SURPRISE YA MCHUNGAJI KIMARO YAIBUA SHANGWE KANISANI ALIVYOINGIA KUFANYA IBADA

  Рет қаралды 87,412

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Пікірлер: 353
@neemanaftal996
@neemanaftal996 Жыл бұрын
Nimeurahi sana, Mungu awe nawe daimu awe nawe daima. maiti imeshindwa kwa jina la daima. Kabla ya likizo yakealiyyopewa ! Niliota hi uyo mchangaji be amefariki na matangazo yake ya look awa yanatolewa kwenye vyombo vya habari nikawa nashangaa. , Najiuuliza mchungaji amefariki!!!¡ Jamani kumbe ilikuwa ni hili tukio. Mauti ya huduma imeshindwa ktk jina la yesu
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Mungu ni mwema Dr kimaro, nimefurahi sana , naungana na washirika kutoka 🇺🇸, nikisema yesu, yesu, yesu, yesu 🙌🏾🙌🏾👏🏽👏🏽👍🏽👍🏽
@rosemacha8137
@rosemacha8137 Жыл бұрын
2020 alikuja na unabii wa start your Impossible aisee alinipa nguvu ya kufungua shule,,, akaja na I'm in to win it bado kwangu ikafanya kazi,,, akaja na i connect to collect Mungu akanikonect na watu sana,,,,leo tupo na tutavuka na mbao...... ooohhh this man amebeba mafunuo makubwa sana ya KIMUNGU kwa mwenye imani na Mungu. Glory to Jesus aisee
@fatmaallyabdul1732
@fatmaallyabdul1732 Жыл бұрын
I'm Islamic but I love this man of God for sure,napenda sana mafundisho yake,hongereni wana Kijitonyama endeleeni kumuombea Dr.Kimaro
@gracekalihose8504
@gracekalihose8504 Жыл бұрын
God bless you
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Kama kweli wewe ni muislamu uliyefundishwa dini ya khaki usingeweza kusema hayo maneno kamwe nisingependa kusema maneno mengi hapa ila rejea mafundisho ya mtume juu ya unaswara na itikadi ya mungu mmoja tujiepushe na ushabiki wa itikadi iliyokinyume na mafundisho sahihi ya Allah
@stevenmwenda3005
@stevenmwenda3005 Жыл бұрын
Rejea mafundisho ya imani yako ya Islam maana huwezi kusema unapenda mafundisho yake wakati ni kinyume na itikadi yako ya dini ya haki mfano unafundishwa usiseme utatu na mafundisho ya upande wa pili kuna mafundisho ya namna hiyo je ni sawa ww kusema ni muislamu
@paulalove1223
@paulalove1223 Жыл бұрын
​@@stevenmwenda3005umeumia sana
@fortunatankya3242
@fortunatankya3242 Жыл бұрын
​@@stevenmwenda3005 we mwenyewe unayapenda sana..maana usingekuja huku...Pona kwa jina la Yesu
@aunesskinissa7548
@aunesskinissa7548 Жыл бұрын
Nabarikiwa sana kwajili yako bba Mchungaji Mungu azidi kukuweka kwajili ya watu wake
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Nikiona mchungaji Kimaro anaogea, na washirika wa kijitonyama napata furaha na kujua kumbe wokovu wa kweli ninao ujua bado upo, 💕💕💯💯
@theodorymwalongo7509
@theodorymwalongo7509 Жыл бұрын
Mimi ni RC naishi Kibaha, nimekuwa nasikiliza sana mahubiri ya Mchungaji Kimaro. Nimefuatilia sana matukio yote yaliyompata. Leo amerudi tena Kijitonyama; nimefurahi sana pamoja na waumini wote wa KKKT. Nami nampenda, Mungu aendelee kumsimamia.
@nelsabugo3613
@nelsabugo3613 Жыл бұрын
Hatamimi nampenda sana huyu Mch Kimaro
@mage1799
@mage1799 Жыл бұрын
Tendeni haki hakima BWANA atawainua
@elimidakashumba2422
@elimidakashumba2422 Жыл бұрын
Yaani Mimi ni Crip zake nyingi. Hasta shuhuda mbalimbali. Ananibariki sana.
