Mungu nipe neema ya kuwa na utulivu niwapo na hela na nijue namna ya kuzitumia
@gloryleon41872 жыл бұрын
Mungu nipe NEEMA kama hiyo maishani mwangu, ameeeni, najiunganisha na madhabahu hiii Katika Jina Yesu🙏
@highzacknnko96852 жыл бұрын
Na iwe hvyo kwako kama ulivyokiri
@chiwaligojoseph85292 жыл бұрын
Mimi pia nabarikiwa sana na madhabahu hii
@ClemenceMlay-zd6ng Жыл бұрын
Pp
@DinaLoisujaki9 ай бұрын
Mchungaji Mungu akutunze mifano Yakoinanibariki utaishi milele
@hidayaswai3119 Жыл бұрын
Nakuelewa mtu wa Mungu. Mungu akutunze kwa ajili yetu. We love you sana Umependeza kweli
@getuswai8109 Жыл бұрын
Mungu anazo njia nyingi za kunyanyua watu wake hii ndio njia jangwani Mungu anasema anafanya njia pasipo na njia na kweli Hii ndio njia Mungu alifanya pale pasipo na njia Mungu akubariki Kila siku
@elisantemolell67972 жыл бұрын
mungu naomba unikumbuke na mimi najiungamanisha madhabau
@Judy-dy4zt7 ай бұрын
Kwa uwezo wa mwenyezi mungu Nami nitapga bati nyumba yangu 🙏🙏
@joycelaura46117 ай бұрын
Asante baba nimecheka wa mirerani lakini nimejifunza kitu baba ubarikiwe Mungu akutunze
@johnmosha95902 жыл бұрын
Mungu nibariki na mm kwa upako huu wakupata upako wa fedha