliona Kimaro

Күн бұрын

Пікірлер: 224
@origakossan118
@origakossan118 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana Mch. Kazi unayofanya utalipwa na Mungu🙏🙏
@nsajimoses6781
@nsajimoses6781 Жыл бұрын
Ningepata hii elimu enzi hizo niko chuo kikuu ningekuwa mbali sana. Ubarikiwe sana Mch. Kimaro
@IREENNTIJE
@IREENNTIJE 6 ай бұрын
Yaaan mm ninaelekea shamba kweli masanja kutoka kuchekesha leo ubadilisha dunia mungu akutunze kabisa
@everlastinggospelchurchtz
@everlastinggospelchurchtz 3 ай бұрын
Kimaro you are awesome pastor
@mlimanigroup1278
@mlimanigroup1278 Жыл бұрын
Masanja bro nimekupata vizuri...nitachukua hatua
@mbokaandbahatitv8509
@mbokaandbahatitv8509 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu sana kwa ajili yako Mch Dr Kimaro na Mch Masanja... Asante sana kwa kazi nzuri
@ilovejesus9303
@ilovejesus9303 Жыл бұрын
Baba mchungaji Kimaro wewe ni wa pekee. Watching from USA 🇺🇸
@sayunilyego
@sayunilyego Жыл бұрын
amen God bless you pastor kimaro🙏🙏🙏
@irenekilenga-jb7bh
@irenekilenga-jb7bh Жыл бұрын
Mungu akutunze much.kimaro Kwa maono yako
@zubedambilinyi6426
@zubedambilinyi6426 Жыл бұрын
Mungu akbariki masanja
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
From dubai here mtumishi
@JanethKahamba-cn4bq
@JanethKahamba-cn4bq Жыл бұрын
❤❤❤nimebarikiwa mno cntokatamaa kumbee Mm ni boss mkubwa tu
@ocenathrkalwans6545
@ocenathrkalwans6545 Жыл бұрын
Asante baba kwa kipindi hiki nimejifunza kitu barikiwa baba
@mnyatulustores
@mnyatulustores Жыл бұрын
Ubarikiwe kwa kutukumbuka MAMA JoHN MBEYA
@farajalongo4528
@farajalongo4528 Жыл бұрын
1. Kupanda, 2. Kuweka mbolea, 3. Kuvuna Million moja kwa miezi sita!!!
@Madam255
@Madam255 Жыл бұрын
😂😂😂😂 ameeen
@clintonnjiku3616
@clintonnjiku3616 Ай бұрын
Barikiwe baba
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Chukua hii, FELI SHULE, FAULU MAISHAA
@shalomchaula4420
@shalomchaula4420 Жыл бұрын
@masanja kuwa serious Sasa bro 😂😂😂 ubarikiwe Sana pastor kimaro na bro masanja Mungu akuweke siku nagonga hodi tukalime kaka watu waliopo mbele hapo Mungu awa bariki dada getrude pia Mungu akutete.
@braysonfadhili5891
@braysonfadhili5891 Жыл бұрын
Nashukuru sana kwa hili funzo
@ombeninassary7428
@ombeninassary7428 Жыл бұрын
Ni kweli vijana tunatumia mitandao ya kijamii vijana. Lakini kuna wanaotumia kama fursa. Mfano mm niko arusha nilinunua tv yangu smart tv online kwa njia ya instagram kutoka dar. Nilikuwaga nahofia sana kama nitatapeliwa lakini yule bwana alikuwa mwema sana nililipa kidogo kidogo hadi ikajaa milioni moja na laki tisa. Siku nimemalizia tu kulipa alinitumia picha ya mzigo na risiti ya cargo aliyopakia nikaenda kuichukua. Alikuwa mwema sana yule bwana hadi leo tunawasiliana japo hatukuwahi kuonana. Anaitwa somebody nyaki. Yupo kariakoo duka linaitwa nard electronics
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Жыл бұрын
Barikiwa sana Masanja
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Жыл бұрын
Sijutii kutumia MB zangu kufuatilia hili, asante Yesu ww ujuaye maarifa na elimu tunayoihitaji sisi vijana wa kitanzania,Tujitafute tujipate😅😅😅