@dinagerald5419
@dinagerald5419 Жыл бұрын
Nikweli kabisa
@reginashipela2939
@reginashipela2939 Жыл бұрын
Nami nampenda Sana baba huyu jamani niliumia kusimamishwa kwake maana anachohubiri Ni sahihi kaabisa
@deboramuhoja1777
@deboramuhoja1777 Жыл бұрын
Maji hayazuiliwi Kwa ukuta🥰yatatoboa na kupenya tu😂😂😂Anacho kibali!! kama Mungu alimchagua hakuna binadamu atakaezuia, wamuache atumike🥰Mungu Atukuzwe sana🙏🙏🙏
@mtumejosephgoliama6159
@mtumejosephgoliama6159 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe mno kwa kanisa kutambua umuhimu wa kusamehe. Mchungaji Kimaro bila shaka kuna jambo amejifunza. Unyenyekevu huleta neema. Namuomba Mungu atakase Kinywa cha mchungaji Kimaro ili aeneze uzima nakua makini na kauli zake . Ukristo juuuuuuu juu zaidi. Sifa zote kwa Yesu Kristo Bwana wetu
@ericrukamba6802
@ericrukamba6802 Жыл бұрын
Mie nilishasema kuwa sitakanyaga teta Kijitonyama,kusali, sasa narudi tena, Asante Mungu kwa kumurudisha Dr Kimaro 🙏🙏🙏❤
@elishakayagwa9371
@elishakayagwa9371 Жыл бұрын
Hongera sana kwa kupewa nafasi tena, ila ni wakati wa kujiangalia sana asianguke maana ukikubalika sana adui hutumia mlango huo kwa ajili ya kukuporomosha kwa kiburi. Nakutahadharisha sana mchungaji Kimaro uweze kushinda roho ya kiburi baada ya kusifiwa
@RandB_Channel
@RandB_Channel Жыл бұрын
Jamani kila mtu na neema yake hatu fanini.huyu mchungaji ana neema yake Mungu akuinuwe zaidi
@jennifaonesmo602
@jennifaonesmo602 Жыл бұрын
Nakupenda SANA Kimaro achana na Ananja hata yeye alikosea akatolewa Moja Kwa Moja. We endelea kumshukuru Mungu
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Baba Askofu wa nashukuru sana kumrudisha Dr kimaro kijitonyama 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻💕💕, Mungu ni mwema sana kwa maisha yangu ya kiroho, nilikuwa nangojea sana Mchungaji kimaro arudi tuendelee kupata na kukusikiliza kila jumapili. Mungu amawalinde Baba Askofu and Dr kimaro.
@mariamlugula136
@mariamlugula136 Жыл бұрын
Yesu Yesu 👏
@zachariahtomemba9070
@zachariahtomemba9070 Жыл бұрын
May God bless you so much beloved Rev . pastor Eliona Kimaro Kwa utumishi mwema,Amen
@ronahemmajay1477
@ronahemmajay1477 Жыл бұрын
Kuna mtu anakata vitunguu hapa🙏🙏🙏 to God be the Glory
@TheSalma1999
@TheSalma1999 Жыл бұрын
We love you pastor kimaro Mungu Ndio anajua
@hortensiamallya700
@hortensiamallya700 Жыл бұрын
Mimi ni Mkatoliki..........Tunakupenda Baba saaaaaaana .........Karibu saaaaaaaaana Baba Mchungaji.
@annamulungu2876
@annamulungu2876 Жыл бұрын
Hongera kwa kurejea Kijitonyama mtumishi wa Mungu. Mungu, akuongoze tena!
@ShannyMstapha
@ShannyMstapha Жыл бұрын
Hakika huu niukuu wamungu tunauona mbele yetu mungu hawezi kukiacha peke yako asante bab umesimama naye ukuu wa mung❤❤🙏🙏
@isayatippe6409
@isayatippe6409 Жыл бұрын
I'm from the Pentecostal Assemblies of God (Tanzania). I give God glory and honor to see Pastor Kimaro returning to the same church, Kijitonyama, as their pastor. God bless Kimaro, God bless the Leadership of Diocese of DMP and the Usharika of Kijitonyama for working together as one team!
@annehk8185
@annehk8185 Жыл бұрын
Na wewe ubarikiwe pia kwa kuandika ung'eng'e umeongeza furaha😂
@felixmwasongwe8043
@felixmwasongwe8043 Жыл бұрын
​@@annehk8185 😂
@neemamwanga5447
@neemamwanga5447 Жыл бұрын
Waooooo baba yangu wa kiroho Mungu akutunze, ❤❤❤❤ nikikusikiliza Mara zote mahubiri yako unaniponya nafsi, nilishakata tamaa Sana kupitia youtube unaniponya nafsi Mungu akulinde nakupenda sana mafundisho yako, Mungu wa mbinguni nilinde siku moja nije kukuona live nitafurahi sana sana
@anastaziatemba5490
@anastaziatemba5490 Жыл бұрын
Jaman nami nafurah kwamachozi Asante mungu.barikiwa
@judithkyenze1321
@judithkyenze1321 Жыл бұрын
Glory be to God, how happy I am to see the man of God back, karibu sana sana. Judy from Kenya
@captain001kenya3
@captain001kenya3 Жыл бұрын
Tell them agekam huku tupotee na yeye he comforter me a lot
@jeangodelo5349
@jeangodelo5349 Жыл бұрын
Ahsante Mungu kwa ajili ya huyu mtumishi wako uzidi kumlinda na umpandishe viwango vya juu kabisa mafundisho yake yamebadilisha maisha ya wengi 🙏🙏
@delvinalyimo8403
@delvinalyimo8403 Жыл бұрын
Glory to our Almighty God!!My heart is full of joy!!! I love you with the love of God Man of God.Endelea kuifanya kazi ya bwana kwa uaminifu mkubwa!!🙏🙏
@jackittah
@jackittah Жыл бұрын
This is beautiful Glory to God My heart is full ❤
@magrethpatrick8449
@magrethpatrick8449 Жыл бұрын
Shetani amegalagazwa chaliiiiiiiiiii Yuko hoi kwa paaaaale.:O😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@margretben6920
@margretben6920 Жыл бұрын
Jamani Dsm Kijitonyama mmebarikiwa na huyi Baba sawa na sisi tulivyobarikiwa na Mwl Mwakasege.
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥💯💯🙌🙌🙌🙌 Amina aminaaaaa Hata Sasa Bwana anatenda. Sasa macho yangu yameamini
@hildermarwamarwa5935
@hildermarwamarwa5935 Жыл бұрын
Ninaungana na wana kijitonyama kufurahi pamoja nanyi kwa ajili Mchungaji wetu 🙏🙏
@clarawillfred1749
@clarawillfred1749 Жыл бұрын
Ashukuriwe Mungu kwa mema yote!hakika wewe ni mtumishi pendwa na Mungu azidi kukutumia.
@judymasunzu7517
@judymasunzu7517 Жыл бұрын
Anajibu Maombi X2 Bwana twakuabudu. Asante Mungu WA Utatu Kwa Kujibu Maombi yetu. Asante Uongozi DMP Kwa Uamuzi huu .
@cecygeorge4443
@cecygeorge4443 Жыл бұрын
Nimefurahi sana mpaka nimelia machozi ashukuriwe MUNGU alie juu🙏🙏 ooh Asante YESU
@zawadishekilango9132
@zawadishekilango9132 Жыл бұрын
Sifa heshima na utukufu ninakurudishia Mungu kwa ajili ya mtumishi wako huyu. Ambaye Mungu anaenda kutumika tena madhabahuni Pako. Damu yako ikaendelee kunena mema katika utumishi wake Amina
@nerryabel7512
@nerryabel7512 Жыл бұрын
Mungu ni mwema,asante Mungu kwa kumrudisha tena Mch Kimaro🙏🙏
@rithakuyala9951
@rithakuyala9951 Жыл бұрын
Asante MUNGU kwa kutuludishia mchungaji wetu KIMARO alleluyaaaaah ❤
@happynessmbise3027
@happynessmbise3027 Жыл бұрын
Tunakupenda sana baba yetu,umekuwa mnyenyekevu sana ktk yote,tunaamini Mungu amekupandisha kiwango kingine,ubarikiwe baba
@josephlorri431
@josephlorri431 Жыл бұрын
Wanawake ni watu wa hisia sana bila tafakari ya matokeo ya matendo hayo. Binadamu tunapita, bali jina la Kristo ataishi Milele.. Viongozi wa dini tuache kuchochea hisia za watu..wafundishe kweli ya Mungu
@janethpeter3844
@janethpeter3844 Жыл бұрын
God is good all the time. Anza tena na Bwana.... Tunakupendaaaa
@leonardmakwela3407
@leonardmakwela3407 Жыл бұрын
It may be unpleasant to many of you, But I have to say this that , We shouldn't glorify Pastor Kimaro ! All the glory be to GOD !