@dominickmassi7821
@dominickmassi7821 Жыл бұрын
Ubarikiwe mnoo mpendwa
@janengowi-lt9gu
@janengowi-lt9gu Жыл бұрын
Nimejikuta nachukia kazi nahisi kuchelewa nimepata kitu Asanteni watumishi
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Mchungaji to be honest masanja alinifanya nirudi kulima
@joycenganyule3231
@joycenganyule3231 4 ай бұрын
Uwiiiiii
@evamusuruve3196
@evamusuruve3196 Жыл бұрын
Hiyo ndio kazi ,natamani sana ,Mimi niko na mtaji but mtu wakunisahudua sina
@banguha
@banguha Жыл бұрын
Ningepata elimu hii miaka 3 iliyopita nisingekuwa na hali ngumu hivi nilitumia zaid ya m 10 kwenye biashara nyingine ikanikata si ningefanya kilimo eee Mungu nipe nguvu nataman kulima
@chloecallie3619
@chloecallie3619 Жыл бұрын
Sijawahi kujutia mb zangu kukusikiliza na kujifunza kutoka kwako
@jacklinafrancis7457
@jacklinafrancis7457 Жыл бұрын
Amen hakika siku hii imekuwa siku ya mabadiliko makubwa sana katika ufahamu wangu kupitia Life experience ya kilimo kumuhusu Masanja naona kutiwa nguvu. Nimeanza leo, kwa imani kesho nitashuhudia mavuno ya shangwe. thank u Pastor Dr Eliona Kimaro.
@HolySmileMedia
@HolySmileMedia Жыл бұрын
*HAKIKA KAZI NZURI IMEFANYIKA*
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱MCHUNGAJI KIMARO, HAKIKA WACHUNGAJI WA AINA YAKO WANAHITAJIKA ZAIDI YA KUHITAJINA
@elsaMo-b5r
@elsaMo-b5r Жыл бұрын
Nimejifunza kitu kikubwa sana Mungu akariki MCH kimaro
@AnnaMunishi-bm1qf
@AnnaMunishi-bm1qf 3 ай бұрын
Yaa mch. Nikivyopindi laiti ungeniuza duniani . Hapa milipo nimelegea kbsaa.Nawaza mpk nimechanganyikiwa Lait ningepata ht mfadhili mmoja na Mungu ambariki. Mwanangu anasomea upadri lkn naona giza. Bb mwambie ht masanja anisaidia ufadhili kwa ht mtoto huyu mmoja. Bb umepitia shida unajua. Mungu akutunze kwa unayofanya Mchungaji.
@beatricefilbert1171
@beatricefilbert1171 Жыл бұрын
Masanja we ni shida
@frankngoloka5416
@frankngoloka5416 Жыл бұрын
Amina mtumishi
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱Ubarikiweeeeeeeeeeeeee! Mchungaji Kimaro Masanja Ubarikiwe tena na tena
@arubalydia224
@arubalydia224 Жыл бұрын
Niko hapa Saudia Arabia eneo la Riyadh naomba mawasiliano tufanye hii kazi waraabu wanakula mchele tangia asubuhi
@johnmacha2194
@johnmacha2194 Жыл бұрын
Otesha nyanya alafu ufanye mobile farming, utacheka kienyeji🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, Lakwambia changanya na lako!
@emmanuelmatinde4895
@emmanuelmatinde4895 Жыл бұрын
Very impressing am following from Kenya , agriculture is the only backbone
@lucykebacho3446
@lucykebacho3446 Жыл бұрын
Amina masanja kwa kz nzuri
@fredynjige5663
@fredynjige5663 Жыл бұрын
Mchukueni na charle wa miswe Bagamoyo huyu ni bilionea
@adamfumbo5116
@adamfumbo5116 Жыл бұрын
Mch Kimaro Mungu asikuache Kwa maono hayo Asante Kwa somo la leo
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱Hakika mtabarikiwa zaidi ya KUBARIKIWA
@daudisiray2210
@daudisiray2210 2 ай бұрын
Vijana tunataka Midahalo kama hizi ndo zifanyike kila mwisho wa mwezi makanisani
@annamazengo975
@annamazengo975 Жыл бұрын
Asante sana tumepata kitu kikubwa Sana.