@arenajamahanga8981
@arenajamahanga8981 Жыл бұрын
even him said so
@joycesamweli1219
@joycesamweli1219 Жыл бұрын
Tuliimis sauti hiyo ya mamlaka ya kumfyatua shetani kazi iendelee Mchungaji
@suechipeta4223
@suechipeta4223 Жыл бұрын
Huyu ndiye Mungu atendaye matendo makuu ya kuogofya... Tunamshangilia Bwana...
@oscarnderongo-fv8wx
@oscarnderongo-fv8wx Жыл бұрын
Mungu atukuzwe mnooo katika Jina la Yesu
@johnsonkagande428
@johnsonkagande428 Жыл бұрын
Nimefilahi sana mutu wa Mungu umerudi ktk hema takatifu Mungu akuongoze milele
@captain001kenya3
@captain001kenya3 Жыл бұрын
Huyu mgefaya one mistake uiii Kenya ingemchukua Kaa ugari moto we love this man of God
@scolasticadamian327
@scolasticadamian327 Жыл бұрын
We love you Pastor Kimaro
@magdalenajoel4409
@magdalenajoel4409 Жыл бұрын
Wow mungu akutunze mtumishi umechaguliwa hakika hakuna ulimi utakaoinuka juu yako tena 🙏❤️
@amanikiteve5195
@amanikiteve5195 Жыл бұрын
Mwenyezi Mungu ambariki mtumishi wake na aendelee kuikuza karama yake
@joycemollel7698
@joycemollel7698 Жыл бұрын
Wamtumainio bwana ni kama mlima Wa sayuni hautatikisika milele, Hallelujah
@rhodamwafongo6660
@rhodamwafongo6660 Жыл бұрын
Karibu tena mpendwa wetu Dr Kimaro , tunakupenda saana
@sarahwalker5093
@sarahwalker5093 Жыл бұрын
Mungu wetu ni final say karibu tena mtumishi wa Mungu nadikia furaha na amani sana
@zariadunia6328
@zariadunia6328 Жыл бұрын
Wanawake kila sehemu mnaongoza kha nami nimefurahi sana kwa baba mchungaji kurejea ni muislam lkn nampendaga
@rahabnkya8276
@rahabnkya8276 Жыл бұрын
Mwacheni MUNGU aitwe MUNGU, ametenda makuu SAAAANA sifa na utukufu ni kwake yeye apitaye falme zote. KARIBU BABA YETU MCHJ DR ELIONA KIMARO KKKT KIJITONYAMA KUENDELEA KUTUONGOZA TENA NA TENA, MAFUNDISHO YAKO YAMEWAJENGA WENGI KIROHO, KIUCHUMI NA KIMWILI. BARIKIWA SAAAAANA MCHJ NA MAMA NA FAMILIA YAKO. AMEN
@mercymariki2148
@mercymariki2148 Жыл бұрын
Mungu akutunze sana Baba.....keep on going ....we love you!!!
@rehemamadelele5124
@rehemamadelele5124 Жыл бұрын
Kimaro kimaro Nakuombea uishi baba uishi uishiiiii Tena uishiiiii wewe hakika Na jemedari WA kanisa
@anithambise90
@anithambise90 Жыл бұрын
Mungu asante kwa kujibu maombi yetu jina lako libarikiwe sana 🙏 Karibu Mchungaji kuna kitu Mungu kaweka ndani yako🔥🔥🔥
@naghemsuya5218
@naghemsuya5218 Жыл бұрын
Mungu atukuzwe Sana jmn nimefurah Sana, Baba tunakupenda tunakupenda Tena. Unatubariki mnooo
@nicembise902
@nicembise902 Жыл бұрын
Mungu uliye hai utukufu na heshima ni vyako milele na milele karibu tena baba yetu na hongera Sana kwa uvumilivu wako kwa kipindi chote hekima Yako na unyenyekevu wako umewashangaza wengi Mungu akuinue zaidi unastahili kuwa mkuu wa kanisa na KKKT Sasa sio mchungaji tena na hakika nakuombea Mungu akufikishe huko🎉🎉🎉❤
@frenziangella6676
@frenziangella6676 Жыл бұрын
Dr na mchungaji kimalo kiukweli hekima unyenyekevu busara ulio nawo Mungu akubariki sana na akulinde naungana na wanna kijito nyama kwa furaha hii Kipekee nawashukuru maaskofu wote pia marasusa
@hildamushi1084
@hildamushi1084 Жыл бұрын
ASANTE SANA YESU KWA UPENDO WAKO KWA MTUMISHI WAKO ELIONA KIMARO.