@enocklutonja339
@enocklutonja339 Жыл бұрын
Am so excited for the dialogue, we need to work up from the heavy dark wrapped our brain. Thank you for it
@leahshayo3359
@leahshayo3359 Жыл бұрын
Israel baba ni Tanzania walipindisha wazungu kiujajajaja
@annamazengo975
@annamazengo975 Жыл бұрын
Safi Sana mch.kimario,endelea kuita makongamano ya kutuhamasisha huo ni ukombozi wa fikra.
@jordanchisawilo6177
@jordanchisawilo6177 Жыл бұрын
Maono mazuri mchungaji kwa kuamsha fikra zetu kujitambua safi sana mchungaji
@tumainikyomo5646
@tumainikyomo5646 Жыл бұрын
Yaani hata Zambia inategemea vitu vingi vya chakula kutoka Tanzania. Viazi mvilingo,Michele,ndizi matoki,ndzi sukali, Tangawizi, hadi mbao jamani vingi. Vitungu nk,
@godymkumbwa6407
@godymkumbwa6407 Жыл бұрын
Hakika mafundisho haya yamenipa mawazo mapya tunashukuru kwa kutuletea hao watu watujenge
@theopistamwayeya1764
@theopistamwayeya1764 Жыл бұрын
Hongera sana baba mchungaji,Masanja wewe ni mfano wa kuigwa Mungu akuinue zaid!
@victoriangomuo1501
@victoriangomuo1501 Жыл бұрын
Shalom. Mungu wa UPENDO azidi kukuinua na kukupa maono zaidi na zaidi na kufungua wengi zaidi na zaidi. Nakuomba usiishie kwenye kongamano kwa vijana Bali MUNGU akupe maono ya kuwafungua na Wazee waliostaafu wanakufa kwa msongo wa mawazo. Kwenye KONGAMANO hilo la wazee umkumbuke Dr Victoria Ngomuo miaka 71 mama LISHE TIBA uliemkaribisha kanisani siku moja ambapo kupitia Huu ufunuo Mungu aliempa KUPITIA MWANZO 1:29-30, HATA KANSA YA DAMU, YA "OVARY, YA UTUMBO MKUBWA, KIZAZI, KOO wamepona. UTUKUFU KWA MUNGU UZIDI KUPITIA KWAKO. AMEN
@victoriangomuo1501
@victoriangomuo1501 Жыл бұрын
MCH. DR ELIONA KIMARO MUNGU AZIDI KUKUINUA AKUPE MAISHA MAREFU UONE WANA WA WANAO KIZAZI CHA TATU NA CHA NNE ILI WENGI WAPATE KUMJUA MUNGU ZAIDI NA ZAIDI KATIKA MAFUNDISHO YAKO NA MAKONGAMANO HAYA. VITA NI MTAJI WA KUMUINUA MTU ZAIDI NA ZAIDI NA KUMPA MUNGU UTUKUFU ZAIDI NA ZAIDI. AMEN
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 9 ай бұрын
Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta
@GilgariMinistryTanzania
@GilgariMinistryTanzania 9 ай бұрын
Nakupenda Sanaa sanaaa me ni mchungaji ila pasta kimaro nakupenda sanaaa Kwa kuwa na ufahamu mkubwa sanaaa songa mbele kaka pasta
@GraceNyota-l6b
@GraceNyota-l6b Жыл бұрын
Kimaro ndie mch anayeenda na wakati, hongera sana Mungu azidi kukupa maono makubwa zaidi
@ElidaimaLevayo-xp1oe
@ElidaimaLevayo-xp1oe Жыл бұрын
Ongeraaa sana mchungajii wew ni wakipekee sanaa
@siambowe9875
@siambowe9875 Жыл бұрын
Hongera sana baba, mchungaji kimaro,ni jinsi gani unatamani vijana wetu,waamke,ili waeze kufanikiwa. Masanja ninaomba connection please 🙏 ya kupata mashamba😅
@ndekusurasikawa6060
@ndekusurasikawa6060 Жыл бұрын
Asante Mungu kwa kunipa hii tecno nimejifunza makubwa kutoka watumishi hawa
@josephinemapuga3515
@josephinemapuga3515 Жыл бұрын
Namshukuru Mungu kwa ajili ya Mchungaji Dk.Eliona Kimaro hakika nimejifunza mengi kupitia mdahalo huu uliouandaa kwa neema ya Mungu.