@bernadetakomba366
@bernadetakomba366 Жыл бұрын
Asante kwaajili ya Baba Mchungaji Kimaro Bwana akupe maisha mm Catherine Gabone umefanyika Baraka katika maisha yangu Bwana akulinde na famili yako Amen
@mariethalema1365
@mariethalema1365 Жыл бұрын
Atukuzwe Mungu atendaye makuu kuliko tuyaombayo & tuyawazayo. Welcome back baba Mchungaji wetu mpendwa Rev. Dr. E. Kimaro. We love you & we missed you very much. Mungu aendelee kukuinua ktk viwango vya utukufu Wake ktk jina la Yesu.🙏🙏🙏
@rhoidanassibu8536
@rhoidanassibu8536 Жыл бұрын
Mungu azidi kukuinuaaaa sana Mch Kimaro.. Mafundisho yako yanatujenga sana sana
@faithlucas5866
@faithlucas5866 Жыл бұрын
Machozi ya furaha yananitoka jamani kumuona Mch Kimaro tena.Mungu alitunze kanisa lidumu katika umoja na upendo 🙏
@rosemshana1712
@rosemshana1712 Жыл бұрын
Mungu Akubariki sana mchg Kimaro. Nimefurahi sana kwa jinsi ulivyojishusha na kuomba msamaha. Na Mungu akakujibu. Nakuombea maisha marefu katika kazi ya BWANA
@kelvinmwacha129
@kelvinmwacha129 Жыл бұрын
Glory to God Wana Kijitonyama Hongereni Sana kwa Matendo makuu ya Mungu aliyowatendea kwa kurejea Tena kwenye Utume na Kazi ya Mungu.....
@FaridaMleko-re2jd
@FaridaMleko-re2jd Жыл бұрын
Hatimaye Dorcasiiiiiiiiiiiiiii kuongezewa miaka mingine. Oh! Mungu ni mwema sana, nimefurahi mnoooooo kurudi kwa mchungaji.
@marianajoseph1892
@marianajoseph1892 Жыл бұрын
Mama mchungaji oyeeee 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
@fidelisfrank4420
@fidelisfrank4420 Жыл бұрын
Mimi ni mwana ufufuo na uzima lkn pastor kimaro namkubali na kumfatilia Sana tena karibu Sana Baba kijitonyama
@annakisanga
@annakisanga Жыл бұрын
Mungu ni mwema. Sana
@janemwambungu4558
@janemwambungu4558 Жыл бұрын
Ila marasusa Mungu anakuona , kimario ww ni mnyenyekevu Sana Mungu akufikishe mbali Zaidi mtu wenye matunda ndio unapigwa mawe siku zote
@amilongjackson2066
@amilongjackson2066 Жыл бұрын
Marasusa amekosa nini
@mzarendo.com9624
@mzarendo.com9624 Жыл бұрын
Acha ujinga Ask. Malasusa, ana kosa gani nyau wewe..... 🥺🥺🥺😟😟😟😳😳😳
@rehemajuma2202
@rehemajuma2202 Жыл бұрын
Yaani mchungaji hunaga ubaguzi na dini ya MTU,halafu mungu akuinue sn,yaani riziki ya MTU huwezi ifunga,hakuna mkamilifu duniani eti unamfungia MTU asifanye neno la mungu kiss kasema ukweli ndo SBB mungu kayatenda haya ukweli utabaki kuwa ukweli congratulations mchungaji Fanya kazi ya mungu tupo nyuma yako
@judicalosika7642
@judicalosika7642 Жыл бұрын
Usilaani mpendwa. Tuombene.
@janemwambungu4558
@janemwambungu4558 Жыл бұрын
@@judicalosika7642 Amina mpendwa
@lindamoshi3013
@lindamoshi3013 Жыл бұрын
Mungu wewe ni wa ajabu sana...Mungu aendelee kukutumia tubarikiwe
@mariamoden1131
@mariamoden1131 Жыл бұрын
Baba askofu na Dk kimaro na washirika wote Mungu awabariki sana sana utukufu kwa Mungu wa na nchi
@josephvenus3259
@josephvenus3259 Жыл бұрын
Hallelujah hallelujah hallelujah!!! Sifa na utukufu ni kwa Mungu
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
Ebenezer amewezesha. Amen
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Ooooh Saa 10 alfajiri watu wamemsubiri MCH Kimaro kanisani ooooh
@brysonmeena1086
@brysonmeena1086 Жыл бұрын
Jumapili hakika hapatatosha kanisani, Mungu atamuonesha baba askofu Malasusa ukuu wa Mch Kimaro
@karlyneden3908
@karlyneden3908 Жыл бұрын
Sifa na Shukrani nakurudishia Eee Mungu Baba ulie Hai
@susanndesanjo7106
@susanndesanjo7106 Жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwa Bwana Mungu aliyeziumba mingi na nchi.Mbarikkwe watumishi na waumini wa Mungu. Yesu ndiyo kiongozi wangu.Kumfuata Yeye ni furaha.
@susanndesanjo7106
@susanndesanjo7106 Жыл бұрын
Aliyeziumba mbingu.. sio aliyeziumba mingi. Samahani
@MaaneML
@MaaneML Жыл бұрын
Yaani.machozi yananitoka kabisa. Mungu ni jibu. Washarika wa Kijitonyama hongereni Sana. Askofu Malasusa tuliza kichwa na mawazo kwa Wachungaji wenye Karama. Waheshimu. Usharika huu ungekufa kabisa kwa maamuzi yasiyo na Busara. Iwe funzo kwa wengine. Uelewe tu kuwa sharika siku hizi zinakua au kufa kwa sababu ya Mchungaji aliyepo. Msirudie makosa
@emmanuelrutaihwa6545
@emmanuelrutaihwa6545 Жыл бұрын
Mch Kimaro tunakupenda kwa kuwa unajua kutuombea kwa Mwenyezi Mungu. Tunamwomba Mwenyezi Mungu asikie maombi yako uliyomuomba kwa ajili yetu. Amen.
@ceciliaonyango5367
@ceciliaonyango5367 Жыл бұрын
Hadi raha Mungu ni mwema 🙏🙏🙏
@rosemarymwengele3778
@rosemarymwengele3778 Жыл бұрын
Mungu wetu ni mwema 🙏 Hakika ni furaha kubwaaaaa mnooooo🙏
@greenermichael2057
@greenermichael2057 Жыл бұрын
Mimi Ni FPCT Lakin mchungaji Kimaro Ni mchungaji wangu nimpendaye sana
@barakaleader1550
@barakaleader1550 Жыл бұрын
Nguvu ya umma haijawahi feli..congole Wana kijitonyama
@jesckamolel5693
@jesckamolel5693 Жыл бұрын
Kwel wanampenda mchungaji wao kutoka moyon wamefurahi sana yule adui aliyetaka kumthalilisha bila sababu ya msingi akiona hili shangwe ni kama mkiki unamchoma kwenye moyo
@ahuriladaniel9849
@ahuriladaniel9849 Жыл бұрын
Aminaaaaaa kubwaaaaaa
@macrinerjustine8894
@macrinerjustine8894 Жыл бұрын
Mungu asante umefanya kwa utukufu wa umfunike mtumishi wako
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 Жыл бұрын
Asante yesu . Huyu ndo tunayemtaka .
@josephinekokushubila1050
@josephinekokushubila1050 Жыл бұрын
Tunamshukuru Mungu Kwa ajili ya huyu mtumishi
@christophenkurunziza7208
@christophenkurunziza7208 Жыл бұрын
Mungu apewe sifa kuwa mchungaji wetu amerudi ninakufatiliya nikiwa Uganda for sure ninampenda sana kwakuwa nimefaidika mengi sana.