@oswardndilahomba2903
@oswardndilahomba2903 Жыл бұрын
Ni kweli pastor Kimaro dagaa wa kigoma marekani wana soko kubwa sana kuna rafiki yangu ana password hiyo ya kuuza dagaa wa kigoma yako vizuri na oda zenyewe anapeleka kwa mwezi mara moja
@jonaslimbida8691
@jonaslimbida8691 7 ай бұрын
Waooow connection rafiki yangu
@EmmanuelMushi-j1i
@EmmanuelMushi-j1i 2 ай бұрын
Baba naomba namba zako nataka kuongea na wewe
@thomasmagoti9040
@thomasmagoti9040 Жыл бұрын
Haahahahahaaa lazima nifanikiwe kwa jina la yesu
@joycelaura4611
@joycelaura4611 Жыл бұрын
Huyu Mungu anamtumia huyu baba yetu Mchungaji Kimaro azidi kumtunza
@emmanueljacob4303
@emmanueljacob4303 Жыл бұрын
Pastor Kimaro I love you,just because what GOD insect in you,may GOD bless u.
@lulumasangwa9962
@lulumasangwa9962 Жыл бұрын
Naomben connection na masanja please nataka kwenda nae shamba na mimi nataka nikalime
@anethkitambi3140
@anethkitambi3140 Жыл бұрын
Hongera sana Mch Kimaro, kazi unayofanya ni njema Mungu akulinde sana
@kilimba687
@kilimba687 Жыл бұрын
Amen, nimebarikiwa na nimejifunza kitu Sana Mtumishi, Mungu akubariki Sana kwa darasa hili Mimi nikiwa kama kijana inahitajika nichukue hatua na hii ndio sehemu mojawapo ya kuanza kuchukua hiyo hatua kupitia watu kama Hawa waliofanikiwa!
@ngusubilambope3964
@ngusubilambope3964 Жыл бұрын
So inspiring Pr Kimaro and your hosts nimejifunza kitu kikubwa sana! Mbarikiwe mnoooo!
@gracemkomwa5172
@gracemkomwa5172 Жыл бұрын
Mbarikiwe sana kwa maono mazuri yanayo hamasisha. Na kuwafanya vijana au watu kujitambua na kubadilisha maono yao. Mungu awabariki sana.
@tumaininnko8091
@tumaininnko8091 Жыл бұрын
Mimi tumaini nnko nikosimanjro Masanja wewe ni mwalimu mungua kubariki wewe na mzee Kimaro tafutanasoko nyama ya mbuzi😅😅😅😅
@saimonijonas4356
@saimonijonas4356 Жыл бұрын
Mtaji ndo tatizo.Masanja hajakurupuka.Asante kwa elimu lakini uwezeshaji uwepo.Mimi nimejaribu lakini hoi.Kilimo ni mtaji.
@dominickmassi7821
@dominickmassi7821 Жыл бұрын
KUBWA NI WAZO
@miriamdavis3893
@miriamdavis3893 4 ай бұрын
Yeah ni mtaji ,kwaiyo anza na hicho kidogo au chagua kuuza mauza
@ebenezermachange-zp4es
@ebenezermachange-zp4es Жыл бұрын
Amen
@lydiambwele7026
@lydiambwele7026 Жыл бұрын
Pastor Dr. Kimaro you are amazing. Be blessed ambundantly
@dastansimpanzye4019
@dastansimpanzye4019 Жыл бұрын
Mungu awabariki sana, Ahsante Dr.Kimaro kwa maono mazuri.
@MICHAELMOBILECARE
@MICHAELMOBILECARE Жыл бұрын
Shamba tour season 2 nimeinjoy sana kweli bishop unachange World kwa kilimo watu wajue ukweli
@neemamasimba2981
@neemamasimba2981 Жыл бұрын
Mch ulichokifanya Mungu akubariki sana sana sana , maono yako ni makubwa mno, Hongera sana baba , chamecha mlisi o wandu wa ruwa
@gracengole2773
@gracengole2773 Жыл бұрын
Asante kwakupitia utumishi wako Mchungaji Kimaro umefanya Hadi Mimi ninafikiwa na ujumbe huu mzuri. Asnte
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
GOD bless you pastor
@amonmnzava6522
@amonmnzava6522 Жыл бұрын
Mungu akubariki kwa kazi njema unayo ifanya
@grolyqueen5833
@grolyqueen5833 Жыл бұрын
Mchungaji ameupigaa mwingi sana hongeraaa sana mchungaji Kwa wazo hilii
@GODSFOUNDATIONMISSION
@GODSFOUNDATIONMISSION 5 ай бұрын
Mudogo wangu inaitwa majaliwa mwenyeji wa mwanza anaishi ohio marekani ila anafanya ukulima tanzania 🇹🇿 Mimi pia 2026 nitaanza kilimo tanzania joo plan yangu
@faustinamaeda5721
@faustinamaeda5721 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro MUNGU aendelee kukutumia. Maono yako ni makubwa .
@EdithaJustine
@EdithaJustine Жыл бұрын
Mungu akubariki sana mchungaji kimaro. Tumejifunza mengi mno.
@sayunisisya4862
@sayunisisya4862 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana nashkru sana mchungaji wangu
@eliwitnessjoseph4350
@eliwitnessjoseph4350 Жыл бұрын
Tunakuja kudalalia walau upate kitu ili uanzie hili ndio shida kubwa
@alphamosha5571
@alphamosha5571 Жыл бұрын
Thank you Pastor Kimaro for this i keep rewatching this interview it motivates me i want to farm like Masanja
@RamondLema-po6py
@RamondLema-po6py Жыл бұрын
Am feel very blessed, kwa sababu ili kusudi la BWANA litimie ni lazima watu tufanye kazi kwa kumaanisha. Hongereni watumishi wa mungu for this very special class.
@godlovemrosso5973
@godlovemrosso5973 Жыл бұрын
Nimebarikiwa Sana Sana na Maono ya mchungaji kimaro natamani siku moja nikuone Kwa macho ana mkono Kwa mkono nipate maarifa zaidi nipate maarifa maana ni miaka minne nahangaika na kilimo cha sasa nimeamua kuweka mikorosho ekari nyingi kwako nataka neno moja tuu kwangu nami nitapona
@sayunisisya4862
@sayunisisya4862 Жыл бұрын
Nimejifunza mengi sana nashkru sana mchungaji wangu
@ambwenembukwaofficial4813
@ambwenembukwaofficial4813 Жыл бұрын
Mchungaji Kimaro Barikiwa Sana, nipo Boda ya Kasumulu hapa
@selinamoshi2569
@selinamoshi2569 Жыл бұрын
Nzr
@siansaw8572
@siansaw8572 Жыл бұрын
Kweli Rev. Anakuuza na umeniinspire sana nimemwandikia masanja insta nataka nimpe nondo ya UK safi sana
@awazimwazembe8469
@awazimwazembe8469 3 ай бұрын
Mungu naomba nitie Nguvu na kunipa kibali Cha kuwa mkulima mkubwa mwenye mafanikio
@YonaFute-bq7mz
@YonaFute-bq7mz Жыл бұрын
Amen amen,sikitu kidogo umetoa maarifa kwa maelf ya maelf ya watu ili tufanikiwe hakika umejazwa Roho ya Mungu Kimaro Kutoka 31:3 [3]nami nimemjaza roho ya Mungu, katika hekima, na maarifa, na ujuzi, na mambo ya kazi ya kila aina.
@olivemwamengonakilimombeya6951
@olivemwamengonakilimombeya6951 Жыл бұрын
Azadea group is my company one of the biggest company, amazing company, and proud working with them, is by grace of GOD im here
@marikwilliam9886
@marikwilliam9886 Жыл бұрын
Huwa na barikiwa sana na matendo yako ya kiimani Mungu akutunze baba
@tanzcanmediatv4473
@tanzcanmediatv4473 Жыл бұрын
Jamani makete wanagawa ardhi mimi nimenunua heka 5 nikama mlimani nimelima strawberry yaani mavuno ya kwanza miezi 2 ijayo
@Linda-lr1lu
@Linda-lr1lu Жыл бұрын
Nimeipenda sana hii ni hood motivation asanteni sana
@echodelouange7722
@echodelouange7722 Жыл бұрын
Hongera sana pastor Kimaro and pastor Masanja kweli vijana wak’africa lazima tuhamke natujue kwamba africa yetu inazo opportunities nyingi.conference kama hizi zingeletwa pia Hapa USA KWA vijana wetu W’africa sababu wengi wafikirihi kuhusu investment.