@ngambikomsu64
@ngambikomsu64 Жыл бұрын
Wapiiii mchungaji Hananjaaaaaa
@SelinaNiinah-gn2qd
@SelinaNiinah-gn2qd Жыл бұрын
Asante sana mchg huwa na barikwa mahubiri yako
@RoseSwai-et8zp
@RoseSwai-et8zp Жыл бұрын
Mch kimaro Umeletwa kwetu watu wote c Wana kijitonyama pekee ,ila tuliumia wengi Neema ya Mungu imekurudisha sehemu husika ,naishiwa maneno ila karibu Tena Usharika wa karanga ,mtaa wa karanga Moshi Soweto ,UTUBARIKI TENA MCHUNGAJI
@felistermhango3177
@felistermhango3177 Жыл бұрын
Glory be to God Jesus🙌🙌
@hilarymark7583
@hilarymark7583 Жыл бұрын
Ubinadamu wetu usitufanye tukatae vile vitu Mungu alivyoweka kwa maana maalum kwa watu wengine
@navysanga4245
@navysanga4245 Жыл бұрын
Nampenda Sana Sana mtumishi nipo Makambako napenda Sana vipindi vyake nimebarikiwa Sana Sana
@highzacknnko9685
@highzacknnko9685 Жыл бұрын
Upendo una nguvu sana kuliko imani. Naangalia leo 20.3.2023 nikiwa kibaha mkoa wa pwani.natamani kimaro siku moja aje kuwa mkuu wa kkkt tuone atabadili nini
@victoriasanga4910
@victoriasanga4910 Жыл бұрын
Mpendwa dada mwenye gauni penseli nyeupe, kwa kweli hilo gauni halina utukufu kwa Mungu, hata kwa wanadamu
@rebekamwinuka6058
@rebekamwinuka6058 Жыл бұрын
Nikweli kabisa huo sio utukufu kuvaa nguo ya aibu kanisani.
@judicateshuma3688
@judicateshuma3688 Жыл бұрын
Tafadhali sana wakinamama muwe na adabu kanisani mnavaa nguo ambao sio za uchaji mbele za watu namungu acheni wendawazim
@ndennkya9554
@ndennkya9554 Жыл бұрын
😁😁
@hopesengo6972
@hopesengo6972 Жыл бұрын
Ahsnte sana kwakuliona hilo🙏🙏🙏
@rebekamwinuka6058
@rebekamwinuka6058 Жыл бұрын
Halafu bila aibu anakimbia mbele kabisa ya madhabahu
@joliea2956
@joliea2956 Жыл бұрын
From Saud, God is good 👍 🙏 🙌 ❤
@pendorichard2986
@pendorichard2986 Жыл бұрын
Utukufu ni kwako ee mwenyezi mungu
@delverosedastan5730
@delverosedastan5730 Жыл бұрын
Sifa na utukufu ni kwako Mungu wetu,ulinzi wako ukawe juu ya mtumishi wako Eliona Kimaro
@nitikekubetta9152
@nitikekubetta9152 Жыл бұрын
Amen such a humble man Yesu ni mwema
Мен атып көрмегенмін ! | Qalam | 5 серия
25:41
Гениальное изобретение из обычного стаканчика!
00:31
Лютая физика | Олимпиадная физика
Рет қаралды 4,8 МЛН
NGUVU ZA MUNGU KATIKA NYAKATI ZA MWISHO
1:00:11
Mbezi Beach SDA Church
Рет қаралды 325
1 IJUE NGUVU YA MUNGU YA MSALABA ITENDAVYO KAZI ILI UNUFAIKE NAYO || Mwl Christopher Mwakasege.
1:19:08
CHRISTOPHER AND DIANA MWAKASEGE CHANNEL
Рет қаралды 61 М.
ANZA KUJITAMBUA KATIKA HILI
1:03:37
MAHUBIRI TV
Рет қаралды 13 М.
SIKIA MIJITU ILIYOTEMBEA NA UPAKO, REV:MOSES MAGEMBE
31:10
USHUHUDA WA BINTI ALIYEOKOLEWA KUTOKA KWENYE NGUVU ZA GIZA
20:45
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
Рет қаралды 110 М.