@vickymcharo49
@vickymcharo49 Жыл бұрын
JAMANI NAOMBENI AMBAE ANA CONNECTION KAMA MASANJA ALIIACHA KWA ISHU YA KILIMO, PLS PLS ANISAIDIE AU MTU AU NAMBA YA SIMU
@mlimanigroup1278
@mlimanigroup1278 Жыл бұрын
Nimejifunza kitu mtumishi. Mungu azidi kukuinua.
@roudanaSamweli
@roudanaSamweli Жыл бұрын
Blessing 🙌 🙌 doctor I wish to meet with you
@dainessayubu3088
@dainessayubu3088 Жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa kipindi hiki kizuri. baba mzuri na pastor kimaro huu ni ufunuo mkubwa sanaaaaaa wa kutufungua kimaisha kwaajili ya kesho yetu na watoto wetu.barikiwa sanaaa sanaaa sanaA mbarikiwa nyote kibibi kwa ushuhuda wako mzuri na masanja nimejifunza kuthubutu.
@msangodiesel3132
@msangodiesel3132 Жыл бұрын
Asante kwa semina swali langu tuna vyakula vya asili ila mbona tunaishi maisha mafupi tatizo Nini
@agricolajoseph2017
@agricolajoseph2017 Жыл бұрын
Hongereni sana kilimo na ufugaji lazima utoke tusiogope vijana Tumepokea kwa kweli.
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
🇮🇱Amen Amen Amen Mchungaji Kimaro. ".......watapata wapi pesa (sadaka) ni lazima watu wafanye kazi..)
@furahamwikombo4670
@furahamwikombo4670 Жыл бұрын
Baba msanja Anapesa za kulimia.... Kilimo ni zaidi ya Biashara.... Kina kinahitaji pesa,,,,,Sio kipole pole.....
@salimanguzo5553
@salimanguzo5553 Жыл бұрын
Napenda kilimo ❤
@thomasmakweta3860
@thomasmakweta3860 Жыл бұрын
Mch.Mungu akubariki kwa maono
@DjumaDalus-kk9in
@DjumaDalus-kk9in Жыл бұрын
Mi nataka nisaidiwe mch Naman ya kupata eneo kwa ajir ya kilimo Cha namana hyo
REV. DR. ELIONA KIMARO: JIEPUSHE NA KIGEUGEU
1:02:03
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 17 М.
MCH MASANJA Anena Mazito Kwenye Msiba wa Mama Shigongo
43:52
Global TV Online
Рет қаралды 410 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН
哈莉奎因怎么变骷髅了#小丑 #shorts
00:19
好人小丑
Рет қаралды 55 МЛН
Остановили аттракцион из-за дочки!
00:42
Victoria Portfolio
Рет қаралды 3,9 МЛН
Inside Out 2: ENVY & DISGUST STOLE JOY's DRINKS!!
00:32
AnythingAlexia
Рет қаралды 13 МЛН
Mawazo Mapya ya Kiuchumi | Rev. Dr. Eliona Kimaro
11:59
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 468
sikiliza mafundisho toka Pastor Tony Osborn Kapola
52:07
WORSHIP GOD FOREVER
Рет қаралды 14 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: FULFILL YOUR CALLING (KIBIBI)
19:04
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 341 М.
DR. REV ELIONA KIMARO. NI MBAYA KUWA BABA WA FAMILIA AFU UWAJIBIKI.
2:53
JERUSALEM FAMILY TV. MWL PETRO AND EVODIA MAZWILE
Рет қаралды 31 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: KUISHI KESHO I
32:34
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 22 М.
MASANJA UNAOWATEGEMEA NDIO WATAKUANGUSHA #FREECHURCH #MASANJA #MKANDAMIZAJI
10:24
FEEL FREE CHURCH Dar es salaam
Рет қаралды 34 М.
REV. DR. ELIONA KIMARO: WEKEZA KWENYE UWEZO I
34:28
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 17 М.
USHUHUDA | Siri ya Mafanikio ni Kutokata Tamaa
11:57
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 19 М.
UONGO WA MADHABAHUNI | BISHOP MASANJA MKANDAMIZAJI | PRAYER ROOM TANZANIA
19:50
REV. DR. ELIONA KIMARO: MASHAKA YA MAISHA
1:03:55
Rev. Dr. Eliona Kimaro
Рет қаралды 34 М.
когда не обедаешь в школе // EVA mash
00:57
EVA mash
Рет қаралды 3,7 МЛН